WATU NA VIATU - NYOTA NDOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 548

  • @liliekiara
    @liliekiara 9 หลายเดือนก่อน +115

    Anybody listening to this in 2024?😍

    • @sharonkasiti4851
      @sharonkasiti4851 8 หลายเดือนก่อน +1

      I'm here

    • @tove2247
      @tove2247 5 หลายเดือนก่อน

      yees!! Wish we could have the translation for new commers

    • @pascalmakono
      @pascalmakono 3 หลายเดือนก่อน

      Yeah

    • @pascalmakono
      @pascalmakono 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@sharonkasiti4851where are you come from

  • @shabaninayopa-nw9cf
    @shabaninayopa-nw9cf ปีที่แล้ว +79

    tunao endelea kusikiliza wimbo huu mwaka 2024 tulike siunajua tena huu mwaka wa kuforce na rafiki wa kwel ni mafanikio

  • @officialyricske
    @officialyricske ปีที่แล้ว +52

    am here again 2024 listening to this song its so wonderful

  • @aysher94
    @aysher94 10 หลายเดือนก่อน +62

    Who else is watching in 2024

  • @marleygrafix7381
    @marleygrafix7381 ปีที่แล้ว +256

    Tuko 2023 na bado hii wimbo nikama imetoka jana🔥🔥🔥

  • @ToshEvans
    @ToshEvans 4 ปีที่แล้ว +124

    2020 kama bado una ipenda piga like tukisong

  • @Amadadi_show
    @Amadadi_show 10 หลายเดือนก่อน +17

    2024 mko wapi

  • @kelvinkimanja6528
    @kelvinkimanja6528 2 ปีที่แล้ว +272

    IF YOU ARE HERE IN 2090,YOU NEED TO KNOW THIS WAS

    • @slysweetcandie9971
      @slysweetcandie9971 2 ปีที่แล้ว +4

      Nostalgia 😥

    • @shishrembo5251
      @shishrembo5251 2 ปีที่แล้ว +22

      and if we will still be alive please hit the like to remind us of our younger days songs

    • @brendakilimo4100
      @brendakilimo4100 2 ปีที่แล้ว +2

      ❤️❤️❤️❤️

    • @truckingwithfauz7089
      @truckingwithfauz7089 2 ปีที่แล้ว +10

      Hi future Grandkids pray for grandpa 😄

    • @georgeswanjiku5164
      @georgeswanjiku5164 2 ปีที่แล้ว +7

      There will be no you tube in 2090😂

  • @hitechcybers3171
    @hitechcybers3171 ปีที่แล้ว +31

    I'm going to do my best to make sure this song hits 1 million views before end of 2024. If I fail just know that you've all failed me because reading this comment means you love this song but you didn't share the link to your friends.

  • @Shal-Pro
    @Shal-Pro 2 ปีที่แล้ว +26

    "Nyota ndogo alishasema Kuna watu na viatu" - Professor Jay

  • @mtaostephen3660
    @mtaostephen3660 ปีที่แล้ว +14

    Kama upo hapa 2023,mwenyezi mungu akakufungulie katika kila njia unazopita.HAKIKA WEWE NI LEGEND 🙏

  • @Iam_whinz
    @Iam_whinz 2 ปีที่แล้ว +50

    BEST FEMALE VOCALIST THAT KENYA EVER PRODUCED.
    SHE IS A LEGEND.
    LIVE LONG MAMAAA.
    NAKUPENDA TU SANA

  • @cikujudy
    @cikujudy 2 ปีที่แล้ว +23

    2023 🙌🙌🙌🙌 enjoying this beautiful music 🎵.

  • @Nyangaoo
    @Nyangaoo ปีที่แล้ว +11

    Rafiki yangu, mpendwa
    naja kwako, siku nyingi
    wanipokea, kwa uzuri
    siku zote
    wakati sina, wanipa
    nitakacho, husiti
    nisemacho, wako sawa waniombea Mungu
    moyoni mwangu, najua
    nina rafiki, huyu wa kweli
    hakuna yule, ambaye
    atakuja, kati yetu
    wakati sina, wanipa
    nitakacho, husiti
    nisemacho, wako sawa waniombea Mungu
    (CHORUS)
    oh kuna watu na viatu duniani
    oh kuna watu wasiopenda maendeleo
    ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
    achana nao, waepuke haraka sana
    hivi majuzi nilipata kazi nzuri nikaja kukueleza
    mtu wa kwanza nilifikiria ni wewe rafiki yangu
    nilifurahi na kuruka na kutaja jina lake Mungu
    nikikuangalia mwako usoni umejisononesha
    ukaanza kusonya, ukirusha mikono
    sura umeikunja, kumbe hukufurahi
    mafanikio yangu, ilikuwa hatia mimi kuja kukueleza
    ukaanza kusonya, ukirusha mikono
    sura umeikunja, kumbe hukufurahi
    mafanikio yangu, ilikuwa hatia mimi kuja kukueleza
    mtu wa kwanza nilifikiria ni wewe rafiki yangu
    (CHORUS)
    oh kuna watu na viatu duniani
    oh kuna watu wasiopenda maendeleo
    ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
    achana nao, waepuke haraka sana

  • @Ebendentalclinic
    @Ebendentalclinic 9 หลายเดือนก่อน +4

    2006 naskia top ten show ya Radio Free africa na Mtangazaji Groly robinson(mtoto wa mama saburi) nikiwa nachunga ng'ombe kijijini.Now am a Doctor siamini namna muda unekimbia haraka hivi. 2024 lets meet again after some yrs,nawaombea.🙏

  • @edun460
    @edun460 2 ปีที่แล้ว +93

    This is what we are missing in our music scene... What a golden voice. Nyota Ndogo ulienda wapi jameni 🙆‍♂️.

  • @wapwaniclassic1481
    @wapwaniclassic1481 9 หลายเดือนก่อน +3

    Upendo kwa sana 2024 still on heart

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 2 ปีที่แล้ว +15

    Wimbo bora Kwa funzo Kwa jamii miaka yote... Wimbo mzuri sana nyakati zote!!!!!

  • @patriciambui4546
    @patriciambui4546 8 ปีที่แล้ว +98

    this song makes sense after many years after its release. most beautiful work by nyota ndogo

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 7 ปีที่แล้ว +21

    Napenda huu wimbo since I was kid ila skwajua binadam now najua Kwanin niliupenda

  • @manmanochibo9329
    @manmanochibo9329 3 ปีที่แล้ว +56

    2021 still relevant . Nyota ndogo was a prophet ❤️❤️

  • @favouredprincess3881
    @favouredprincess3881 ปีที่แล้ว +6

    When this song came out i was very young …but nimetendwa na rafiki and here iam😢 ndo naelewa huu wimbo

  • @loiseayub1700
    @loiseayub1700 ปีที่แล้ว +21

    Younger me couldn't comprehend whatever he was singing about
    But now I do and this song is really sad but a masterpiece at the same❤️

  • @ahmadobayer6635
    @ahmadobayer6635 2 ปีที่แล้ว +66

    14 yrs ago? How time flies! It's 2022 and still feels so fresh,good songs have no time limit

    • @mhando1
      @mhando1 2 ปีที่แล้ว +3

      With love from 255🇹🇿🇹🇿

    • @abduljabbar-jg2hz
      @abduljabbar-jg2hz 2 ปีที่แล้ว

      Pewa patco

    • @edwinamalanda7602
      @edwinamalanda7602 2 ปีที่แล้ว +1

      This is song is over 20 years old now.

    • @Iyadkay
      @Iyadkay ปีที่แล้ว

      There's NO way this is 14 years. It's about 20 years now.

  • @gdhn9137
    @gdhn9137 2 ปีที่แล้ว +52

    This song needs to be translated to reach out the world ! Best message "there are (kuna ) people(watu ) and (na) shoes(viatu)"best part start at 2:28

  • @mwonajeremia5323
    @mwonajeremia5323 7 หลายเดือนก่อน +3

    wangapi tumemjua nyota ndogo 2024😊

  • @emmakhaona7798
    @emmakhaona7798 3 ปีที่แล้ว +30

    How this song hasn't hit a million views all these years beats me.

    • @rafa19912
      @rafa19912 2 ปีที่แล้ว

      Very true. It has hit TH-cam did the same with Ole themba

    • @rodgersngala4677
      @rodgersngala4677 2 ปีที่แล้ว +1

      Probably many people are viatu as the nyota says

    • @paulngugi6352
      @paulngugi6352 ปีที่แล้ว

      Millions

  • @tssvchannel4295
    @tssvchannel4295 2 ปีที่แล้ว +14

    I was like 6/7 yrs when my big siz/bro used to play this listening to now it didn't sound like this, I'm 22 I can't believe this Damn! Damn! Damn! This is pure music on FACTS!!!

  • @oscarkeybet2489
    @oscarkeybet2489 2 ปีที่แล้ว +3

    Na kweli muda huyoyoma na ujana ni Moshi 😭😭😭.
    Ni mwaka wa 2095 na ningependa kukufahamisha kuwa wimbo huu ulivuma na kutawala mawimbi miaka ya 2002 na hapo mbele.
    Nyakati hizo za watangazaji John Karani,Charity Karimi,Jeff Mwangemi kwenye idhaa ya kitaifa redio KBC.
    Naam,tumia muda wako wa ujana vizuri.
    Burudika,starehe lakini hakikisha umewekeza kwa ajili ya kizazi chako kichajo..

  • @PapiLink
    @PapiLink 2 ปีที่แล้ว +27

    Heard This song in a club, the nostalgia I got was crazy! Timeless music 🙌🏽

  • @kadenyiingaji4646
    @kadenyiingaji4646 3 ปีที่แล้ว +5

    "Ooo kuna watu na viatu dunianiiii Oooo kuna watu wasiopendaa maendeleeooo ukiwa navyo vyawauma ndani kwa ndaanii aah achana nao waepuke haraka saanaa"wimbo mtaamu sana nyota ndogo.

  • @tatumbola4712
    @tatumbola4712 ปีที่แล้ว +3

    2023 to my future kids if yo watch this remember it has always been a jam 🔥🔥

  • @peaceopati8618
    @peaceopati8618 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyota ndogo made me want to reach Mombasa as a child..nilitamani kufika Mombasa 😂

  • @diamondokusimba1668
    @diamondokusimba1668 2 ปีที่แล้ว +16

    A song that has stood the test of time.

  • @ndiranguomondi
    @ndiranguomondi 2 ปีที่แล้ว +8

    What a song to start 2023 with

  • @henrywashington5581
    @henrywashington5581 3 ปีที่แล้ว +21

    Beautiful Piece Nyota.. You are indeed a Gift to Kenyan Music Industry

  • @yohanadeusi9084
    @yohanadeusi9084 ปีที่แล้ว +2

    Dah Mungu ni mwema naiangalia leo terehe 27-2-2023

  • @YustoCembi-ym6pe
    @YustoCembi-ym6pe ปีที่แล้ว +3

    Back2back music, ever educative and kujiachilia na kuachana nao, epuka sna.

  • @rodgersodhiambo1892
    @rodgersodhiambo1892 9 หลายเดือนก่อน +8

    Here in 2024. Such music were truly a gem.

  • @stanleykinyanjui1693
    @stanleykinyanjui1693 4 ปีที่แล้ว +24

    I listened to this song in 2019 as it was sang by a live band and I realised how beautiful and timeless it is

  • @ashtonnesmith
    @ashtonnesmith 15 ปีที่แล้ว +44

    A kenyan that can actually sing ! Wow

    • @edun460
      @edun460 2 ปีที่แล้ว

      What the hell... Shut up man 😏😏

  • @vhotelbar
    @vhotelbar 9 หลายเดือนก่อน +4

    Who's in 2024 much ❤

  • @susanmwikali3804
    @susanmwikali3804 5 ปีที่แล้ว +12

    Love the song.....it's nothing but the truth....hongera

  • @gorretyjepkosgei2045
    @gorretyjepkosgei2045 2 ปีที่แล้ว +7

    2023... Listening to this song and it hit so hard❤️

  • @bettyjoanm.t.tjunior3422
    @bettyjoanm.t.tjunior3422 3 หลายเดือนก่อน

    My lovely song cant stop listening it congratulations Nyota nishasikia ile mpya zidi kutamba ndio hivyo

  • @a.nasongo3152
    @a.nasongo3152 4 ปีที่แล้ว +21

    Listening to this banger of jam in 2021 😍. What a time to be alive.

  • @receptionwesternmountainho1211
    @receptionwesternmountainho1211 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nasibu sana sauti ya dhahabu nadhifu na adimu sana kama vile imetoka leo imenoga sana,so lovely

  • @whistleexperiences2292
    @whistleexperiences2292 ปีที่แล้ว +4

    This lady sang for her time, our time , and for our future! Such a dope song

  • @joachimhancemwakoba8283
    @joachimhancemwakoba8283 8 ปีที่แล้ว +9

    mtu wa kwanza mimi kumfikiria niwe rafiki angu

  • @pabliz_
    @pabliz_ 15 วันที่ผ่านมา

    Siku za nyuma na kumbukumbu nzuri kwenye maisha yetu... 2000's

  • @stellahgetuno837
    @stellahgetuno837 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo kama hizi hazitowahi zeeka 💥💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @felixmurimi8015
    @felixmurimi8015 4 ปีที่แล้ว +27

    Listening 2020...

  • @mmarycalvin6395
    @mmarycalvin6395 7 หลายเดือนก่อน +2

    I'm listening this from Turkiye...Cankiri

  • @stephenkuria5069
    @stephenkuria5069 2 ปีที่แล้ว +4

    This the reason I always say choose your friends wisely. And if you don't feel comfortable around them just stay alone coze I came to realize it's only kids and dogs that gives you pure love

  • @bramwelndeche3778
    @bramwelndeche3778 ปีที่แล้ว +1

    nyota ndogo tunakumiss sana...15yrs zimepita lkn wimbo ungali na ujumbe wake ...

  • @Remix-pulseKE
    @Remix-pulseKE 3 ปีที่แล้ว +6

    I did not get this song when i was young. But now one thing I confirm from this song is some friends, majority if not all like them being above or mbele yako. In short they love seeing you in problems and you begging for their help

  • @dodohevaric4000
    @dodohevaric4000 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe ❤so educative

  • @jloruth7422
    @jloruth7422 3 ปีที่แล้ว +7

    This song could have got million of viewer❤️

  • @paulanony328
    @paulanony328 ปีที่แล้ว +7

    02/09/2023 still feeling goosebumps while listening to this old but gold 🎷🎷

  • @jimmyokwach2414
    @jimmyokwach2414 2 ปีที่แล้ว +8

    What a time to be alive 💥💯!.. I miss my childhood days!.
    I used to listen to such songs on a radio

  • @wendydelilahaminilwa2957
    @wendydelilahaminilwa2957 8 หลายเดือนก่อน +2

    I just love the message passed from the song. Never put too must trust in friends, learn how to use enemies

  • @shukrimusa528
    @shukrimusa528 ปีที่แล้ว +3

    I remember this song listening on a bodaboda bicycle on my way to school on very cold Monday morning,The bodaboda guy was playing in a small radio on his bicycle, I was in boarding school but I spend the weekend home and extend till monday morning. I will never forget that cold chilling morning. Real nostalgia

  • @shemmunene4095
    @shemmunene4095 ปีที่แล้ว +8

    Love you nyota❤️ this song is my favourite. Your voice and massage enters my soul

  • @killionodundo3928
    @killionodundo3928 4 ปีที่แล้ว +6

    NOMA SANA BADO 2021, SIKU YANGU ITAKUA MWAAAA!!!

  • @alfriqaura3494
    @alfriqaura3494 4 ปีที่แล้ว +10

    Minutes 2:09 & 2:55 Have you ever sat back and thought of how deep... "Mtu kwanza kumfikiria ni we rafiki yangu" Fuck ya'll backstabbing friends. Nyota Ndogo thank you for the bold statement. RESPECT!

  • @mercywambui702
    @mercywambui702 10 หลายเดือนก่อน +1

    Angelic voice 👌🔥❤️❤️❤️

  • @MrBilashaka
    @MrBilashaka 3 ปีที่แล้ว +14

    She needs to do a collabo with Simi

  • @veronicanyakire9807
    @veronicanyakire9807 ปีที่แล้ว

    Leo ndio nimeamini Kuna watu na viatu!! Sitaki Tena marafiki, nami nimeshaanza kuwa mnafki kama wao mbwa hao!!!

  • @alanpierrers
    @alanpierrers 3 หลายเดือนก่อน

    Funny how we mature realising such realities in life. Such a masterpiece 🙌🙌🙌😊

  • @wairimukimiri1603
    @wairimukimiri1603 4 หลายเดือนก่อน +1

    2024 tunasikiza 💪

  • @clementmutugi7549
    @clementmutugi7549 ปีที่แล้ว

    who feels like this song really describes 😪the true behaviour of people😖😖who pretend to be your friends but in disguise😞😞Nyota ndogo's song is a piece of advise❤❤

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma hunipa muda mzuri nkiisikiza skukrani nyota and #mgenge2ru

  • @MaryGodila
    @MaryGodila 9 หลายเดือนก่อน +1

    I listened to this song in a club somewhere in the year 2014
    It hits different
    To my babies if you come across this , it's a real deal ❤

  • @KaburuMutuma-bu2dx
    @KaburuMutuma-bu2dx 5 หลายเดือนก่อน

    When I was young I enjoyed the music now I am a grown up I am hit with the lyrics

  • @simonndungu7552
    @simonndungu7552 ปีที่แล้ว +3

    Whenever I face betrayal I alway come back here to nyota ndogo for some advice❤

  • @bolosah2324
    @bolosah2324 2 ปีที่แล้ว +3

    very true. most are hypocrites but mungu atawaanika peupe

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 10 หลายเดือนก่อน +3

    Who else listening this 2024🎉🎉😂😂❤❤❤

  • @edwardmbira
    @edwardmbira 11 หลายเดือนก่อน

    Nampenda bure tu! Huu wimbo ni mtamu sana hunitoa presure na kunituliza

  • @electronicsrepair.632
    @electronicsrepair.632 ปีที่แล้ว +2

    I love this song ..I used to listen it with my father😓😌😌

  • @romanalsina800
    @romanalsina800 10 หลายเดือนก่อน

    This song will have the same tast even in 2100, only if the Resurrection wil not take place (❤️‍🔥💔❤️‍🩹) .
    If not mistaken Nyota ndogo released this song in 2007 in Swahili vision, Taarabu. Yet in 2024 is one of the best song 🫨😅💯.
    THE SONG lyrics 🎶📝 speeks about the Past,Present,Present continues and the Future 🤯.

  • @AmeenaTanzania
    @AmeenaTanzania ปีที่แล้ว

    Wimbo unaujumbe mzuri sana na haichuji Kila cku nimpya ❤❤🎉🎉🎉🎉kwako dada

  • @sedinahombui4692
    @sedinahombui4692 4 ปีที่แล้ว +6

    2020 nko hapa bado....

  • @marynyambura6233
    @marynyambura6233 ปีที่แล้ว

    Niliupenda huu wimbo na bado naupenda hadi wa leo sauti Nyororo na mawaidha mzuri

  • @evansodongo4000
    @evansodongo4000 10 หลายเดือนก่อน +1

    2024 bado tumepiga kambi, juu bado binadamu ni wale wale tuu!😢

  • @BeldenNdemo-pv6lw
    @BeldenNdemo-pv6lw ปีที่แล้ว +2

    Nimeskiza after kutoka maandamano ya Raila😂😂12th July 2023

  • @aishanjovu3127
    @aishanjovu3127 7 หลายเดือนก่อน

    Wanamzik wa zaman walikua wanamaono sana❤❤

  • @famewambua1047
    @famewambua1047 4 หลายเดือนก่อน +4

    Who's here in 2024

  • @ezekielkairithia95
    @ezekielkairithia95 2 ปีที่แล้ว +2

    This song is what so many friendships are today ..... Fake snakes

  • @BrianMwazera
    @BrianMwazera ปีที่แล้ว +4

    So sweet song ❤

  • @parishlawal3034
    @parishlawal3034 10 หลายเดือนก่อน +1

    2024 tujuane ❤😊

  • @Circuitsmd
    @Circuitsmd 2 ปีที่แล้ว +1

    2100 kids this was our hit song (2008) Enjoy it great grand children

  • @Kaulichifgabz
    @Kaulichifgabz ปีที่แล้ว +5

    NYOTA KUBWA 🔥🔥🔥🎵⚡️

  • @mtikiblacku
    @mtikiblacku 15 ปีที่แล้ว +6

    The beats hapo mwanzoni hunimaliza damn

  • @BarakaLusasi
    @BarakaLusasi 10 หลายเดือนก่อน

    Unanikumbusha mbali sana huu wimbonilikuwa mbichi sana binti wamiaka 16 jamani mungu huyu saiv nazeeka❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @yusuphisack285
    @yusuphisack285 ปีที่แล้ว +2

    It's 2023 still best in my playlist 🔨🎙️

  • @mmutua03
    @mmutua03 4 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma noma Sana .... beautiful work ladies like number 222

  • @gumbabruce8453
    @gumbabruce8453 ปีที่แล้ว

    2007 was the year...nyota aahh!! Ndogo oohh!!

  • @plangat6911
    @plangat6911 3 ปีที่แล้ว +7

    Show love for the producer 👌

  • @davidomondi-nb6jk
    @davidomondi-nb6jk ปีที่แล้ว

    Nyota ndogo’s stat should have shone brighter. This lady had serious talent

  • @paulmboje2677
    @paulmboje2677 ปีที่แล้ว +1

    Heard it back in 2004 when not mistaken
    By the way big up you made my childhood joyful