First time nikiwa darasa la 6 mwaka 2006 siku iyo ndo alikua anautambulisha wimbo huu kweny moja ya Television na leo ni January 2025 niko apa tena, for sure nyimbo nzuri sana na inadumu.
Hapo kidogo mm nawe kikubwa cha Balhabou mali zao zisikufanye upagwe na kujiweka roho juu. GSM tajiri wa,uto hayupo kabisa ktk form anajitafuta huyo Merey Balhabou alikuwa tajiri mkubwa hapa..
ngoma ina hit hadi hii 2025......gonga like kwenye hii masterpiece
ngoma Kali kinoma
AAAAH kassim nimerudi kwa kuukumbuka utamu wa nyimbo yako wapi like zangu na za mganga kwa nyimbo kali 2025
Mimi sas nabakinaitizam narudirudi kuyitizam haishi utamu iyingoma apana kwakweli🤸🤸🤸🤸🤦🤦🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
2025 from Kenya 🇰🇪 .. I still love this not the current rubbish without content 🔥haiwezekani ni moto sana
3-September-2024....kama bado tuko ndani ya hii ngoma eka like tukisonga
Humu tu😅
First time nikiwa darasa la 6 mwaka 2006 siku iyo ndo alikua anautambulisha wimbo huu kweny moja ya Television na leo ni January 2025 niko apa tena, for sure nyimbo nzuri sana na inadumu.
Tupo wengi tunosikiliza mpka sasa2025
Na hapa hipo November 13th 2024🔥🔥🔥
I love listening this song
smooth vibes
Songs with a lot of lesson, watu wa early 90s let us gather here
❤❤❤naipenda hii nyimbo toka niko form three uwa namkumbuka sana!!mpenz wang muddy!!❤
Jmn mapenzi yana nguvu
vp bado upo nae mudy wako
Kama unaangalia hii nyimbo 2024 gonga like
A hit till todate
Dah! Kasim mganga . Watu walio imba nyimbo kali mapindi ayo❤
When music was entirely done with inner passion. Again here 2024. God is great.
And not with market needs
26/10/2024 still nasikiliza huu wimbo, ni nani ako kama mimi
Niko right behind you😂❤😂
Together with me
❤❤❤❤ toka utotoni hadi leo tunazikumbuka ngoma kama nahizi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2024 july nan mwngne kaja kuckiza mzik mzur leo
20/7/2024
1/8/2024
Even after so many years, this song is such a vibe!
daaah 2024 hii ngoma nko darasa raa 7 nakumbuka cku naenda kununua vivaa vya Shule ndy naiskia hii ngoma inapgwa kwenye gali
Anyone in 2025, lets gather here as love speak ❤
😂😂😂😂uko Dunia gani mshafika 2025
@@Empress_maggie nimeiset kabisa hyo 🤣
@@fizzoh_graphics60 sawa
We uko Mars kwani 😂😂
@@hamisinyae3535 hyo nimeiset kabisa mpaka 2025 🤣🤣
Watoto wa 90's ndio wanajua hiz feeling bhana za hiz song
Hii nyimbo inaongoza bongofleva kama unabisha ni wew tu peke Yako check biti pamoja mashairi alivo ya pangilia huyu mwamba,,,,,,,,, ni noma
Nakumbuka mbali sana ngoma yangu pendwa yamdawote
Ngoma ni yamuda mrefu lakini inaishi kwenye maisha yangu mpaka leo
Am back in 2024
Let me bring you back here ❤❤
Me too
👍
Kwelii.mamaa
Am back also
Kila nikiweka bando lazima nisikilize hii ngomaa 2024
This was and still a JAM in 2025
2024 still loving this song crazily. Wapi likes zake 🔥🔥🔥🔥
dah bro kassim unatukosea kaka rud tena
2 October 2024 still ipo juu
nyimbo yangu pendwa❤❤❤❤
Hii ngoma hunikumbusha mbali 🔥
September 23 2024 still a banger
Dah hii ngoma wazee🙌
Zamani walikuwa na vipaji sana
Uyu jamaa alikua mkali ata sijui alienda wapi
Yupo Sana ni venye nyimbo zake siku hizi hazisikiki sana
Old memories mwaaaahhh ❤❤❤❤❤
20th november 2024 still a dope song
Haya yalikuwa ni maisha bila STRESS.
THIS WAS MUSIC REAL BONGO VERY CLASSIC👌💃🏿
Classic Hit..Timeless ❤
Love song yakitambo❤ nina myaka8
Alguém escutando essa linda música? setembro de 2024 apartir de Moçambique
Mbaka raha❤
Was the best song bt in this time GZ hakuna kuvumiya 😂
Anyone2025?🎉
Better old days 2024 Aug
Good songs NEVER Die.. Who's here November 2024??
Huyo si binti kiziwi ama macho yangu majeneza
ni yeye
leo tar 17 2 2025 tunarudia Ngoma jamani naombeni laiki zangu
Wajina hu bodo naichinao.❤❤❤❤❤
Those better Old days ! Nov 2024
Kama unangalia nyimbo hii 2025 gonga like hapa , Wa toto 2000 hawaelew😂
aseee ngoma inapenya masikioni
Tunaelewa
Where did these BEST Artists go?
everything and its time
Hits like no other...if you know you know....
Namuona binti,kiziwi❤
Today nakumbuka Africa Niko America
Best song ever ❤❤🥹
Like zote hapa 2025🎉 3:03
2024 August those days kulikuwa na mapenzi nowadays n scam
Gonga like hapa kama tuko pamoja october 2024
Kasimu mganga , appreciate
2025, ,4th January.
Goma kali sana
Hizi ndo ,ilikuwa nyimbo mpk unafikia atuwa unasamehee mpenzi wako ata kama alifanya kosa kubwa
Nimepitia 2025
yaani hapo b4 back in business now days
Tarehe 26/12/2024 leo ngoma inaishi
Moto sana
bongo safi
show ya mbele
Bado ni kali mpaka 11 dec 2024
sunpguda nasikiliza music mtaam wa Tanzania
Kwa sasa inawezekana mana hakuna mapenzi ya kweli
Asnteeee sanaaa
Chakale dhahabu 💔💔💔😭27/8/2024
December 2024 🔥🔥
Feel like it
itabaki kuwa namba moja
Dah jmn
Watch Aug, 2024
Nice song ❤❤❤
Hapo kidogo mm nawe kikubwa cha Balhabou mali zao zisikufanye upagwe na kujiweka roho juu. GSM tajiri wa,uto hayupo kabisa ktk form anajitafuta huyo Merey Balhabou alikuwa tajiri mkubwa hapa..
2025❤❤
I'm here 2024
July2024
Kufuli zilizopo nyuma yake,ni kama hiyo Ni sehemu wanaofunga ndoa,wanaleta Kisha kutupa funguo kwa Bahari.Just thinking...,Bob is it true?
2024... is lit
Kabsa 2024
Huko vinzili sana
20024 still
2024 june nko ndani
Here I'm 2025 January
December 2024🎉
DECEMBER 204😊🎉
Oct 22 2024🎉❤
Kudadadeki disembar hiyoo
Dah burudani2024 mziki mzuri haupotei
Here we are end of 24
2024 tujuane
Oct 31❤
2024❤
Fire
December 2024