Diamond Platnumz - Kamwambie (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7K

  • @clararight
    @clararight 7 หลายเดือนก่อน +2153

    Tuliorudi kuiangalia hii nyimbo baada ya kumjua mrengwa Sarah tujuane😅

    • @IbrahimKhatib-y3n
      @IbrahimKhatib-y3n 7 หลายเดือนก่อน +19

      Daaah hatari baada kuona kule inster😊😊😊

    • @TheChapakazi
      @TheChapakazi 7 หลายเดือนก่อน +14

      Sara ndio uyo aliyeimbiwa

    • @musakangogo4831
      @musakangogo4831 7 หลายเดือนก่อน +11

      Niko hapa pia

    • @inhbstarfame
      @inhbstarfame 7 หลายเดือนก่อน +6

      mimi

    • @BensonMwei-zx7bw
      @BensonMwei-zx7bw 7 หลายเดือนก่อน +5

      Niko

  • @ElizabethJulius-oo5ez
    @ElizabethJulius-oo5ez 10 หลายเดือนก่อน +116

    2024 kama unaangalia ngoma hii Kali like tujuane ish maisha maref chib d

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 8 หลายเดือนก่อน +4

      Na hawezi kutoa truck kama hii Tena...huu ndio WIMBO wake mkali kuliko zote mpk sasa

    • @Watema23
      @Watema23 7 หลายเดือนก่อน +1

      Na ndo maana hatomsahau Sarah

    • @atutiemomdo
      @atutiemomdo หลายเดือนก่อน

      bigups Lizz,,,it's a cool song

  • @davabackup7767
    @davabackup7767 2 ปีที่แล้ว +815

    Waliorudi kuutazama huu wimbo Tena 2024 na bado ukawa Bora masikioni kwako gonga like hapa kwa ajili ya ujuzi wa mondi 💥💣

  • @Shine_Football1
    @Shine_Football1 7 หลายเดือนก่อน +64

    Aseeee! Kumbe Watu Mpo 😊😅 nilijua nipo Pekee
    2024 Ya Moto............

  • @inhbstarfame
    @inhbstarfame 7 หลายเดือนก่อน +410

    mliokuja hapa kuitazama hii nyimbo baada ya sara kupandishwa na diamond jukwaani gonga like hapa

    • @moumou2856
      @moumou2856 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa huyo dada ndo Sara??

    • @irynmasanja1498
      @irynmasanja1498 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ndo naangalia hapa baada ya kumuona sara

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 7 หลายเดือนก่อน +862

    Jaman tuliorud kuutaza wimbo baada ya kumwona Sara kwa 2024 tujuane kwa likes jaman❤

  • @innomatixworldwide5003
    @innomatixworldwide5003 11 หลายเดือนก่อน +179

    Nani yupo hapa 2024

  • @kwizerimanajacpueline269
    @kwizerimanajacpueline269 7 หลายเดือนก่อน +27

    Wenye muko naw Ex kama salah muko wap nakama maisha amebadilik ebu 🎉🎉🎉🎉

  • @Bitika-wo7cg
    @Bitika-wo7cg 8 หลายเดือนก่อน +98

    Tunaotazama tena 2024 naomba like Tafadhali

  • @delicaciesreviewbyjan8984
    @delicaciesreviewbyjan8984 7 หลายเดือนก่อน +1065

    After kujua Sarah wale wamerudi piga like 2024.

    • @SarahMzungu
      @SarahMzungu 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂hakika

    • @Lulucut
      @Lulucut 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @JosephineElia-c2s
      @JosephineElia-c2s 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko hapa😅

    • @aishaabeid2099
      @aishaabeid2099 7 หลายเดือนก่อน

      Nmekuj kuangalia kofia

    • @costantinekameya866
      @costantinekameya866 7 หลายเดือนก่อน

      tupo

  • @StevenCalist
    @StevenCalist 7 หลายเดือนก่อน +961

    Niko hapa 2024 😂😂 Sarah amenileta tena hapa

    • @GlorineMdeizi
      @GlorineMdeizi 7 หลายเดือนก่อน +7

      Ata me nimekuja kuconfirm after kuona sarah

    • @MigireLeonia
      @MigireLeonia 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ww ni mwongo ilikuwa 2009

    • @Ndundu23
      @Ndundu23 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hata mm tena nimekuja sasa hivi

    • @JanetMobisa
      @JanetMobisa 7 หลายเดือนก่อน +4

      Ndio nimeingia leo from fb

    • @AngelNzioki-ni7ds
      @AngelNzioki-ni7ds 7 หลายเดือนก่อน +6

      Ndo natoka kuona Sarah tiktok na nimekuja kuconfirm 😂😂

  • @CKMO
    @CKMO 7 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani huyu mtuu kwa nini asiitwe DANGOTI KWA sbb ni mtuu ambae anataka kwenye internet never dies or never dray lazima angolewe tuu ni genius kiboko alompa jina la Diamond pia💎 kalipatia allays shine. Haya tupo tunakuongezea utajiri baba tupige kwa matukeo ya mitandaoni thank you ❤ 0:15

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 2 ปีที่แล้ว +113

    This is how far patience , hardwork and believing in God and yourself can take..no words to describe Diamond. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 2023 here we go

  • @FatmaHassn-oe9fj
    @FatmaHassn-oe9fj 7 หลายเดือนก่อน +295

    Waliorudi baada ya show jana alivokutana na sara tena aliemuimbia huu wimbo gonga like hapa

  • @jacobojames7086
    @jacobojames7086 7 หลายเดือนก่อน +300

    waliokuja kuicheki tena kama mimi baada ya kumwona Sarah 2024 wagonge like yenye uzito hapa

  • @Cillarforex
    @Cillarforex 5 หลายเดือนก่อน +69

    Yoh kama unauskiza juu wimbo 2024..nipe like tukisonga

    • @Bebeto-d1r
      @Bebeto-d1r 12 วันที่ผ่านมา

      Tuliotazama nyimbo hii 2025 tujuane

  • @happinesswilliam2948
    @happinesswilliam2948 7 หลายเดือนก่อน +619

    Nani aliokuja kusikiliza tena baada ya jana video ya Sarah na kujua kumbe aliimbiwa Sarah gonga like hapa 2024

  • @SIHAM-5
    @SIHAM-5 7 หลายเดือนก่อน +309

    Kama umekuja kurudia kuangalia huu wimbo baada ya kumjua sarah weka like hapa. Mapenzi kweli maumivu ya moyo

    • @DinaKyahe
      @DinaKyahe 7 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani nimeerudi baada ya kusikia story ya sara

    • @naturewins1532
      @naturewins1532 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @KhadijaAlly-nj2xp
      @KhadijaAlly-nj2xp 7 หลายเดือนก่อน

      Jmn hahahhhhaha binadamu hatuna dogo sema mondi anajua bana

    • @HomePhone-zl5wy
      @HomePhone-zl5wy 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa🎉

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 7 หลายเดือนก่อน +116

    Tumerudi kuangalia hii nyimbo tena 2024 tushaipandisha ktk line tena😂

  • @kichecheBurund
    @kichecheBurund 7 หลายเดือนก่อน +29

    Bahada ya miaka 10 sara karudi tena 2024 neno moja DIAMOND PLATNUMZ ❤kazi kwako ❤sara vip

  • @louischinondochipasha1987
    @louischinondochipasha1987 2 ปีที่แล้ว +116

    This songs shows that you can become anything as long as you don't give up! So motivating!

  • @Directortomwillz
    @Directortomwillz 3 ปีที่แล้ว +725

    Kama bado unarudi kucheki goma hiliii 2021 gonga like tujuane kabisa maan ngoma ilitamba sana enzi hizooo

  • @victaprince
    @victaprince 7 หลายเดือนก่อน +205

    Tuliorudi baada yakumuona sara 2024 🎉

    • @rehemalontinaremysaleh7807
      @rehemalontinaremysaleh7807 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi apa

    • @kingfisher101
      @kingfisher101 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/Fa94RXxvfOE/w-d-xo.html

    • @MichaelSikapundwa
      @MichaelSikapundwa 7 หลายเดือนก่อน

      du! Michael hapa toka Beijing..nisaa 5kasoro usiku ila nimeamka kumuona Sara....ila alikuwa pin kal ......me nilimchukia bro....mana alitumia pesa mkumyanyasa Mond😂😂😂

    • @rebornshaqsy254
      @rebornshaqsy254 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona kma sie😂

    • @MichaelSikapundwa
      @MichaelSikapundwa 7 หลายเดือนก่อน

      @@rebornshaqsy254 yeye...alikuwa amesimama kwel....enzi nipo chuga...hii nyimbo nilikuwa napiga 24hrs

  • @uwitijeJeanpiter-s7r
    @uwitijeJeanpiter-s7r 7 วันที่ผ่านมา +2

    love you diamond

  • @paulmawirakinyu2688
    @paulmawirakinyu2688 3 ปีที่แล้ว +71

    Tuliotoka naye mbali bado tuko naye na tunaenda mbali nipe like jamani

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo ปีที่แล้ว +1

      Ulitoka nae wapi...wewe.!?

  • @ayoubmwasile76
    @ayoubmwasile76 5 ปีที่แล้ว +509

    Kama kamwambie ni bonge la ngoma mpaka sasa 2020 gonga like tujuane.

  • @mulokozisilyvester6264
    @mulokozisilyvester6264 5 ปีที่แล้ว +771

    Alie kuja hapa baada ya 10yrs Of diamond Tujuane hapa kwa like

  • @musaahmed6810
    @musaahmed6810 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ur star diamond ulikotoka ni mbali give up so happy kuitambulisha Tanzania yetu kwenye soko la muzik we ni star mashallah

  • @mudymondo4699
    @mudymondo4699 4 ปีที่แล้ว +349

    2021 kama unaangalia like tujuanee..

  • @tomthomas6908
    @tomthomas6908 2 ปีที่แล้ว +28

    Kama huyu diamond platinum 💯 basi sina haraka na maisha.
    Ipo siku.

    • @EnosMwakipiti
      @EnosMwakipiti 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli tuswaone watu wanahela Larkin waliko tola mbali

  • @KwenzoFredy
    @KwenzoFredy 7 หลายเดือนก่อน +50

    Akiamungu nimerudi kuangalia hii nyimbo sema ukweli wako nawewe 🤞🤞🤞

    • @SophiaKamwabvi
      @SophiaKamwabvi 7 หลายเดือนก่อน

      Kilichonifurahisha sana kwasababu monde hakusahau Sarah monde mpe zawadi kubwa Ex wako sarah

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi ni #TeamKiba4real lakini na support muziki mzuri.

  • @Wanalupati
    @Wanalupati 11 หลายเดือนก่อน +791

    𝘈𝘯𝘺𝘰𝘯𝘦 𝘪𝘯 2024

    • @enockkiki9755
      @enockkiki9755 7 หลายเดือนก่อน +6

      we here👍

    • @annvutsilili1548
      @annvutsilili1548 7 หลายเดือนก่อน +8

      Yes just from Diamond show at kijitonyama so this song he wrote to Sarah!he used to love her

    • @victoriaboniphace1749
      @victoriaboniphace1749 7 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂

    • @LinLin-xo1qv
      @LinLin-xo1qv 7 หลายเดือนก่อน +1

      Iam here

    • @SeifRugero
      @SeifRugero 7 หลายเดือนก่อน +1

      Me lol

  • @victorrogath6273
    @victorrogath6273 7 หลายเดือนก่อน +111

    Tuliorud kuitazama hii video baada ya kumjuwa mrembo Sarah...naomben likes zangu🤭🤭

    • @FatumaIsiyaka
      @FatumaIsiyaka 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂mm apa

    • @victorrogath6273
      @victorrogath6273 7 หลายเดือนก่อน

      @@FatumaIsiyaka 😂😂

  • @PIGOBAYA
    @PIGOBAYA 7 หลายเดือนก่อน +21

    Tupo wengi sara kumbe alimsumbua hivi chibu tujiifunze kitu kwenye haya maisha tusiachane kwa ubaya🎉🎉🎉🎉

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hii ndio ile kofia aliotuambia Sarah kuwa alimpa Diamond ,leo tumejua na tumeiona ,kweli mapenzi ni safari ndefu sana,bila shaka kila mtu ana historia yake kwenye mapenzi. mwisho wa siku ni kumbukumbu isiyosahaulika.05.05.24.

  • @Vanrockiez.2022
    @Vanrockiez.2022 4 ปีที่แล้ว +87

    People come from far, Kama huyo Ni diamond, si mungu hufanya miujiza, ebu gonga like hapo, Kama unaamini one day utakuwa Kama diamond

  • @abdallahmatwanje1108
    @abdallahmatwanje1108 4 ปีที่แล้ว +614

    Kama umeicheki 2021 Gonga like Tujuwane nyimbo nzuri sana

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 4 ปีที่แล้ว +55

    2021 steel listening this🎶🎶🎶🎶❤️👆

  • @elkanarono2131
    @elkanarono2131 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kama ningekuwa musician ,you diamond,ungekuwa my role model!I love your songs ,from nothing to something

  • @methodnkundumukiza6367
    @methodnkundumukiza6367 7 หลายเดือนก่อน +25

    Sarah amesababisha nirudi ten kuiangalia hii ngoma.
    Tujuane nduguzanguni ambao mmerudi tena kama Mimi

  • @ismailamiri5090
    @ismailamiri5090 7 หลายเดือนก่อน +88

    Tuliorudi kuiangalia baada ya kumjua Sarah like it's April 2024 😂

  • @chezachini7531
    @chezachini7531 4 ปีที่แล้ว +657

    2021 mad love from Kenya 🇰🇪

  • @AndrewMalanda
    @AndrewMalanda 5 หลายเดือนก่อน +5

    Etty huy ndo Simba la masimba Daaaah
    Tupambane tu💪🙏

    • @NickNene
      @NickNene 5 หลายเดือนก่อน

      ❤😂banaaa

  • @oscarokumu1186
    @oscarokumu1186 ปีที่แล้ว +10

    Nani kama diamond..uko juu tu Sana Mungu akupe uzima Wa milele ...tunatambua nyimbo zako ,,,nasikiliza nikiwa Nairobi Kenya

    • @joewratt
      @joewratt ปีที่แล้ว

      Nakii yaa

  • @josephrassian9328
    @josephrassian9328 3 ปีที่แล้ว +26

    Huyu jammaaaa katoka mbali sana binafsi he is my no 1 artist in Africa Hadi kesho

    • @Daddy-lz8xf
      @Daddy-lz8xf 3 ปีที่แล้ว +1

      Cap 🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢🧢

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 ปีที่แล้ว

      The same here

  • @faithachala9984
    @faithachala9984 5 ปีที่แล้ว +472

    Still listening 2020....👌👌👌👌👌👌

    • @rosaliandunge6865
      @rosaliandunge6865 4 ปีที่แล้ว +4

      me too🔥🔥🔥🔥

    • @nancyonyango5156
      @nancyonyango5156 4 ปีที่แล้ว +3

      Favourite

    • @nancyonyango5156
      @nancyonyango5156 4 ปีที่แล้ว +1

      Those days when diamond was diamond achana kelele za siku hizi

    • @ousmaneba4440
      @ousmaneba4440 4 ปีที่แล้ว

      @@nancyonyango5156
      ,kekekzk2kekeoeiieirirutu

    • @hanifaathman269
      @hanifaathman269 4 ปีที่แล้ว +2

      The old school will always b the best

  • @elizabethwanjikumabui1690
    @elizabethwanjikumabui1690 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo nao jamani eeh?Kijana Diamond katutesa sana na huu wimbo.Yoo,mimi nakubuka mengi enzi hizo.Tulikatalia ukumbi wa miziki sababu huu wimbo pamoja na ule unaitwa..Number one original zilivuma enzi hizo.Eti kulala tulilala alfajiri

    • @elizabethwanjikumabui1690
      @elizabethwanjikumabui1690 หลายเดือนก่อน

      Waah gosh.Asidanganywe na gari...😅😅 Wueeh..Hazizeeki hizi nyimbo kweli.From Mt Kenya.Ama namna gani jamani??😅

  • @winybahati4725
    @winybahati4725 2 ปีที่แล้ว +65

    2022 n the vibes are still 👌

  • @charitemanirakiza1200
    @charitemanirakiza1200 7 หลายเดือนก่อน +119

    Mliokuja kuangalia hii nyimbo kama mimi kumuona Sarah kakutana tena na diamond basi tujuane kwenye like❤

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 11 หลายเดือนก่อน +7

    2024 huu wimbo ni Hit hauzeeki kabisa,, wangapi wana upenda huu wimbo na kusikiliza mpaka sasa

  • @vanessaassey-y5z
    @vanessaassey-y5z 10 วันที่ผ่านมา +2

    Sarah Kam Sarah unajifany nachk Kila mdaa hii nyimbo❤

  • @catherinenyamae3898
    @catherinenyamae3898 2 ปีที่แล้ว +57

    This guy is real epitome of hard work and resilience pays.

  • @MadamrealtorKe
    @MadamrealtorKe 7 หลายเดือนก่อน +131

    Kenyans... wenye tumerudi baada ya kuona Sarah 🤭 ....Aki Sarah wewe😢

    • @IbrahimKikoti-ov4id
      @IbrahimKikoti-ov4id 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaaaa ila ni noma saaana panda shuka ndo habar ya mjini sjui wewe nikushushe wap abiria mpya huyoooo👀👀🖐🖐🖐🗣🗣🗣

    • @mercymwangi2795
      @mercymwangi2795 7 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅😅 Kenya in the house

    • @AtikaSK
      @AtikaSK 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko hapa😂😂😂

    • @jecintawanjiru9078
      @jecintawanjiru9078 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko hapa kuona Sarah wa kitambo

    • @charlesnjenga7867
      @charlesnjenga7867 7 หลายเดือนก่อน

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪✋

  • @thibautbrown9634
    @thibautbrown9634 5 ปีที่แล้ว +1295

    2020 kama unaangalia like tujuwane

  • @Faustinalves
    @Faustinalves หลายเดือนก่อน +8

    Jamani iyo mistari yote imeenda wapi kwasasa??
    Walio Rudi kusikiliza wimbo huu 2024 tujuwane kwenye likes.

  • @shanakee7223
    @shanakee7223 7 หลายเดือนก่อน +198

    Mliokuja kuangalia hii nyimbo kama mm weka like hapaa😂😂😂😂

    • @OfficialTMD12
      @OfficialTMD12 7 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @Nashoora8
      @Nashoora8 7 หลายเดือนก่อน

      👎

  • @bkmalupande
    @bkmalupande 9 ปีที่แล้ว +132

    Diamond is a true testimony of how hard work can be rewarding

  • @mollynokello8778
    @mollynokello8778 2 ปีที่แล้ว +15

    Ukitaka kujua kua Maulana hutoa watu mbali mwangalie historia ya Diamond...there will never be another artist in Africa like this guy he created a level in the music industry that took it to another level a blue print to follow by millions

  • @fubibuluma9812
    @fubibuluma9812 7 หลายเดือนก่อน +60

    Sarah amenileta hapa in 2024. Penzi la kweli kutoka kwa Simba. Gonga like

  • @chrisnyambega8724
    @chrisnyambega8724 3 ปีที่แล้ว +7

    Kamwambie imenijia ndotoni leo ni siku ya kumbukumbu.....🔥🔥🔥😍

  • @EzzyEddy-il3ce
    @EzzyEddy-il3ce 7 หลายเดือนก่อน +12

    Baada ya kujua hii ilikua dedication kwa Sarah nimekuja kusikiliza Tena ujumbe

  • @hamzandawenga5892
    @hamzandawenga5892 4 ปีที่แล้ว +70

    2021 gonga like twende sawa enzi hizo domo now lips dendaaa

  • @rosekilonzih3434
    @rosekilonzih3434 4 หลายเดือนก่อน +2

    I love it here❤✨

  • @Mtoiwashosh113
    @Mtoiwashosh113 4 ปีที่แล้ว +45

    Nenda kamwambie
    Jinsi navyo mpenda mi
    Na kama mapenzi bado
    Mwambie ntayaongeza mi
    Nasema kamwambie
    Jinsi navyo mpenda mi
    Na kama mapenzi bado
    Mwambie ntayaongeza mi
    Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi
    Kwa vile mali yake yeye
    Natamani ila tatizo siwezi
    Labda ingefanya nielewe
    Si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie
    Akanidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri
    Nimwimbie
    So asidanganywe na gari burudani na fedha,
    Mimi akanichukia
    Akalishusa thamani penzi nalompenda, kisa
    Mvinyo na bia
    Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi
    Akanichukia
    Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo
    Wangu unaumia, eeh
    (Repeat)
    Nasema siku hizi hakuna fungate, mapenzi
    Hayana thamani
    Hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi
    Watamani
    Uuuh, wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa
    Wanapotea
    Mmh, nenda mwambie ajihadhari, na dua njema
    Nawombea
    So asidanganywe na gari burudani na fedha,
    Mimi akanichukia
    Akalishusa thamani penzi nalompenda, kisa
    Mvinyo na bia
    Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi
    Akanichukia
    Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo
    Wangu unaumia, eeh
    Akamwambie Repeat till fade
    (Bridge)
    Yeah, I was being around, but thanks, Bob
    Junior
    Mr Chocolate Flava, now I am here
    Sharoboo records
    It's Diamond Platinumz baby
    Holla Back Ladies, It's time to hang on to your love

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 5 ปีที่แล้ว +6

    This is diamond.. Ukitaka kusoma maisha muangaliye huyu jamaa. This is life... Big up mond.... May 2019

  • @samuelnyanje1131
    @samuelnyanje1131 2 ปีที่แล้ว +40

    Going through his songs from when he started..he is a true definition of hardwork, consistence and patience
    Trust the process....He is an inspiration to many,me included

  • @KombeNzaiNicholas
    @KombeNzaiNicholas 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimedhan ni mimi peke yangu nimerudi kuutazama huu wimbo kumbe lo! Tupo wengi aisee❤
    Mad l💘ve kwa Sarah na
    ❤ Platnumz❤

  • @flybbalozi8278
    @flybbalozi8278 5 ปีที่แล้ว +947

    Kama unaamini watu hutoka mbali piga like

  • @ianwaithakamburu3152
    @ianwaithakamburu3152 3 ปีที่แล้ว +19

    God is Amazing. See where Simba came from. I admire your hard work Sir. 🇰🇪 Your second home loves you so much. Great works man.#Wasafi

  • @babelstiles6005
    @babelstiles6005 7 ปีที่แล้ว +34

    nikikumbuka hii song naiyona 4 de fast time nikiangalia na leo 2017 naona kma dunia inarud nyumaaaaa uyu simba nilimuita dogo eti leo namuita my hero

  • @Director___Mwadadu
    @Director___Mwadadu 7 หลายเดือนก่อน +8

    Dara la 7 kitambo sana 🔥 watoto wa elfu mbili mkanyonye kwanza🙆😃😃😃

    • @Swahili14
      @Swahili14 หลายเดือนก่อน

      I was form 1😭🔥🤣

  • @Chepchumbamecy92
    @Chepchumbamecy92 7 หลายเดือนก่อน +80

    Kama umekuja ju ya Sara please usipite Ivo bila like😂😂😂

    • @echikyabu6154
      @echikyabu6154 7 หลายเดือนก่อน

      Sema walikuwa wadogo

  • @nasimiyusimiyu6407
    @nasimiyusimiyu6407 5 ปีที่แล้ว +8

    My Favourite! Down Memory Lane. Keep making East Africa Proud! Napendezwa sana na mashairi yako kwa njia ya muziki. Big Fan as always!!!

  • @charleskyalo935
    @charleskyalo935 5 ปีที่แล้ว +50

    A journey of a million miles started here...Am happy for him..East african LEGEND..Thank you🇹🇿..Thank you Diamond platnumz

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 6 หลายเดือนก่อน +6

    "We don't search for old songs"
    "We search for gold memories"🎶🎶
    20...
    Everlasting masterpiece🎉❤

  • @LUMRA6
    @LUMRA6 6 ปีที่แล้ว +741

    2019... Like kama unatazama now

    • @huserehema8618
      @huserehema8618 5 ปีที่แล้ว +1

      nimejikuta. nauludia. kiukweli. simba. katok. mbali.

    • @paschalinemwambi6966
      @paschalinemwambi6966 5 ปีที่แล้ว

      i am

    • @denniskalisti2570
      @denniskalisti2570 5 ปีที่แล้ว

      Mjoli Tz .tupoo

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 5 ปีที่แล้ว

      Simba ulikuwa unaimba vizur sana mwanzon sasa unafeli wapi mbona unatoa nyimbo mbovu sana kipindi hichi eti nyege nyegezi nao huu wimbo jaman khaa

  • @sourced1
    @sourced1 8 ปีที่แล้ว +35

    i just wonder if Diamond knew he would be this big,All his songs are awesome,awesome,awesome.Cant stop playing and listening to them.Big up Diamond.#keep strong,stay focused to get you to perform in an event i would call in the future. Chrs.

  • @lizzymwakibigili8018
    @lizzymwakibigili8018 7 ปีที่แล้ว +87

    Kweli maisha ni safari ndefu haki ya Mungu. Yanahitaji uvumilivu sana

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 7 ปีที่แล้ว +1

      Lizzy Mwakibigili kweli aise Diamond katoka mbali xana aendelee kukaza tu mana funguo za bongoflavour anazo yeye kwa sasa kwa badae sjui

    • @vhiedkc859
      @vhiedkc859 6 ปีที่แล้ว

      A boy from Tandale

    • @fadhiljoseph7737
      @fadhiljoseph7737 6 ปีที่แล้ว +1

      Dah aise huwez amin

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว

      @@fadhiljoseph7737 kabisa yani

  • @dorothynzovah8992
    @dorothynzovah8992 7 หลายเดือนก่อน

    Am here these reminds me of....... Diamond ulituroga kweli huku Kenya. I love love your songs. Kila siku lazima niskizi mziki wako baba. Kudos

  • @loselybitutu
    @loselybitutu 4 ปีที่แล้ว +170

    Dont ask who Is listening 2020 coz we never left💕💕💕

    • @allyfatma7359
      @allyfatma7359 4 ปีที่แล้ว

      True 🌹

    • @marjavan6958
      @marjavan6958 4 ปีที่แล้ว

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂😂

    • @pendomarco8928
      @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว

      Another one 2021

    • @asyaseif4000
      @asyaseif4000 3 ปีที่แล้ว

      Enzi izo diamod kwenye suti na jenz ila tuna kupenda brooo

    • @jumamohamed9350
      @jumamohamed9350 3 ปีที่แล้ว

      7

  • @peresadhiambo5594
    @peresadhiambo5594 3 ปีที่แล้ว +58

    Success and prosperity is real,it just need time and patience plus hardwork 🇰🇪

  • @Asimwejay
    @Asimwejay 2 ปีที่แล้ว +8

    heeeey!!!!....jamani Diamond nilikupenda tangu natambaa!👍💯

  • @AshrafNyaki-si6fv
    @AshrafNyaki-si6fv 7 หลายเดือนก่อน +11

    2liokuja kuitazama hii nyimb baad ya kumfahamu mlengwa 2juan hapa

  • @oscaralochi
    @oscaralochi 3 ปีที่แล้ว +35

    Diamond Platnumz is living proof that hard work pays and God time is the best consistency and persistence is the Key

  • @annewanjiru2617
    @annewanjiru2617 6 ปีที่แล้ว +55

    I'm so happy for Diamond's success and what he's been able to achieve.. A testament of where persistence n consistency can take you..

  • @collinsokello2243
    @collinsokello2243 2 ปีที่แล้ว +22

    This was pure talent from boyhood. And he will continue to reign

  • @beatboy30
    @beatboy30 7 หลายเดือนก่อน +41

    Wangapi wamerudi huku baada ya diamond kumtamburisha Sara gonga like!!!!!!!!!!

  • @racheljnicolao3654
    @racheljnicolao3654 6 ปีที่แล้ว +119

    Umetoka mbali sana tunajivunia mafanikio yako, huu wimbo unanikumbusha mbali sana hauchuji huu wimbo. Who else is watching this song 2018.

    • @vamo2082
      @vamo2082 5 ปีที่แล้ว

      Raelyn PP me

  • @delavillelevrais7141
    @delavillelevrais7141 3 ปีที่แล้ว +298

    Whenever you feel like your time to shine is delaying, look at Diamond, your time will come through just stay positive 🖤 love from Rwanda 2021

  • @sylvianyongesa6634
    @sylvianyongesa6634 2 ปีที่แล้ว +259

    here 2022 the song still rocking. this was a breakthrough for diamond platnumz

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 7 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations 👏 Sarah Kwa kujieka wazi Kwa diamond 🎉🎉🎉

  • @DennisMalima
    @DennisMalima 7 หลายเดือนก่อน +57

    Nimeona video ya sarah nkakumbukà huu wimbo alie na mm anipe like

  • @ochiengochieng2229
    @ochiengochieng2229 4 ปีที่แล้ว +24

    I still love this song.Its real and show struggles in life,nothing comes on a silver plate

  • @Cecilpatrick254
    @Cecilpatrick254 ปีที่แล้ว +6

    This version of diamond was lit 🔥🔥🔥🤛

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 7 หลายเดือนก่อน +2

    Beautiful song

  • @mkazij5904
    @mkazij5904 5 ปีที่แล้ว +41

    5. Oct 2019 still my fav song

  • @billyopiyo6049
    @billyopiyo6049 2 ปีที่แล้ว +163

    Diamond will go down as arguably the greatest East African musician of all time Still in 2022 and he's still rocking. Long may he live!!!!!!

  • @raheemkhalfani7209
    @raheemkhalfani7209 8 ปีที่แล้ว +260

    this song made me listen to Diamond's music.. I still listen, who still listening this song in this JANUARY,2017??

    • @kareemalmassy8787
      @kareemalmassy8787 7 ปีที่แล้ว

      me

    • @abellabv
      @abellabv 7 ปีที่แล้ว +5

      raheem khalfani . I'm listening and loving it this February, 2017.

    • @raheemkhalfani7209
      @raheemkhalfani7209 7 ปีที่แล้ว

      Abella Vidtfeldt I am listening after you

    • @ismailymohamed7355
      @ismailymohamed7355 7 ปีที่แล้ว

      raheem khalfani me

    • @dekonjo
      @dekonjo 7 ปีที่แล้ว

      still listen all of his songs april 2017

  • @staher108
    @staher108 7 หลายเดือนก่อน

    Nenda kamwambie Sarah, jinsi ninavyopenda mimi Sarah, na kama mapenzi bado mwambia ntayaongeza mii.. Tumerudi kwa ajili ya Sarah baada ya miaka kumi. 2024 still loving it. ❤❤