Kati ya bend iliyo tikisa bongo naweza nikasema yamoto band namba moja haiwezi kuja kutokea nyingine jamani kwa nin siku zisirudi nyuma namic sana hawa ndio walikua wanaimba mziki mzuri wa kitanzania yaani swahili music
Sio aslay ni diamond alimfanganya aslay ili diamond amchukue aslay ndo hapo aslay akajiona mkubwa kuliko wote na wengne nao wakwanza kujiona wakubwa Kila mtu akawa mkubwa band ikavunjika
In 2024 still hizi Ngoma zavuma kuna kijana hapa sijui jina lake....."babie babie nakupenda sanaa, nishike nikushikoe mile tusije kuachanaa...Baki na Mimi..... 15:22
Muito obrigado Yamato Band recordo das vossas músic na altura vivia na cidade de Maputo. (Thanks Yamato Band I remembering your muisc in that I was living in Maputo city) Assante Sana DJ Kips Dan kwa ku nikumbusha. From Pemba- Mozambique.
It'll never run out of fashion ❤❤❤
Together as one brother 2024
Mimi pia hapa
Ndio uyu mm hapa 😂❤
Dogo anajua
Mm nmekunoki❤😂
😂😂sema mbosso maneno yake bado ni yaleyale tu hadi saiv😂✌️
Wanaosikiliza hii 2024 gonga like hapa🎉🎉
Tupoo
Tupo🎉🎉
Na kucheza juu🎉🎉😂
❤❤❤❤
@mwanasitiathuman2081 😂😂😂😂watu ndio sisi
If these kids had stayed together, they would have become one of the biggest groups that has ever come out of Africa.
True
Kabisaa
Aki😢 but ndio maisha
Semeni tusikie
Shida walianza kiburi nakuona ntu ako better kuliko mwingine
Bona jamani ya moto msishikane Tena muanze upya kuvujika kwa mwiko sio mwisho wa kupika ugali😢😢😢😢I always miss this group
Kwani ni Nini iliwafanyikia wakaachana ?
If they stuck together they would have become one of the greatest band. However,Mbosso and Asley seem to be doing great. Much love from Kenya.
naomba like zenu kwa yamoto bend wapi wapi like zenu
2024 the mix still fresh
Beka flavor hiyo verse ni 🔥pot
Kama mnatamanii yamoto band irudiane na uko hii 2024 piga like 👍
The hottest 🔥 band to ever exist ❤❤
2024 still watching and it hits the same as before
what a great band it was
Ilikuwa bendi yenye vijana wa kazi mahiri sana. Walitupa burudani isiyo kifani
Nisambazie raha
Kati ya bend iliyo tikisa bongo naweza nikasema yamoto band namba moja haiwezi kuja kutokea nyingine jamani kwa nin siku zisirudi nyuma namic sana hawa ndio walikua wanaimba mziki mzuri wa kitanzania yaani swahili music
This is the only band that l will always listen to their lyrics every Friday en Sunday ❤❤❤🎉🎉😢
Walishawishiwa na wenye akili ili band yao isifike mbali na kufunika miziki za wengine🔥🔥✌✌💔💔💔💔💔💔💔💔💔
Hhhhhh
Yamamoto my all time favourite... June 2024 mpoo❤️🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani naomba niurize uyo anae fanana na Amorapa anaitwa nani na mpaka sasa bado anaimba
Enock Bella
Mwenye Sauti yake nzuri
Kapoteleya wapi jamani enock bella ?????
Enock alienda wapi 😢😢 Kenya twammiss sana enock
Hawa watu wangekua bado wana usirikiano kama zamani wangekua mbali sana ak
True
Majira hubadilika na kila kuchao kila mmoja yataka ajulikane zaidi na kuwa star
Uhkk
Kabisaa....yamoto band kwangu ni moto Hadi sasa
"Hiki kishamba kidogo🍑, nakilimaga mwenyewe..."🍆😃😀😀daaaaah.. ya moto kweli.🇰🇪
Kweli vijana wamepoteya Sana.japokuwa wameshatengana tuwaomba basi colabo yao ata moja
Till today😂😂❤love for yamoto band...likes wakuu
Ya moto band
Yamoto band iko lit sanaaaa big up dj kips Dan
Natamani warudi tena waungane nirikua nawapenda hawa watoto jamani mungu awabariki
amen
when I see these guys, Naishia kusema kuwa pesa na maslahi vinatupoteza vitu vizuri
Hili kund lilikuwa noma sana
The most underrated team but my favourite ever band. Love you buddies!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 penda sana yamoto band ❤
Hawa ndio walitoa TMK Family kwa game.
They were blessed aki na mistari pia na sauti
Wangapi wanatamani yamoto bend iludi tena
ni 'kurudi' si 'iludi'
Nipo
Aki irudi
Jaman yamoto bend dha sjuhi warrogwa et
Yaani ilikuwa tamu nimetamani kinyama
My 2024 valentine day gift from you DJ Kips Dan
Dj kips nakupata vzl sanaa butiama mara apa ha ha haaa
Mm nimo kabisa.wafanye warudi bana
Mbosso wa kulaumiwa kuvunja band
What I pray this guys unites again ❤ piga like tukienda
It never runs out of fashion 😍😍 I wish they sticked together 😢 the hottest band ever 😍😍😍🥰📌 still here in October 13,2024
Kumbusha mbali sna kaz nzur Dj
Ebu kumbukeni enzi has yamoto band
Mziki mtamu huu,,, love it❤❤
❤
Yamoto moto kama pasi
umefanya kitu kinzuri san kaka tafadhali naomba namba zako
+971554969445 & +254746619705...nlipata accident Kenya 19th Jan on my birthday
@@duncankipsdan7115 pole Sana kakaa
@@duncankipsdan7115 pole sana hope you are now feeling better
@@NakanyikeYasimin yeah I'm healing now
@@duncankipsdan7115sorry hope you feel better ❤
yamoto wakali wao siku zote🙏🙏🙏🙏👌 nawapenda sana kenya listening❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hatunaga shida ss. Hizi ngoma zinabamba sana
Wow this was so amazing 😍😍😍😍 expecialy mbosso people do come from far
Napenda san. Hizinyimbo ❤️🤣🤣
Dah nakumbuk zamn San yamoto iko Moto San aslay ndo aloivunja band iyo
🤣🤣🤣🤣🤣
Sio aslay ni diamond alimfanganya aslay ili diamond amchukue aslay ndo hapo aslay akajiona mkubwa kuliko wote na wengne nao wakwanza kujiona wakubwa Kila mtu akawa mkubwa band ikavunjika
DJ kips we ni 🔥🔥🔥🔥
the best band ever,,, ilikuwa motooo
mm natamani yamoto itukumbushe kidogo
kabisa wako ju sana warudi tupate burudani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
U were hot 🔥guys much love from Uganda 🇺🇬❤
weeee eti saiv wanaitwa mshangazi
Hwa walikuw noma ak
Hawa walikua diambo.Alafu who is here upto now!? 2021
hawa watoto sijui wlichanganywa na nini coz hawakujua huu mziki ungewafikisha mbali sana coz ulikua una vionjo zaidi ya dansi
Haikukua kusudi lao kuachana lakini waligongeshwa jinsi wamarekani wanavyo gonganisha waafrica😭😭😇😂💔💔💔
Best bongo flavor band ever. 2021 still hitting. Ipe sauti na hiyo bas yake ukiwa kwenye gari ndo utaijua hii song vizuri.
Wana kwachukwachu...dah
In 2024 still hizi Ngoma zavuma kuna kijana hapa sijui jina lake....."babie babie nakupenda sanaa, nishike nikushikoe mile tusije kuachanaa...Baki na Mimi..... 15:22
hawa watu ni mafundi wa ushairi,,, big up
Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sana❤ 🎉
Mm naitambua hats kama ni ya kitambo
nakumbuka yamoto wakati wangu nilikua kashamba kadogo
Kama uko hapa 2024 April piga like tukisonga 😂🥳🥳🎉
Nzuri sana, na inamafunzo safi
Nlifikiri Africa tunajivunia boyz2men wetu bahati mbaya hawakudumu pamoja😥😥😥
Yamoto duuuh! Rudin kama zamani jaman♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
One of my favourite band, the songs still hitting to date. 2023
Now 2024
Christmas Eve mko wapi woow like kwa wingi
Poreni sans wadogozangu asaivi mungekuwa nbari
Penda sana yamoto🎉🎉
Jamani kipend icho nilikua naaza bareh sas nilikua sitak mwanaume mwengie kisa aslly 😂utot huuu mtiani❤❤❤nilikua naipend ya moto kweli
Ujudijei apewe mauwayake ban yukosawa kinoma❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉nifayaaaw
Wow wow nice one .I Love this 💯💯💯✅
Hii band ingekua hadi leo wangekua top sana 🔥 ila wanafanya bora pia wakifanya singles ❤🎉
Nimewamiss nyie viumbe😘😘😘😘
Enock bela nakukubali sana
Mrudiane jameni nilipenda music yenyu sana.Mie toto la kenya❤
2023Still listening to the best swahili band ever🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
It's 2024 September still listening to the Ya moto Band ❤❤
two is better than one...Get the team together. its never too late
Hawa watu si warudi pamoja,they can do the best of the 👌 best
One of the best yamoto band mix in Kenya. Big up Dj Kips
uba
2020 gonga likes za Yakamoto👏👏
Kalenjin sisters
Wakenya tumesema ruto must go
Kips ino Kali Sana..sina ubishi big up..
Fireeeeeeeeeeeee. Yaaaaàaaaani mooooooooootoooooooooo
NIME MISS YAMOTO BAND SANA
Ningeomba hawa musian warudiane tena wafanye colabo mm kama vann wao
Good music na Ni moto
❤❤❤❤❤ Rudishen hii bend mliupiga mwingi listening from saud
Music yazamani irikuwa na mafunzo yamoto
yamoto bend nilikuwa nayipenda sana tama ya pesa ndio imewaponza. hasa huyo asley ndo chanzo chakuvunja. bend 😔😔
Hahaha Asley uyoo hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Kazi poa.talent juu sana.
Sawasawa
nitakupwelepweta bure...…...… i can listen the whole day
Muito obrigado Yamato Band recordo das vossas músic na altura vivia na cidade de Maputo. (Thanks Yamato Band I remembering your muisc in that I was living in Maputo city) Assante Sana DJ Kips Dan kwa ku nikumbusha. From Pemba- Mozambique.
Da
@@nzoyidamiano8531 ez
Nice one❤❤
Oyoooooooo 2020 walikua wana amsha sana awa watu mc so much...... Gonga like apa
Atar saaaana
Kweli Ngoma Kali sana naipenda sana
yeye kunguru wewe mwewe 🤗🤗🤗🤗😻😻😻🙊🙊🙊
Cool san Dj kips ❤❤❤❤
Vijana hawa wako juu sana