Hussein Machozi - Jela (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Subscribe For More Official Content From Hussein Machozi: m.youtube.com/...
Hussein Machozi Booking Info:
Email: husseinmachozi21@gmail.com
Catch Up With Hussein Machozi On:
Instagram: / husseinmachozi100
Twitter: / machozihussein
Listen To Hussein Machozi:
Apple Music: / hussein-machozi
Spotify: open.spotify.c...
AudioMack: audiomack.com/...
Boomplay: www.boomplay.c...
Mdundo: mdundo.com/a/2...
Listen To Hussein Machozi All Songs:
Apple Music: music.apple.com/tz/artist/hus...
Spotify: open.spotify.com/artist/20okz...
AudioMack: audiomack.com/hussein-machozi
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
Mdundo: mdundo.com/a/234831
Nimekufataa na hukuu
I've always been your fan. My favourite ever
aki walae lazima nikufate unanimenter sana
The way I love this song only God
Pole ndugu
2024 kenyans watching tuko wapii🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Here
Tuko tuko
Team Kenya 1:56
Here we're
afu kuna shenzi itasema komasava ndo bongo,,,,,,bure kabisaaa
wapi likes za bongo wanangu
😂😂😂😂😂😂😂😂
It hits different when he says ,kumbe si eneo pekee ,anamiliki na yangu familia.in 2024 this creativity haijapatikana bado
hizi ndizo nyimbo zilizotungwa kwa ubunifu mkubwa,nakutambua kaka hussein mbona kimya hivo kweli,nani ako hapa 2024 na vitukuu mlioko hapa 2090 mjue mababu zenu walikua wabunifu kimziki,kama tuko pamoja gonga like hapa.🥍💿📀❤❤🩹🙏
Wanng wa 2050 mpk mbeleni uko huu ndo ubunifu tupendane🙏❤️
Machozi gives us one
Tunakusikiliza Babu YETU mpendwa💪
Nipo hapa katikati ya ,2024
Dah sema ndo hivo mara mia mtu atoe like ya picha za uchi kuliko real artist kama hii. maudhui yake ndani. big up bro
It's 2024 and I'm still listening to this song. That period when Tanzania had music artists
Daaaah hii nyimbo unanitoa machoz Yan Niko pale urafiki Hamna ndugu yoyote anaekuja kuniangalia Wala kunitolea dhamana Hadi nilipopelekwa ndo wanakuja segerea kuniona daaaah
Duh nyimbo inafariji Sana hh
Hahahah labda hawakuwa na taarifa
Pole sana
Mwimbo mzuri sana yaani
Jamani mziki mzuri yaani
Kama ushaipitia mtihani huu wa kuhukumiwa na kutupwa jela gonga like we free now God neva left us
BONGE LA WIMBO,wangapi bado tunaangalia 2024
Ni vigumu upate nyimbo za mafunzo kama hizi. Listeming from Kenya🇰🇪
Aaah jamaa alikuwa creative.kwamba kumbe hadi mavazi aliyo vaa yamepitwa na wakati,na anajiona yupo sahihi dah
Jamaa ulikuwa na hisia za kuwakilisha ambazo no harisia labda.
Hussein Machozi ako ligi yake tofauti...Evergreen!!
U just said it man ever just him
If old is gold was a person. Hussein is a legend, return to the game brother. This is the current situation in Kenya, everything is damn expensive.
Bado napenda sana hii ngoma leo tare 9 mwz10, 2024❤❤🎉🎉
Leave alone zile bongo music za kisasa ,hii ndo the real bongo flavor old is gold🔥❤
Awa ndo wasanii wanao jua sanaa wengine na matusi yenu cjuii kitaliwa na nyenyele aiseh!
😂😂😂😂
Who is here with me today 2021 watching 4rm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🤝
Here too
Me here, I just love this guy but am worried is ni yeye ama ni mtu anamkulia aki
I am here with you 😽
Thumbs up
2024 and I'm here playing this masterpiece 🔥🔥
Shammah boy on the beat!!!
Willy M. Tuva really pushed Tanzanian music in Kenya. Bila yeye sijui ingekuwa aje kwa msanii hatari kama huyu. Timeless music 🎉
2023 and still it's a hit 🥺❤️❤️❤️❤️❤️❤️I really love this soooong
❤
Hii nyimbo hata ingetoka leo 2023 ingehit sana
Niliskia mara ya kwanza 2016 nikiwa class 7...BRAMWEL MOLOLO RADIO JAMBO now 2024 sep ,,,Niko naskia jela,,, sorry my x girl,,,I still love you Mercy ❤❤❤
😢Yaani Machozi mwenyewe ndiye huyu!hisia zangu zavunjika saana,unayoaimba yaakisi ukweli wa Jamii
jamaniiiiii bora nirudi jelaaaaa sio kwa Tanzaniaaa yaleoooo
Dah!La asha!Vumilia tu,Mterehemezi sio mfaki.
2024 kwetu 🇹🇿 kipande cha sabuni ni 800
😂😂😂kumbavu zenu
Anataka kufanana na Professor Hamo comedian wa Kenya 😂
Majirani 254 mpo?
Hussain machozi nlikuwa kinyozi wako huku Kenya
Nani anawatch akiwa bed 2025
Steel 2024 tunaruka nayo Bado
Hafadhari hata umewaza vizuri bro, zirudishe zote TH-cam
It's 2022, and I find this song relevant. Unga saa hizi kenya ni kubaya.
Also Tz bro
Kenyan fan here,,,,listened it in high school 🏫
Love you
Kaka naomba utoa ahata nyimbo moja kaka nakuomba
< MACHOZI LEGEND > 2021 NA BADO CWEZI SAHAU HII....By the way interview yko sns ilinibamba sana maneno ya HEKIMA SANA broo kuhusu industry ytu ('faida ni kwa wao, c ni wakubwa wanaenjoy....ile Hawapatii nafasi WENGINE mfano belle )
Hussein is just a vibe when it comes to bongo,,,,,,he's songs never get old💗💗💗vibing all times
Hussein fanya lyrics za izi ngoma.
This was a masterpiece 11/11/2024
6/9/2021 hakuna nyimbo zenye mafunzo kama hizi hizi zamaa👍👍
hakunaa hata kidogo,sikuhizi wanaimba nyimbo za kuchezeka sio zenye mafunzo na maadili
Niko ap 👍
Hii ngoma inaendana na maisha yalipo kwa sasa,saruty sn
Kweli ni machozii
Kenyans can relate well to the song the situation rn
I salute hussein in his songs.Bravo!
Duuuh hii nyimbo inanigusa sana
Hapo kwenye kipande cha sabuni 950 shikilia Dj, utanishukuru ukifika dukani😀😀😀😀
In love with your songs bwana Hussein.
They never get old 🤗😍.
Much love from ke🇰🇪🇰🇪
Jani acheni Tu hii nguma Atari Sana mashaallah Kaka 😢😢😢
Saivi kipande Cha sabuni 800 shillings huku TZ, this dude was a prophet
It’s gorgeous watching this guy now.....since I was a small boy ......really proud of you legend 👍
Na comnent 3/1/2024 upewe sifa na utukufu mungu wangu,wimbo ukitokea nilikua class 4 sai mimi ni mama wa watoto watatu, mwaka ni 3/1/2024, mbona nisimshukuru maulana
Yaani karibu 2022 inaisha na bado hii ngoma inahit differently ..we miss Hussein In the music industry
kweli sahv imekuwa hvyo hvyo
Love from kenya ❤
th-cam.com/video/KAIHXG4kj3A/w-d-xo.html
Damn, its like you foresaw what will happen in Kenya.. that bar soap hitting 950
Bro una saut ya mziki kabisa
Imagine mtu aliingia jela 9yrs ago apa Kenya atoke saai wee unga mia 200 sukari weeee 😭😭😭😭😭
🤣🤣😂😂😂 leo ni 254 bob😂😂😂😂 atafanya Kufaint yu aki😂😂😂
Nyimbo nzuli sana kaka
2024,still watching.Unaakisi hali ya jamii hasa kenya.
2022 and it still hits differently 🔥🔥🔥
Best RNB story teller of all the time
Ati unajua Lexus sijui what! Na umetoka jela😅 hapo ulituenjoy!
Husein machozi angetoka jera 2022 ndo angeona maajabu ya ndama kunyonya nzagamba hahahaha jua lisinge kuchwa hajaridi jera
So emotional and educational too
This song deserves better
Kali sana!
Napendahiiwimbosana
My all time favourite song 😊❤
Hussein wherever you are,...Please back, we miss you so much
Wow l like this guy ,his beat is another level 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sana brow big up
Nissawa ukweli
Can't stop listening to this music😢my life n hii song ina relate
Wee!, inahuzunisha😮, huyu mama alitajirika aje??!
Nice piece... Today is on a THURSDAY YOU KNOW🤔🤔
Ilikuwa 2012 i remmember !Very Sweet jam😊🤞
I remember listening to this on 2014.
From heart your still on top firefire
It is 2023 and this song is so relevant and a reflection of life in reality.
Ktk nyimbo inayo nigusa na kuniuma hakuna kama hii hussein
I’m still keeping the good music alive ❤️❤️❤️
Inanikumbusha mbali ukitaka kujuwa kama watu wanakupenda basi nenda jela 😢
Tuliokuja hapa baada ya kusoma comments wasafi tujuane
Mim apa😂
@@dhahabucharo-os2rr 😂😂😂😂
Mimi hapa😂😂😂
Niliku miss sana Hussein🙏🙏🙏🇨🇩
Pole sana
Still loving this song....gonga like ya 2021
th-cam.com/video/KAIHXG4kj3A/w-d-xo.html
Chelimo iyomune
I am here 2022, remembering Hussein machozi music
love yeah
The song was ahead of its time
2022 still my favorite ❤️❤️❤️❤️💯💯
sooo touching indeed
I love this man.. this song reminds me of some past lifestyles 😭.. it's a good vibe.. kip it
Old is gold ❤❤❤
Jamni nkumbushen mwaka gan hii imetoka
2025 Jan still listening to this song very educative
This song is so emotional 😢
I wish your story wasn't a real one
Kadiaga ..kamiti