MAGUFULI LIVE - RAIS MAGUFULI ANAWAAPISHA PROF KABUDI NA BALOZI MAHIGA IKULU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @edmundkamala1418
    @edmundkamala1418 5 ปีที่แล้ว +4

    Najaribu kufikiri ni k.wajinsi gani Mwl angalikuwepo akaona JPM anavyoongoza nchi naamini angeishi maisha marefu zaidi maana alitaka tupate rais kama huyu. Hongera sana na mungu akulinde Rais wetu

  • @edmundkamala1418
    @edmundkamala1418 5 ปีที่แล้ว +4

    Nikimuangalia Prof. Kabudi huwa naona uzarendo machoni mwake na uwazi nchi ni zaidi ya mtu mmoja Tanzania haina nafasi kwa wasaliti. Tanzania ni yetu na itabaki kuwa yetu milele tuipende

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana prof Yani unanipa raha sana unavyotoaga hotuba yako ninakuelewa sana

  • @makumbele
    @makumbele 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana JPM kwa ujasiri na uwazi. Tanzania inabadilika ki chanya.

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 5 ปีที่แล้ว +3

    Balozi dkt Agustine Mahiga umenifanya niipende Diplomasia hakika wewe ni mwanadiplomasia mahiri kabisa

  • @remigiusmwageni6274
    @remigiusmwageni6274 5 ปีที่แล้ว

    Serikali hii nimegundua kuwa inakiu kubwa Sana'a yakubadilisha mwelekeo ulio bora ktk utendaji wake mtu kama PhD kabudi na Dk mahita hawa nizaidi ya creative najaribu sana kafatilia falsafa zako they are so creativity
    Big up sana mawaziri mtu awatangulie ktk utendaji wenu wakaz ulio tukuka

  • @deusideusi8559
    @deusideusi8559 5 ปีที่แล้ว +1

    bora useme mzee

  • @edmundkamala1418
    @edmundkamala1418 5 ปีที่แล้ว

    SAFI SANAAAAAA

  • @remigiusmwageni6274
    @remigiusmwageni6274 5 ปีที่แล้ว

    Safii maafande mko smart sana

  • @hajikalanje5439
    @hajikalanje5439 5 ปีที่แล้ว

    Good job maafande

  • @maligisadotto8631
    @maligisadotto8631 5 ปีที่แล้ว

    Nashauri Serikali iagize viongozi wote (Waziri Mkuu, Mawaziri na manaibu Waziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wakuu wa Mashirika ya Umma, Katibu Tawala Mikoa, TAKUKURU, RMO, RPC, RTO, OCD, Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Idara kwenye Sekretarieti za Mikoa na kwenye Halmashauri, Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji na Mitaa, nk) waweke wazi namba zao za simu kwa wananchi ili ikihitajika wapigiwe simu na kupewa taarifa mara moja na wananchi hususan pale inapotokea shida na mhusika anakuwa hana nafasi ya kufika hadi ofisi husika kwa wakati huo.
    Hii itasaidia sana kutatua kero nyingi za wananchi kwa wakati na kupunguza urasimu na manung'uniko kutoka kwa wananchi.

    • @dismaswisso6384
      @dismaswisso6384 5 ปีที่แล้ว +1

      O. M hakika nikweli nimefurahii sana

  • @semsisamwel8813
    @semsisamwel8813 5 ปีที่แล้ว

    Lisu pia

  • @mankizomankizo8480
    @mankizomankizo8480 5 ปีที่แล้ว +1

    Saf sana mahafande mko poa mnapendeza

  • @mbunuka
    @mbunuka 5 ปีที่แล้ว

    Kabudi kiboko Yao ataifikisha wizara Mbali.