Mvutano wa bashe na mpina ulianzia wakati waziri bashe anaongea na mpina akatoa taarifa, spika akaruhusu taarifa kutolewa. Unatudanganya wewe au spika alikua hajui kanuni?@hajiramadhani2699
Kumbe shida ni uelewa wetu nikiwemo na mimi profferser unastahili heshima upewe aman ya moyo appreciate that we fight because we differ in our level of understanding proffer never give up tupo tayari kujifunza
Wanadhani kubaghazana ndio kushinda hoja au kuonekana kuwa umeongea. Ahsante sana Pro. Palamagamba. Longalonga za hovyo zinaweza kupungua na hawa watu kuheshimiana.
Profesa Kabudi Palamagamba ni msomi na ana ustadi ya hali ya juu. Umakinifu wake haulinganishwi na yeyote. Mzee amekalia kigoda, mtii. Kongole kwako guru Kabudi. New York, Marekani tuko nawe mwalimu.
Sema Baba, Prof Palamagamba. Mm ninafahamu kuwa kila taaluma in principles zake na code of conducts. Bungeni ni Mahali makini sana, ni LAZIMA waheshimiwa waongee kwa MANTIKI ya UHESHIMIWA.
Safi sana Profesor Kabudi Waziri wa Sheria Wafungue macho wailewe Sheria na Unaifahamu Kinagaubaga. Upo Vizuri. Sana. Hata Wabunge Wa Upinzani Wanakuitika kwa Heshima na Adabu.
Kwakweli ktkt mawazili wote nnaowakubali plo kabudi nakukubali san wew nizaid ya geneaz asante san mungu akubaliki san ktk safali ya maisha yako. Mungu ibaliki tanzania mungu wabaliki viongozi wetu
Mungu Akubariki kwa somo ulilosaidia Wabunge siku hii, Mimi nimekuwa muumini wa kukufuatilia speech zako I guess utakujakuwa zaidi ya Msaada kwa nchi yetu, Heshima kwako Kiongozi.
Thank you sooo much Professor. You are at the point. What is lacking in the country is poor education and Spirit of humour among the people. Educate and Train them. We shall be transformed. Congratulations for your brain.
hapa ndipo unapojua kuna wazee wengine wapo mle bungeni wakubwa miili tuu, yani vitu muhimu vinaongelewa na kutolewa elimu bado WANABEZA yani kuna wamama wanapiga tu kelele hapa ndipo unapojua kuna waheshimiwa wengine their level of appreciation of issues is DIMINISHING...
Kama ibara ya 8 ya katiba ya URT inaheshimiwa watekelezewe matakwa ya katiba ya umma ( katiba watakayoshiriki wote kuitunga na kuipitisha kwa umoja wao). Maneno huumba. Tuombe Mungu Mh Prof uyaone ungali hai.
Halima mdee kama namuona vile alivyonywea kisura kimekuwa kidogo kama piritoni huyo ndiye professor wa Sheria na mwalimu wako tulia ujifunze usiwe unapiga kelele tu.
Ili kuweza kufukikua hatua yoyote ile ya mafanikio ni muhimu kufahamu kanuni au sheria za asili zinazotawala matokeo unayotarajia na kufahamu historian ya jambo lolote ni muhumili mkuu was kujenga hoja zenye mashiko tujenge tabia yakusoma ili kujenga hoja zenye mashiko Big up My Role Model Pro Kabudi
prof kabud ni mtu mwenye hekma zake na mtu anaefanya kitu ambacho anakitambua ila kuna wengine humoo acha tukae kimya wanakaz ya kushangilia na kupiga makosi alafu ni 0 tu
Ukiona wabunge wasumbufu wasomi wamekaa kimya ujue somo limeingia hapo wapinzani nimewakubari kwa uturivu na ndio maendeleo safi sana,ukiona comment ya kupinga ujue hata darasani alikuwa mtolo
Mbona sisikii "Taarifa Mheshimiwa Mwenyekiti" 😂😂😂😂 Watu wanaogopa kuumbuliwa na Professor🤣🤣🤣
Kama unamkubali Professor Kabudi, Gonga like twende sawa!
Kawaida ya sheria za bunge waziri anapoongea mbunge haruhusiwi kutoa taarifa wala muongozo
😄😄😄😄😄😄
Mvutano wa bashe na mpina ulianzia wakati waziri bashe anaongea na mpina akatoa taarifa, spika akaruhusu taarifa kutolewa. Unatudanganya wewe au spika alikua hajui kanuni?@hajiramadhani2699
Wanaofuatilia speech za Mh.Kabudi baada ya BBI Kenya tujuane.
Huyu waziri anafaa awe rais wa Africa mashariki he is a great Man I like him very much
Í
Isaac mboya naomba mungu anisaidiie kumuelewa professor kabudi
Watu kama kabudi walikuwa wapi
Kumbe shida ni uelewa wetu nikiwemo na mimi profferser unastahili heshima upewe aman ya moyo appreciate that we fight because we differ in our level of understanding proffer never give up tupo tayari kujifunza
Asante baba unastahil heshima kumbe shida, ni uelewa wetu nikiwemo na mimi I appreciate that we fight because we differ in the Level of understanding
Wanadhani kubaghazana ndio kushinda hoja au kuonekana kuwa umeongea. Ahsante sana Pro. Palamagamba. Longalonga za hovyo zinaweza kupungua na hawa watu kuheshimiana.
Huyu Prof. Namkubali sana, ni moja kati ya watu muhimu sana kwa taifa
profeosor wa majalalani
Wanasheria wengi watanzania hawaijui Sheria bali wengi ni madalali
kalingamazdap😊
P
Nimejiona niko darasani uko vizuri mimi nikati ya watu nisiopenda wanaoongea kwa sauti bali HOJA na WELEDI Mzee uko vizuri....
Newborn Haule asate
Profesa Kabudi Palamagamba ni msomi na ana ustadi ya hali ya juu. Umakinifu wake haulinganishwi na yeyote. Mzee amekalia kigoda, mtii. Kongole kwako guru Kabudi. New York, Marekani tuko nawe mwalimu.
Yaani Prof Kabudi ni kichwa kweli kweli,ni mtu mwenye historia ya nchi hii ya ndani sana,na anayethubutu kuisema
Tanzania you have a great Man very smart and a teacher he is a true leader
Good job MUHESHIMIWA we ❤u Dr. Yote ni mazuri na tunatoa shukrani nyingi tumekuelewa KIONGOZI. Thanks so much
Hivi Ni vichwa vichache vilivobaki Mungu akulinde vema
Taarifa mweshimiwa
Sema Baba, Prof Palamagamba. Mm ninafahamu kuwa kila taaluma in principles zake na code of conducts. Bungeni ni Mahali makini sana, ni LAZIMA waheshimiwa waongee kwa MANTIKI ya UHESHIMIWA.
Huyu professor huwa anaongea kwa KUWAFUNDISHA HAKIKA NI PROFESSOR 🔥🔥🔥🔥
Uyu proffesor anafaa akue Rais wa tanzania
Safi sana Profesor Kabudi Waziri wa Sheria Wafungue macho wailewe Sheria na Unaifahamu Kinagaubaga. Upo Vizuri. Sana. Hata Wabunge Wa Upinzani Wanakuitika kwa Heshima na Adabu.
Profesa Kabudi nijembe jingine la watanzania,tumtumie vizuri
Tanzania one kabudi bigup sanaa!!!.
Kwakweli ktkt mawazili wote nnaowakubali plo kabudi nakukubali san wew nizaid ya geneaz asante san mungu akubaliki san ktk safali ya maisha yako. Mungu ibaliki tanzania mungu wabaliki viongozi wetu
Asante Sana RAISI WANGU NDUGU MAGUFULI Kwa Kumuona Huyu Prof Kabudi Na Kumteua Kua Mmoja Wa Mawaziri Ktk Serikali Yako.
Mungu Akubariki kwa somo ulilosaidia Wabunge siku hii, Mimi nimekuwa muumini wa kukufuatilia speech zako I guess utakujakuwa zaidi ya Msaada kwa nchi yetu, Heshima kwako Kiongozi.
Kwa huyu jamaa tu hat lisu akasome.
Ni kati ya Mawaziri bora wa Sheria waliowahi tokea Tanzania''' wengi wanasoma sharia ila kupambanua wengi hawewezi'''''
Thank you sooo much Professor. You are at the point. What is lacking in the country is poor education and Spirit of humour among the people. Educate and Train them. We shall be transformed. Congratulations for your brain.
Daaaa nakukubali sana mzeee wangu mungu akupe maisha malefu tuendelee kujifunza mambo mengi toka kwako
hapa ndipo unapojua kuna wazee wengine wapo mle bungeni wakubwa miili tuu, yani vitu muhimu vinaongelewa na kutolewa elimu bado WANABEZA yani kuna wamama wanapiga tu kelele hapa ndipo unapojua kuna waheshimiwa wengine their level of appreciation of issues is DIMINISHING...
augustino Mariano yuko vizuri sana
augustino Mariano mimama mingine inapiga kelele kama wako bar ya mbege
Heshima kwako Prof. Unastahili nafasi hiyo uliyonayo. Mungu akupiganie
I salute you A ''Cardinal Professor''
aiseee,,waziri kabudi uko makini, vizuri sana
N kiongozi mzuri Sana
vizuri sana mhe.prof palamagamba kabudi kwa ufafanuzi mzuri .
Duuh!! Nmekubali cna chama ila nna prof.
Safi professor wape elimu waelewe
Huyu mwamba mungu ampe maisha maref anafaida kubwa kwa nnchi yetu
Kama ibara ya 8 ya katiba ya URT inaheshimiwa watekelezewe matakwa ya katiba ya umma ( katiba watakayoshiriki wote kuitunga na kuipitisha kwa umoja wao). Maneno huumba. Tuombe Mungu Mh Prof uyaone ungali hai.
The living encyclopedia 😘😘
Damn he’s a true professor
Mzee uko vzr sana Leo nimekuelewa.
MAY GOD PROTECT YOU OUR FUTURE MAGUFULI AMEN .
Natamani siku moja nikutane na pro kabudi
Wenye akili wote wanaomkubali huyu jamaa like apo jmn
Ahsante Sana Mh; Prof Kabudi kwa elimu teule
Kabudi for president.
Hongera pro kwa lecture
Nakubali kazi professor wewe ni mtu mahimu cn katika taifa letu
Profesa uko vizuri
Daah nondo nzuur saan hasa kwa walimu wa uraia,civics na general study
Kutoka kenya mpaka bungeni nimetokea kumkubali sana huyu prof hatare
Kabudi ni jembe sana, nachompenda huyu mzee ni kwamba huwa anatoa elimu kwanza ndo naenda kwenye hoja.
Huyu jamaa anajua aisee...
Halima mdee kama namuona vile alivyonywea kisura kimekuwa kidogo kama piritoni huyo ndiye professor wa Sheria na mwalimu wako tulia ujifunze usiwe unapiga kelele tu.
Kabudi kweli umenifurahiaha
sina la kuongeza,heshima kwako mzee tunakuombea na uendelee kutuelimisha
Kabudi unajua
Jamaa somi sana, limeenda shule
Anafaa kuwa kiongzi Tanzania!
Ili kuweza kufukikua hatua yoyote ile ya mafanikio ni muhimu kufahamu kanuni au sheria za asili zinazotawala matokeo unayotarajia na kufahamu historian ya jambo lolote ni muhumili mkuu was kujenga hoja zenye mashiko tujenge tabia yakusoma ili kujenga hoja zenye mashiko Big up My Role Model Pro Kabudi
prof kabud ni mtu mwenye hekma zake na mtu anaefanya kitu ambacho anakitambua ila kuna wengine humoo acha tukae kimya wanakaz ya kushangilia na kupiga makosi alafu ni 0 tu
M! Upo vzr tz inakutegemea
Embu sema Palamagamba Kabudi
Hongeraxanaprof.kabundi
Aaah muzee wewe material
Prof Kabudi anafaa kuwa makamu wa Rais wa Tz .
Great legal mind
Ukiona kimya vitu vinaingia
Nimerudi hapa baada ya kuona huyu ndo anafaa kuwa makamu wa raisi Tanzania baada ya jpm kulala.
Much respect my lecture in TH-cam
Kumbe jamani kabudi ni jembe Kia's hiki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
Umenifundisha kitu pro.Kabudi
we spoke when the law was low and when the president was president
jamaaa Kichwa duu
Yani mpaka spika anatabasamu hi ni lecture kweli
Tunahitaji watu kama hawa bungeni, sio vinginevyo.
Deogratius Wilson broo inabid aserch wengine tena ktk profession zingne ili kila wizara kuwe na kichwa
huyu ni rais ajae
Naonaga unaongea points sana sijui ni nini adi naisi unazungumza ukwel mm sio mwana CCM
Hongera pro Kabudi
uko vozuri saana waziri
You were there When the Law was Law and when the President was President!
Jamaa anatosha kua naibu rais wa tz
Kwa wasomi hawa TANZANIA tunaenda mbere piga kazi pr.
Kabudi
Msidhani Raisi ni binadamu mmoja anayetembea la hasha ! Raisi ni Taasisi imekaa vyema mno
Ndo raha ya kuwa na wasomi
Safi sana prof
Sijuwi kwa nini JPM hakukuweka wewe kuwa makamu wa Rais 😔Sasa hivi tusingekuwa na majonzi endelevu😢Chukuwa fomu hapo mbele 🙏
Zawad ya taifa prof palamagamba
Napenda mashauri yko
Ukiona wabunge wasumbufu wasomi wamekaa kimya ujue somo limeingia hapo wapinzani nimewakubari kwa uturivu na ndio maendeleo safi sana,ukiona comment ya kupinga ujue hata darasani alikuwa mtolo
MOJA KATI YA HAZINA MUHIMU KATIKA NCHI HII NI MH. KABUDI
tulieni mfundishwe bure... maana yake wengi hampo vizuri kisheria.
Wabunge vilaza wanatumia madesa ya pale kwenye mdigirii.. wanakopi tu..!
Prf nakuheshim saaaaaaaana hii hotuba nairudia nakurudia umetoa elimu kubwa mno
huyu kweli ni msomi
Mzeeee uko safiiiiiiii wape mawee wakarambaa hoo
Kwa huyu jamaa tu hata lisu akasome yaan ni zero brain.!!
Napenda kumsikiza ..akiongea unatulia tu.
The next president that i wish to be
That is how ithink too
"Ibara ya 8 ya katiba ya URT wananchi ndio mamlaka ya nchi sio sisi wah wabunge"
Hiyo katiba nihovyo sana kwanza imepitwa nawakati kwasasa haitufai kabisa
Nimemsikia msukuma anapatikana😅😅😀
uprofesor wako ni wa halali.
Hahahahaaaaaaaaaaa !!!!!!!
Naelewa professor
Huyu jamaa yuko makini sana, uprofessa wake ni wa uhakika
Kwahiyo wengine sio wa uhakika?
kubaghazana.........kabudi oyeeeeeeee
Tigahwa Mugongo lissu na wanasheria uchwara vichwa chini
Baada ya suluhu ni kabudi
Our next president haki.....
Hv haowabunge waupinzani huingia bungeni wakiwa wamelewa? Au ilimladi wapate posho?