DR,SULLE ABANWA VIBAYA VIFUNGO VYA QURANI NA BIBLIA HAKUNA MAJIN WAZURI WOTE WABAYA SEMA UKWELI DANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 200

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu D uko Vizuri sana Asante sana Mkuuu be blessed sana Baba wa Mbinguni akujaze Mema yake

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 4 หลายเดือนก่อน +7

    Yesu Kristu ndiyo uzima wa milele..

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 4 หลายเดือนก่อน +1

      Soma na Marko 5:9

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน +1

      Marko 5:9 inasema akamuuliza jina lako nani akajibu jina langu ni legion kwakuwa tu wengi point Yako ni ipi kwenye hii Aya? Hapa Yesu anamuuliza yule aliepagawa namapepo nae anajibu shida nn hapa sema tukusaidie

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@HamisAbdallah-cj2sc soma marko 5 :8 - 10 utapata majibu yako ya swali lako. Acha kusoma vitu nusu nusu utoelewa kijana

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 3 หลายเดือนก่อน

    Amina kaka mtumishi wa Mungu Ubarikiwe Hawa waislamu Wana potosha na kumchafua Mungu

  • @JohnjohnMnonjela-br3xl
    @JohnjohnMnonjela-br3xl 4 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu ndio mwalimu Daniel mwankemwa ninayemfahamu ....ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

    • @binaamour318
      @binaamour318 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni muongo hakukuwa na jini malaika jini ameumbwa kw moto na malaika ameumbwa kw Nuru

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe usitake kila mtu aamin unachoamin wewe ametoa Aya kwenye biblia sio Quran wewe Amin ulichoaminishwa kwenye Quran yako

    • @AhmedMohamedMadaiMadai
      @AhmedMohamedMadaiMadai 4 หลายเดือนก่อน +1

      50:6yeremia,56:10isaya mpuuzi ww kasome

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ungeanzia Moja ndio ungepata majibu wanao ongelewa hapo ni wakina nani yeremia50:1 Neno hili alilolisema Bwana ktka habari zababeri naktk habari za wakaldayo kwakinywa chayeremia nabii. Hao ndio wanaongelewa hapo nayeremia baada yamungu kusema nae juu ya watu hao ukisoma 8:50 inasema wakimbia kutoka baber pamoja na nchi yawakalidayo coz kulikua nadhambi zinafanyika kwakipindi hicho namungu akachukizwa nadhambi hizo ndio Mungu akaongea na nabii yeremia habari za hizo nchi coz watu wake wamepotea kwahayo wayafanyayo

  • @IpyanaPaul
    @IpyanaPaul 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah ubarikiwe Sana mtumishi Daniel mwankemwa nakusikia Raha kuwa mkristo.

  • @wycliffew.woduor1748
    @wycliffew.woduor1748 4 หลายเดือนก่อน +1

    This gentleman (Mwalimu Daniel?) is so clever and coherent. God bless

  • @jannffer
    @jannffer 3 หลายเดือนก่อน

    I love your teaching may God bless you

  • @LeonceMushy
    @LeonceMushy 4 หลายเดือนก่อน +3

    Aleluya nimejifunza

  • @AnafBanda
    @AnafBanda 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mwalim Daniel mwamkemba uko vzr kwamafundisho

  • @SantosNjanja
    @SantosNjanja 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yesu ni Alfa na homega yeye ni muanzo na wa muisho

  • @WilliamMandwanga
    @WilliamMandwanga 3 หลายเดือนก่อน

    Munguakubariki mtumishi mana awonduguzetu shetanianawatumia kpoteza ndugu zetu.

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 4 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaa kweli Nimecheka sana sana Daaaaaa Wasilamu Mko vizuri sana kwa Kitabu chao ja Majini na Vituko vyao kiko Vizuri sana daaaaa Waisilamu wako Vizuri sana Wacheni na Majini yao

  • @jannffer
    @jannffer 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona anataka kuongelelea roho mtakatifu mungu amufunulie kupitia nguvu zake

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah utukufu Kwa BWANA YESU

  • @rachelnamisi777
    @rachelnamisi777 4 หลายเดือนก่อน +3

    In Christianity majini are follen Engles. Malaika walioaasi.

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera Daniel sana

  • @joezeno8
    @joezeno8 4 หลายเดือนก่อน +3

    Swala za Majini , Sharif Majini yuko kimya anajuwa yeye ndio mwenyekiti wa majini

  • @AsiaSiraji-ud9ju
    @AsiaSiraji-ud9ju 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ww ni mshenzi uliona nani mwisilam avai nguo ya ndan wakati wa swala😢😢😢 acha kupotosha watu

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 4 หลายเดือนก่อน +3

      Si mnapulizwa na shetani matakoni mnaposujudu msikitini?

    • @FrankBella-qe4tj
      @FrankBella-qe4tj 3 หลายเดือนก่อน

      Kuswali na majin mbona hamuongei

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@FrankBella-qe4tj na nyinyi ndoa za jinsia moja mbona husemi kama baba yenu kasena mzibariki

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan uongo mnasali bila chupi hata demu wangu mislam aliniambia hua haendi na chupi akienda kuswaali

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 3 หลายเดือนก่อน

      Mshenzi niww

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona 4 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri sana mwalimu

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 4 หลายเดือนก่อน +2

    Facts tupu

  • @MrMtaalam
    @MrMtaalam 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh huna ilmu,jini alkua kiumbe wakwanza duniani ,walipopigana na kuharibu ulimwengu wakagharkishwa,kikabaki kitoto kimoja malaika wakakichkua waenda muomba mungu akisamehe wakilee.....mwishowe kilipoasi na kukataa kumsujudia adam,akafukuzwa akaja ardhini kuzaana.hawa ndio majini.

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 4 หลายเดือนก่อน

      Uuuongooo

    • @Benfilimon
      @Benfilimon 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa wewe unajengea hoja kitabu cha juzi,, yaani qruan wakati vitabu vya mwanzo havisemi hivyo,, kwahio jini jhajaumbwa bali ni maraika waasi,, huo ndio ukweli wa torati, zabri na injili

    • @husseinhassani8846
      @husseinhassani8846 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna majini ya kikristo kwa kuwa hakuna dini hiyo hata yesu haitambu,Mungu anasema "sikuwaumba majini na wanadamu isipokuwa waniabudu" hivyo wapo watu wabaya na wazuri hivyohivyo na majini

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 4 หลายเดือนก่อน +2

    Makafiri waongo kazi kudanganyana tuuuu.

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni kafiri wa Kiislam

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน

      Kama unaona anaongea uwongo, nenda na hoja zako za kweli, ukapinge,

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน

      Yeye anainukuu Quran yenu, inavyo sema

    • @doreenarbogast4597
      @doreenarbogast4597 2 หลายเดือนก่อน

      Nini cha uongo alichoongea hapo? Hahhahaha mpokee Yesu awe mwokozi wa maisha yako uwe huru

  • @SarahPeter-fg3cm
    @SarahPeter-fg3cm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza hauelewi maana ya makundi

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 3 หลายเดือนก่อน

      Makundi ni zaid ya moja yaani mawili na kuendelea na ukiangalia kwenye Qurani kuna makundi mawili tu ya yale yalio amini yakasirimu ( mnayaita mema au mazuri na ni maislam haya) na kundi lingine ni yale makafiri ambayo siyo maislam ( mnayaita mabaya) sasa njoo utuambie wew kundi la tatu ni lipi uje na reference yake

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +2

    Waislamu Kila mara nawaomba Aya ndani ya Biblia kuwa majini walisikia INJILI wakaiamini wakawa Wakristo!!

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wapi aya inayosema KWAMBA majini ni malaika walioasi ?? Sasa aya uliyosema haisomeki kuwa majini asili YAKE ni malaika.sasa yesu kaja majini yameondoka?

    • @user13375
      @user13375 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@HamisAbdallah-cj2scHakuja kuyaangamiza la sivyo yangeangamia Sulle asingetajilika 😮😮😮

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 หลายเดือนก่อน

    Lord have mercy on us🙏

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 4 หลายเดือนก่อน +3

    Waache hao waabudu majini. Dini ya waganga.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa na wewe muabudu ushoga

    • @RehemaMkandawile-i3l
      @RehemaMkandawile-i3l 3 หลายเดือนก่อน

      huyo mwalimu mwenyewe amesha washirikisha na miungu wa tatu nyie akili kisoda mumeona huyu nae mwalimu

    • @Chrishenryson-beats
      @Chrishenryson-beats 3 หลายเดือนก่อน

      @@badruseif1318 Dini yangu haiabudu ushoga. Hizo ni sababu zisizo za msingi. 😆😆

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 4 หลายเดือนก่อน

    MAJINI WALIKUWA MALAIKA
    Katika Uislamu Malaika hawamuasi Mwenyezi Mungu.

  • @bossej1212
    @bossej1212 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 Mwalimu umeniweza. Nimejifunza kitu kuhusu kitovu

  • @mwesi527
    @mwesi527 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba,mungu mwana ,mungu roho, ndio nini et?

  • @hasanykatutuma6927
    @hasanykatutuma6927 4 หลายเดือนก่อน

    Ujanja nwingisana

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 4 หลายเดือนก่อน

    Nguo za ndani, duh, umechemka

  • @ZakariaJackson
    @ZakariaJackson 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni majini wako wazuri na wabaya kama waislamu wanavyo sema ata biblia inajua ilo soma vizuri utajua

    • @mwakilamwaki1718
      @mwakilamwaki1718 3 หลายเดือนก่อน

      We ndugu yangi ni mkristo kweli kuna jini mzuri daaaa

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 3 หลายเดือนก่อน

      Bro shetani ni bingwa wa kuigiza ili akupate na kukoseshana na Mungu wako basi atajifany kuwa ni mzuri ilimrad umwache Mungu

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 หลายเดือนก่อน

    Bibilia imeandikwa nn?

  • @LukusaFrank-dg1ib
    @LukusaFrank-dg1ib 4 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu ulikwepa swala lamwandishi,je mapepo wanajuwa siku yaukumu?

  • @Pablolookman
    @Pablolookman 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani sasaivi hayo majini hayafanyi kazi tena wanaoshambuliwa na majini ni wakristo

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahaha. Kwa hiyooo waislam hawavai chupi msikitini. 😂😂. Dunia hiii

  • @PeterYaro-o8b
    @PeterYaro-o8b 3 หลายเดือนก่อน

    Majini kwa nini ni waislam ?

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 4 หลายเดือนก่อน

    Majini wakristo wapo.tena wapo na imani tofauti hawa viumbe.

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna jini mkristo,kama yako toa aya bakarisaidi

    • @husseinmtende6575
      @husseinmtende6575 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@JohnOuya-w7j mbona mkakingoa kitabu cha Solomon kwenye biblia manake hapo ndipo Sasa

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 3 หลายเดือนก่อน

    Kama majini yalikufa ,Yale mnayoyatoa kanisani ni nini?

  • @jannffer
    @jannffer 3 หลายเดือนก่อน

    Suleiman nathani anataka kuongelelea roho mtakatifu

  • @SwidikiKabemba
    @SwidikiKabemba 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mbona unazidisha uongo nyingi ili kujipendezesha kuwakristo,aliekwambia mtu kusilimu anapata jini nani?

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 4 หลายเดือนก่อน

    Suali hili naomba jibu Anae kili kwamba yesu ni mwana wamungu atakua Dini gani?

  • @HamisAbdallah-cj2sc
    @HamisAbdallah-cj2sc 3 หลายเดือนก่อน

    SASA HAYO TAYARI SI WAKIRISTO WAMEAMINI YESU NI MWANA WAMUNGU.

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 3 หลายเดือนก่อน

      NYAKATI 2 18:18-24 MUNGU ALIPOKUWA NA JESHI LAKE AKAULIZA NI MTUME NANI AKATOKA PEPO (JINI) AKASEMA NITUME MM NITAKWENDA KUWA JINI WA UONGO VINYWANI MWA MANABII WA AHABU.PITIA NYAKATI FAFANUA .

  • @Khalidmwangwai4651
    @Khalidmwangwai4651 4 หลายเดือนก่อน

    Ata wanadam waliasi Mungu ndio wakashukishwa duniani Kama Majini pia wote walifanya makosa

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน

      Inamaana wanadamu walikua wanaishi mbingun walipokosea wakashushwa Dunia kwamujibu wa Quran?

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน

      @@joycedimoso8648 hawezi kukujibu,wamekalilishwa na mjinga mmoja anaitwa Muddy

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 4 หลายเดือนก่อน +1

    Achana na uislamu huujui ata kidogo

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 4 หลายเดือนก่อน

      Mtume wko kama hakuujua uislam wewe dio utajua. poleni waislamu mchanga wa macho pwaaa..njooni kwa yesu.

  • @HamzaMakobanice
    @HamzaMakobanice 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe na wakristo wanayo majini na nirafiki yao ulikuwa una kataa nn sasa kama hakuna majini ya kikristo nilidhani nyinyi hamna majini bwana yeyote anaye jitenga na amri za mungu lazima ashikwe na majini wabaya namajini wabaya wapo na wazuri wapo kamavile binadam wabaya wapo na wazuri wapo.na ndomana biblia inawataja wabaya kwann isitaje majini tu,na na malaika hawamuasi mungu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 unatuonea wivu Wakristo hatuna majini Wala hawa jaamini katika YESU KRISTO

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wacha shombo nyie mnasilimisha majini wakristo wanatoa majini..hapo vipi.

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน

      Andiko linalosema wakristo wanasilimiaha Majin toa hata gazetin kwenye Quran hata kwenye biblia nipo pale nasubiri andiko

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio maana waislam hawali nguruwe.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaruhusiwa Kula nguruwe wakiwa na njaa bila kishiba😂😂

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 4 หลายเดือนก่อน

    Ss we kafili hivi kaka yesu nimwana wa munguwenu na mama yake ni maliam me? Huyo mungu na Mali am wanaitanaje

  • @jannffer
    @jannffer 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani mkojo ni dhambi

  • @johnsonyohana9594
    @johnsonyohana9594 4 หลายเดือนก่อน

    Sio kwamba mbogo ni mchache wa elim bali uwa anapinda ulimi tu makusudi kuwafurahisha maamuma

  • @SuleKhamisi
    @SuleKhamisi 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mshenzi tu hata katika ukristo humo

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 4 หลายเดือนก่อน

    Kafili mkúbwa w duniani. Waliishi viumbe gani kabra ya binadam

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo maelezo na hicho kitabu kwamba hakuna mtu aliepnda jini akasema yeye ni papa,..,..nk. kama utarejea huko nyuma amesema majini wanapenda kujinasibisha na majina mazuri, ujue basi hayo ya uikristo nk ni mabaya ndio maana majini hawajinasibishi nayo.

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha kusema Dr Sule kabanwa vibaya. kitabu hicho ni feki cha bible kimendikwa Rome,kapitia lugha ya kigiriki na kilatini kwa biashara zao na kufanya mengi katika mataifa ya Europe na kwa kukitumia katika biashara za utumwa missionari

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 4 หลายเดือนก่อน

      Huo ndio ufahamu wako...you have been deceived my friend.

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 4 หลายเดือนก่อน

    KWA HIYO HAO MALAIKA WAOVU WALIUMBWA ILI WAWE WAOVU SIKU ZOTE?
    Je, kabla ya kukengeuka, walikuwa wema? Na kama walikuwa wema, hivi inawezekanaje wote wakengeuke Maadili mema?

  • @EnockKibona-x9z
    @EnockKibona-x9z 4 หลายเดือนก่อน

    Huko kwenye Majini siwezi kwenda.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน

    Haya yote yanatokana na Matamshi ya Dr. Sule. Kuhusu majini.
    Na ndo maana nilisema kuwa majini yalikwisha hukumiwa jahannam wote.

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 4 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu mm nashindwa kabisa vipi wasaidiwe hawa watu biblia inasema yesu katumwa kwa wana wa israel vp mungu awapendelee wana wa israel na chaajabu walio pendelewa kupewa huyo yesu hawaitambui biblia wao wako na taurat aisee

    • @habililailo271
      @habililailo271 4 หลายเดือนก่อน

      Nabii hakubalik kwao

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo 4 หลายเดือนก่อน

      kwa akili yako unafikiria Israeli ni nchi tu

  • @pedropedroagira3980
    @pedropedroagira3980 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu sio muana EA mungu bali ni nabi

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu ni mwana wa Mungu asilimia mia nani Mungu asilimia mia.

    • @pedropedroagira3980
      @pedropedroagira3980 4 หลายเดือนก่อน

      @@MiziziMti mama yake ninani? Jibu litakua Maria je mungu alimoa Maria? Ndugu yangu unakufuru . Yesu ni mtume kama watume wenguine tu!

    • @RehemaMkandawile-i3l
      @RehemaMkandawile-i3l 3 หลายเดือนก่อน

      Mi nawashangaa Sana wakristo kwani wakisema yesu ni nabii wanaona wanamshusha cheo au?​@@pedropedroagira3980

  • @RehemaMkandawile-i3l
    @RehemaMkandawile-i3l 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu nae ni taila kama mataila wengine tusivae nguo za ndani kwanini, aje siku moja atukagae ili ajishike na uongo wake

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 4 หลายเดือนก่อน

    Waislamu wanazanga Kama majini ni malaika waliazi kwasababu mwamendi anasema majini yaliumbwa na Moto kwa mujibu wa Quran

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe Daniel aja uongo nyinyi wakristo mnafanya mapenzi na majini, nayo iweje

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 หลายเดือนก่อน

    Nn maana ukisto.

  • @zuberiimamumhina5164
    @zuberiimamumhina5164 3 หลายเดือนก่อน

    hahahh huyu kuma nini yaan hatuvai nguo za ndan

  • @barakampunga8121
    @barakampunga8121 4 หลายเดือนก่อน

    Wislamu ni din ya majin sio ya Mungu ndia maana unakuta muhamad alimsimisha shetan njoon Kwa Yesu polen mlioslimu

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 4 หลายเดือนก่อน

    Ww acha uwongo njoo kwenye mdahalo ukiitwa unakimbia kimbia njoo tukufundishe

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 หลายเดือนก่อน

    Danel una maneno mengi nauongo mtupu. Bibilia haijaelezea suala la majini, hayo maelezo ni yako si ya bibilia, khabari huo ufunuo 12:7. ni ndoto si uhalisia. na hiyo unyozungumza wewe si tafasiri ya ndoto hiyo. wewe umeichukua kavukavu. Kwa mujibu wa quran majini ni viumbe tofauti na malaika. na Quran suratl jinn imethibitisha kuwa kuna majini wema na waovu. aya za suratl an'aam haionyehi kuwa majini wote ni waovu. Danel huijui Quran wala Bibilia acha uongo.

  • @BoscoBaranyanduza
    @BoscoBaranyanduza 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bibiliya.siyo.kitabo.camungu

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 4 หลายเดือนก่อน

      Mdomo haulipiwi kodi toa aya biblia cio kitabu cha mungu.

    • @habililailo271
      @habililailo271 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kitabu chako

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน

      Hafadhari kwa kuwa hakinifundishai kuabudu majini

    • @phineasmutethia1349
      @phineasmutethia1349 3 หลายเดือนก่อน

      Ni chako,nyang'au wewe

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 4 หลายเดือนก่อน

    Petero mwenyewe alikua shetani na hata si jini bali shetani math18:23

  • @KulthumRashidmusa
    @KulthumRashidmusa 4 หลายเดือนก่อน

    Nadini.yakikistu.nayo.mnaita.dini.nawakati.tu.mnapotoshwa.vp.mnamfwata.yesu.nawakati.yesu.nimuisilam.hAnna.aKilian.vp.mNathan.sadaka.zenu.mchungaji.aKitKat.kAnimaniacs.ananda.kulewa.ndomana.sadaka.zenu.inaitwa.zakuteketea.hapahapa.duniani.kuweni.maccording.sAna.yesu.alikuja.kuwaokoa.wAna.waizilaeli.sio.wOTE.muhamadi.ndokaja.kWA.ulimwengu.mzima

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 4 หลายเดือนก่อน

    Kama nikufikiri kwakufunguliwa macho nileo hii mtu anayepatamafanikio kwajasholake harali hajitutumuli nakujitanuatatanua kama chura.

  • @MwijakaSwalehe-dg4hw
    @MwijakaSwalehe-dg4hw 4 หลายเดือนก่อน

    Taja majina ya malaika walioasi

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 4 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu, apo pumba tupu, cc waislam wenyewe tupo apa, unatusingixia mchana kweupe, Mnafiki wewe mzee, cc tunavaa nguo za ndani na za nje pia, ili mrad ziwe tohara, kama c tohara hata iwe kanzu huwez kuswalia, acha kusema uongo, Tubu kwa Allah.

  • @HamisiHemedi-u8k
    @HamisiHemedi-u8k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe lamda nimfuasi wa shetani eti waisilam hawruhusiwi kuvaa nguo za ndani wakienda msikitini kwanini unazusha unafiki kama huu wewe nibure kabisa hujui lolote kwenda

    • @MatimbeJr
      @MatimbeJr 4 หลายเดือนก่อน

      Atoi kichwani ila vitabu vyenu

  • @comredmuslimmputa2275
    @comredmuslimmputa2275 4 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo mtumishi sisi nani kakwambia hatuvai nguo za ndani?

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kama unavaa wewe unavaa kimakosa Qurani imekataza wakati wA sala

  • @eslonblack8096
    @eslonblack8096 4 หลายเดือนก่อน

    Nimekumbuka ile nyimbo ya mbosso milungi mishisha mibange seleman😂😂😂 selemani kawauza waislam

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 4 หลายเดือนก่อน

    Johana 6:70

  • @KHADIJANDABABISA
    @KHADIJANDABABISA 4 หลายเดือนก่อน +1

    WEWE DANIELY MWANKEMWA ELIMU HIYO HUNA, JIBU SWALI HILI DOGO KWA MJIBU WA BIBLIA HAO MAJINI WALIUMBWA SIKU YA NGAPI??

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo 4 หลายเดือนก่อน

      wewe huna swali enda kalale

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน

      Kwenye biblia hakuna sura ya Majin rudi kwenye Quran utapatajibu lako coz ipo suratu jini maswali yote ya Majin iulize Quran yako

    • @SwidikiKabemba
      @SwidikiKabemba 4 หลายเดือนก่อน

      Mchungaji unaparamia Jambo lakuku zidi ilmu achakuparamia qur-ani na uislamu.

  • @ImamuMussa-dl1wm
    @ImamuMussa-dl1wm 4 หลายเดือนก่อน

    Ww nimtupu hunaelimu yakujua majin nini wala huwafahamu

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 4 หลายเดือนก่อน

      Hoja za waislamu mii huà naishia kucheka😂😂maana hazina mashiko kabisaaaa hata kidogo.

    • @SaidiNyanga-ct8zq
      @SaidiNyanga-ct8zq 3 หลายเดือนก่อน

      Amen🙏🙏🙏 God bless you

  • @LionKijazi
    @LionKijazi 4 หลายเดือนก่อน

    Hio Bibilia yako ni yakizushi sana majini hawakumuita yesu mwana wa mungu ndugu zangu hebu kasomeni wenyenyewe Luka 4:34
    [34]akisema, Acha! Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Nakujua u nani, Mtakatifu wa Mungu.'' '' '' '' '' '' 'Kwahalihii kila mkristo atakuwa na bibilia yake

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe uelewa wako ni ziro ,hapo uliposoma pana tofauti gani na hapo anapopaelezea?

    • @AlabdbFoone
      @AlabdbFoone วันที่ผ่านมา

      Wewe nawe umetafuniwa unashindwa ata kumeza

  • @AsiyaHamad
    @AsiyaHamad 4 หลายเดือนก่อน +2

    Stop lying and misleading people, Nani kasema hawavai nguo za ndani? You lying and hujuichochote kuhusu Islam.

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe kama unavaa niwewe usiwasemee wengine wanao jua wanakuona hujui

    • @AsiyaHamad
      @AsiyaHamad 4 หลายเดือนก่อน

      @@joycedimoso8648 stop lying about Islam, you and you pastor don’t no anything about Islam.

    • @AsiyaHamad
      @AsiyaHamad 4 หลายเดือนก่อน

      @@joycedimoso8648 ignorant is bliss!

    • @RehemaMkandawile-i3l
      @RehemaMkandawile-i3l 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu nae kumbe ana miungu wa tatu inalilah wainalilai lajuuni, elimu Yako finyo hata Mimi nakupita kwa elimu

  • @ibrahimmsuya993
    @ibrahimmsuya993 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji rudi darasan elim ime kukataa majini sio malaika malaika awa muasi mungu majini nimajini na malaika ni malaika majini wameumbwa kwa Moto na malaika wameumbwa kwa nuru umeona tofauti apo kasome tena ndugu yetu

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 4 หลายเดือนก่อน

      Ndoulivo aminishwa

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo 4 หลายเดือนก่อน +1

      waislam akili zenu ndogo sana

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 4 หลายเดือนก่อน +1

      Majini ni mashetani..na shetani alikua malaika aitwaye lusifa Kwa mujibu wa maandiko ya Biblia.

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 หลายเดือนก่อน

    Daniel acha uongo. Ni kitabu gani ulicho soma kinachosema waislaam hawaruhusiwi kwenda msikitini na nguo za ndani.

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni hadith usiwe mbishii

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 4 หลายเดือนก่อน

    Sule anatapata Washehe wenzio wamemkalia kubaya kwa kuaibisha dini ya uislamu

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 3 หลายเดือนก่อน

    Unaongea mwenyewe hapo ukweli lazima uufiche kafiri mkubwa,omba mdahalo sasa kama wewe kidume

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanini wakristo elimu ya dunia mnafuzu vizuri sana lakini ya kidoni nyinyi ni bongo lala? Majinni ni viumbe kama sisi, yaani theres the human kind and the jinn kind.

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo 4 หลายเดือนก่อน +1

      wewe huna akili ata kidogo kama tu wenzako🤔🤔🤔

  • @jjtm164
    @jjtm164 4 หลายเดือนก่อน

    Natafuta comment za waislamu

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 4 หลายเดือนก่อน

    Maneno mnatengenezewa mnaamin eti mwana wa mungu ingekuwa ni hivyo israel wote wangemtii yesu ni mtume kama walivyo mitume wengine

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 4 หลายเดือนก่อน

      Ndivyo ulivokalilishwa na huyo msilimisha mashetani

  • @AsiaSiraji-ud9ju
    @AsiaSiraji-ud9ju 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kutafuta umalufu kwa kuongea uwongo😮😮😮😮

  • @salumseif2588
    @salumseif2588 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mbona simuelewi anajichanganyaivi ati majini na malayka nikitukimoja eee halafu anamkosowa komando big Suleiman vip

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 4 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi makafili wakiislam na mubakaji wenu muhamad ni vipi kila kitu munapinga wakati nyinyi ni mamuma na hakuna munachokijua zaidi ya ushirikina?😛😛😛😛😛😛

  • @LionKijazi
    @LionKijazi 4 หลายเดือนก่อน

    Majini yatakaa kanisani na yapo kila siku toka hayatoki

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 หลายเดือนก่อน

      Usipo Amin nakukiri Yesu ndio mokozi wamaisha Yako nakuacha dhambi nakuishi maisha yakumpendeza Mungu yatakaa nawewe mpaka yakunyonge

    • @RehemaMkandawile-i3l
      @RehemaMkandawile-i3l 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo yanakaa kanisani mbona hayatoki

  • @ibrahimuramadhaniselemani-2411
    @ibrahimuramadhaniselemani-2411 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kupotosha watu

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo 4 หลายเดือนก่อน +1

      ooooh kumbe nawewe mfuata Sulle

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 4 หลายเดือนก่อน

    Unajuwa kukitafuta kijio😂😂😂😂

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 หลายเดือนก่อน

    We mwalim acha kutuonyesha uzuzu wako nani aliekudanganya Waislam wakienda kuswali hawavai nguo za ndani!!!???

  • @khalidlagho2263
    @khalidlagho2263 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe muongo

  • @MalikBakar-ni2gh
    @MalikBakar-ni2gh 4 หลายเดือนก่อน

    Kama majini ni Malaika basi wapo Majini wema nikimaanisha Malaika wanaotii amri za M/mungu kwa hiyo wapo majini wazuri.na majini waovu ni Malaika waliomuasi M/mungu.lakini majini hawana dini yeyote na wanazungumza kiarabu au kusalimia kiarabu sababu wana asili ya kiarabu kwani ndio lugha ya zamani zaidi.

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 4 หลายเดือนก่อน +1

      @malikBakar-ni2gh majini walikua malaika kabla ya kuasi, walipoasi hawakua wema tena ndio maana walitupwa duniani. Hakuna malaika alietupwa duniani baada ya kuasi alikua mwema, majini wote ni wabaya tu, uislamu ni ushirikina ndio maana wanafosi majini yaonekane mazuri

    • @ibrahimmsuya993
      @ibrahimmsuya993 4 หลายเดือนก่อน

      Majini sio malaika malaika awa muasi mungu majini nimajini na malaika ni malaika

    • @MalikBakar-ni2gh
      @MalikBakar-ni2gh 4 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimmsuya993 Msikilize vizuri mchungaji wako kasema majini ni Malaika walio muasi M/mungu mbona.

    • @MalikBakar-ni2gh
      @MalikBakar-ni2gh 4 หลายเดือนก่อน

      @@igurusitv6553 Unaamini Kuna Malaika au hakuna Malaika duniani kwanza nataka kujua hili

    • @FabianPiusMghanga
      @FabianPiusMghanga 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@MalikBakar-ni2ghwakishaasi wanabaki vipi kuwa malaika?

  • @RastaSuma
    @RastaSuma 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe sii mwalimu bali ni fundi wa waongo duniani ila wajinga wasio soma watakuamini na hizo propaganda zako pili hakuna waislamu wanaoingia mskitini uchi kwani ni haramu kwa mwanamume na mwanamke kukaa uchi.Uta wadanganya wakrito wenzio kwa kutumia kitabu cha biblia kilichoandikwa na watu na hadithi thaifu za kuokota lakini sii waislam wenye elim zao.

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣Uyu mwalimu wenu nae bwabwa kweli unatafta weak point ili kudhoofish usilam nan ka kwambia Sulle na Elimu zake za uganga anazo zitoa ni mwislam nan kakwambia waislam wana iman za kishirkina kama alizonazo sulle, yule ni mwana mpotevu tu alie hadawa na dunia hawakilishi mwislam yyte ss waislam tunamtambua kama mpiga ramli ss na ww unatoka uko mabonde kwinama unataka utumie ako kachance kudhalilsh uislam na kuwapoteza watu, Uislam ndo dini pekee ya kukupeleka mbinguni sheikh au paradiso so take a brake tuliza povu🤣🤣🙌

    • @AlabdbFoone
      @AlabdbFoone วันที่ผ่านมา

      Unandika na unajichekesha mwenyewe huna hoja

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan วันที่ผ่านมา

      @@AlabdbFoone Hzi mada za watu wenye Maarifa kichwani not every fool can participate so potea, kwa hoja yako tu nshaona kichwani hamna kitu apo

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 4 หลายเดือนก่อน

    Ni hatari