Mbowe unaweza kua shekhe mzuri sana ukiwa utaslim una hikma una busara na mstaarabu na ni mungwana hasara sana chadema kumkosa mtu kama Mbowe ni kiongozi mzuri mwenye huruma na muadilifu love this guy❤
Lissu, ni mwanasheria, na Kama anavunja Sheria, mbona afukuzwi Kama ZITO KABWE😂😂, Eti mbowe anasema Dunia itamfunza. Mbona kwa ZITO na wengine maamuzi yalitokewa awakuachwa Dunia iwafunze. Yaani hata sisi memkwa TUSHA Anza kujua. Chama moja tu.
shida ni kuweka great trust kwa mwanadamu, mwanadamu yeyote bila kujali vile alivyo, kwasababu ya udhaifu wa kibinadamu lazima uwe na matarijo ya disappointment...kukosa ufahamu wa namna hii kumesababisaha watu kuumia mioyo kumechochea chuki na hata kuchukua hatua za kudhuriana kuchukua ufahamu wa namna hii kutakusaidia kuiahi maisha ya amani na utulivu wa nafsi sanaa
Umeongea point sanaaa nimekuftatia vzr sanaaa ww muachia mungu ndio atakusimamia ww msamehe lisu kumbka bado anaumwa ayupo sawa bdo bunduki alizopigwa dodoma sio mchezo father mbowe
Maswara yasiasa hayana cha kumuachia mungu, unapambana hadi ushindi upatikane huyu jamaa anakifanya chama sacos yakupigia mpunga tu kibinafsi, muache apambane na mhuni akili imkae sawa
@@dinnarandrew1982 Huyu jamaa anapiga hela sana kupitia hiki chama ndo maana hataki kabisa mtu yeyote awe anasogelea hiyo nafasi, we subiri tu uone mwisho wamchezo watamfukuza Lisu hicho ni chama cha okoo na mkwewe a.k.a sacoc Mtee Mbowe🤣🤣🤣🤣
Shkamoo Mbowe,busara nyingi sana na pia uko smart sana kichwani,Lissu mimi mara nyingi huwa namuona kwamba pamoja na kwamba ni mwanasheria mzuri lakini huwa ni mropokaji,hana busara na hekima.
Mbowe ni kiongozi mzuri na mwenye busara na huruma huwezi kua kiongozii kwenza kumkashif kiongozi alokusaidia ukawa huna shukran Mungu Anasema alokua hana shukran kwa mja wangu huna shukran kwa Mola wako Mbowe anasea ukweli na huyu ndie mwana siasa alojitolea maisha yake mali zake nguvu zake na ndie mwenye upendo wa chama lakini binaadamu hawana shukrani mie sio chadema lakini sasa nitaingia chadema kwa sababu ya Mboe
Waza Vyema Brother,huu niwakati wa kampeni ni issue ya Mbowe na Lisu siyo issue ya M/kiti na makamu wake na kwasababu wameamua kupambana kila mmoja anahitaji kushinda na katika kushinda huwezi kutanguliza sifa za mtu lazima ugauke ukaze moyo ndo mambo yataenda sifa zake baada ya kampeni zitaongewa…nayeye mambo yamemfika shingoni ndo anaanza kuongea mpaka mambo ya mwaka 1995 huoni kama hana point ya msingi anajitetea tuu
Salimu umeuliza swali nzuri la kuchekesha kwamba Nyerere ni rafiki wa baba Yako hajawaambukiza tabia tabia ya kungatuka hiyo ni sindano SIJUI mbowe kama umeisikia ndiyo wazo la wengi kukaa kwako muda mrefu kwenye uongozi kumeshakutia Dola aibu
Huwa nashangaa baadhi ya watu wanasema mbowe anapenda madaraka ,,yaani ukimsikimiza utajuwa yakwamba mbowe ni mtu mahiri sana na hatotokezea mtu kama mbowe ,mtu huyu mbowe hana kiburi ,hana majivuno ,anajishusha mbele za watu,mkomavu wa siasa ,kapitia mazingira magumu yaani sifa zake hatoweza kuwa nazo mtu mwengine
Angalia viwango vya ufahamu vya Mwenyekiti huyu. Ogopeni sana madali wa kisiasa waliopandikizwa kwenu, wasiwaharibie kazi nzuri mliyoishafanya kwa Taifa hili.
LISUU hafai kabisa kuna mambo ambayo hayana msingi kwelikweli lakini Mungu yuko upande wako mkuu wangu sema hofu ya Mungu iendelee ndani yako nilikuwa sikujuwi mbowe leo nasikia uchungu sana watumishi wa chama ukipewa nafasi tumia lugha rafiki tu
Good speech Mboe well done bro you are the best ever napenda nisikilize tena speech nzuri kama hii Mboe is a good or very very very gooooooood Leader ❤
Pole sana mzee free man ukweli binadam ni viumbe hatari kuliko inauma sana pale unaposalitiwa na mtoto ambae umemlea mwenyewe ila yote kwa yote mzee mungu yupo utashinda na utaendelea kutetea kiti chako mwisho nitafute nikupeleke kwa mganga wangu tukamroge Lisu
Shida ya wanadamu wengi ni kwamba wakisifiwa tu wanaota kibri wanawadharau hata waliowafikisha hapo na mwisho huanguka ghafla. Mheshimiwa Mbowe kumbuka maneno haya."Mungu huwashusha walio na kiburi katika mioyo Yao na kuwakweza wanyenyekevu. So keep it up mheshimiwa.
Baada ya Kusikiliza interview hii, Nimeona wazi, Lissu ana matatizo . Kati ya watu ambao hakupaswa hata kukosana nao ni Mh. Mbowe, wasingempambania kwenda Kenya angekuwa wapi saivi? . Mbowe anahitajika sana sana Chadema. Uzoefu alionao Mh. Mbowe inatakiwa wakina Lissu wajifunze kwanza, sio kutaka mashindano tu.
@@JoramMwesa ilipaswa awe mrithi wa Mbowe. Tuseme ukweli Miaka 10 -15 ijayo siyo rahisi Mh. Mbowe kuendelea kugombea uenyekiti (hata kiumri atakuwa kwenye 78 - 80), hapo Lissu angekaa vizuri na Mh. ili aanze kumuandaa kama mrithi wake. Hapo angekuja kupata Uongozi ki-rahisi, kiheshima na Heshima ya Taasisi ingeendelea kuwa imara wakati wote. Ukitafiti kwa makini utaona hii falsafa ndio anayotumia Mh. Lema.
Wewe ni mtu mwenye busara sana. Mimi sipendi siasa za kama za Kenya ambako wanasiasa hawavvumiliani. Tunapenda Tanzania yetu sana. Mungu tuepushe na mabaya.
Bora kumfadhili mbuzi kuliko binadamu asiokua na mshukurani asiekumbuka fadhili yote anauchu wa madaraka hawezi kutuongoze abadani Wacha povu limtoke uongozi atausikia tu akiwa belgium
Umemuamini kua mgombea wa Raisi basi tunamuamini kua Mwenyekiti wetu baba tuliaa 2025 upepo mwengine huu. Miaka ya mwisho shetani wengi ccm na wewe ni yesu mastahamilivu sana .
Tahadhali -ktk kupanda kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka Kwa Mungu na iliyopo imeamriwa na Mungu warumi 13:1) pia (mlee mtoto ktk njia impasayo mithal 22:6)🤝
Waanzilishi wa Taifa hili wangekuwa wanawaza kama Mbowe anavyowaza, wangefia madarakani! Thinking line yake ni kama Museveni, yaani kwa kuwa nimekufanyia ABCDs basi niache nibaki Mwenyekiti mpaka ntakaposhindwa kutembea.
Sema FAM anavyoengea japo kaanza kusema ushikaji wake na TAL lkn jamaa hii interview ya pili ana confidence sana ya kushinda kazi ipo uchaguzi wa CDM kwa team FAM na team TAL mimi yangu macho tu hapo
ongera sana mwenyekiti kwa kuwa na busara endelea nayo nakutowa na hasira uakijenga chama kuwa kikubwa zaidi hapa tanzania na uzee wako utakuwa mzuri sana jitaidi baba tuna kuombea sana ulituingiza na kutujenga wengine toka tukiwa watoto sasa tumezeekea umu naomba mungu akuongoze upate uongozi usimamishe chama
Hm mbowe mimi nakuamini nakupenda sana uongozi wako.una utu sana huyu lissu angekuwa na busara angegombea pasina kashfa.kumbukeni mh mama samia alisema mnajiita wapinzani lakini mwisho mtapingana ninyi wenyewe ndiyo haya sasa.
Mbowe tunamhitaji sana, afrika kusini Mandela alipambana miaka mingi mno mpaka akafanikiwa, nandipo akachukua miaka 4 tu yaurais, akasitafu tumwache mweshimiwa mbowe akipambanie chama kifikie malengo, wengine niwavurugaji tu
@@johnmwanja4476kwa sera hizo mnamponza mnaye mtaka atashindwa kwenye ballot box, maana inaonekana sera zenu ni kulipua mabomu tu, wala hakuna kujenga hoja?!, mihemko na Kukosa hekima kutawaponza.
Lisu hajasema viongozi wa dini na mabalozi wasimamie bali waalikwe kama waangalizi..hilo jambo sio jipya kwa nchi na sio la ajabu.Mbowe unageuza maneno na kiwadanganya wasiojua
Uongozi lazima ifikie uachie nafasi na wengine waongoze,sio dhana nzuri kukaa madarakani kwa mda mzuri,kiongozi mzuri lazima ujie unahitaji kuondoka madarakani wakati ukiwa unakubalika sio mpaka wakuchoke
oooh kumbe uchaguzi hufanyika na anatangazwa mshindi!? Inawezekana hukushinda unatanazwa mshindi! Vyama vingi duniani vikishindwa kwenye uchaguzi, mwenyekiti hujiuzuru au chama hutafuta mtu mwingine. Mtu mmoja anapokuwa mkubwa zaidi ya chama au nchi, ni tatizo. Pili neno upinzani halina maana nzuri sana kwa nchi zetu, tumebambikizwa. Hili ni tatizo.
Mbowe king’ang’anizi na ndumila kuwili 2009 wakat anagombea alisema 2014 hatagombea ilipofika 2014 akagombea wanachama tukamuunga mkono coz wapnzan wake hatukuwaamn. Akasema 2019 hatagombea 2019 akagombea akasema tena 2024 hatagombea leo tena anagombea na mtu makin Tundu Lisu yaan yeye kila anayejitokeza kugombea anaona hatoahi. Mbowe must go we stand 4 Lisu
Chadema manakufa chali mwaka huuu Hata mukimchagua Lisu hamtoshinda kiti cha Uraisi sababu Tanzania sio nnchi ya mashoga na Lisu anasapot ushoga,mwanaharakati yeyote anae pigania nnchi za kiafrika kwa ajili ya wa Africa hawezi kubali msaada wa europe au USA katika matakwa yao lazima ukubali kuwa shoga Lisu rudi kwenu Singida ukagombee ubalozi wa mtaaa kwa haliii upati hata ubunge
@@mostshareking3051 kwa zaid ya miaka ishirini kwa idhini ya wanachama na wananchi kwa ujumla but pamoja na kukaa jela alipotoka na kuwa rais ww unajua aliongoza kwa muda gan? So angeng’angania nakuwa rais kisa machawa wanamshinikiza aendelee kuwa rais. Mbowe must go its enough
Asante kwa kuchagua CROWN MEDIA, unaweza kutazama part 1 ya Interview hii kupitia Link hii: th-cam.com/video/iqoVL7Rk9L8/w-d-xo.html
TUNA TAKA ILE INTERVIEW YA YULE DADA AMEKUWA ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA RUSHENI FULL 🙏
Sasa wakuu mnaukika ganii kama lisu ana akilii mzr sasa iv
Mbowe unaongea vizuri kabisa kweli wewe nguli kisiasa
@@idrissansereko6403ni wakat wa Mbowe kuachia ngazi kwa wengine
@@CrownMediaTZ
TUNAMTAKA LISU KWENYE KIPINDI.
Kuna usemi unasema “usipomshukuru Mungu kwa kidole, hatakupa Mkono!” Mbowe is right.🤝🏽🤝🏽
Mbowe unaweza kua shekhe mzuri sana ukiwa utaslim una hikma una busara na mstaarabu na ni mungwana hasara sana chadema kumkosa mtu kama Mbowe ni kiongozi mzuri mwenye huruma na muadilifu love this guy❤
Kabsaaa...yani sichoki kumsikiliza. Yani unatamani aendelee kuongea. Pia ana busara sana
Much respect Sir Mbowe,Lissu Hana shukrani Wala maadili Hana,nasemaje Mbowe miaka mitano tena!!!!!!!!!!!!
Mitano tena Mbowe wetu❤
A true visionary leader, well-done Mr. Mbowe
CHADEMA ni li chama likubwa kuwahi kutokea Tanzania hii, linaishi ndani ya mioyo yetu, viva CHADEMA
I like mbowe,yupo confident.anajua anachokifanya.hongera mbowe.keep up.
Lisu shoga tanzania sio nnchi ya wasenge manake hata hao wasenge wanarudi kwa mungu sasa hivi
Lissu, ni mwanasheria, na Kama anavunja Sheria, mbona afukuzwi Kama ZITO KABWE😂😂, Eti mbowe anasema Dunia itamfunza. Mbona kwa ZITO na wengine maamuzi yalitokewa awakuachwa Dunia iwafunze. Yaani hata sisi memkwa TUSHA Anza kujua. Chama moja tu.
shida ni kuweka great trust kwa mwanadamu, mwanadamu yeyote bila kujali vile alivyo, kwasababu ya udhaifu wa kibinadamu lazima uwe na matarijo ya disappointment...kukosa ufahamu wa namna hii kumesababisaha watu kuumia mioyo kumechochea chuki na hata kuchukua hatua za kudhuriana kuchukua ufahamu wa namna hii kutakusaidia kuiahi maisha ya amani na utulivu wa nafsi sanaa
Huyu kweli amezaliwa na damu ya ccm ana busara sana, mungu akuongoze mtani.
Mbowe Mungu akutangulie ushinde, hongera salim kikeke na crown media kwa interview nzuri
Aise Mbowe katulia sana anamwaga point ila upande wapili😮😮😮😮
Kikeke uko juu sana kwenye tasnia ya habari watanzania tunajivunia wewe mungu akubaarik sana
Ana maswali konki na ana mda na note book wala pen
Umeongea point sanaaa nimekuftatia vzr sanaaa ww muachia mungu ndio atakusimamia ww msamehe lisu kumbka bado anaumwa ayupo sawa bdo bunduki alizopigwa dodoma sio mchezo father mbowe
Maswara yasiasa hayana cha kumuachia mungu, unapambana hadi ushindi upatikane huyu jamaa anakifanya chama sacos yakupigia mpunga tu kibinafsi, muache apambane na mhuni akili imkae sawa
Yaani yote hayo anayojieleza mpk chuki zote hizo ni kutokubali kuachia huenyekiti?? Basi kuna faida anazo pata kwenye hicho kiti
@@dinnarandrew1982 Huyu jamaa anapiga hela sana kupitia hiki chama ndo maana hataki kabisa mtu yeyote awe anasogelea hiyo nafasi, we subiri tu uone mwisho wamchezo watamfukuza Lisu hicho ni chama cha okoo na mkwewe a.k.a sacoc Mtee Mbowe🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂
Shkamoo Mbowe,busara nyingi sana na pia uko smart sana kichwani,Lissu mimi mara nyingi huwa namuona kwamba pamoja na kwamba ni mwanasheria mzuri lakini huwa ni mropokaji,hana busara na hekima.
Mbowe ni kiongozi mzuri na mwenye busara na huruma huwezi kua kiongozii kwenza kumkashif kiongozi alokusaidia ukawa huna shukran Mungu Anasema alokua hana shukran kwa mja wangu huna shukran kwa Mola wako Mbowe anasea ukweli na huyu ndie mwana siasa alojitolea maisha yake mali zake nguvu zake na ndie mwenye upendo wa chama lakini binaadamu hawana shukrani mie sio chadema lakini sasa nitaingia chadema kwa sababu ya Mboe
Waza Vyema Brother,huu niwakati wa kampeni ni issue ya Mbowe na Lisu siyo issue ya M/kiti na makamu wake na kwasababu wameamua kupambana kila mmoja anahitaji kushinda na katika kushinda huwezi kutanguliza sifa za mtu lazima ugauke ukaze moyo ndo mambo yataenda sifa zake baada ya kampeni zitaongewa…nayeye mambo yamemfika shingoni ndo anaanza kuongea mpaka mambo ya mwaka 1995 huoni kama hana point ya msingi anajitetea tuu
Mbowe ni tufan , ni bonge ya kiongozi,anaonyesha leadership,anaonyesha ukomavu mkubwa Sana,ni vile Tu kiongozi wa upinzani,chukua Maua yako MH mbowe
Lisuu Hana brek
Pokea mauwa yako mbowe 🎉❤
Naam safi kiongozi busara zako ndiyo zimetufikisha hapa big up
Busara azimsaidiii mwananchi na mwanachama WOWOTE
Hongera Mh Mbowe wewe ni kiongozi !!!
Well done mbowe ni kiongozi mwenye busara.
Salimu umeuliza swali nzuri la kuchekesha kwamba Nyerere ni rafiki wa baba Yako hajawaambukiza tabia tabia ya kungatuka hiyo ni sindano SIJUI mbowe kama umeisikia ndiyo wazo la wengi kukaa kwako muda mrefu kwenye uongozi kumeshakutia Dola aibu
Mboe uko vizuri sana Mungu Akuzidishie wewe umelelewa kwenye maadili mazuri sana
Mi Niko ccm ila huyu Mzee kakomaa kisiasa....ni mtu na nusu....mboe we umevuka kuwa mwana siasa we ni KIONGOZI.... Hongera Mzee.
Sasa kiongozi gani anayeshindwa kuwapa wenzie nafasi? Huyu abatumika , acha lissu achukue uenyekiti kwwnza alafu tuone
@nassibnassib2078 hongera Kwa kumuelewa kiongozi huyu ni mtu na nusu very kind men
Kwenye siasa kuwa na busara halaf hauleti matunda Kwa Umma ni ungese tu, huyo anatumika,
Huwa nashangaa baadhi ya watu wanasema mbowe anapenda madaraka ,,yaani ukimsikimiza utajuwa yakwamba mbowe ni mtu mahiri sana na hatotokezea mtu kama mbowe ,mtu huyu mbowe hana kiburi ,hana majivuno ,anajishusha mbele za watu,mkomavu wa siasa ,kapitia mazingira magumu yaani sifa zake hatoweza kuwa nazo mtu mwengine
@@edwardshartiel1088 duuh nazani itakua vizuri ukaangalie story yake na usikilize Kwa makini alaf urud hapa kunishukru
Tujue kutofautisha kati ya mzumgumzaji na mropokaji.Hongera sana Mhe.Mbowe kwa busara zako na umeonesha ukomavu mkubwa wa siasa
Ukitizama vizur hii interview kama kama imefanywa na chombo cha nje ya Tanzania crown 👑 babu kubwa.
Mzee Mbowe wewe ni hazina katika taifa la Tanzania MUNGU AKUBARIKI SANA BABA. UMEJAA BUSARA NA HEKIMA BABA
Well spoken. The quality of good leader.
Good leader hapokei rushwa.
Mimi ni Kada wa CCM nitafurahi lisu akishinda ili awe ana Fanya maamuzi ya kukurupuka tumchape vizuri CCM oyeeeeeee
Angalia viwango vya ufahamu vya Mwenyekiti huyu. Ogopeni sana madali wa kisiasa waliopandikizwa kwenu, wasiwaharibie kazi nzuri mliyoishafanya kwa Taifa hili.
Daah kumbe Lissu hana shukrani, Mungu akusimamie mbowe na chama chako
Kwahiyo shukrani yake ni kutokugombea UENYIKITI wa CHAMA?????
@franciscomasungulwa3820 kwa hiyo miaka yote mbowe mzuri ila sasa hivi anatuaminisha mbowe mbaya kisa uenyekiti,huyo tumemshitukia analo lake jambo.
@@franciscomasungulwa3820😂😂kutaka cheo Cha mbowe ni kosa kubwa kwa chadema mbowe amechukia sana chadema kupewa nchi Bado sana
A good dancer must know when to leave a stage
This is clear point
Umepigaje Hapo..😂😂
Well said , huyu mchagga ni mbulula
We stand with Mbowe,,,
LISUU hafai kabisa kuna mambo ambayo hayana msingi kwelikweli lakini Mungu yuko upande wako mkuu wangu sema hofu ya Mungu iendelee ndani yako nilikuwa sikujuwi mbowe leo nasikia uchungu sana watumishi wa chama ukipewa nafasi tumia lugha rafiki tu
Mungu Atakulipia bro na hau wanaokugeukia wote hawawezi kufanikiwa Mungu Anataka kukujulisha wabaya wako, Mboe you are the best Leader bro
Wewe ndiyo zawadi ya chadema na taifa letu, Mungu amekujalia neema na hekima,una kipaji na unatosha.
Mungu akubariki
Namuelewa sana Mbowe...
Akili mingi, busara za kutosha kabisa. Lissu awe mpole kidogo bhna
Mbowe ni Mtu Smart sana,ukiacha mihemko utaelewa..
Very True, watu wanaendeshwa na Mihemko sana
Lakini apumzike
Changamoto mpyaa tunahitajiii
Sio kwa lissu miyeyusho yule@@ridhiwandaud4297
Usmart wa mavazi au kwa miaka aliyo tawala tutamkumbuka kwa lipi kwa kukijenga chama au kujijenga yeye
Good speech Mboe well done bro you are the best ever napenda nisikilize tena speech nzuri kama hii Mboe is a good or very very very gooooooood Leader ❤
bwana yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu mbowe mkuu wangu
kiongozi wangu naomba nipate number yako tu
Nimekuelewa San mzee big up umeonyesha uvumilivu wa Hali ya juu San, una busara sana
for me ukiamua kumfanyia mtu wema ukisha expose ni kama una dilute blessings
Hajawah ku expose popote ila hapo analazimika kuongea kutokana na situation iliyopo + maswal anayohojiwa.
@Majambo_Duniani_Tv hapan sio sawa
hajaamua kutangaza hapa anajitetea na ujinga anaofanya Lisu.
Lisu ni kirusi cha CCM chadema
@@maftahmusa9513 mindset yetu ni kwamb ukimsaidia mtu anatakiwa akusapoti for the life haiko hivo
@@ellykindole774Ila ni busara kutambua mchango wa aliyekusaidia
Mbowe ni kiongozi aliyekamilia,Lissu bado kwenye uongozi,mawazo yangu na maono yangu hao.
Lissu bado sana tena kwenye huu uchaguzi amejivua nguo kabisa
Sio Bado Hana haiba ya uongozi kabisa
Pole sana mzee free man ukweli binadam ni viumbe hatari kuliko inauma sana pale unaposalitiwa na mtoto ambae umemlea mwenyewe ila yote kwa yote mzee mungu yupo utashinda na utaendelea kutetea kiti chako mwisho nitafute nikupeleke kwa mganga wangu tukamroge Lisu
Kila mwenye sifa anahaki ya kugombea
Mr Mbowe kazaliwa familia ya kitajiri sana. Mbali na kunyongonyeshwa kifedha ila bado mwamba sana. Ana busara sana
Nawiwa kukuoa nguvu Mr Mbowe Mimi niko Lushoto Simamia kazi unayoifannya Mungu atakusimamia
Asante Sana Sana mbowe... Unabusara sana sana
Mheshimiwa Mbowe Mungu yuko nawewe. Wanaokutukana Mungu anawaona. Tunakuombea afya njema katika uongozi wako.
Shida ya wanadamu wengi ni kwamba wakisifiwa tu wanaota kibri wanawadharau hata waliowafikisha hapo na mwisho huanguka ghafla. Mheshimiwa Mbowe kumbuka maneno haya."Mungu huwashusha walio na kiburi katika mioyo Yao na kuwakweza wanyenyekevu. So keep it up mheshimiwa.
Baada ya Kusikiliza interview hii, Nimeona wazi, Lissu ana matatizo . Kati ya watu ambao hakupaswa hata kukosana nao ni Mh. Mbowe, wasingempambania kwenda Kenya angekuwa wapi saivi? .
Mbowe anahitajika sana sana Chadema. Uzoefu alionao Mh. Mbowe inatakiwa wakina Lissu wajifunze kwanza, sio kutaka mashindano tu.
Kwa maana hiyo hakutakiwa kuomba uenyekiti?
@@JoramMwesa ilipaswa awe mrithi wa Mbowe. Tuseme ukweli Miaka 10 -15 ijayo siyo rahisi Mh. Mbowe kuendelea kugombea uenyekiti (hata kiumri atakuwa kwenye 78 - 80), hapo Lissu angekaa vizuri na Mh. ili aanze kumuandaa kama mrithi wake. Hapo angekuja kupata Uongozi ki-rahisi, kiheshima na Heshima ya Taasisi ingeendelea kuwa imara wakati wote.
Ukitafiti kwa makini utaona hii falsafa ndio anayotumia Mh. Lema.
Wewe ni mtu mwenye busara sana. Mimi sipendi siasa za kama za Kenya ambako wanasiasa hawavvumiliani. Tunapenda Tanzania yetu sana. Mungu tuepushe na mabaya.
Mpuuzi wewe
Unaelewa unachokisema: hujui siasa nje ya nchi yako bora kukaa kimya. Kenya wameshatuacha mbali sana kisiasa. Sisi huku ni usanii tu, hakuna siasa.
Ila apumzike
kaka siasa za kweli ni kuambiana ukweli ndio maana wakenya wakisema nyeusi ni nyeususi mbowe ameongoza chama kwa mda mrefu nivyema akapumzike
Bora kumfadhili mbuzi kuliko binadamu asiokua na mshukurani asiekumbuka fadhili yote anauchu wa madaraka hawezi kutuongoze abadani Wacha povu limtoke uongozi atausikia tu akiwa belgium
Umemuamini kua mgombea wa Raisi basi tunamuamini kua Mwenyekiti wetu baba tuliaa 2025 upepo mwengine huu.
Miaka ya mwisho shetani wengi ccm na wewe ni yesu mastahamilivu sana .
Wanaotaka Mbowe ashushwe wengi wao (sio wote) ni wanafuata mkumbo tuu bila shutuma au Hoja zenye ushahidi..... BenderaFuataUpepo
Hizo tuhuma lissu alizitoa wapi..? Mwenye Clip ya hizo tuhuma Tafadhali
Kufuata mkumbo Kwa watanzania ni kitu Cha kawaida sana.
Kweli, wengi hawana hoja za msingi.
Mzee umewaza mbali sana😂😂
Haya uwe kiongozi mzuri vipi hauwezi kuongoza milele,Mboye mwachie Lissu kiti,miaka 20 imetosha Tunataka demokrasia ya vitendo na si ya mdomoni
Lissu hawezi kuwa kiongozi bora trust me Chadema kitayumba milele
Kaongoze ww sasa@@KassimAlly-xp4dz
Hakitayumba so mbowe akifa chama kitakufa
Lisu ni kiongozi mzuri ila bado anapaswa kujifuza zaidi
Nimekupenda mbowe Bure hakika umejaa busara ya juu sana,
Team lissu tukutane hapa mwaga like za kutosha
Kunya kwanza
Nguvu moyaaa.lisu anatosha
Lisu kwanza
Kwanini.unararamika.nimeshajua.kumbe nimtaji wako.kama huna masrai nacho kwa nn.unararamika.urikuwa huna mpinzani.kazi unayo.LISSU. HECHE
Kunya
George kajifunze kuandika kwanza.
Ww ni senge tu
Mnyapaa hana shukran nikikumbuka Mbowe alivyokaa nae hospt nairobi zaidi ya miezi mtatu leo anamsema vibaya kweli binadamu hana shukran.
Tahadhali -ktk kupanda
kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka Kwa Mungu na iliyopo imeamriwa na Mungu warumi 13:1) pia (mlee mtoto ktk njia impasayo mithal 22:6)🤝
Waanzilishi wa Taifa hili wangekuwa wanawaza kama Mbowe anavyowaza, wangefia madarakani! Thinking line yake ni kama Museveni, yaani kwa kuwa nimekufanyia ABCDs basi niache nibaki Mwenyekiti mpaka ntakaposhindwa kutembea.
Kanye kwanza
@@edwardmassawe5116 Jibu hoja sio kuleta matusi!!! Jamaa katoa hoja ya msingi sana
We ni mpuuzi tu@@edwardmassawe5116
@@zonko0488unategemea masawe akujibuje hapo kwa mbowe
Yaani anaona unasalitiwa dah🤕😓
Sema FAM anavyoengea japo kaanza kusema ushikaji wake na TAL lkn jamaa hii interview ya pili ana confidence sana ya kushinda kazi ipo uchaguzi wa CDM kwa team FAM na team TAL mimi yangu macho tu hapo
Msisahahu kumuita TLA pia tusikie upande wake
ongera sana mwenyekiti kwa kuwa na busara endelea nayo nakutowa na hasira uakijenga chama kuwa kikubwa zaidi hapa tanzania na uzee wako utakuwa mzuri sana jitaidi baba tuna kuombea sana ulituingiza na kutujenga wengine toka tukiwa watoto sasa tumezeekea umu naomba mungu akuongoze upate uongozi usimamishe chama
Kiburi cha Mbowe kiko juu kweli ana majivuno sana wacha kura ziamue
CHADEMA alianzisha mtei akamuachia Mbowe, Sasa wafuasi wa tundu Lisu anzisheni chama chenu ili tundu Lisu awe mwenyekiti
Hm mbowe mimi nakuamini nakupenda sana uongozi wako.una utu sana huyu lissu angekuwa na busara angegombea pasina kashfa.kumbukeni mh mama samia alisema mnajiita wapinzani lakini mwisho mtapingana ninyi wenyewe ndiyo haya sasa.
@@magrethmeela154kwani CCM hawapingani? Kuwa mtafiti
@@illomowerner7690 Tumia panadol 1×3 kwa siku 1 tu utapona. Ukweli una umiza sana.
Pamesachangamka Huku😂😂😂😊
Mbowe intelectual giant unajua shingo haipiti kichwa the guy is having lawish hewish fanatacies!
Mbowe una busara sana Tena sana lakini Kwa siasa za sasa Tanzania inamtaka mtu wa aina ya tundulisu akuna namna kaka Yani uwo ndio ukweli
Good speech M.kiti, keep it up
Kikeke safi sana na wewe umetulia sio kama yule anaejiita chief odemba.
True leader, Lisu ni Mropokaji, hawezi kutunza hata siri za vikao vya ndani,hatufai,hana Koromeo,ni mswahili.
Pole sana Mheshimiwa mbowe nikweli lisu hata mimi siamini anachokionge Mungu atakulipa kwa wema uliomfanyia
Mbowe tunamhitaji sana, afrika kusini Mandela alipambana miaka mingi mno mpaka akafanikiwa, nandipo akachukua miaka 4 tu yaurais, akasitafu tumwache mweshimiwa mbowe akipambanie chama kifikie malengo, wengine niwavurugaji tu
Kwa kumckiliza mwamba hapo inaelekea ana ukwasi mkubwa sana na hapendi kujiweka wazi.. hii ni nzuri..
Kwa kweli umeeleweka Kwa ndani sana Mungu na awe nawe
Good interview, big brain from Mbowe
Mbowe is a strong leader ,God bless you always.
Mbowe unabusara sana na wewe ni Kiongozi bora sana, kwa wakati huu Chadema ikikupoteza wakati huu watajuta.
Time to go sir...mbowe your time is up huna ushawishi mkuu
Halafu unaambiwa Mbowe ana umri wa miaka 63, daah pesa hizi!!
Nouma sanaa
Miaka 21 uliyokaa inakutosha pumzika mzee mbowe
Siasa kazi mzee, haina mwisho going way back…..salim kikeke is a seasoned media icon
Aah mbowe mbowe mbowe uko juu sana kisiasa.
Anyway Mbowe is very smart and wise
Propaganda kaka hakuna mwanasiasa asiyejua kujitetea
Mabadiliko ya uongozi ktk taasisi za umma au vyama vya siasa hayaepukiki. Bila kupokezana Chama kitakufa.
Hakuna mtu anayekataa mabadiliko ya Uongozi lkn tunakataa kuchafuana kwa lengo la kushinga Uongozi wa chama.
Kuchafuana sio sifa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi bora.
Wisdom ya mbowe is the best
Unapokurubuka kuanza kukiuka mwenyekiti wa chama na kuanza kusema mambo siyo unatumwa na ni
Huyu Tapeli..kala hela ya Abdul haafu analeta porojo tu hapa..CHADEMA SACCOS..
@@johnmwanja4476kwa sera hizo mnamponza mnaye mtaka atashindwa kwenye ballot box, maana inaonekana sera zenu ni kulipua mabomu tu, wala hakuna kujenga hoja?!, mihemko na Kukosa hekima kutawaponza.
Jaman mbowe tunakupenda sana kama kiongoz wetu na huna baya lakin kwahili tupishe muda umekukataa
MBOWE PLEASE MSAMEHENI LISU AMETOKA JUZI KWA DOCTOR WAKE 😢😢😢😢AMEONGEZEWA DOZI NDIO MAANA ANAROPOKA HAJIELEWI
Punguani wewe
Aise yaani maoni yako kama kusema ukweli kuwekewa dawa kila baada ya miezi 2, ili uishi is not easy. Amsamehe
Amsamehe kwa kisa gani? Mngekuwa ndani ya chdema mngeyajua mengi. Na Lisu siku akifungua mdomo vizuri mtatahayari
Lisu Hana akili za busala ila anaakili kusoma nahizo do zinazoitesa Tanzania kuludi nyuma kimaandeleo
😂
Hilo swali ungemuuliza yeye angesaidia zaidi. Nice comment
Lisu hajasema viongozi wa dini na mabalozi wasimamie bali waalikwe kama waangalizi..hilo jambo sio jipya kwa nchi na sio la ajabu.Mbowe unageuza maneno na kiwadanganya wasiojua
Lisu Kama anawataka wachungaji na waangalizi kutoka nje si awaalike??
live Long charismatic leader mbowe ❤❤
leo umenibariki sana sana
wewe hekima zako kubwa sana
Hongera sana mwenyeketi wetu❤
Mbowe must go please tumekuchoka😢
Na nani
Umemchoka wewe,kaanzishe chama chako
Nenda CUF
Our father mbowe uko sahihi kbx kwa maelezo hayo
Tatizo Mbowe anaamini kuwa yeye pekee ndiye anayeweza kuwa kiongozi wa Chadema. Huyu ukimpa urais wa nchi haachii nchi.
Team, musevenii na kagameee huyooo😅😅😅
Unajua Mandela aliongoza mapambano kwa muda gani!
This we call maturity!!!!
Ukiangaliya vizuri Kikeke ni mpenzi wa Mbowe anamapenzi mazuri ndio maana anatabasamu kila muda Mbowe akiongea .
Mbowe ni true leader
Uongozi lazima ifikie uachie nafasi na wengine waongoze,sio dhana nzuri kukaa madarakani kwa mda mzuri,kiongozi mzuri lazima ujie unahitaji kuondoka madarakani wakati ukiwa unakubalika sio mpaka wakuchoke
Wiseman Mbowe, nakubali sana hekima na utulivu wako
Uwezo wako umefika mwisho, na dalili zako zote sio mpinzani true
Jinga
Kuma wewe
KUMSAIDIA LISSU, haimaanishi kama sifa za Uwenyekiti anazo asigombee, kisa Alisaidiwa, PUMZIKA MZEE.
Inshu sio sifa inshu ni lissu anavyomuongelea vibaya mbowe ndomana jamaa haamini anayoyasikia ikiwa kamsaidia parefu
mbona walimpa kugombea urais, kwa nini asiwe na vigezo vya kuwa mwenyekiti..
Lisu shoga mmbowe anaona mbali tanzania sio nnchi ya mashoga
Acha unga Lisu hafai afuate aliyemshawishi kumvuruga Mbowe ili chama kife.
Kugombea urais hakumpa mamlaka ya kukosa utovu wa nidhamu! Lisu ni tatizo ktk Dunia kwa Sasa hivi.
oooh kumbe uchaguzi hufanyika na anatangazwa mshindi!? Inawezekana hukushinda unatanazwa mshindi! Vyama vingi duniani vikishindwa kwenye uchaguzi, mwenyekiti hujiuzuru au chama hutafuta mtu mwingine. Mtu mmoja anapokuwa mkubwa zaidi ya chama au nchi, ni tatizo. Pili neno upinzani halina maana nzuri sana kwa nchi zetu, tumebambikizwa. Hili ni tatizo.
Ukweli mbowe ni mwanasiasa na anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema anajua kujieleza na ana msimamo
Kaka mboe nakuelewa sana pambana hadi uiache mahali pazuli ndio hupumzike hao wana taka huondoke ili isambalatike chadema