MAPENZI YANAUMA | Full Movie
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2024
- MAPENZI YANAUMA | Full Movie
Ni filamu inayomuelezea kijana Adam ambaye anayatoa maisha yake kwaajili ya kupambania penzi lake kwa Selina mwanamke aliyempenda sana na kubeba mimba ya mwanaume mwingine.
Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.
#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #hubajeusi1 - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Tafadhalini, ukimaliza tu kutazama filamu, hebu fanya jambo la ungwana kwa kubonyeza alama ya LIKE...ili tukiwa na VIEWS 3000 kwa mfano, nazo LIKES ziwe 3000, yaani.ziambatane
Asante sana
Sawa
Adamu
Good
Waminifu ni kitu kizuri jamani.
Unaona hivyo mnavyokimbilia kuview vivyo hivyo muache like kama mnafurahia kupendezwa na filamu achieni Adam like basi nanyie❤
Shukrani sana
Sinema nzuri, ya huzuni na pia mafunzo...ila tu sisi wanaume tusionyeshe udhaifu wetu wa kupenda kwa kujitoa uhai...kila siku panapo pambauka, maisha huanza mwanzo..na mapenzi pia yaeza kuanza upya
Kabisa kabisaaa
Nilikua Niko BZ Sana na majukum mnisamehe washiriki wote tunaofuatiria filam ya Adam. Na wezie maua yenu🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Shukrani
Kazi nzuri sanaa❤❤..Napenda combination ya Adam na nyuki
Asante
Adam leo unafanya kazi nzur sana hongera mungu azidi kuinua kipaji chako inshallaaah
Amen
Tutanunua papas na maziwa tutaweka ndani😂😂😂nimecheka sana😂
Jamani kwani nimekosea!
Mapenzi bana ni hatari sana😩😩🤣🤣
From zanzbar
Leo nimefika on time team Adam hoyee 😂😂😂😂
Thanks
hoyeee tupo team Adam
Adam napenda sana movie zako sana
Shukrani
Daah, noma hii kabisa. Ni nzuri sana, big up kwenu nyiote.
Shukrani
@@AdamLeoStudios haya
Hongera sana kaka Adam sasa hivi unapiga Kazi bandika bandua
Shukrani endelea kuwa hapa kwa pamoja tujenge taifa
Pongezi sana madam sofi kw ushauli nzuli🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Umetisha sana Adam hadi pampas ulitaka uanze kununua😅😂😂😂😅
Acha kabisa na bado nikaachwa
Hata kama lakn sio vizuri kuambia mtu ivo
Shukrani
Nzuri na Ina mafunzo sana hongera sana Adam kazi nzuri.
Shukrani
Congratulation my young brother Adam!!
Thanks
Adam kaz nzur sana
Asante sana
Adam napenda filams zako. Na unanekana kijana mstaarabu sana.
Shukrani sana
Move kali sana kaka Adam ila ndevu kaziweke saw kama unavyo wekaga unakua poa sana ❤
Movie ilitaka hvyo
Filam iko vizur Sana nawapenda wote❤❤❤❤
Shukrani
Hapo kwenyekuanza kununua pampas imebidi nicheke😂but hongera sana Adam kaz nzur🎉
Asante sana
Adam Leo umewezwa Wah,jibe shuguli baba
Jamani Adam napenda sana Movie zako wlh Yani We mwamba kbx Congratulation for u my brother ❤❤❤
Thanks
Kwakweli inauna sana Adam pole sana kakaangu 😢😢😢😢
Shukrani
Nimejifunza..ukipendwa pendeka😢😢
Umeona eh
Kazi nzuri ❤❤❤
Asante
Tunachofeli wabongo ndo icho inamana mpaka mimba inakuw kubwa hajafumua nywele😂😂😂
Acha kabisa! Bajeti hatuna ndugu zako! 0766135528 Mpesa ukituchangia kidogo utakuwa umetusogeza.
Wow❤kaka nyuki .naona hivi soon ukifikia adam kwa upande waushauri 😋😋😋mbele yangu naona niko na makaka wawili shupavu💪 wa kuzidi kunielemisha na kunifunza njinzi nitakavyo ishi na wenzangu hapa duniani.ndomana muliitwa kaka nyuki mwenzio kaka adamu.pokeeni maua yenu kwa kazi nzuri mnayo ifanya❤❤❤much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏
Wa 8 kazi nzuri sana
Au sio
Adam unafanya Kazi nzuri san ❤❤ from Burundi 🇧🇮
Thanks
big up brother Adam🎉🎉🎉🎉❤
Thanks
Dah kuna mchongo nausikilizia mwamba pole bhana ndio mapenzi ayo ... Congraturation adam leo
Thanks
Nakushauri Adam wajana na huyu Selina juu amekuzarau vibaya
Kabisa
Hakika ni nzuri sana na inamafunzo mazur ,hongera sn Adam kwa katuelimisha
Amen
Comment na like before nione ❤❤❤
Asante baba
Nampendaga uyu Sophia anajua sana afu mzuri na rangi yake so mwaaa 😍😍❤️❤️❤
Shukrani
Movie nzr nmeipenda inamafunzo
Thanks
Nakupenda bure🇲🇿🇲🇿
Thanks
Upo juu Adam hongera hawakuwezi kila la kheri katika kazi zako❤
Asante
Alaaaaa leo nimemuona Sofi uliteact nae Moyo wow ni muda sijamuona kwenye movie nyengine ❤
Anakusalimia
@@AdamLeoStudios nimezipokea nampenda huyo mdada from Kenya
Nyuki na adamu nakubari kazi nyuri sana
Shukrani
big up adam muvie zako ni kali sana piga kzi kaka
Shukrani
Adam naww hizo ndevu hazikupendezi😢
Fanya mpango basi ka hela kidogo nikanyoeee
acha husda
Mwanaume unapenda unaingia hadi miguu 😮
Yaani upendo ulizidi
Wow nice 😊😊
Thanks
Pole sana adam baba selina hakufanya vizur lkn pole salimia wote. Kwa bwana yesu
Amen😂😂
Move kali sana
Asante
One love ❤
Thanks
Nampenda huyo dada
Anajua sana kuigiza kwa kweli🙏🙏
Nipende mm Adam 😌
Jaman mnaferi wapi kulike ki chapu Kwa haraka wakuuh❤
Shukrani kwa kuona hilo🙏🙏
@@AdamLeoStudios kaka MUNGU ni mwema pole pole ndo mwendo Dua tyu kakangu
Mmi ndomana nimeamuwa kuacha mapenzi nikachaguwa kutafuta pesa kisa sitaki stress za mapenzi
Acha kabisa😢😢
Pesa sio kila kitu kuna muda lazima mwili utahitaji haki yake
Nkweli
😅😅😅😅umeona eee
@@Nailaty564utapata tu wakukunyoosha viungo
Nampenda huyu Selina na yule mwenzake Salma ni warembo Ma Sha Allah. Wanajua kuact
🙏
Mambo ni moto 🎉🎉🎉 mm kaz yang kuwapelekea stust2😂😂
Shukrani
Kabisa kazi nzuru kwa adam
Shukrani
Ndio mkubwa
Sio mambo izi Siku mbili mbona
kaz nzuri sana🎉❤
Shukrani
Kwli tujifuze
@AyubIyow ni kweli
Congra movie kali Adamsleo..🎉🎉
Thanks
Wow! Nimeshafika jamani
Shukrani
Adam utamwambia nn dawa yako maana alisema ataanza kununua pampas kuanzia sasa😂😂😂
Yaani
From kenya
Thansk
Adamu please ungeweka hii sound truck nmeielewa sanaaaa
Sawa
Sitajali ni wakike sitajali ni wakiume nitampa jina la mama angu 😂😂😂 Ila Adam 🙌🏾
Naam😂😂
😂😂😂
WA 9 kutoka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Shukrani
Pole sana yalikukuta na hongera kwa mafunzo❤❤❤❤❤❤❤
Shukrani
Adam usilie mwaya njoo kwangu😂😂 utn tu but mov nzur sanaa❤❤
Asante
Wapili jamani nimefurahi
Asante
Tamaa mbaya tujifunze kitu hapa Selina kimewaka 😢
Kabisa
Kabisaa adam njoo kwangu mimi ni slay pia
Hayaa
Adam🎉🎉🎉🎉🎉nyuki🎉🎉🎉🎉❤ good job my brothers and sisters ❤❤❤❤
Thanks
Kazi nzuri sana Adam 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Shukrani
Movie tamu 🎉🎉🎉
Thanks
Very nice u should respect true love❤
True😢
Unafanya vizuri kukata iyo mimba🎉🎉
Eti eh
Ndaaani kaa kawa❤❤
Ume like?
Nakosaje? Nakwan ushafufuka? 😅
Si ndiyo mwenyewe najishangaa nililala tu pale
@@AdamLeoStudios 😂😂😂♥️
Karibu kulenga story nyengne ukitowa mapenz ila kaz nzuri brooo
Asante
Kazi nzuri ndugu yangu❤❤
Asante
Kenya Watching, twapenda
Shukrani
Nimependa sana kazinzul
Asante
Unajua kaka,yaani mpaka nikalia hapo mwisho kweli mapenzi yanauma😢😢nimewai yapitia😢😢😢
Polee
Napenda sana kuanglia move za adam leo lkn sasa apo jamn miez kadhaaa lkn nywele hazjawai badilka kichwan kweli!!!😢😢
Sawa
Jaman wakwanza naomba likes zangu
Shukrani
❤
Adam pongezi kwako
Shukrani
Love nyingi toka kwa @Juma Saada
I see u bro🫡
Movie nzur na inamafunzo mazur❤❤❤❤
Asante
❤❤Apo sawa Adam napenda kazi zako ubarikiwe bro
Shukrani endelea kuenjoy
Aiseeee
Thanks
Unajua kk
Asante
nimetamani kulia wallah,inaumizaa sanaa😢😢😢
Polee
Aaah Adam,una lia bro
Nimeumia😭
Wa mwisho ila kali sana ❤❤🎉🎉
Thanks
Kaz nzur maashallah ❤️🥰
Shukrani
Selina mwali wangu mwanamke nangai abebi mimba y Mume wa mtu..bora ungebaki na adamu kwanza yupo na sauti ya mahaba mashallah...pesa tu ndo hana
Kweli
Wooooi adam😢😢😢😢 jipe moyo bro yote yawezekana❤❤❤bilahuyo selina
Pesa nitapata tu😂😂
Jaman adam leo ulisema leo kuna movie unatoa sijaiona mpaka sasa inatoka saa ngap
Umeme kesho saa 4 tunaiweka
Wow so nice 😊
Thank you! Cheers!
Hahahaahh hapo ndio wanawake tunajichanganya unapishana na mtu anayekupenda unahangaik na anayekulipia kodi eti na chakula hata huyo uliyemkataa na hana kitu ndiye kusudi lako ulilopangiw na Mungu huyo anayekulipia kodi tu aliyempa nae ni Mungu maish na mafanikio ya mtu ameyaficha Mugnu mwenyew hata unayeona hana leo kesho atapew tu naye na Mung
Kabisa umeona eh
Anayelp kod ndo jembe aeshimiwe
Good job ❤❤
Thank you so much
Hongera Adam na timu yako😊
Asante
Jamanii nimeliaa 😢😢😢😢 mapenzi yanauma sanaa😢😢😢
Umeona eh
Waooh nyuki unaongea kweli kabisaa...
Naan
Nimeipenda kwa kweli ❤
Shukrani
Nampenda huyu bint❤️
❤️❤️