SUMU YA PENZI | Full Movie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2024
  • SUMU YA PENZI | Full Movie
    Ni filamu inayomuelezea binti Susu ambaye anashindwa kuitetea ndoa yake na kuiacha idondoke kwenye mikono ya mwanamke mwingine.
    Casting: Adam Leo, Adam Mwasa, Zainab Jamal and Kado Actor
    Follow us on instagram @adamleotz
    #film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #sumuyapenzi
  • ตลก

ความคิดเห็น • 439

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 15 วันที่ผ่านมา +24

    adam umeeka rikodi kwa kutoa muvi mpya kila baada ya wiki mbili sidhani kama kuna msani anaeza kutoa muvi mpya kila baada ya wiki mbili akika ww ni kiboko ya wasanii wote Bongo muvi

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  15 วันที่ผ่านมา +1

      Shukrani endelea ku enjoy

    • @Erickoomemutuma
      @Erickoomemutuma 14 วันที่ผ่านมา +1

      Tena za muda mrefu ongera kaka

    • @user-pw2sw1sk1b
      @user-pw2sw1sk1b 13 วันที่ผ่านมา

      Hakuna hata kumalizia kwao shida

  • @FunnyBeachChairs-vj6ez
    @FunnyBeachChairs-vj6ez 15 วันที่ผ่านมา +6

    Uko vzr kaka movie zko zinamafunzo kweli nkupenda bure chukua maua yko🎉🎉🎉🎉🎉

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 15 วันที่ผ่านมา +10

    Adam uko vizuri kaka ,mwanamke huyo hakufai kaka ,hana future kabixa naomba uachane nae

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  15 วันที่ผ่านมา +1

      Sawaa

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 15 วันที่ผ่านมา +1

      mwanamke mwenyewe anaitwa susu ,ni km masusu ya kuku tu 😂😂😂 @AdamLeoStudios

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 15 วันที่ผ่านมา +4

    Ila wanawake tutafika tumechoka hoiiii good job Adam tupo tunainjoy na kujifunzà kupitia Kazi zako Mungu azidi kukubaliki

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  15 วันที่ผ่านมา

      Shukrani

    • @youngb8672
      @youngb8672 14 วันที่ผ่านมา

      Naunga mkono hoja

  • @yusuphmwanza4405
    @yusuphmwanza4405 8 วันที่ผ่านมา +2

    Movies za kibongo bado zinachangamoto nyingi sana
    Dakika tano zote anaonyeshwa Adam na mke wake tu

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 วันที่ผ่านมา

      Haya

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe nawe hebu wape moyo kidogo, nchi yetu Ina changamoto sana hasa kwenye tasnia ya filamu ila yote kwa yote wanajitahid.

  • @AminaYazidu
    @AminaYazidu 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah kazi nzur Adam mung azidi kukupa afya njema uzidi kutupa mafunzo ❤❤ila umefanana beby wangu balaa 😊😊 penda san mov zako

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 15 วันที่ผ่านมา +4

    Duuuh Adam Léo unaweza kweri nakupenda sana kazi yako ata Mimi nankutamani sana ila sina jinsi kwasababu nimeolewa EP 2 kkkkk

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  14 วันที่ผ่านมา

      Hahahah jamani Mungu akujaalie kheri kwenye ndoa yako

  • @user-ee8xb1tl5n
    @user-ee8xb1tl5n 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ebwana adam unajua san hongera pili namm nataka kuigiza kaka kama kuna uwezekano nipee namm nafasi kaka

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri sana yaani nimejifunza, nikiolewa siez kua mwanamke mjinga na kuondoka kwa mume wangu kwa sababu tuu ya changamoto ndogondogo, kumbe ndoa inahita uvumilivu, nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @EsterinaMbembati-mg8iy
    @EsterinaMbembati-mg8iy 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna chakujifunza mungu atusaidie ❤

  • @user-xt9dy3yj5m
    @user-xt9dy3yj5m 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera kaka mm nkukubali nataza Sasa nikiwa Kenya ❤❤❤❤❤❤

  • @user-qd7ey5cp5s
    @user-qd7ey5cp5s 15 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani huyu mwanamke hana akili kabisa😢badala a 4:49 support mume wake anafikiria kitanda duh😏💔Adam enda mbele na plan zako❤🎉🎉🎉🎉

  • @kirungusaid1273
    @kirungusaid1273 13 วันที่ผ่านมา +2

    Daaaah jamani Adam nimekupenda bure Adam nakupenda❤❤❤ kula chuma icho naitwa Asha from Arusha

  • @RechoMasele
    @RechoMasele 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda saan Adam ❤❤na fulaha hiia movie zako mungu akutie nguuvu 🎉🎉❤

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 12 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda sana move zako adam❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AdeltrudaKimizye
    @AdeltrudaKimizye 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri sanaaa, napenda movie zenu Adamu ❤️❤️🙏

  • @Saumu254
    @Saumu254 15 วันที่ผ่านมา +3

    Watatu leo😊😊😊 Kaz mwaaaah 🎉🎉🎉🎉 kongole Adam

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 14 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂Ila kk Adam unapenda sana kula makande😂😂😂kila movies nime Pika makande

    • @celinamboga581
      @celinamboga581 14 วันที่ผ่านมา

      Adi amenifanya nigoole nijue ni chakula gani😂😂😂kumbe githeri mahindi na maharage waah🙄🙄

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  14 วันที่ผ่านมา

      Hahaha jamani

    • @user-mc5zb3ox9c
      @user-mc5zb3ox9c 11 วันที่ผ่านมา

      Makande 😂

  • @mayungamassawe7088
    @mayungamassawe7088 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanangu unajuaa . Unampendaa apendekii bora upige chini . Ila kwenye misimamo upo vzurii mno pigapu . Sana nimeinjoii

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  15 วันที่ผ่านมา +1

      Shukrani kaka

    • @mayungamassawe7088
      @mayungamassawe7088 15 วันที่ผ่านมา

      @@AdamLeoStudios usijalii kaka nipo bega kwa bega . Unafanya kazi nzuri mno kijuml unaweza 💪💪🤝

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 15 วันที่ผ่านมา +2

    Funzo zuri sana hilii...............hongera Adam 😊

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  15 วันที่ผ่านมา +1

      Asante

    • @liylahahmed829
      @liylahahmed829 15 วันที่ผ่านมา +1

      Filam zko ni nzurii sana cjawah kupitwaa

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 13 วันที่ผ่านมา +1

    Adam pambana ununuwe kiwanja cako kuishi kwako raha uyo mwanamuke lofa sana mwanamuke anapiganiya kupata kitanda tu nanyumba yenyewe ya kulipa codi 🤔😏❤🇧🇮🇧🇮

  • @IrankundaDevotte-yu4nm
    @IrankundaDevotte-yu4nm 7 วันที่ผ่านมา

    Adamu uko vizuri movie zako ndefu san tunapenda san alfu kuna mafundisho ❤❤❤❤🎉

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b 13 วันที่ผ่านมา +1

    Interview imegeuka mama kijacho,pambeee susu kayakanyaga mwenyew

  • @user-qh9yd9xk1x
    @user-qh9yd9xk1x 11 วันที่ผ่านมา +1

    Movie za uyu jamaa huwa nazifatilia sana zinafundisha sana.big up brooh kazi yako nzuri.

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 11 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda movie zako adam

  • @user-bi9lm6dg3i
    @user-bi9lm6dg3i 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka Adamu uko vizur huyo mwanamke hakufai

  • @Riziki-ek3ko
    @Riziki-ek3ko 14 วันที่ผ่านมา +1

    Adam tupo pamoja 💪

  • @mutambabil
    @mutambabil 5 วันที่ผ่านมา

    Bolingo ezalaka pasi vieux na nga Adamu. Film oyo eza elengi. Big up kaka !

  • @user-oy5fn8du4u
    @user-oy5fn8du4u 14 วันที่ผ่านมา +1

    Move nzur masha allah ya funza

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 13 วันที่ผ่านมา

    Kweli kaka Adam unafunza vitu sahihi❤❤❤❤ nmependa sana kaka Adam

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kwaiyo Adam Watuambie Uyo Bint Interview Ndio Nae Kapita 💯

  • @ZainabuSalimu-zq8fz
    @ZainabuSalimu-zq8fz 15 วันที่ผ่านมา +1

    Honger san kak adam kwakaz nzur

  • @charlesbenard6415
    @charlesbenard6415 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mwana wanakubania tu award's ila wewe unastahili mzeiya 🤝

  • @margaretandei6186
    @margaretandei6186 13 วันที่ผ่านมา +1

    Present ❤

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c 14 วันที่ผ่านมา

    Kenya Watching

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 15 วันที่ผ่านมา +2

    Adamu nimekupenda san kaka angu fukuza shenzi uyo mjinga asie jielewa😂😂😂

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 9 วันที่ผ่านมา +1

    good movie

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanamke kama huyo hana faida yyte Kw MAISHA....Yani mwanamke mbinafsi Hana ata aibu.... mdomo uko wazi kma Chura...watu design kama hio hawana faida yyte Kwa hili taifa 😢

  • @WitnessDaffi
    @WitnessDaffi 15 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda misimamo ya Adam❤🎉

  • @MwasitiMsasu
    @MwasitiMsasu 15 วันที่ผ่านมา +1

    Leo nimewahi u😮 ❤❤❤🎉

  • @user-ep5ss8je3t
    @user-ep5ss8je3t 15 วันที่ผ่านมา

    Hongera ❤🎉🎉KaAdam movie zako zina elimisha Sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 14 วันที่ผ่านมา +1

    Susu mtu akiamua kutafuta mwenza wake kumaanisha ametafuta msaidizi..akikwama umsaidie na umpe moyo..na sio kumuumiza kwa ubinafsi wako.eenh maisha magumu haya usitegemee kz ya mume..laxima mume kz mke kz ili msaidiane majukumu.haya sisi tuko waarabuni twaosha vyombo vya waarabu.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  14 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli kabisa kabisa

  • @user-dk8mm9vi3y
    @user-dk8mm9vi3y 15 วันที่ผ่านมา

    Simu yangu imegandia kiganjani niki tazama movie🎬 zako hapa Jijini Nairobi
    Mie Mkenya. Ewe ❤

  • @yonzyonz7343
    @yonzyonz7343 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Adam,,kazi nzuri sana❤❤❤❤❤

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 15 วันที่ผ่านมา +1

    Wakwaza mimi nipen lak zangu ❤❤❤❤

  • @user-pj1vo8eq7g
    @user-pj1vo8eq7g 12 วันที่ผ่านมา +2

    hahaha kuwa na wanawake wa tatu wa akili kama huyu dd aisée utafa masikini kabisa 😅

  • @user-sk7un6ls2t
    @user-sk7un6ls2t 15 วันที่ผ่านมา +4

    Wahenga walisema bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa😂😂❤🙌🙌

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  15 วันที่ผ่านมา +1

      Yaani acha kabisa

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp 15 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kweli ila kitanda kitafutwe pia

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 15 วันที่ผ่านมา

      amina

    • @BennyMartine10
      @BennyMartine10 14 วันที่ผ่านมา +1

      Unaijua bei ya tofali lakini?😂

    • @user-sk7un6ls2t
      @user-sk7un6ls2t 14 วันที่ผ่านมา

      @@BennyMartine10 😂😂😂😂🙌

  • @user-qh9yd9xk1x
    @user-qh9yd9xk1x 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa anapenda kupika makande

  • @user-bm1oe9lh1m
    @user-bm1oe9lh1m 15 วันที่ผ่านมา

    Mapema ndy best🎉❤

  • @jacklineminja-fg9ji
    @jacklineminja-fg9ji 14 วันที่ผ่านมา

    Big up sana adam unajua sana pindi ninapoangalia kazi zako najifunza vitu vingi sanaaa kwenye maisha mungu aendeelee kukuwezesha ufanikiwe

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 13 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu dada nae kumlazimisha mwenzie akae na kidada na ndoa yake bado changa si akae nae mwenyewe

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 14 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana broo Adam napenda sana movie zako ❤❤❤

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hehehe hatk boda anataka TV jmn😂😂😂😂😂😂😂

  • @levinaleonard7652
    @levinaleonard7652 14 วันที่ผ่านมา

    Asant adam movie zako nzuri na zinafundisha

  • @misstee102
    @misstee102 14 วันที่ผ่านมา

    Adamu una kipaji kikubwa mnoo😊ufike mbali aisee movie zoote zimekaa poa❤nipe namba nikupe hata ya juice kidogo😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  14 วันที่ผ่านมา

      0652393960 whatsapp 🙏🙏

  • @WinnieAlessia
    @WinnieAlessia 3 วันที่ผ่านมา +1

    I like your video

  • @rechokizumbe7314
    @rechokizumbe7314 14 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 heee mwanamke anawaza tv na kitanda badala ya awaze maendeleo anayofanya Mumewe jamani

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 13 วันที่ผ่านมา +2

    Sitaki kabisa kukaa na vidada kwangu

  • @HamzaKitutuma
    @HamzaKitutuma 15 วันที่ผ่านมา +3

    Ama kweli ukikosea kuoa, unaenda kufeli maisha ❌❌❌

  • @mickyboytz247
    @mickyboytz247 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna somo kubwa sana umu

  • @user-sk1xp8of6x
    @user-sk1xp8of6x 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanamke mapepe yaani shida ya ndani Kila cku matangazo Adam amechukua chombo na katoto atapata muda c mrefu!!! Wanawake tulieni ndoa ni kuvumiliana!!😅😅

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 13 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo dadake susu sio mtu mzuri kwa mdogoake ndio maana kakitegesha kidogo chake kingine shenzi kabisaa

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 14 วันที่ผ่านมา

    Nipo jamani, nawapenda sana adam studios

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e 14 วันที่ผ่านมา

    Natamani ningepata mwanaume kama Adamu mwanaume jasiri hongera❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona nimemmic sabra yuwapi mbona simuoni kwenye movie😊

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 14 วันที่ผ่านมา

    Nice one❤❤❤

  • @user-bt6el2co9h
    @user-bt6el2co9h 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤kuinjoy ahsee MUNGU akuwekeee saana bro

  • @user-ll7np8td7x
    @user-ll7np8td7x 14 วันที่ผ่านมา

    kazi mnzuri mashaailah

  • @user-gy1tu7wv8d
    @user-gy1tu7wv8d 15 วันที่ผ่านมา

    Nzuri sana

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 15 วันที่ผ่านมา

    Mafunzo mazuri ❤❤safi sana Adam ❤❤❤❤

  • @user-td9qt3yr6d
    @user-td9qt3yr6d 14 วันที่ผ่านมา

    Yani unapenda sema sana ndugu zangu wa moro au kakngu adamu na ww wa moro au nimepata funzo zuri sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  14 วันที่ผ่านมา

      Hahaha nawakubali wa moro wote

  • @sophiarashidi5903
    @sophiarashidi5903 15 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri adamu

  • @MusaClement-tw6om
    @MusaClement-tw6om 14 วันที่ผ่านมา +1

    Big up brother adamuuuhhh

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 14 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwanamke hakufai kabisa muone na midomo yake anaipanua bila woga hana haya

  • @GarciaLameck
    @GarciaLameck 14 วันที่ผ่านมา

    Mimi napenda tu ukizungumzia kupika makandee jamani🙌itakuwa unayapenda sana😂😂

  • @jofreymzungu2874
    @jofreymzungu2874 15 วันที่ผ่านมา

    biger up my brother kaz nzur tuko pamoj 🤝

  • @user-ti3bt2cl8g
    @user-ti3bt2cl8g 15 วันที่ผ่านมา

    nzuri sana 🎉

  • @SINKOLONGOISAAC-kz5jk
    @SINKOLONGOISAAC-kz5jk 15 วันที่ผ่านมา

    Adam mungu azidi kukubaliki buloo 🎊🎉🎉🎊🎊🎊🇿🇲

  • @paulinekombe3753
    @paulinekombe3753 14 วันที่ผ่านมา

    Good job Adam🎉🎉

  • @user-mt6vw7bo2k
    @user-mt6vw7bo2k 12 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo susu linaoboa alina ata aibu 😂😂😂😂😂chefuu imebid nicoment bila kumaliza kuangalia mana linatia aibu kwa kweli,

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  12 วันที่ผ่านมา

      Jamanii

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 วันที่ผ่านมา

      Hii ni filamu tu ndugu yangu, yabebe mafunzo tu na ujumbe ila usiwawekee uhalisia wa filamu kuwa ndo maisha yao binafsi.

  • @user-mc5zb3ox9c
    @user-mc5zb3ox9c 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nenda adamu

  • @happneswiliam1499
    @happneswiliam1499 15 วันที่ผ่านมา +1

    Adam ukitaka kuect na mwanamke uwe una ecti na Hidaya yule anajua kushika uskan vizur

  • @EliezerIrakoze
    @EliezerIrakoze 15 วันที่ผ่านมา

    Good Jobs ❤❤❤

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 15 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri 🔥 ila uyo mwanamke hayupo tayar kufanya maendelezo ya kimaisha naww

  • @bostonbasta2737
    @bostonbasta2737 15 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ from Zambia

  • @Georgevasco-dq7bg
    @Georgevasco-dq7bg 14 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉❤❤❤ Kali sana kutoka Lusaka zambia

  • @nikalegona145
    @nikalegona145 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pole kwa mwenza wako hana hata akili

  • @AbibaSalleh
    @AbibaSalleh 14 วันที่ผ่านมา

    Adam umenifurahisha.kumchukuwa.uyo.shemela

  • @mejumaamwachirero7324
    @mejumaamwachirero7324 9 วันที่ผ่านมา +1

    Adam huyo Mtoto akizaliwa kaupendo kanahama kwa mtoto hapo sasa niite Nike niwe make mdogo niendeleze upendo na amani kama huto mind 😂

  • @akimanakathykelly1673
    @akimanakathykelly1673 14 วันที่ผ่านมา

    Adam tupe part 3 ya ile films ya Aibu yangu mbona haitoki tena

  • @user-vt3zt9cd4y
    @user-vt3zt9cd4y 13 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤

  • @narynary2173
    @narynary2173 14 วันที่ผ่านมา

    adam una shida gani na WARUGURU , sio mala ya kwanza hii, kwenye LAANA pia umewasimanga sana.....nataka majibu yangu leo hii kama ili ADAM....

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  14 วันที่ผ่านมา

      Nawapendaaa😂😂😂nikipata binti wa morogoro naoa😂🥰🥰

  • @Aishaynah_innah
    @Aishaynah_innah 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤
    We Adam nikikuon Morogoro moja kwa moja police😂😂😂
    Ila we mwanamke duu hatar

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  14 วันที่ผ่านมา

      Hahahah nakuja Morogoro na nataka nikuonee

  • @LucyKinya-mm5iq
    @LucyKinya-mm5iq 14 วันที่ผ่านมา

    Nice job adam

  • @user-ho1fl1eg8n
    @user-ho1fl1eg8n 14 วันที่ผ่านมา

    Good job Adam

  • @user-ye2fy2mi2w
    @user-ye2fy2mi2w 12 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤🎉

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi zuri ila bora ange pata mwanmke mwengine siyo mdogo wa shoga ake

  • @EmmanuelSima-qz1gd
    @EmmanuelSima-qz1gd 15 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥

  • @user-lz8kb9ds8k
    @user-lz8kb9ds8k 15 วันที่ผ่านมา

    Love yu guys❤❤❤from 🇰🇪

  • @IsayaTarakwa
    @IsayaTarakwa 14 วันที่ผ่านมา

    Nawakubali kaka