Girl learn through HARD way from her dad how to run business//BabaOlivia Episode 06

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #ENGLISH CAPTION AVAILABLE #Gabozigamba, anayejulikana kwa upendo kama Baba Olivia, anamfundisha binti yake Olivia sanaa ya kuendesha biashara yenye mafanikio. Tazama jinsi anavyoshiriki masomo muhimu, vidokezo vya kiutendaji, na uzoefu halisi wa maisha ili kumsaidia Olivia kuendesha ulimwengu wa ujasiriamali. Kuanzia kuanzisha duka hadi kusimamia fedha, mwongozo wa Gabozigamba ni ushahidi wa nguvu ya msaada na hekima ya wazazi.
    …………………………………………….
    #Gabozigamba, lovingly known as Baba Olivia, mentors his daughter Olivia in the art of running a successful business. Watch as he shares invaluable lessons, practical tips, and real-world experiences to help Olivia navigate the entrepreneurial landscape. From setting up shop to managing finances, Gabozigamba's guidance is a testament to the power of parental support and wisdom.
    Don't forget to like, comment, and subscribe for more! 💪👧❤️
    For business:
    mwakajumbafilms@gmail.com
    instagram:  / henrymwakajumba
    #BusinessTips #FatherDaughterDuo #Entrepreneurship #SmallBusiness #Gabozigamba #BabaOlivia #BusinessLessons #Inspiration #FamilyBusiness #motivation

ความคิดเห็น • 524

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 3 หลายเดือนก่อน +33

    Jamani tukiwa wawazi kabisa hii series ya BABA OLIVIA ni nzuri sana 🔥

  • @RehemaIssa-ii6kr
    @RehemaIssa-ii6kr 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nampenda sana Olivia jamani asa akiongea dah nafulai sana

  • @MrTwoRocks
    @MrTwoRocks 3 หลายเดือนก่อน +2

    Background ya music iko juu kiasi wakat Olivia na Gabo wakiongea. But for sure i do appreciate watching this❤much love

  • @hemedynamkwanga2928
    @hemedynamkwanga2928 3 หลายเดือนก่อน +12

    Hiv like mnazoziomba munazifanyia nn nipen bac na mim

  • @RamaDenge
    @RamaDenge 3 หลายเดือนก่อน +14

    Naa yulee dude mchoyoo Sanaa yeye kagaiwa chakulaa tenaa wenziwe hata kuwagaiya ndizii Moja kashindwaa

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 3 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @alkhudhertarek976
      @alkhudhertarek976 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂ndo kwanza ujuwe leo

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yule bahili hata wa fadhila

    • @DofaMweya-lu9zm
      @DofaMweya-lu9zm 2 หลายเดือนก่อน +1

      ndio ushangae,hata kutoa ndizi moja ampe olivia😢😢kyaa

    • @radhianuhu1974
      @radhianuhu1974 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂 ndo waja walivo

  • @farajangenzi4303
    @farajangenzi4303 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka zimfikie mwanamke mzaa chema alomzaa olivia she is very bright ❤

  • @elishabrand9625
    @elishabrand9625 3 หลายเดือนก่อน +95

    Gonga like za kutosha na kama mnataka iwe inaachiwa kila siku ,gonga like za kutosha Hapa

    • @timebakar
      @timebakar 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwanwew ndounaiachia

    • @elishabrand9625
      @elishabrand9625 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@timebakar kama hauniamini Basi wewe waalike watu wa like za kutosha hapo

    • @SaraQueen-tm5dr
      @SaraQueen-tm5dr หลายเดือนก่อน

      We ndo director

  • @carloswekesa254
    @carloswekesa254 หลายเดือนก่อน

    A big fan from Kenya. You are one of the best actors that I have known for so long.

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 3 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂jemsi anataka kufanya vya wakubwa kwa Oliva 😂😂

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 3 หลายเดือนก่อน +1

    Olivia nakupenda n babako,mnajua pk mna jua tena ❤🎉

  • @saidiabdallah7934
    @saidiabdallah7934 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nakubali sana

  • @HusnaSaid-v5m
    @HusnaSaid-v5m 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi napenda sana kazi za jirani yangu gabozigamba

  • @NaftaelyCylus
    @NaftaelyCylus 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mumeigiza maisha yangu kasoro tu kuabudu sijaona labda mwandishi alikwepa kuonyesha tofauti za kidini katika kuzingatia maadili ya malezi. Cha muhimu ni malezi bora na upendo wa kweli ktk maisha.

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 หลายเดือนก่อน

      Wala hujakosea! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @IreneKabana
    @IreneKabana 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nice mrembo

  • @AmiryJuma-fy6pz
    @AmiryJuma-fy6pz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good vibe🎉

  • @Mwanahamisally-kg8ym
    @Mwanahamisally-kg8ym 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mnakaa sana kutuletea

  • @dannyemanuel3286
    @dannyemanuel3286 2 หลายเดือนก่อน

    mlete mwalimu.bana we mzee
    wanafaa kuish pamoja

  • @Sweetnaah
    @Sweetnaah 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda maisha ya olivia na baba ake ❤❤

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waooooh nace❤

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 หลายเดือนก่อน

    Studi tuwa 😂😂😂 "study tour" hongera babake Olivia ❤

  • @KayambaKayamba
    @KayambaKayamba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good work ❤❤

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 หลายเดือนก่อน

    Jemsi ndo aliyeandika barua jmn😂😂

  • @ChugahTwaliki
    @ChugahTwaliki หลายเดือนก่อน

    Haka kanyimbo kanaitwaje jamni naombeni mmitajie tahfadhar eeeeey😊😊😊😊😊😊

  • @daudmdenye5890
    @daudmdenye5890 3 หลายเดือนก่อน

    Angalau iwe mara 2 kwa week juma 5 na ijumaa itapendeza

  • @EmmanuelSelestine-f7g
    @EmmanuelSelestine-f7g 3 หลายเดือนก่อน

    Wanajua kupangilia movies

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m หลายเดือนก่อน

    Viazi zitam mpaka wame sahau kweda shamba😂😂😂😂❤❤🎉🎉🇰🇪

  • @uledihamadi5905
    @uledihamadi5905 3 หลายเดือนก่อน +3

    Good

  • @NextLevel-fg5ph
    @NextLevel-fg5ph 2 หลายเดือนก่อน

    ❤Tuko pamoja from south Africa cape Town sity

  • @AfranaTzee
    @AfranaTzee 2 หลายเดือนก่อน

    Hiiii Muvi Kila Mtu Yupo Strong Kwenye Position Yake Hongera Kwa Team Nzima

  • @EDWADYKAPINGA
    @EDWADYKAPINGA หลายเดือนก่อน

    Vovi kali nimeipenda

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂Tamthilia inanichekesha hii jamani aliye muita baba kaonjeshwa aliye muita Tina naye kaonjeshwa mama naye kaja kaonjeshwa mambo ya shamba yakaachika😂😂😂Hii Familia yakina Tina😅😂😂😂😂

  • @SefuMbao
    @SefuMbao 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman hii move ni hatar sana

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน +1

      Asantee ❤️❤️❤️

  • @GainoGabone
    @GainoGabone 2 หลายเดือนก่อน

    Alivomwambia is usizime taa 😂😂usifunge mlango 😂😂😊

  • @Naomi-qj7fu
    @Naomi-qj7fu 3 หลายเดือนก่อน +1

    KAZI nzur

  • @ColonialEconomy
    @ColonialEconomy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hua inapostiwa Kila ijumaa😮😮

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน +1

      Wala hujakosea! Ni kila siku ya ijumaa Saa kumi na moja kamili asubuh!

    • @ColonialEconomy
      @ColonialEconomy 3 หลายเดือนก่อน

      @@henrymwakajumba Basi umeisha hyo ijumaa ijayo wakwnza😁😁

  • @RestyutaMwaisubi
    @RestyutaMwaisubi 3 หลายเดือนก่อน

    🎉 tamthilia tamu sanaa

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน

      Asantee🙏🏾🙏🏾❤️

  • @NassorSalim-b3s
    @NassorSalim-b3s หลายเดือนก่อน

    Iko vizur

  • @YakoboChambo
    @YakoboChambo 2 หลายเดือนก่อน

    Mke watoto wote hawana adabu

  • @CHUYUTV
    @CHUYUTV 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂ila familia ya luca

  • @JoyceNjoki-hb2wk
    @JoyceNjoki-hb2wk 3 หลายเดือนก่อน

    Much 🥰 love from Kenya 🎉❤

  • @erastopascal
    @erastopascal 2 หลายเดือนก่อน

    Nafanya kazi huko KAZINI😂😂😂😂

  • @Kelvinking25
    @Kelvinking25 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ Olivia

  • @lucasAm-mp9sj
    @lucasAm-mp9sj 3 หลายเดือนก่อน

    Tltuliobahatish kuiona.....

  • @SubiraWilson-gv1mh
    @SubiraWilson-gv1mh 2 หลายเดือนก่อน

    James ndo AJ bhana

  • @Fella_lissie
    @Fella_lissie 3 หลายเดือนก่อน

    Love you from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน

      Thank youu🙏🏾🙏🏾

  • @LylahMrombo
    @LylahMrombo 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤waiting for 7

  • @DinahNish-bm9sr
    @DinahNish-bm9sr 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna siku familia ya Mr lucas itahamia kwa baba olivia 😂😂😂😂😂😂😂

  • @KindaKindaki-u1q
    @KindaKindaki-u1q 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @omarhussein-iq7yg
    @omarhussein-iq7yg 3 หลายเดือนก่อน +53

    Kama tunavyoeka subra hadi tumeletewa episode ya 6 ya tamthilia yetu nzuri yenye mafunzo mazuri...basi naomba sote tuwe na subra vile vile kwenye maombi yetu kutaka kujibiwa..nawatakia siku njema na ndugu waislamu ijumaa karim inshallah❤🙏

    • @JohnKirumbi
      @JohnKirumbi 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa sawa

    • @ashatwaha6886
      @ashatwaha6886 3 หลายเดือนก่อน +1

      Inshaallah

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 3 หลายเดือนก่อน +85

    Sinime sahau kama leo Ijumaa lakini wa 18 team strong nawakilisha Oman 🎉🎉🎉

    • @omarhussein-iq7yg
      @omarhussein-iq7yg 3 หลายเดือนก่อน +7

      Nawakilisha 974 🇶🇦

    • @NeemaNixon
      @NeemaNixon 3 หลายเดือนก่อน +7

      Tupo pamoja mpka hubz zituuue team hamam😂😂😂

    • @omarhussein-iq7yg
      @omarhussein-iq7yg 3 หลายเดือนก่อน +6

      🤣🤣🤣mafi mushkil

    • @MiriamShani
      @MiriamShani 3 หลายเดือนก่อน +3

      Mpk ni mefeel happy tuko pamoja

    • @ukhtymwana40
      @ukhtymwana40 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@MiriamShani karibu saham nipo

  • @official.alainpatrick
    @official.alainpatrick 3 หลายเดือนก่อน +11

    yaani tanzania nzima baada ya kanumba nilikuwa sijawai kusukia ama kuona mtu anayeweza kutunga story nzuri yenye kuvutia kama huyu jama pia wasani wake wako vizuri kwa kweli nimependezwa saana love from Australia for more nitawajulisha kwa zawaidi kuu ahsante❤

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน +1

      Asante ubarikiwe ❤️❤️🙏🏾

  • @FaudhiaSwalehe-tp9ox
    @FaudhiaSwalehe-tp9ox 3 หลายเดือนก่อน +41

    Olivia shujaa nipeni laik zangu japo nimechelewa

  • @AlbertJr-u8q
    @AlbertJr-u8q 3 หลายเดือนก่อน +8

    Viazi kwenye kuuza ilibidii awe na chakufungia kama gazeti au mfuko, pia asishike kwa mkono atumie uma kumpa mtu.kuzingatia Usafi wa mikono.

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน

      Amejufunza hapo! Asante 🙏🏾🙏🏾

  • @PhynolThinker
    @PhynolThinker 3 หลายเดือนก่อน +54

    Hii ndio maana alisi ya jasiri akubaliki kwao hii movie ingechezwa ulaya ingetikisa dunia🎉 congrat my brother ur made it🎉 and keep going🧠

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial 3 หลายเดือนก่อน +41

    🧭🤳 like zangu tafadhali jamani walau kumi maana sijawahi hata pata like.
    From Mozambique 🇲🇿

    • @kassimngao2282
      @kassimngao2282 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mozambique mnaongea kiswahili kumbe...ma sha Allah. Vzur

    • @VexMaizoOfficial
      @VexMaizoOfficial 3 หลายเดือนก่อน

      🧭🤳 tunaongea baadhi Tena sana, kuliko wa kenya.
      shida ipo kwenu maana mna tutupa sana, amtu jali, ni jirani tumepakana tu mto wa Rovuma.

  • @southpole1378
    @southpole1378 3 หลายเดือนก่อน +21

    wacongo tunawasapoti sana tuu nivile tu amjui gabo zigamba mad respect

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน +2

      Asante sana ❤️🙏🏾🙏🏾

  • @zotto_boy
    @zotto_boy 3 หลายเดือนก่อน +13

    Olivia bonge la actress , 💥💥💥🥂💥 God amsimamie industry isimvuruge mbeleni🥂🥂🥂🥂💪

  • @CharoJohnson
    @CharoJohnson 3 หลายเดือนก่อน +8

    Olivia mamaaa nakupenda walah❤❤❤❤❤ muheshimu sana dady❤

  • @Sangolee1
    @Sangolee1 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tunaomba translate ziwe kwa mandishi madogo zinatuumiza macho😢 au zisiwepo tu kabisa

    • @antidiuskalugira6727
      @antidiuskalugira6727 2 หลายเดือนก่อน

      Duh wabongo bhna ,punguzaa mwanga wa cm yako usituchoshee

    • @fadhilhamdu7063
      @fadhilhamdu7063 2 หลายเดือนก่อน

      Acha roho mbaya ww, huezi kuendelea kwa roho iyooo

    • @Mponzi22
      @Mponzi22 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @innovalentino9887
    @innovalentino9887 3 หลายเดือนก่อน +5

    Very touching episode hapo kwenye mama yupo wapi na background inaumiza kifala sana🥲🥲, i feel it. Gabo Zigamba you know what you doing bruh keep it burning may our almighty guides you Kaka.

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 3 หลายเดือนก่อน +11

    Familia ya Luca wananichekesha sana wanajazana kwa baba olivia😂😂😂😂

  • @ZuwenaAbdulla
    @ZuwenaAbdulla 3 หลายเดือนก่อน +20

    Aisee nimekaa nikajua km mm wa kwnza oman team tunawakilisha

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 3 หลายเดือนก่อน +14

    Olivia anajua sana ana kitu atafika mbal

    • @NewtonOskar
      @NewtonOskar 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo sapot ndugu sawa sawa na jamila saiv tumemsahau

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kuna move alafu kuna vitukooo hii ni MOVE SASA

  • @msbeckie4693
    @msbeckie4693 3 หลายเดือนก่อน +15

    The chemistry between father and daughter is beyond acting❤

  • @munirakhalfan5716
    @munirakhalfan5716 3 หลายเดือนก่อน +9

    Tupo Omani 🎉🎉tunawaona Tanzania yetu❤❤❤

    • @CheefIrahim
      @CheefIrahim 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 3 หลายเดือนก่อน +14

    Nimejisau kuomba like

    • @katabaroonlinetv9688
      @katabaroonlinetv9688 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂tukikupa like unauza au 😂😂😂haya ngoja nikupe like

    • @-kagerayetubw9jx
      @-kagerayetubw9jx 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@katabaroonlinetv9688 🤣🤣🤣pokea mauwa yako ⚘️⚘️

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 3 หลายเดือนก่อน +10

    Olivia honger ni mjasiriamali wa kesho inshallah 🎉🎉

  • @ScolasticaMtonga
    @ScolasticaMtonga 3 หลายเดือนก่อน +7

    Sauti ya olivia naipenda😊

  • @SUZANASUZANA-ku3jk
    @SUZANASUZANA-ku3jk 3 หลายเดือนก่อน +12

    Team strong apa uko p

  • @Twilumba
    @Twilumba 3 หลายเดือนก่อน +10

    Namm nataman nimlee mtot wangu kama baba Olivia 🎉

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kuamua tu bila kujichanganya

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 3 หลายเดือนก่อน +27

    Yaaan uyu mama tina uwa anasura ya comed kabisa

    • @FaithJames-r1q
      @FaithJames-r1q 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni comedian huyo Katarina karatu

    • @NanzariuAwadhi-jp3qw
      @NanzariuAwadhi-jp3qw 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @AdhamAlliy-mg5py
      @AdhamAlliy-mg5py 2 หลายเดือนก่อน

      Wew ACHA TU Yan najikuta nacheka tu wameuwA

  • @mauriciocristianomardes6295
    @mauriciocristianomardes6295 3 หลายเดือนก่อน +12

    Hi familia ya luka jamani
    hiiiii 😂😂😂😂
    Gonga like basi jamani, from Mozambique ❤

    • @VexMaizoOfficial
      @VexMaizoOfficial 3 หลายเดือนก่อน

      🧭🤳 😂😂😂🇲🇿 imefanyaj kwani??

  • @JamaliAbass-pd3nq
    @JamaliAbass-pd3nq 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi Siwezi Uziwa hii move nimalize kuangalia,,,,Hii best movie mwaka huu

  • @martinoiddi-mc6yh
    @martinoiddi-mc6yh 3 หลายเดือนก่อน +15

    Kama tuna kubali movie hihi like🎉

  • @zenamwasekaga7460
    @zenamwasekaga7460 3 หลายเดือนก่อน +7

    Olivia nampenda sana❤ ila Lucas na Katarina akili hawana😂😂😂

  • @trestar_tz
    @trestar_tz 3 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿☝️🔥🔥

  • @saidiabdallah7934
    @saidiabdallah7934 3 หลายเดือนก่อน +16

    Tunaokubal hatulali tunasubiria muendelezo 🎉 like na shera

  • @monarose6091
    @monarose6091 3 หลายเดือนก่อน +16

    Napenda baba Olivia anavyo ishi na mwanawe in shaa Allah mwenyez mungu anijali mume atakae ishi na watoto wake kama ivi

  • @TumaAmin
    @TumaAmin 3 หลายเดือนก่อน +16

    Nawaona watu wanavyo hangaika kutaka like mmh hemu leo nipeni like angalau 100 sijawahi kupata😂

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hii movie nzuri sana aise hongereni sana❤❤❤❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน +3

    Baba Olivia na meanao mwanikosha😂😂 ati alikua kipofu haoni,alijuaje wauza viazi,pengine alinusa😅 🙌...bwana Luca nae na jamaa zake yani wamekula hadi kuenda shamba nibasi,khaaa! 🤣🤣🤣 mwatuburudisha na mafunzo juu Gabo na team Mungu Awaongoze

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน

      😅😅👍🏽👍🏽👍🏽🙏🏾🙏🏾

  • @godrivermichaelsugwejo4979
    @godrivermichaelsugwejo4979 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa majirani wa Baba Olivia family ya luca😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @NuhuMetson-mt1vc
      @NuhuMetson-mt1vc 2 หลายเดือนก่อน

      Wanatuua mbavu yan hamn episode tuschek

  • @bonita329
    @bonita329 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wow napenda sana hii series kutoka kwenye nchi yangu Tanzania 🇹🇿❤ Naitizama kutoka germany ☺️🇩🇪
    Please fanyeni kidogo ndefu ndefu please 😂

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 หลายเดือนก่อน

      Asante sana 🙏🏾🙏🏾

  • @AnnoyedCheese-qg6is
    @AnnoyedCheese-qg6is 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi nzuri sanaa kutoka kwa gabo

  • @AllyIbrahim-p3b
    @AllyIbrahim-p3b 3 หลายเดือนก่อน +6

    Gabo anajua anastahili maua yake🎉🎉

  • @IsmailKitanzi
    @IsmailKitanzi หลายเดือนก่อน +1

    Nanyi mnaosema mpo woman ,mozambik nk Ni qatanzania na Kam qatanzania bc kwel kumb mnaifuatilia asaiv Ni kipande Cha sita cndy jamn ,wadau wa baba olivia

  • @hassanomar3475
    @hassanomar3475 3 หลายเดือนก่อน +7

    From Bangladesh 🇧🇩

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hii family ya kina tina😂😂😂

    • @khadijatwaha7684
      @khadijatwaha7684 3 หลายเดือนก่อน

      Ukimaliza kula ukae kidogo watajua umekuja kula tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @seifjumanne8451
    @seifjumanne8451 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesha isubiri mpaka nimechoka yani Leo 22/6/2024 nimekutananayo tu kimazabe

  • @ZainabSalum-tv2mu
    @ZainabSalum-tv2mu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Next plz

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana gabo inanoga na huyó mwanao raha sana

  • @hatangafelix5598
    @hatangafelix5598 3 หลายเดือนก่อน +5

    Baba Olivia na Olivia mumeni inspire

  • @muksinarchard6496
    @muksinarchard6496 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hii movie Kali Sana siku zote Gabo ni mwamba Sana 🔥

  • @DottoDottoMoshi
    @DottoDottoMoshi 3 หลายเดือนก่อน +9

    Jamani hii stori inanifuraisha sana 😂😂🎉🎉

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hatuitendei haki hii channel viwers kibeo lkn likes wanaomaba watazamaji badala kulike hii video wapate haki yao

  • @fellybonny5618
    @fellybonny5618 3 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda anavyomuita mwanae mama

  • @NaftaelyCylus
    @NaftaelyCylus 2 หลายเดือนก่อน +2

    Niliishi maisha ya olivia na babaake kasoro tu jinsia yangu daah kweli movi imechezwa.

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 3 หลายเดือนก่อน +4

    Greatest sina cha kusema daaah

  • @RestaMaganga
    @RestaMaganga 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani muwe mnaachia hata siku mbili kwa wiki