AIBU YANGU |2| Love story❤️😘

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2024
  • AIBU YANGU |2| Love story❤️😘
    Ni filamu inayoelezea maisha ya mwanadada Hidaya ambaye anakata kuolewa na mpenzi wake wa muda mrefu Adam, kitu kinachopelekea shoga yake Zai kuona mwanya huo na kuutumia kumnasa shemeji yake kimapenzi
    Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.
    #film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #aibuyangu2
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 684

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    AIBU YANGU |3| Love story❤️😘
    th-cam.com/video/rtr8rCZQ9wA/w-d-xo.html

  • @bilingemote
    @bilingemote 19 วันที่ผ่านมา +52

    Hata dakika tano hazijafika mlishakusanyika. Hivi mnapataga wapi bando jamani😂! Nawakumbusha ku-like video, ku-share na marafiki na ku-subscribe tuendelee kutizama kazi nzuri za Adam Leo Studio! Pamoja

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  19 วันที่ผ่านมา +6

      Shukrani mkuu

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 19 วันที่ผ่านมา +2

      We unapataga wapi bando😂😂ungeuliza wanafanyaga kazi saa ngapi

    • @Felista_tz
      @Felista_tz 19 วันที่ผ่านมา +2

      Leo n Sunday bnaaa

    • @bilingemote
      @bilingemote 19 วันที่ผ่านมา +2

      @@Nailaty564 Mi naoteaga wifi ya jirani😂😂

    • @Rukiakadzo
      @Rukiakadzo 18 วันที่ผ่านมา +3

      Tunatumia Wi-Fi Mzee baba

  • @user-qd7ey5cp5s
    @user-qd7ey5cp5s 19 วันที่ผ่านมา +20

    Acheni shobo nyinyi watu wazima😏badala msupport adam kwa kazi wanafanya mko hapa mnang'ang'ania likes kama watoto nyooo💔😂😂😂pewa mkule basi😢

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  19 วันที่ผ่านมา +2

      Jamaniii!! 🔥🔥😍😍asanteni kwa nyote

    • @user-id8bu6lw8x
      @user-id8bu6lw8x 18 วันที่ผ่านมา +2

      Na ww

    • @aichatabdillah6215
      @aichatabdillah6215 18 วันที่ผ่านมา +3

      Halafu hizi like zina maana gani😂😂😂😊

    • @user-pw2sw1sk1b
      @user-pw2sw1sk1b 12 วันที่ผ่านมา +1

      Wanaboa

  • @user-ko4in4uy1u
    @user-ko4in4uy1u 18 วันที่ผ่านมา +9

    Koma Musosi 😂😂 Unajitafutiya Matatizo Mweyeweee🤗🤗💛💛💛 Team Adam Leo Much Respect 🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️💜💜💜

  • @DottoZawadi
    @DottoZawadi 18 วันที่ผ่านมา +7

    Daah yani natazama nikiwa na raha Moyoni nimefurahi kuiona🥰 Adam Leo Ni wakipekee jmn

  • @FethNyagawa-wd5jz
    @FethNyagawa-wd5jz 19 วันที่ผ่านมา +9

    Daaah nimecheka sanaa et unioe mm au umuoe yeye

  • @NiyonkuruSalehe
    @NiyonkuruSalehe 4 วันที่ผ่านมา +1

    Nampenda Adam anavyo kuaga serious jaman akujie soda yake anatufunza mengi sana nampongeza kwa kazi nzuri Mungu azidi kuafikisha kiwango cha juu❤

  • @irakozeegide5544
    @irakozeegide5544 18 วันที่ผ่านมา +4

    Hongela sana Kwa funzo nzul muliyotufunza nawapenda sana WA Burundi tujuane 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 18 วันที่ผ่านมา +3

    Duuuh dada mbaya sana Adam nakubali sana movie zako tupe nyengine Kaká adamo❤❤❤

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 19 วันที่ผ่านมา +5

    Mwisho wa ubaya ni ayibu idaya. Ila kazi nzuri Adam

  • @user-ll8mn7gj6x
    @user-ll8mn7gj6x 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tu nakupenda sana Adam uko vizuri kaz yako nzuri❤❤❤❤

  • @VenanceKizee
    @VenanceKizee 19 วันที่ผ่านมา +22

    Waoooh wakwanza leoo naomba likes

  • @AminaYazidu
    @AminaYazidu 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah kaka Adamu kazi nzur sana kipenz tuletee part 3 broo❤❤

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 18 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi nzuri sana tena yenye mafunzo nawapenda 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 19 วันที่ผ่านมา +5

    Nilisahauu kumbe ulisema sa nne unaachia mzigo Ila sijachelewa Sana hongera kazi nzuri🎉🎉

  • @user-pg6jr7kp2w
    @user-pg6jr7kp2w 19 วันที่ผ่านมา +7

    Ww ukisema wa nn mwenzio yuwajiuliza atakipata lini😂😂😂❤

  • @mahmoudnajad217
    @mahmoudnajad217 10 วันที่ผ่านมา +1

    "NYINYI JIANGALIENI KUNA WATU KWAO WAMEAGA" Nimecheka sana😂😂😂

  • @tato8979
    @tato8979 19 วันที่ผ่านมา +15

    Sijachelewa sana leo wa 55 😢😢sijawahi pata like

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 18 วันที่ผ่านมา +4

    Siyo like tu na comment nimuhimu!😅Kumbe midomo mizuri ya Idaya siyo mimi tu naiona!Dah Adam anajuwa chaguwa!😅

  • @Chereonlinetv
    @Chereonlinetv 19 วันที่ผ่านมา +6

    Kazi nzur sana boss ❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  19 วันที่ผ่านมา +1

      Nakuonaa nakuonaa😘😘

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 6 วันที่ผ่านมา

    Waoooh filamu nzuri sanaa na yenye mafunzo kedekede nimependa kwamafunzo yenu barikiweni washirika nyote❤❤❤❤❤❤

  • @IreallywanttoknowGod
    @IreallywanttoknowGod 18 วันที่ผ่านมา +3

    Wow I come from Uganda I really like this movie

  • @user-jg5xb4kp6e
    @user-jg5xb4kp6e 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hii filam ni fundisho kwa watu wote 👁❤❤❤

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hii film mmelenga kweli. Maana cku hizi watu hawamuamini MUNGU. Wanaamini shirikina tu. Na pia hawaogopi kuwa dhuru wenzao. Bora mmewakumbusha na kuwapa nasaha. Wenye imani za kishirikina.

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 18 วันที่ผ่านมา +2

    Napenda Sana KAZI zenu ongerani wote washiriki❤❤❤

  • @user-sr9xu7rx1z
    @user-sr9xu7rx1z 10 วันที่ผ่านมา +1

    hongera Adam kazi nzuri❤❤

  • @patientluliba
    @patientluliba 18 วันที่ผ่านมา +12

    Kweli filamu yenu ina fundisho kabsa nime kwisha tiya like yangu.

  • @yonzyonz7343
    @yonzyonz7343 9 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂unioee mm ama umuee dadangu 😅😅😅😅😅mumejua kunifurahisha,,,,big up brooo Adam ❤❤❤❤❤

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mwisho wa ubaya n aibu wallah😂😂😂😂ila mchungaji pongez kwa nyimbo😂😂😂😂😂😂

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 18 วันที่ผ่านมา +3

    Mchungaji wimbo huo wa lango hauimbwi vibaya ivooo😄😄😄 ntakufundisha

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 วันที่ผ่านมา +1

    Adam naomba mungu akupe miaka mingi zaidi

  • @JenniferBaya-zu5cr
    @JenniferBaya-zu5cr 12 วันที่ผ่านมา +1

    ameeeeen. Iman. Ndio. Silaha. ya. Maishà. yetu

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 18 วันที่ผ่านมา +2

    KAZI iendelee Kaka akuna kulala pongezi kwa muandaaji mtuzi pia na washiriki 🎉🎉🎉

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z 19 วันที่ผ่านมา +4

    kaz nzuri kaka Adam🎉🎉🎉❤

  • @Felista_tz
    @Felista_tz 18 วันที่ผ่านมา +4

    Leten like za mchungaji apa nmecheka snaaaaaa

  • @user-rk6sp6ks5e
    @user-rk6sp6ks5e 18 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂mganga waludewa kakaa😂😂😂bonge la move mmeweza ❤❤chukueni maua yenu

  • @FakhiChapozo
    @FakhiChapozo 19 วันที่ผ่านมา +3

    Nakubali Sanaa move zako Zina mafunzo Adamu

  • @user-by2vk7wd4b
    @user-by2vk7wd4b 16 วันที่ผ่านมา +2

    Move Tamu sana Aka sijawahi ona🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @malinachitondole
    @malinachitondole 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Marafiki wa Sasa wapo makini wanaenda na muda

  • @salumuramadhaneddi2388
    @salumuramadhaneddi2388 19 วันที่ผ่านมา +3

    Wow ahsante sana Adamleo nimeziona bwana pati 2 ya aibu yangu good boy ❤ me shabiki ako sana yaani sana to

  • @user-ip1cw5iw7w
    @user-ip1cw5iw7w 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaka yake hidaya jaman anajitoa akili eti unioe mm au umuoe dada yangu😂😂😂😂😂🙌

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hahaha noma sana

  • @BrianOscar-oj2xd
    @BrianOscar-oj2xd 18 วันที่ผ่านมา +2

    Brother katika movie zote nimewai ona hii imenibamba sana hasa huo wakati wa kuroga na uchawi ukadunda.
    Mara mingi movie zetu mtu akikuroga hufanikiwa na unateseka Hadi pia aliyerogwa aende kwa waganga but wew umeenda tofauti..
    Big up brother 💪

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  18 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa kuona hilo🙏

    • @user-pw2sw1sk1b
      @user-pw2sw1sk1b 12 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅nalo neno

  • @MarthaVW
    @MarthaVW 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nzr sana inafundisha

  • @user-dl1mg2qf4n
    @user-dl1mg2qf4n 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hahaha 😂 Kaka wa Hidaya big up😅 umecheza vizr mno kiasi nimefurahi sanaa😂❤

  • @EdwardMweru
    @EdwardMweru 2 วันที่ผ่านมา +1

    Koma kabisa na ikiwezekana ufe ww kwa sababu huna tofauti na ule msemo kwamba shimo wanichimbia mie utadumbukia mwenyewe

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 วันที่ผ่านมา

      Yaani

    • @EdwardMweru
      @EdwardMweru 2 วันที่ผ่านมา

      @@AdamLeoStudios Nimeumia sana kaka yan kama vile nn ndio maana nimeandika kwa hasra kabisa yaan

  • @EyanNizzoh
    @EyanNizzoh 18 วันที่ผ่านมา +2

    Filamu nzuri sna Adamu yenye mafundisho mazuri kila wakati me nakufwatilia natamani ufanye kazi na Vincent Kigosi❤❤❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  18 วันที่ผ่านมา

      Shukrani sana

    • @EyanNizzoh
      @EyanNizzoh 18 วันที่ผ่านมา

      @@AdamLeoStudios vipi kuhusu kazi na Vincent Kigori maarufu Ray The Great ama utanifanyia kazi ombi langu hilo

  • @JesckaJuniortz
    @JesckaJuniortz 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nimependa sanaaaa

  • @user-oz7hf4pv5c
    @user-oz7hf4pv5c 6 วันที่ผ่านมา

    Daaaaaaah kweli shetani anambwembwe nyingi anaweza kumtumia mtu ili amwogopeshe mtu ashindwe kufanya mafanikio au matarajio yake Adam kazi nzuri

  • @Saumu254
    @Saumu254 19 วันที่ผ่านมา +1

    KAZ nzuri Adamu umnikumbsha 😊😊 mi pia kunao wanllintendea mabaya yakawarudia Mungu n mwema❤❤❤❤❤

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 19 วันที่ผ่านมา +3

    Usifanyie mtu ubaya ambae hana ubaya na wwe

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 19 วันที่ผ่านมา +4

    Safii sanaaa............🎬⚘️

  • @JacksonLukas-ji7cy
    @JacksonLukas-ji7cy 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aloo adamu unajua bro

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b 12 วันที่ผ่านมา +1

    😅😅😅😅Kaka alijua amekataa yeye kuolewa😅😅😅😅nimecheka.kiboya 😅😅😅😅😅daaaaa hii adamu umeua kinoma😂😂❤❤😂🎉

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 19 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani izi beat🎶🎵 ni nzuri zinaendana na sehemu husika na hisiaaa❤😂

  • @user-nc9qq6em4k
    @user-nc9qq6em4k 19 วันที่ผ่านมา +3

    Nakupenda adamu unajua kuigiza sn

  • @allymohazy4579
    @allymohazy4579 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    wenye kuroga wenziwao wangefanywa kama hidaya wallah tungeishi kwa amani tuu🤣🤣🤣

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hahaha jamani

    • @allymohazy4579
      @allymohazy4579 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AdamLeoStudios yah🤣

  • @puritykawira-ir9ys
    @puritykawira-ir9ys 19 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa likes ni x nini uwanga mnaomba pia me niombe kaka Adam 🎉🎉 congrats kwa kazi nzuri unayofanya am watching from Saudi ❤❤❤❤❤🎉

  • @chazedwin5262
    @chazedwin5262 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri sana

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 19 วันที่ผ่านมา +2

    Adam Leo jiangalie unatangaza manabii wa uongo, lkn tambua hao sio manabii ni mawakala wa shetani ibilisi, hawana makarama yoyote, wanafanya mazingaombwe ya kichawi na nguvu za kichawi wamepewa na ibilisi shetani, hao sio manabii ila ni matapeli tu

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 18 วันที่ผ่านมา +3

    Eti namba za wanganga ziko zaidii ya mia😂😂😂fika kwa familia namba ni 3 tu tena bila thafathali 👌wacheza na idaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 19 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂 Nikuoe wewe nimecheka sana hapo 😂❤❤❤❤ Adam mungu akubariki bro nakupenda sana ❤

  • @Afr_ican
    @Afr_ican 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka yake hidaya jamani ume7bisha nijikojolee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MwasitiMsasu
    @MwasitiMsasu 19 วันที่ผ่านมา +3

    Wow😮 kazi nzuli sana

  • @agnessntiburella8816
    @agnessntiburella8816 19 วันที่ผ่านมา +3

    Ukiona chanini, mwenzio anasema nitampata lin

  • @user-xc4jg2qj1l
    @user-xc4jg2qj1l 5 วันที่ผ่านมา

    Et, waganga wa hidaya wapo wengi kwenye simu kuliko ndugu zake jaman 🤣🤣🤣 ila kaka ni mkali mno jaman......... Kazi nzuri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u 19 วันที่ผ่านมา +4

    Upo vzuri kaka kaz iendlee

  • @magrethemmanuel5479
    @magrethemmanuel5479 18 วันที่ผ่านมา +2

    Dah kaka adam namaliza bando kweny move zako safi san kaka part 3 kaka tunaomba

  • @user-ef1zl5gi1k
    @user-ef1zl5gi1k 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sanaa kwa kazi nzur sanaa pokea mauwa yako kaka adamu🎉🎉❤❤❤

  • @missIsaiah
    @missIsaiah 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani huyu mke waa Adam nimempenda sana

  • @hamzarobert2372
    @hamzarobert2372 7 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂idaya idaya nimekuita mara mbili utajiroga mwenyewe

  • @user-qd7ey5cp5s
    @user-qd7ey5cp5s 19 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani huyu ndugu ya hidaya aminichekesha sana😂😂😂unioe mimi ama yeye😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  19 วันที่ผ่านมา

      😂😂kaka kaogopa kuolewa

    • @user-qd7ey5cp5s
      @user-qd7ey5cp5s 19 วันที่ผ่านมา

      @@AdamLeoStudios 😂😂😂😂

    • @yonzyonz7343
      @yonzyonz7343 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @user-fq6yh2ej4v
    @user-fq6yh2ej4v 4 วันที่ผ่านมา +1

    Usifanye maovu kwa mwingine katika dunia

  • @user-bt6el2co9h
    @user-bt6el2co9h 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hellow jaman tiinjoy pamoja na views jaman ziendane na likes plz MUNGU awabariki ❤

  • @JenniferBaya-zu5cr
    @JenniferBaya-zu5cr 12 วันที่ผ่านมา +1

    Nimejifunza

  • @EdwardMweru
    @EdwardMweru 2 วันที่ผ่านมา +1

    Li mwanamke halihakili hata kidogo limebembelezwa miaka3 linakata ety sasaiv ndio linampenda baada ya kusikia anaoa mpumbavu kwel uchawi tu kutubu aaa

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 18 วันที่ผ่านมา +2

    Huku mwishomwisho mbona patamu 🤣🤣🤣jamani.shemeji naye amekazana tu eti unioe mm au yy🤣🤣🤣🤣🤣

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 19 วันที่ผ่านมา +1

    Asanteni Kwa Hii Movies Kwa. Ki Tucha Kujifunza Ongerani Sana. I'm Watch From Qatari Big Up Sanaa

  • @user-mt6vw7bo2k
    @user-mt6vw7bo2k 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa idaya miaka mitatu unatongozwa unaringa kwa una gold shooga angu 😂😂😂😂😂

  • @user-pl4ns8sb4k
    @user-pl4ns8sb4k 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka mtu jamaniiii yuanivunja mbavu 😂😂😂 et umuoe yeye au mimi niko hoi n kicheko 😅😅

  • @CatherineChalle-gb2ks
    @CatherineChalle-gb2ks 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana Adam kazi nzuri

  • @user-fs4qr4nu1i
    @user-fs4qr4nu1i 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri bro, filam zako zina mafundisho sana kaka, hongera

  • @SafiaHamadi-vi4xv
    @SafiaHamadi-vi4xv 12 วันที่ผ่านมา +1

    Eti Ludewa namba 2

  • @faridabikwa9998
    @faridabikwa9998 18 วันที่ผ่านมา +2

    Imeweza sana❤

  • @user-di1ix3ol7w
    @user-di1ix3ol7w 13 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂eti anaeza turoga abaki na nyumba😂😂😂😂😂

  • @sahimnei7235
    @sahimnei7235 16 วันที่ผ่านมา +1

    Wanawake wengi washirikina mwisho wa ubaya ndio hayo

  • @apaelmbise635
    @apaelmbise635 19 วันที่ผ่านมา +4

    🔥🔥🔥

  • @alish2182
    @alish2182 19 วันที่ผ่านมา +2

    Adamu thank u so much ❤❤❤❤❤❤

  • @zainabkutwaa3327
    @zainabkutwaa3327 19 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi zuri kai nime zi fatilia sana yani ni poa azi boi 🎉🎉🎉🎉👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah ❤❤❤❤

  • @hamzarobert2372
    @hamzarobert2372 7 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂mtumishi lango haliimbwi hivo bana

  • @user-mk3zl3yr3m
    @user-mk3zl3yr3m 18 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani kaka idaya anawaganga zidi ya sitini hatari

  • @user-mu4xm4fd5s
    @user-mu4xm4fd5s 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka hidaya nawe et unio mimi au yeye😂😂

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b 12 วันที่ผ่านมา +1

    😅😅😅Kutangatanga kaibalanga mikongo kilanga komo

  • @VeronicaDamas-in9yx
    @VeronicaDamas-in9yx 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwanza nipeni like wapendwa.❤❤❤

  • @user-lo5jz9ds4s
    @user-lo5jz9ds4s 18 วันที่ผ่านมา +1

    Et we kimbunga jomon wap kimbunga hidaya 😅😅😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉

  • @HelenaShitebo
    @HelenaShitebo 10 วันที่ผ่านมา +1

    Next plz

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 วันที่ผ่านมา

      Ipo tayari sehemu ya tatu

  • @PHELISTERGASTON
    @PHELISTERGASTON 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wow!!! Kazi nzuri Sanaa Adamu.

  • @rosemaryhyera6164
    @rosemaryhyera6164 14 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa mafundisho mazuri

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 18 วันที่ผ่านมา +2

    Haya nd mambo ya waislam kuombeana dua zisizo rafiki 😂😂😂alafu ukute wanakwmbia awataki mambo ya kishirikina wkt wanayafanya hahaha😂😂😂bs tuish nao tu lkn so pow😂😂😂

  • @jescakalinga2279
    @jescakalinga2279 18 วันที่ผ่านมา +2

    Skafu ya mchungaji mmh Adam umetisha

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  18 วันที่ผ่านมา

      Hahaha mchungaji noma😂😂