AIBU YANGU |1 | Love story❤️😘
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2024
- AIBU YANGU |1 | Love story😭💔
Ni filamu inayoelezea maisha ya mwanadada Hidaya ambaye anakata kuolewa na mpenzi wake wa muda mrefu Adam, kitu kinachopelekea shoga yake Zai kuona mwanya huo na kuutumia kumnasa shemeji yake kimapenzi
Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.
#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #aibuyangu - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
AIBU YANGU |2| Love story❤️😘
th-cam.com/video/DRBucgYIcDw/w-d-xo.html
Kiukweli Adamu na uyudada kwenye mapenzi uwa Wana endana saaaana tu uyu hidaya ana juwa kuigiza sana Asa kwenye mapenzi na Adamu apo ndo Muna niuwaga na wapenda bur tu❤️❤️❤️
Shukrani sana sana
Wanafanya kabisa kama wapenzi wandani
Adam Sabi mwenderezo unazingua ujue@@AdamLeoStudios
Basi Adam umezidi na amanda mmmmh mwaumiza wenzenu ❤❤❤❤❤🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰 congratulations your very talented 🌟🌟🌟👌👌 MashaAllah I like it
Thanks
😂😂😂😂😂
Kumbe pia wewe umeona
Adam fund sana moves zako zinaelimisha sana kaka tupo pamoja sanaaaaaaaaa
Shukrani
Hayo makande na bro wtu adam jamani 😂😂😂😂😂🎉much love from Kenya
Thanks
Duuuu team single tunafanyaje maana sio kwa mabusu hao 😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Polee
Tutakoma 😂😂😂
Natafuta mume😂😂😂
Kimetulamba😂😂
😂😂😂😂😂
Respect for u Adam mnatuburudisha sana
Enjoy
Nakukubaly sana wewe Adamo n movie zako ni tamu k ukweli EP 2❤❤❤❤
Episode 2 soon
Vizuri sana adam tunasubili p2 ❤
Okay
Good job👌 mungu 🙏🏼 akusaidie katika mihagaiko yako
Amen
Daah aisee adam hubahatishi..🎉🎉🎉 hebu leta muendelezo mana hapo ni moto..
Sawaa
Kwenye kuigiza kwa Adam na huyu mwanamke kwenye mapenzi huwa nawakubali hatari
Shukrani
Hiyo nikweli kabisa
Kwa kweli Adam, filamu zako Zina mafunzi nzuri. Hongera kaka
Asante
Kaka uko vizuri pamoja na huyo bidada hidaya
Shukrani
Adam kafanana na sifael mwabuka Kwa nyie ni ndogus much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante
kaz kaz kaka adam mpe hai sana amanda sekta ya mahaba yuko vizur🎉🎉🎉🎉❤
Zimefika
Kweli kaka Adam, unaniliwaza na hiz move zako😂😂
Endelea kuenjoy
Kwahiyo wabongo bila kuigiza mapenzi hamfanikiwi kila anayeigiza mapenzi fundisheni na maisha
Maisha bila mapenzi uliona wapi Nzungu?
Nakupenda sana Adam unajua mpaka unajua tena❤❤🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Nzuri sana
Asante sana
Filam iko vizur sana❤❤❤❤
Asantee
Always amazing movie blessed bro tunainjoy 🎉
Thanks for watching
Naipenda sana filamu zako Adamu. Very nice and Educative ones. From Kenya.
Thanks
Maingizo haya yanakaa ukweli kaka,, af very clear quality videos,, nawapogeza
Asante
Huyu dada anaeza kufanyia mambo japo ni muigizaji ukajikuta umejisahau 😂😂
Yaani
Hapo kwenye cjawahi lala na mwanamke mwingineeee😂😂😂
Jamanii
Umeweza sana kaka Adam mungu akubariki kwa movie zako nzuri sana ❤❤❤
Shukrani
mko vizuri sana wadau keep it up
Thanks
Story line always Hua top notch..bwana Adamu kweli unakipaji cha uandishi..ata Mimi pia am an actor naweza Pata chance Kwa movie yako moja kaka
Asante
Adamu unapenda sana Makande
Mnoo
Adam broo uyu dem ni goma lako kwl bhna 😂😂😂😂
Jamani
Kenya Watching
Thanks
Ni kweli kabsa syo kila tulichokutana nacho hapo mwanzo n sahihi kwetu hapana ❤❤❤
Ni kwelii kabisa
Nikweli kabisa wajina
❤🎉🎉🎉hongera kaka Adam upo sawa 🎉🎉
Shukrani
Ila damu weee ni⚘️⚘️⚘️⚘️
Jamani😘
Mambo ni 🔥 ubarikiwe sana Adam
Shukrano
KAZ nzuri🎉🎉🎉🎉
Asante
Iko Sawa lakini mlikosea part ya mwisho kutokueka mabishano ya mwisho wewe na idaya
Sawa tusamehe ila kuna namba 2 yapo
Nawapenda sana sana na kazi zenu 💗💗💗
Shukrani
Congratulations 🎊 🎉 kaka kazi mzuri sana
Asante sana
nakubar sana kazi zako zote
Asante
Mama wee mambo ushaya peruza zen unajitoa ufaham kuhusu ndoa duh!! 😂😂😂😂❤
Mama huu anata kula raha za wanawume xataki kupata mtoto
Kanichanganya sana
Yaani
Episode safi sana Adam Leo keep up and if that lady is single I looking for a wife from TZ and she fits the bill
Au sio 😂😂
😶🌫️
Adamu naomba kazi na mimi nioneshe kipaji changu
0652393960 whatsapp
Ad leo pongezi talenti gikaze unakaribia marehemu kanumba
Aisee
very good film !!! asante sana Adam Leo
Shukrani
Kazi nzuri adamu hongera
Asante
Pole sna.adam❤
Asante
Adam ao wanawake wa Morogoro awajielewi ,kanyaga kenya kumbwa kumbwa ❤❤❤❤🎉🎉
Hahaha wamekufanyeje mzee🤣🤣
Much love from Kenya
Thanks
Adam hii ni movie ama series?sijaona Adam akikiss mwanamke kwa movie huyu ndo wakwanza 😂😂kasi nzuri❤❤❤
Shukrani sana
Sio wewe tu mwenyew nimeshangaa
Na amekisss kweli kweli
Nzuri kbs mchelewe kutoa ngoma ya pir
Saaa
Nzuri sana nimeipenda ❤❤❤
Shukrani
Yani Adam unafatilia comments zote. Kwakweli unawajali saana mashabiki zako.❤
Shukrani sana
Hii ni fire kuliko niwape maua yenu kaka🎉
Asante
Bonge la move
Thanks
🎉🎉🎉adam tunasubiri episode 2
Sawa
Move nzuri🎉🎉🎉
Shukrani
We admu. Kweri mngoni mwenzangu bombi nyumbi hi
Hahah
@@AdamLeoStudios nilisikia unasema ivyo. Nikasema. Ooh mngoni mwenzangu anafanya vizuri
Adam napenda sana kazi zenu nawapenda sana ❤❤❤❤
Shukrani sana
Much Respect Team Adam Leo ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Thanks
Adamu wangu weeee😋 kachochea makande kaweka nanazi. Mie kusikia njaa imeanza kuniuma
Polee
Shida ya wanawake ni wivu.ona saasa idaya yaani hutaki Adam akue na mtu anayempenda
Shida kabisa
Hongera adam kwa filam tam sana❤❤❤❤❤
Asante sana
Maumivu tupu maisha ya kudanganyana inauma single sio kitu kizuri ❤❤❤❤
Pole
Huyo ndo wakua kakangu !
Umeona eh
Mashallah ❤
Asante
Hongera kazi zuri ya pili ikuwapi jamani ❤❤❤❤❤❤
Kesho
Adam namakande au we mpareee mwenzangu😂😂
Hahaha Mpare Msomali
Utajua mwenyewe na mungu wako sisi hajayetu ni ujumbe tu uwasilishwe bila hasira😂
Hahaha endelea ku enjoy😃😘😘
❤❤❤🎉🎉🎉
🤝🤝
wa tatu 🎉❤
Asante
Next🔥💯
Ok
Waaoooh bonge la combinationation,,,mnajua maashaallah adi mnajua tena
Shukrani sana
Pamoja sana kaka Adam
Shukrani
Huyu atakuwa ni mke wake kabisa❤❤❤
Wala jamani
😘😘😘 nimeipenda sana good job
Thanks
Movie nzuri
Shukraniii
Adam na Amanda munaendana,sana kaka big love ❤️
Thanks
Japo nimechelewa kuiangalia ila pambe❤❤❤
Thanks
Woow🎉🎉🎉🎉
Thanks
Adam Doct wamapezi we 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Jamani
Kazi zenu ni nzuri xn
Asante
Adam hiyo sauti jamani..,ata kama mtu ashapanga kukuacha tena haezi kuachana nawe
Jamanii noma
Mnatuandaa kuwa malaya na mnatoa mbinu za kuchepuka
Au sio
Nami ndo nafika kwa Adamu haya twende kazi 🎉🎉🎉🎉
Asante endelea kuenjoy
Asante
🔥🔥🔥
🫶🫶
❤❤❤❤🎉🎉🎉hongera kazi nzuri Adam
Shukrani sana
Eiiiiiiiish🙈adam acha kunitamanisha😂😂😂😂😂karibu niume ulimi😅😅😅
Pole mzee😂
Nice one lakini mtuonyeshe uhalisia muislam na mavazi hayo haiendhani ✊✊✊
Sahihi
Leo nimesoma comment zote keep going bro nice job ❤
Thanks
Afuu we adam😂😂😂😂😂
Kwa nini unapenda kupikaa makandee jamaniiii
Nayapendaa
@@AdamLeoStudioshongera Adam
Mimi mpenzi WA mkande sana
muvi zako adam sio za kubaatisha piga kzi kaka utafika mbali
Shukrani sana
TH-cam bila wewe Adam si TH-cam . Asante Kwa kutuelimisha Kila wakati tunapata mafunzo mapya.twakupenda
Shukrani
😂😂😂umeanza miemko Sasa et bila yy TH-cam sio TH-cam😂😂😂hahaha TH-cam imekuwepo kabla yake 😂ujue Kiukwel Adam anajua lkn usmlinganishe na TH-cam bs😂
@user-ch2it3qt5z 😂jamani si maoni yake! Maoni ya mtu yaheshimiwee😂😂😂🙏🙏all in all asanteni sana nyote.
Safi sana👉🇰🇪
Shukrani
Kazi nzuri adam❤
Shukrani
Mbona hizo kiss zinavuka mipaka mnamahusiano ya kweli mkiacha na hizo muvi
🤝
Mbona ulikataa sahii ndio unataka ameshaa pata mwingine ❤❤
Yaani shida tupu
Mnanibamba weye na uyo dada ❤❤
Shukrani
Movie Kali sana leta part 2 please
Sawa