Ahsante sana Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi Kwa uinjilishaji. 👏👏 Mwanamke Taifa Hai kwelikweli hongera sana kwa mwalimu wetu A.J. Myonga Mungu awe pamoja nawe katika yote. Nawapenda nyote katika Kristo. 🙏🙏🙏
Nyimbo hizi ni kubwa sana, zinashindwa kufikia kanisa la dunia kwa sababu ya lugha. Nyimbo kama hizi za kimkakati na hamasa watunzi wangekuwa wanaandaa maneno katika lugha kuu duniani kama ,KIINGEREZA, KIFARANSA KIJERUMANI NA HATA KIARABU, Mwanakwaya anaimba Lugha yoyote akifundushwa kwa ustadi
Hongereni Sana kwaya ya Mt. Secilia kwa kutoa Elimu kubwa Sana kuhusu mwanamke. Pia pongezi nyingi kwa Mtunzi Mungu amzidishie baraka tele katika maisha yake.
Hongereni sana mt cesilia makuburi ...mwanamke ni jeshi kubwaa ...hongera sana kwa mwalimu j mnyonga umejua kupangilia nota hatari Mungu akutunze .. Sauti ziko ziko vizuri atari
Jamaniiii 🥰🥰 Ujumbe mzuri, mpangilio wa wimbo,ubora na usikivu wa sauti mzuri, ubora wa video,kinanda 🙌,nyuso nzuri kabisa za furaha 🥰.. Aisee Mungu mwenyewe Ajitwalie sifa na utukufu 🙏
Hongereni sana. Yaani hapa WAWATA lazima watunyanyase sana na huu wimbo. Bwana Muyonga tutuingie na sisi UWAKA (wanaume) vinginevyo tutanyanyasika sana. Naliona jeshi kubwa wakati wa HARAMBEE likisimama kwa mbwembwe zote. HONGERAAA
It is a beautiful song. It is a lovely song. It is a truthful song. The instruments are very well played. The choir members love what they are doing and really enjoy it. Thank you very much for this production.
Woyooooo woyoooo mnataka nipandishiwe bei ya umeme sio kwa sauti nlioweka wimbo mzuri mno nawapenda Sana
😂😂😂
asante sana twakupenda pia
Nimerudia mara 20 hadi watoto wamenikimbia sebuleni
Bomba ya ngoma mmetisha kichizi my family 🔥🔥💪💪✊✊
Mwanamke Ni Chanzo Cha Malezi Bora katika Jamii na Familia.......Agaaaaaa Nyie watu
kweli kabisa
Ahsante sana Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi Kwa uinjilishaji.
👏👏 Mwanamke Taifa Hai kwelikweli hongera sana kwa mwalimu wetu A.J. Myonga Mungu awe pamoja nawe katika yote.
Nawapenda nyote katika Kristo.
🙏🙏🙏
shukrani pia
Nyimbo hizi ni kubwa sana, zinashindwa kufikia kanisa la dunia kwa sababu ya lugha.
Nyimbo kama hizi za kimkakati na hamasa watunzi wangekuwa wanaandaa maneno katika lugha kuu duniani kama ,KIINGEREZA, KIFARANSA KIJERUMANI NA HATA KIARABU,
Mwanakwaya anaimba Lugha yoyote akifundushwa kwa ustadi
Asante sana kwa maoni na ushauri huu. Tunaufanyia kazi 🙏🙏🙏
Mwanamke Ni mwalimu,jeshi kubwa.
Mwanamke Ni Taifa hai.
Kongole kwa waimbaji
Mtunzi , organist Bila kuwasahau GLS🔥🔥🔥🔥🔥KMSM🔥🔥
naam
Wimbo mzuri sana na waimbaji wameutendea haki Asanteni sana akina mama wa Mt Cecilia
asante sana
Hongereni Sana kwaya ya Mt. Secilia kwa kutoa Elimu kubwa Sana kuhusu mwanamke.
Pia pongezi nyingi kwa Mtunzi Mungu amzidishie baraka tele katika maisha yake.
amina
Hongereni sana mt cesilia makuburi ...mwanamke ni jeshi kubwaa ...hongera sana kwa mwalimu j mnyonga umejua kupangilia nota hatari Mungu akutunze ..
Sauti ziko ziko vizuri atari
asante
Asante #women's Mt. Secilia kwaya ,,,Asante #Myonga kazii nzuuuurii mnoo heshima kwa mama zetu wooote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💚💚💚
asante
Hongereni sana👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 Mungu awabariki kwa wimbo mtamu! Hakika Mwanamke ni jeshi kubwa 💪
Asante sana. MWANAMKE NI TAIFA HAI
Kazi kubwaa,,
Maana harisi ya mwanamke IPO humu. 🔥🔥
Mwanamke ni Taifa hai, ni jeshi kubwaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Hongereni Sana Waimbaji wa Mtakatifu Sesilia Makuburi nawapenda Sana.... soprano na Alto wanasikika vizuri Sana..... Karibuni Kenya...muinjilishe huku
Naomba niwe wakala wenu huku Kenya
asante sana ndugu yetu
Kazi nzuri Sana kwakweli. Hongereni Sana TSJ members. Mt. Secilia.
asante sana
Hongereni sana hakika mnatuburudisha asanteni sana
Hongereni sana…..Mungu awabariki nyote🙏🏼
amina
Kazi nzuri, hongera sana,
Mwanamke ni jeshi kubwa na Taifa hai
asante
Nguvu ya mwanamke.. Asante sana Asante sana... Mt. Secilia🍷
Hongera kwa mtunzi pamoja na waimbaji pamoja na walioshiliki,kufanikisha kazi hii dhuri.
asante
Hakika mwanamke ni jeshi kubwa🥰💪
Jeshi kubwa hongereni sana kwa wimbo mzuri uimbaji mzuri na utunzi mzuri pia
Hakika.
Mwanamke ni kitovu Cha uvumilivu 100% Asanteni kwaya ya Mt.Secilia kwa ujumbe mzuri
Nzuri mpaka baasii kongore kwenu kwa utume mzuri
Sifa na utukufu ni kwake yeye aliyetukuka aketie juu sanna
asante
Hongera akina mama..kwa sauti tamu
asante
Much love from Kenya
Thanks a lot we're looking forward to come in Kenya 🇰🇪
We love you a lot #Kenya
Please help us to share with others
❤❤❤
Jamaniiii 🥰🥰
Ujumbe mzuri, mpangilio wa wimbo,ubora na usikivu wa sauti mzuri, ubora wa video,kinanda 🙌,nyuso nzuri kabisa za furaha 🥰.. Aisee Mungu mwenyewe Ajitwalie sifa na utukufu 🙏
Shukrani
Kaz nzri sana jmni, mungu awabari sana sana. Mwl myonga ongera mungu kakupendelea sana kutunga nyimbo tamu tamu na kupga pia
amina
Safi sana kwaya wimbo mzuri amakweli tz mulibalikiwa na mungu kwa kuimba
asante
Wimbo ni mzuri sana,, mbarikiwe sana na mtunzi pia hongera zake.
ameen
Hongereni mno mpo vyediii
Kijodi nimemwonaaa 🥰🥰🥰🙌
Nyimbo sahii Kwa wakati sahii hongera Kwa myoga na Mt. Cecilia Kwa ujumla
asante
Mtunzi peponi mojakwamoja inakusubili
Nawaelewa sanaa yaani mbarikiwe 🙏🙏🙏🙏
amina
hii nyimbo ni kubwaaa sana Safi sana Nembo yetu #Myonga
Mungu ni mwema asante
Nawapenda jaman mje tena njombe🥺🥺🥺🥺🥺
Kazi nzuri sana.Tunafanya mpango wa kuwaalika kwetu
asante
Hongera sana kwa kazi nzuri
asante
Hongera Sana wimbo mzuri sana hongera wawata mungu awabariki kwa utume wetu mungu awabariki na familia zenu❤❤
Kazi nzuri sana... hakika ni JWTZ kubwa
asante mnoo
Kaz nzuri,, mafundi,,, Mungu awabariki....
Dada lucia na kaka Myonga nawasalimu
amina
Asante sana mdogo wangu kipenzi
For sure mmeupiga mwingi hongereni sana wawata
asante
Hongeren kwa Kaz nzuri
Kazi nzurii Hongereni sana 😍😍😍😍🤗🤗🤗
asante
It's Awesome work
🙏🙏🙏🙏mwanamke ni Taifa hai
Great work safi San utunzi Bora sauti murua hakika Mungu azidi himidiwa kupitia tungo zenye baraka
amen
Mtunzi nan nipate copy
Amina sana
Mwanamke ni jeshi kubwa🙏
kabisa
Hiyi Nyimbo inafurahisha sana,Mwanamke anaweza kila kitu
Mt sesilia makuburi hakika nyimb nzenu nzur san ,composer asante kwa utunz wako
asante mnoo
Hongereni sana, barikiweni zaidi.
amen
Wanawake tunawezaaaa
kabisa
Nimeupenda wimbo na actions za video safi sana..Good job👏👏👏
Wimbo mzuri sana, Hongera wanakwaya wote
asante sana
Great work
thanks
Hakika ni Jeshi kubwa...
Amina
Hongereni sana na asanteni kwa wimbo mzuri wenye fundisho kubwa❤
TUMSHUKURU MUNGU
Hongereni sana. Yaani hapa WAWATA lazima watunyanyase sana na huu wimbo.
Bwana Muyonga tutuingie na sisi UWAKA (wanaume) vinginevyo tutanyanyasika sana.
Naliona jeshi kubwa wakati wa HARAMBEE likisimama kwa mbwembwe zote. HONGERAAA
😆😆😆
Hongereni Sana Wamama wenzangu, Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri mnooo🙏❤️
asante mnoo
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hongereni sana Akina mama kwa moyo wenu kwa kujali familia kweli ni Jeshi.
kubwa.
Kazi Safi.
asante
Kazi safi kabisaa... Heko
asante
Hongra sana twende tukajenge kanisa
This is amazing . You are such a great choir. You don't disappoint.
Nangojea Sana jina la Bwana
On the way to come stay tuned
thanks
Kazi nzuri sanaaaaaa,Mbarikiwe mpaka mshangae
It's such a very good song that really educates. Wimbo mzuri sana uko na funzo nzuri ya kijinsia
Ee mungu zidikutubariki wanawake woteee duniani❤
It is a beautiful song.
It is a lovely song.
It is a truthful song.
The instruments are very well played.
The choir members love what they are doing and really enjoy it.
Thank you very much for this production.
thanks
Naupenda saaana.naskizia nikiwa KENYA.
Good 👍✍️
Kama wewe ni "Jeshi kubwa" kunywa kinywaji cha chaguo lako kujipongeza kwa miaka 50 ya jubilei ya wawata...😊
ndio ndio
Karibuni tunywe wote kujipongeza 50
🔥🔥🔥
🥰🥰🥰 mwanamke
Safi sanaaaaaa dears
asante
Good work, nice praises song
thanks
Hongereni kuwakumbusha umuhimu wa mama
asante
Nice sms. Just only that; video.....................
Show an advice a good shooter.
thanks
Asant Mungu kwa kuniumba mwanamke tutunze daima
Mwanamke ni chanzo cha aman
naam
Hongereni sana kwa utume meseji sent
Great song wamama zetu
Hongereni dada zangu kwa kazi njema.kila wakati uwa naskia wimbo huu,uwa inanisisimua tu sana.
Mbalikiweni Wana st. Cecilia choir kwa wimbo wenu mtamu sana. Akina mama hoiyee. God bless you. From Qatar
All true about woman
A very nice song. Enjoying it from Kenya.
Hongera sana...
Naweza pata nakala ya uu wimbo tafadhari
Mt Secilia mambo ni moto
shukrani
Hongereni sana wapendwa
asante sana
Let God give you more strength to serve and praise him on earth through singing.....a nice song indeed
Hongereni kwa utume mwema
Hongera sana wawata
Wow that's beautiful
thanks a lot
👏👏🙌🙌🙌pongezi TZ
Good byiza cyane mutagatifu kizito
Mbarikiwe Santa mama zangu
Hongereni Sana kwa utume
Nice song naipenda
Mi ni jeshi kubwa
wawa ni jeshi kubwa
Nice one 🙏🙏🙏🙏
Blessings from above.....you are really amazing 🥰🥰🙏🙏🙏🙏
🔥🔥🔥You Never disappoint
Fixe velas tao alegres com tudo que Deus tem feito por aqueles que creem a Ele aleluia
Muchas gracias, que Dios tabendiga abundantménté. 🙏🙏🙏🙏
Good job
thanks
Good sounds.
🙏🙏🙏🙏💯❤️