Ninyi ni kielelezo cha ustadi na umoja, na ufanisi wenu katika kutoa burudani ni wa kuhamasisha. Asanteni kwa kutuwezesha kugusa mioyo yetu na kuleta furaha na utukufu kupitia sauti zenu. Nawapongeza kwa bidii yenu na nawatakia mafanikio zaidi katika safari yenu ya muziki. Hongereni tena kwa uimbaji mwema!
Mungu ni mwema sana wimbo mzuriiiiiiii mnooooooo Colabo imenikumbusha wanangu wa njombe nimemuona tassy nimemuona sr lucy na luzo uhhh dah hongereni sana
Huu wimbo ni mzuri hongereni Kwa Hilo, pia si jambo jepesi kwaya mbili kuungana na kutengeneza kitu kizuri kama hiki mnastahili pongezi za dhati kabisa, mwisho nimshukuru mwl myonga, uongozi WA kwaya na wanakwaya Kwa ujumla Kwa kazi kubwa mliyoifanya
Asanteni Sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Mmeimba vizuri Sana, Mwenyezi Mungu azidi kuwaongezea maarifa mzidi kumtumikia yeye, Siku zote naipenda Sana hii Kwaya ya Mt. Cecilia na nitazidi kuipenda
Nyie watu mnanibariki mno 💕💕💕 kazi nzuri sana Mungu awatunze hongereni sana hakika duniani tunapota ujumbe mzuri pia 😘😘😘 Huyo dada mwenye Miwani nampenda mno nabarikiwa naye 👏👏👏
Kama waimbaji wote tungekuwa na muunganiko huu WA kushirikiana katika Kristo hakika katoliki tungekuwa mbali Sana ...nimeipenda Sana hii hakika umefanya Jambo la kumpendeza Mungu na wanadamu wenye uelewa katika tathnia hii ya uimbaji...hongeren Sana Kwa sauti nzur na production nzuri na uchangamfu kwel mmenibariki ,one day nitakuja kuwasalimu mbarikiwe Sana
Ninyi ni kielelezo cha ustadi na umoja, na ufanisi wenu katika kutoa burudani ni wa kuhamasisha. Asanteni kwa kutuwezesha kugusa mioyo yetu na kuleta furaha na utukufu kupitia sauti zenu. Nawapongeza kwa bidii yenu na nawatakia mafanikio zaidi katika safari yenu ya muziki. Hongereni tena kwa uimbaji mwema!
Amina kuu
Nmebarikiwa na hii collabo🙏🙏🙏
ujumbe mzuri sana........ Hongereni sana
Waoh hongereni Sanaa mmeupiga mwingi mnooooo
Mwanangu @msomijosephat big up
Mambo yamepikika effectively na yakaiva heko kwenu👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Asante sanaaaaa Mbarikiwe hongera binam A. J. Myonga
Daaaaaah nazidi kupamisi Makuburi,mmetisha haki vile
Wooow wooow Tena kwaya yangu pendwa mmetisha matendo mema ndo nauli yetu ujumbe💪💪Mungu awabariki
🔥🔥🔥🔥tunashukuru kutukumbusha...kazi nzr sana
MUNGU awabariki kwa kazi yenu njema ya uinjilishaji.
Woow hongeni mnoo😘, hakika ujumbe ni mzuri sanaa
Very good message inatukumbusha kumkumbuka Mungu hongereni sana
Aisee hongera, kazi nzuri sana
Hii ni 🔥🔥🔥sichoki kuiangalia hii video
jamani nimesubiri wimbo huu kwa hamu Sana hatimaye umetoka kazi nzuri mungu awabariki kwa uinjirishaji na mwona na neida Safi sanaaaaaaa
Wow hongereni sana niliisubiria hii sana yanikumbusha safari yetu ya njombe
🔥🔥🔥🔥
Duniani tunapita si nyumbani yapo maisha mengine baada ya maisha haya 🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu ni mwema sana wimbo mzuriiiiiiii mnooooooo Colabo imenikumbusha wanangu wa njombe nimemuona tassy nimemuona sr lucy na luzo uhhh dah hongereni sana
Najivunia kuwa mkatoliki barikiweni sanasana
Kazi nzuri👏👏
Nauli ya kufika mbinguni ni matendo mema.wooow! Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huu wimbo ni mzuri hongereni Kwa Hilo, pia si jambo jepesi kwaya mbili kuungana na kutengeneza kitu kizuri kama hiki mnastahili pongezi za dhati kabisa, mwisho nimshukuru mwl myonga, uongozi WA kwaya na wanakwaya Kwa ujumla Kwa kazi kubwa mliyoifanya
Mpo good wapendwaaa!!!
Asanteni Sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Good job!!God be with you forever!!MY BR.A.J.MYONGA hongera kwa utunzi uliotukuka.
Wimbo mzuri sana. Hongereni sana Kwa uinjilishaji
Asante
Good job my friends kazi iendelee
Napenda kwaya hi....Mimi ni muimbaji pia....naimba sauti ya Kwanza na ya Tatu
I'm speechless...... Upeeeendo kwa watu wote
Kazi nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mungu azidi kuwatia nguvu kwani mnainjilisha kwa njia ya uimbaji
Wooow😍😍😍 hakika safari ya kufika huko ni ndefu na ya kuchosha, nauli yetu ni matendo yetu mema tu👏👏👏👏👏
Kazi nzuri
Hongereni wapendwa
Mmeimba vizuri Sana,
Mwenyezi Mungu azidi kuwaongezea maarifa mzidi kumtumikia yeye, Siku zote naipenda Sana hii Kwaya ya Mt. Cecilia na nitazidi kuipenda
Amina sana.. ubarikiwe mno na tunakupenda zaidi 🥰🙏
Mungu azidi kukubariki kpaji chenu
Nyimbo bora sana hongereni sana sesilia kwa kudumusha ubora wenu katika kumwimbia Bwana, Mungu azibariki san juhudi zenu
Kazi nzuri🔥
Hongereni sana 👏👏
Hongereni Sana kwa ujumbe mzuri mungu awabariki sana👏👏👏
Tusambaze upendo🔥🔥🔥 kazi nzuri mno
Shukrani sana 🙏 ubarikiwe mno
🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu atutie nguvu
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Mbarikiwe sana Wana wa Mungu
Waooo,😇Mungu azidi kuwakweza zaidi wateule,
Mt.Sesilia nawakubali mnoo
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥bonge la kazi
a bigup aj tunasapoti San kazi yAkoo
Umenivutia huuu wimboo duuuu
Ujumbe safi sana. Sauti tamu. Quality ya video yummy kifupi mmetisha 🔥🔥🔥🔥
Hii ngoma kali hongeren kwaya mt Sesilia makuburi kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwainua
Wimbo mzuri... Hongereni sana
Myonga and Secilia 🙌🙌🙌
Hongera Sana mwl myonga na kwaya ya mt sesilia kwa ujumla
Mmejua kunifurahisha ni fireeeeeeee respect
Hongereni sana
Kazi nzuri ,,ujumbe Mzuri hakika Matendo yetu ndo nauli ya safari yetu💥💥💥
🔥🔥🔥🔥🔥
Nice song congratulations.
Kazi nzuri sana wapendwa inabariki.... Mbarikiwe sana
Hongeren sana nawapenda afu nawapenda tena ,safari ya uzima.
Mungu ni mwema kila wakati
Nyie watu mnanibariki mno 💕💕💕 kazi nzuri sana Mungu awatunze hongereni sana hakika duniani tunapota ujumbe mzuri pia 😘😘😘
Huyo dada mwenye Miwani nampenda mno nabarikiwa naye 👏👏👏
Nyimbo nzuri🤩🤩
Asante Myonga. Mbarikiwe sana wanakwaya
Nimebarikiwa na wimbo huu
Maana ya muziki mtakatifu ndio huu sasa, safari ya uzima ❤❤❤❤
Hakika matendo mema ni hazina yetu, wapendwa tujibidishe kuwa na matendo mema tungali bado hai, kwa maana hiyo ndiyo nauli yetu. Keep it up brethren
Wimbo mzuri sana, hauchoshi Kuutazama. Hongereni sana KMSM
Karibu sana kiongozi
Hii kway naipenda ntakufa naipenda😎♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Ruxo, Tarsisius &Mass sanga kwa niaba ya wenzenu hongereni kwa kazi bora kabisa mbarikiwe Sana.
Mt sesilia tunawakaribisha Sana jimboni bukoba
Wimbo mzuri Sana, hongereni kwenu Wana Secilia
Wow hongeren kwaya yangu pendwa
Maudhui ya wimbo tu🙌🙌🙌
Hii inaitwa mziki mnene,👏🏼👏👏👏👏😘❣️
🔥🔥🔥🔥
Kabisa kabisa 😍😍😍sifa na utukufu ni kwa Mungu 🙏
Hongeren Kwa Collaboration
Tunabarikiwa Sana na nyimbo zenu Mwenyezi Mungu awabariki Sana...
Kazi Nzuri Sana.
Hongereni kwa Wimbo wenye Ujumbe mzuri.
Dunia Hakika Tunapita
Safi Sana..Kwaya yangu
Ni Kali Sana hii nyimbo hakika inatuinnirisha vyema
Kazi nzuri sana
One love one love my Mt Cecilia kwaya 🥰🥰🥰
🔥🔥 very interesting
Hakika sisi tu wapitaji tujibidishe katika upendo ili tukidaiwa nauli tusihangaike. Bravo Mt Secilia Makuburi
Hongereni kwa Wimbo mzuri. Mungu azidi kuwaimarisha mzidi kuitangaza Injili ya Mungu kwa njia ya Nyimbo.
🔥🔥🔥🔥
Amina sana🙏🙏
Hakika hata mbinguni hizi sauti zitaeendelea kumsifu Mungu.
Nakosa neno,. Ila kazi nzuri Sana 🙏🙏
Asante sana 🙏🙏❤❤
Wimbo Ni Moto sanaa
Hongereni Sana Waimbaji wa Mtakatifu Sesilia Makuburi....... Nawapenda Sana.....karibuni Kenya Katika Parokia ya Kristu Mfalme Jimbo la Kitale
+254 sambaza upendo
Tuko pamoja kiongozi
@@livinusgrenus2759 Safi Sana Livinus.... Nawapenda Sana
Hongereni sana wanakwaya kwa uinjilishaji mzuri hakika mnatusaidia kusali Mara mbili mbarikiwe sana. Catholic oyee
Nzuri sanaaaaa
Kazi safi Sana. Hongera Sana
"Matendo mema azina yetu" nimependa mziki ni mzuri sana kwa kweli 🤩🤩🤩
Hauchoshi kuangalia
Comment yangu fupi
Huu uimbaji ni standard za kimataifa kwakweli.
Hongera sana wa Secilia.
Nimemuona Bwana Msomi
Tunashukuru sana.. ubarikiwe mno 🙏
Waaa,an amazing song.proud of Catholic
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Mmeupiga mwingi sana
Nimeisubiria sana hii kitu 🔥🥰
Hatimayeeee
Karibu karibu safari ya uzima ipo live
kwaya yangu pedwa
Wimbo umenibariki
Kind of a big 🔥🔥🔥🔥🔥
Jamanii Jamanii Jamanii....
Kama waimbaji wote tungekuwa na muunganiko huu WA kushirikiana katika Kristo hakika katoliki tungekuwa mbali Sana ...nimeipenda Sana hii hakika umefanya Jambo la kumpendeza Mungu na wanadamu wenye uelewa katika tathnia hii ya uimbaji...hongeren Sana Kwa sauti nzur na production nzuri na uchangamfu kwel mmenibariki ,one day nitakuja kuwasalimu mbarikiwe Sana
Karibu sana
Karibu sana
Mbarikiwe sana