NG'ARA MALKIA-BY. BERNARD MUKASA-KMK QUEENS (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Mungu amedhihirisha kipekee utukufu wake kwa namna alivyomuumba Mwanamke kwa jinsi ya ajabu.
    Licha ya kumpendezesha kipekee, Mungu amemfanya mwanamke kuwa shujaa wa safari nzima ya maisha ya kila mwanadamu hapa duniani kuanzia kumwilishwa kwake angali tumboni, kuja kwake duniani, mustakabali wa utoto na makuzi yake, mpaka urithi na cha ya paji ya upendo toka kwa Mungu.
    Mwanamke ndiye mhimili wa mustakabali wa mwanadamu, na malkia wa jamii.
    NG'ARA MALKIA

ความคิดเห็น • 325