Bikira Maria Mama wa Mungu uniombeye na jamaa yangu tupate kustahili ahadibzake Yesu Kristu. Na atushindiye ma adui zetu. Uwakumbuke wale wote walio ndani ya Shida, ukubali kuwa teteya mbele ya mzao wa tumbo lako, wewe uliye mwombezi wetu. Amen.
Mama yetu Maria tunakuomba uwaombee Taifa la Central iliwaijue kweli uwaondolee ugumu wamaisha katika Taifa hili maana Mungu wetu umeumba dunia hii kwa kusudi lako wape furaha ya kweli wape amani ya kweli wape upendo wakweli ndani ya mioyo yao ilikulijenga Taifa lao kwa pamoja utuinue kiuchumi
Today 7th October 2024 as we celebrate the Feast of our Lady of the Holy Rosary our Lady of Victory ,I pray that mama Mary interceeds for all of as .Our Lady of Victory Pray for us 🙏 🙏
Maman ❤ utuombee kwa mwanawako atusaidie katika inchi yetu Congo mauwaji ikome n'a imalizike
Amen
Asante Mama Bikira Maria kwa kutuzalia Yesu Mkombozi wetu.
Mama maria tusaidie sisi wanarika tupate makazi tusaidie familia zetu 🙏🙏
Maria tusaidie, maria utuokoe sisi wanao wenye dhambi🎉
God faithful, don't worry❤
May your request reach everyone, thank you mother of God
Mama nimoyo wakweli ❤ Tuombee wanao kwa mwanao Yesu kirsto tuondolewe mashaka myo yoni mwetu🙏🙏
Utuangalie maria Dunia hii tulimo zida nyingi zatuzonga tuokoke mama ❤
Twaomba sana mama usituache gizani kw mwanao tuombee❤❤
Mother Mary we honour you. You are a true intercessor. Thank you for all the graces granted to us through your son Jesus Christ. Amen.
Remember me this HR, my always prayer is to become a mom🙏🙏🙏
Wao amazing sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Mamã Maria mãe de Jesus, rogai por nós
❤❤❤❤❤ mama maria tuombee sisi wanao tunaosumbuka
Mama Maria tuombee Kuna wenye tulikuja nao galfu wanapitia mateso mama Maria tuombee
Bikira Maria Mama wa Mungu uniombeye na jamaa yangu tupate kustahili ahadibzake Yesu Kristu. Na atushindiye ma adui zetu.
Uwakumbuke wale wote walio ndani ya Shida, ukubali kuwa teteya mbele ya mzao wa tumbo lako, wewe uliye mwombezi wetu. Amen.
Tuombee Sisi wakosefu❤
Mama Maria twakuomba utuombe sana sisi wanao tunamalizika Kwa magaidi wa msumbiji. Tupe imani ili tufike Kwa mwanao
Mama yetu Maria tunakuomba uwaombee Taifa la Central iliwaijue kweli uwaondolee ugumu wamaisha katika Taifa hili maana Mungu wetu umeumba dunia hii kwa kusudi lako wape furaha ya kweli wape amani ya kweli wape upendo wakweli ndani ya mioyo yao ilikulijenga Taifa lao kwa pamoja utuinue kiuchumi
Nyimbo tamuuu.....mama Maria utuombee
❤
Mama maria utuombee katika hii dunia tunapitia mengi magumu mama tunakuomba
Mama maria tunajikabidhi mikononi mwako 🙏🙏
Mama tunomba maombi yako sana mama tunakupenda
Utuombe mama maria Amina 🙏🙏
Amina🙏🙏
Mama maria🙏🙏
Mama. Maria tushike mkono Ili tushinde magumu tuliyonayo
Niombee mama wa mkombozi Na hii familia yangu ndogo..
Usituache gizani kwa mwanao tuombeee😭🙏
tuombee Kwa mwanao sisi weny dhambi mwanao atusamehe na atubatik
The songs are very entertaining to every one. SUBSCRIBE and SHARE to promote the our channel🙏🙏🙏🙏
Mama Maria utuombee sisi wanawako wenye tulijituma gulf twakuomba usitusahau wenye tuko Saudi n Lebanon tunakuitaji mama😢
Twaomba sana mama maria usituache gizani
Amina
Mama maria utombee ss wanao tunao kukimbia katika shida
Today 7th October 2024 as we celebrate the Feast of our Lady of the Holy Rosary our Lady of Victory ,I pray that mama Mary interceeds for all of as .Our Lady of Victory Pray for us 🙏 🙏
❤❤❤
Amen!
Mama wetu maria twaomba uwe pamoja nasi 🙏
Maria mama yetu utuombee kwa mwanao
Love, mom Maria 10 m
Mama wetu Maria 🙏🙏🙏🙏
EEE mama Maria utuombee Sisi wakosefu
amen
MAMA🎉🎉🎉🎉
Tunomba ili Vita ya magaidi wa msumbiji imalizike. Tukae Kwa amani na utulivu. Ee mama tuombee.
🙏
❤❤❤❤❤❤❤
Maria alishakufa atawaombeaje? Someni Biblia Mungu awafungue macho ya Kiroho Roho Mtakatifu awaongoze.
She's alive
Amen
❤❤❤
Amina
Amina
❤❤