ZIJUE SILAHA ZA MPINGA KRISTO !SEH. YA 1 (Official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 195

  • @joycegesare1571
    @joycegesare1571 3 ปีที่แล้ว

    Amen ili somo limenisaidia saidi kuelewa saidi. Barikiwa sana mutumizi wa mungu

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 ปีที่แล้ว

    Nashukuru mungu kupata mchungaji kama wewe hapa nyumbani kwangu Tanzania

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 ปีที่แล้ว

    Amen hakika sina hofu tena Mungu sifa na shukurani n zako milele

  • @atumwampondele2911
    @atumwampondele2911 3 ปีที่แล้ว

    Hapo penye dawa umenigusa Yesu ni mponyaji kabisa mmeanza kuimba Yesu roho aponya. Nimewashangaa kwasababu hamuamini uponyaji. Mnaamini miti shamba. Mimi ni naponywa na Yesu kristo homa,maleria .havimtishi Mungu. Aliponya na anaponya sema udhaifu wa imani yako unasubiri mpaka daktari aseme tumeshindwa ndio useme Mungu yuko Wapi mnamkuta wapi Mungu Kama haponyi hapo jifunze vizuri Neno la Mungu

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni ukweli pastor Kenya ata Kanisa zimefungwa Mungu ndio atatusaidia Amen👏👏

  • @jamilahaji576
    @jamilahaji576 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi nimebarikiwa sana

  • @Resilience..872
    @Resilience..872 4 ปีที่แล้ว +2

    Listening From Kenya.The preaching of Mr.MMBWAGA are always amazing

  • @susannganganganga4729
    @susannganganganga4729 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mhubiri,

  • @atumwampondele2911
    @atumwampondele2911 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hili ni aibu Kubw kwenu mnaohubiri injili. Ndio maana Magufuli aliuliza mnahubili Yesu anaponya leo imekuaje rudini Kwa Mungu.

  • @mathiasmavanza605
    @mathiasmavanza605 4 ปีที่แล้ว +5

    Hofu! Woga! Mungu atupatie ujasiri na atuzidishie imani.

    • @rosemarynyabenda3131
      @rosemarynyabenda3131 4 ปีที่แล้ว

      Mutumishi MUNGU AKUBARIKI AFURAHIYA MAHUBILI YAKO YANANINJENGASANA

  • @justonmasebo2528
    @justonmasebo2528 2 ปีที่แล้ว

    Bwana anao watu Kila kanisa.huyu mchungaji nampenda Anafundisha kweli

  • @kasandapatrick1762
    @kasandapatrick1762 2 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu asifiwe! Mchungaji naomba nirekebishe " mtu anaweza akawa mtu wa Mungu alafu katikati akawa mpinga kristo mfano Sauli" kama ni hivo basi Kila mtu duniani ni mpinga kristo... Usahihi ni kwamba mpinga kristo ni mtu au watu maalum ambae atapewa nguvu na mamlaka nyingi na shetani na pia shetani atamtumia kubadili Sheria za Mungu atalazimisha aabudiwe akimuwakilisha shetani...
    Hitimisho mpinga kristo ni
    1. Binadamu (wanadam)ataepewa mamlaka kubwa, nguvu na shetani
    2. Atatumia mamlaka kutoka kwa shetani kubadili amri za Mungu ( ili ku replace ibada ya Mungu kuwa ya shetani)
    3. Atatumia mamlaka kutoka kwa shetani kuwashuritisha watu , ila watakatifu watagoma ndipo atapo fanya vita nao

  • @timonwilson6679
    @timonwilson6679 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nakuelewa sana ubarikiwe

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi nmekua nikifatilia mafundisho yako kwa,mda mrefu sana na yamenifungua hadi nmeokoka na kuww msabato ,,,ubarikiwe sana aki koz tumedanganywa,na mbinu za shetani kwa mda mrefu

  • @johnizoboy
    @johnizoboy 4 ปีที่แล้ว

    Mungu no mwema sana Nina kila sababu ya kumshukuru yeye kwa maana huwa nabarikiwa sana nikisikiliza mafundisho ya mahubiri TV..Natamani siku moja nipate nafasi ya kuhudhuria ibada live. Mungu atubariki sana kwa neema hii ya kumshuhufia Bwana wetu Yesu kristo. Amina

  • @leahmtuli7948
    @leahmtuli7948 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi

  • @SinnersavedbyGracewithoutdebt
    @SinnersavedbyGracewithoutdebt 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mungu wetu ni mshindi mpinga kristo hana kitu.

  • @jeryniyi3934
    @jeryniyi3934 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, ujumbe mzuri sana

  • @nyarkamrumbeayoma6886
    @nyarkamrumbeayoma6886 4 ปีที่แล้ว +4

    “Ishi kana kwamba yesu anakuja leo,lakini fanyabiashara kama unaishi miaka 1000” 🤔

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว +2

      Christ would have everyone educate himself to calmly contemplate His second appearing. All are to search the Word of God daily, but not neglect present duties.-Letter 28, 1897.

    • @nyarkamrumbeayoma6886
      @nyarkamrumbeayoma6886 4 ปีที่แล้ว

      Personally that quote up there motivates me,cause at some point I gave up and was hopeless because of all chaos happening now + stressful life,na hilo quotation hapo likanipa mtazamo mwingine kabisa wa maisha na kumtafuta mungu wakati tukifanya kazi,keep feeding my/our faith mch ,much love from 🇺🇸

  • @williammussa5621
    @williammussa5621 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali sanaaaa pastor Baba akubariki ..Mungu wetu mwenyezi atulinde Amen

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 ปีที่แล้ว

    Amen aliye nasi ni mkuu kuliko wao.Yesu kristo ni mshindi.

  • @captaincloud7youngpol692
    @captaincloud7youngpol692 4 ปีที่แล้ว

    Office hiyo ni pale TRA Dodoma mjini, pana ndoo 2 na sabuni pamoja na tishu zakujifutia mikono alafu unajiandikisha taarifa zako zote pale kwenye daftari. Namengineyo. Pastor nakuelewa sanaaa.

  • @sporamavanza2939
    @sporamavanza2939 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukupa nguvu na kukutunza, wengi tunatiwa moyo na masomo yako

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 ปีที่แล้ว +1

    Niukweli mchungaji wako na mpango kutuletea chanjo zinye virusi, tuzidii kuwaombea viongozi wetu wasikuwe na tamaa yapesa wakaruhusu hayo yatoke. Tuzidi kuomba, from Qatar.

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +2

    Pastor Mbaga Mungu akubariki sana, unanifungua sana, Mungu atuongoze, Ameeeeen.

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubalikiwe tunaomba sana wenzetu wenye iman mtusaidie kuomba msamaha kwa MUNGU atusaidie

  • @danielkago7497
    @danielkago7497 4 ปีที่แล้ว

    Amen mchungaji Mungu akubariki sana nambarikiwa na somo la Mungu nikiwa Kenya Amen amen

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 ปีที่แล้ว

    Mitume walishinda nasi tutashinda tu,Amen.Mungu akuinue zaidi pastor kwa kazi nzuri ya kutuokoa watoto wake.

  • @uniquefactsmediaufm6735
    @uniquefactsmediaufm6735 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen pastor this is encouraging . Endelea kutupa neno la Mungu .

  • @judithmakoye8766
    @judithmakoye8766 4 ปีที่แล้ว +1

    amina pastor Mmbaga, barikiwa kwa somo, naikataa hofu nawoga kwa jina la Yesu. napata jambo jipya kila unapofundisha pastor

  • @lameckmachumu7268
    @lameckmachumu7268 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Pastor hili somo umelitoa wakat muafaka

  • @leonardsamwery1187
    @leonardsamwery1187 4 ปีที่แล้ว

    Mahubiri mazuri

  • @estherkoya8410
    @estherkoya8410 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwa somo, ni zuri sana

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 ปีที่แล้ว

    Papa wa Italia alisema wanao abudu masanamu siyo kweli ila mungu wa kweli niyule asiye onekana tumwombe huyo

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 ปีที่แล้ว

    Aaaamen...nimepata ujasili tena asante sana mchungaji kwa neno la hekima umetupa leo

  • @humphreymachume256
    @humphreymachume256 4 ปีที่แล้ว

    Amina.
    Ubarikiwe sana Pastor kwa mafundisho ya kweli za biblia zilizojaza hubiri hili hakika nimebarikiwa.
    Dk 30 - 36, kuna swala la unyakuo limegusiwa, halijaeleweka vizuri (kanakwamba unyakuo ni fundisho la biblia).Tunafahamu Biblia & SOP husema Kristo atawakuta watakatifu wake wakiwa wakimgojea (ktk taabu ya Yakobo), na swala la siku ya ujio wa Mfalme wanaemgoja litawekwa wazi kwao. Ingawa hili halitufanyi tusiwe tayari Leo maana hatujui saa yetu binafsi ya kulala mauti.

  • @kimombokikoti8052
    @kimombokikoti8052 4 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi nimebarikiwa sana mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi.

  • @georgemerere6097
    @georgemerere6097 4 ปีที่แล้ว

    Amina kwakweli nimebarikiwa na somo hili asante kristo YESU wetu.

  • @modestaboniface7544
    @modestaboniface7544 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahahaaa nimekueleewaa sana tu pr; Barkiwa snaa kwa ujumbee huu.......mtumainiee Mungu pekeee cy mwanadam; kwamaana mwanadam hubadilikaaa wakat wowotee anawez kujiungaa na upande wapili ( mpinga Kristo ) haataa sasa ndan ya Corona tunaonaa habar gan tukio la uharibifu itakaposimama ktk Patakatfu?? inaumaa sana Mungu anisimamiee nakulisimamiaa kanisa lakeee.............AMEEN.

  • @vicentmalaki3039
    @vicentmalaki3039 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mchungaji kwa somo lako roho za mpinga kristo zimekuwa zikitupotosha Mungu akubariki....

  • @thetwobros2599
    @thetwobros2599 4 ปีที่แล้ว

    Amena mena papa

  • @esthermgonja4475
    @esthermgonja4475 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen nimejifunza sana

    • @veronicaenock7292
      @veronicaenock7292 4 ปีที่แล้ว +2

      Ananibariki sana anafundisha tumwombee dear,

  • @janethmachera86
    @janethmachera86 4 ปีที่แล้ว

    Asante Pr,hofu haina nafasi kwa wana wa Mungu.Ubarikiwe mtumishi....

  • @shimwekagwiza3731
    @shimwekagwiza3731 4 ปีที่แล้ว

    Asante pastor, Mungu akuweke ili uzidi kutuhudumia hakika unanibariki

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว

    Alipo nawa akashika simu habari ya kwako😂😂😂😂 God bless U man of God

  • @davidimmael1300
    @davidimmael1300 4 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Mbaga, haya bwana. Mungu akubariki

  • @veronicaenock7292
    @veronicaenock7292 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen ubarikiwe sana Pastor Mmbaga unanibariki sana 🙏🏻

  • @reallyworshipers1515
    @reallyworshipers1515 4 ปีที่แล้ว

    Mmbarikiwe na Mungu Pastor kwa ujasiri mnaotuhubiria maana mimi ni moja baadhi ya wanafunzi wako kutoka BURUNDI, na nimeshawaandikia whtspp japo sijapata nafasi ya kujibiwa, nina imani kuwa mtanijibu. Amani ya Bwana iwe juu yenu

  • @nafikaahadi3380
    @nafikaahadi3380 4 ปีที่แล้ว

    Ameeeen sana Pastor, ubarikiwe mno💝💝💝💝💝💝

  • @ovidiokibuga1086
    @ovidiokibuga1086 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Pr, nabarikiwa na neno la Mungu

  • @jordanclassic7849
    @jordanclassic7849 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana past wetu mungu akubaliki sanaaa amina kwa somo zuliii

  • @alonmusse8138
    @alonmusse8138 4 ปีที่แล้ว

    Yaani haya maubir yanguwa ya cettillite ingekuwa Raha Sana maana watu wengi wangejua ukweli.watu tunaishi kwa matukio Wala si kwa upendo wa Yesu na imani ya Yesu.dah Mungu atusaidie

  • @leinakyando7962
    @leinakyando7962 4 ปีที่แล้ว

    Amina nimepata kitu.

  • @boniphacerobert9533
    @boniphacerobert9533 4 ปีที่แล้ว +3

    Amina Amima Amina hakika tumeshinda

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 4 ปีที่แล้ว

    Asante pastor umenibariki sana kwa neno la Leo

  • @maggyirene110
    @maggyirene110 2 ปีที่แล้ว

    Ameen ameen

  • @agnesseunice5632
    @agnesseunice5632 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukulinda Sana kwani nabarikiwa Sana na mafundisho na umeniongezea ushindi.

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor nazidi kubarikiwa .

  • @fei3668
    @fei3668 4 ปีที่แล้ว

    mungu azidi kukutunza our beloved pastor

  • @michaelezekielroswe9517
    @michaelezekielroswe9517 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubaliana na wew pastor, ubarikiwe sanaaa, Dunia nzima inakimbia, hofu imetanda... Kila sehem ni Corona, Mungu ni Mkuu kuliko hili janga

    • @mapendosalama4653
      @mapendosalama4653 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana pastor na unarikiwe nikonaulizo je?iyichanjo je?kweli ni ya mpinga kristo?

    • @mapendosalama4653
      @mapendosalama4653 4 ปีที่แล้ว

      Yaani ni666?

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 4 ปีที่แล้ว

    Amina mch. Ni kweli mwanadam anabadilik lkn Mungu habadilik ck moja niliyakumbuk manen hay.

  • @christophermalilah7110
    @christophermalilah7110 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa san mtumishi hatujapata sehem ya pili kwan mfndisho no matamu mno

  • @duncanmwangi8379
    @duncanmwangi8379 4 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Nairobi Kenya

  • @zenataashura792
    @zenataashura792 4 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe kwa somo zuri

  • @felixphidel6595
    @felixphidel6595 4 ปีที่แล้ว

    We fanya kazi yako usianze kukosoa maana Kuna unabii na Kuna maono na ndoto we umeshi dwa kutofautisha usiwachanganye watu kuwaona wale waongo kumbe we ndo haujawa makini

  • @pendophales7949
    @pendophales7949 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Pr Mbaga kwa mahubiri ambayo umekuwa ukiyatoa kupitia mahubiri tv, nimekuwa nikikufuatilia umekuwa ukinibariki sana. Mungu azidi kuwabariki kwa kazi yake mnayoifanya.🙏

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @ggelishachannel450
      @ggelishachannel450 4 ปีที่แล้ว

      Kamanda kamanda Bwana akubariki sana sana pr

    • @barakamtabwigwa1726
      @barakamtabwigwa1726 3 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga mchungajii naomba namba yako ya simu nahitaji msaada wako katka Mambo ya imanii

  • @moriasionkundi573
    @moriasionkundi573 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani kuja kwa Yesu mara ya pili ni kitu cha Rahisi hivyo.

  • @JosephinaBoni-ex8nd
    @JosephinaBoni-ex8nd 9 หลายเดือนก่อน

    ASANTE YESU

  • @jessicaabraham4677
    @jessicaabraham4677 4 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaaaaaa.ubarikiwe pastor

  • @bettymiligwa8344
    @bettymiligwa8344 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana pastor nimekuelewa

  • @jofremdaudi8208
    @jofremdaudi8208 4 ปีที่แล้ว

    Pastor umebadilisha maisha yangu Mungu akubarikii snaaa

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen sana pastor 💞🙏🙏

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว

    Amen Pastor from Glasgow Scotland.

  • @diegotz831
    @diegotz831 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji unanitia moyo sana

  • @samuelaboge6125
    @samuelaboge6125 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank you pastor, you have changed my life today.

  • @jamesmedard5538
    @jamesmedard5538 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Pr.Mmbaga.

  • @michaelassam5789
    @michaelassam5789 4 ปีที่แล้ว +2

    11:20 nakuelewa Sana pastor, there are deeper realities of existence ambayo kwa akili ya kawaida +ubinaadamu ni vigumu sana kuvielewa.

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 ปีที่แล้ว

    Amina,napokea kwa jina la yesu

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 ปีที่แล้ว

    May God uplift this ministry for his glory

  • @daudimpulumba6742
    @daudimpulumba6742 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli pastor nime yapenda mahubiri yako

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante mtumishi wa Mungu 🙏

  • @elizapetro352
    @elizapetro352 4 ปีที่แล้ว

    PR ubarikiwe saaaaana naona umerudi enzi zileeeeeee unafundisha unabii

  • @zakariajoel3994
    @zakariajoel3994 4 ปีที่แล้ว

    Pastor hill group LA maombi naomba mniunge

  • @user-wq9pv3uz8f
    @user-wq9pv3uz8f 4 ปีที่แล้ว

    Amen Amen pastor tangia sasa sitahofu tena wala kutikizika .thanks for touchinhg my life today

  • @lifepathtve2033
    @lifepathtve2033 4 ปีที่แล้ว

    This is great teaching be blessed

  • @thethirdangelsmessage7025
    @thethirdangelsmessage7025 4 ปีที่แล้ว

    Ramani ya unabii inatueleza wazi kuhusu sheria ya jumapili. Pambano kuu linasema vuguvugu la jumapili linaendelea katika giza!

  • @RJHOPETV
    @RJHOPETV 4 ปีที่แล้ว

    Ameeen pastor

  • @jeremiahzacharia7655
    @jeremiahzacharia7655 4 ปีที่แล้ว +1

    Naendeleo kujifunza

  • @bettykageza1964
    @bettykageza1964 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @hasanipoy3976
    @hasanipoy3976 4 ปีที่แล้ว

    hubarikiwe mchungaji

  • @teresaosoro5962
    @teresaosoro5962 4 ปีที่แล้ว

    amen mungu akufunulie saidi

  • @egidideule7285
    @egidideule7285 4 ปีที่แล้ว

    Unanibaliki sana mchungaji kutoka mbeya

  • @moixe3163
    @moixe3163 4 ปีที่แล้ว +3

    I always watch this to come back to our christ!

  • @danieledward8546
    @danieledward8546 4 ปีที่แล้ว

    Amina,

  • @joshuasanga5827
    @joshuasanga5827 4 ปีที่แล้ว

    Habari napataje number ya Mchungaji huyu

  • @peninadunda6348
    @peninadunda6348 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @sheilaombongi8086
    @sheilaombongi8086 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana pastor kwa somo nzuri mbarikiwa, naomba unitumie picha yaiyo mboga tafadhali namba yangu iko kwa what's up mbarikiwa Amina

  • @janethjane745
    @janethjane745 4 ปีที่แล้ว

    Pastor bwana yes asifiwe... mi ni mdada msabato ninayejua misingi ya dini nimezaliwa kwenye usabato nikalalelewa kidini sana...lakin kwa sasa nina mda mrefu sijaenda kanisani....kutokana na kazi zangu...nafanya kazi hoteli nimeajiriwa....lakin pamoja na yote napenda sana mahubiri hayo unayofundishi nazidanlowd nasikiliza sana....lakini nakusii sana naomba niunge kwa group la maombi....na mungu akubariki.....0628512851

  • @ndetitave9074
    @ndetitave9074 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina

  • @anetivicent6176
    @anetivicent6176 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa pastor,,, Aliye upande wetuuu,,,,,