GOSPEL TABLE WITH JOEL LWAGA (PART A)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2021

ความคิดเห็น • 12

  • @witnessvictor7645
    @witnessvictor7645 ปีที่แล้ว

    Noted down 🙏🙏🙏🙏. Barikiwa Sana mtumishi.

  • @Heritiersaasita
    @Heritiersaasita หลายเดือนก่อน

    Mimi nimumoja ambaye anataka kuwa kama ulivio m'y brother Joël i am héritier from drcongo

  • @danielmwayinga157
    @danielmwayinga157 ปีที่แล้ว

    Joel big up sana mzee.

  • @amamlen3731
    @amamlen3731 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukimsikiliza kwa masikio ya nyama yupo Sawa Kabisa ila Ukimsikiliza kwa sikio la rohon Kuna ka hekima ka yuda ambalo sio hekima ya Mungu. Kahekima kakishetan

    • @immaculatendinda3900
      @immaculatendinda3900 ปีที่แล้ว

      Kwa hivyo kufanikiwa kifedha ni ushetani ...yaani cjui tunakwama wapi wacristo,..vitu vilivyo Bora twawapa wengine ambao sio wa ufalme wetu?? Tafakari

  • @asmahussein2779
    @asmahussein2779 2 ปีที่แล้ว

    Akili Kubwa Joel Lwaga mwamba wangu wa muda wote kwenye nyimbo za injili🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dicksontweve1866
    @dicksontweve1866 2 ปีที่แล้ว

    Yaani nimefurahi kusikia haya kwa lwaga..bora wewe umegundua na unafanyia kazi. Kwann mziki wa gospel usiwe na influence zaidi nchini kwetu.. kwann isifike mahali wimbo ulitazamwa sana uwe ni gospel?? Nilikuwa nawaza hili jambo hivi karibuni..nafurahi kusikia hayo kwa lwaga..hakika Mungu akauthibitishe ukawe juu ya wote Tanzania sio nan sio nan.sio secular sio nan👏👏👏👏

  • @evalinemfinanga8193
    @evalinemfinanga8193 2 ปีที่แล้ว

    KAZI kubwaaaa

  • @benjaminmunkondya
    @benjaminmunkondya 2 ปีที่แล้ว

    Mimi Namuita Joe Well A Man Of Excellence!!.Yatupasa Kujifunza Excellence Katika Huduma.

  • @latiphajackson4901
    @latiphajackson4901 2 ปีที่แล้ว

    Nmekuelewa sanaaa♥️♥️♥️♥️

  • @mtindoelias8888
    @mtindoelias8888 2 ปีที่แล้ว

    🙌👏👏

  • @juditherhahamoha6690
    @juditherhahamoha6690 2 ปีที่แล้ว

    God bless you all the time