'Ukiwa umeoa kuna utulivu fulani unaupata, hata muonekano pia utabadilika'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2023
  • 'Kama hujapata mtoto usikate tamaa, Mungu hutenda haki na anampa mtu kwa wakati wake - Ambwene Mwasongwe
    Ambwene Mwasongwe @ambweneobadiamwasongwe ni muimbaji wa Injili ambaye anatoa huduma ya neneo la mungu kupitia uimbaji kwa takribani miaka 20 sasa.
    Katika kuadhimisha sikukuu ya Kristimasi BBC imeongea na Ambwene na kuelezea masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na maisha baada ya ndoa na hata kuchelewa kupata mtoto katika ndoa yake na ujumbe wa Sikuku ya Krismasi.
    ✍: Veronica Mapunda
    🎥: @bosha_nyange
    #bbcswahili #tanzania #krismasi2023
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 2

  • @kingofdecember
    @kingofdecember 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania music shines again....

  • @ramadhansagutangu
    @ramadhansagutangu 7 หลายเดือนก่อน

    Balikiwa ujumbe nimepokea