ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Jux - Shows Off Small Part Of His Crib (Bedroom)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2021
- Jux shared his bedroom review today.. He loves everything inside the house and the room is one of his favorite Part!
Big S/O to @marcelo_arts_and_decor for the amazing interior, furnitures and decor🙌🏾, you guys are the best.
Robes @stayhome_tz
📹 @bm_visuals
#Jux #Crib #BedRoom
Hivi bado Bilinas anakas kwenye lile geto ambalo Nandi alimtembeleaga kipindi kile😆😆😆😆😆😆
The space, the decor, the details. It's simply perfect❤️❤️❤️
Just liked even before watching....best African Stlylish man❤️
ukiwa n hela ndio hivi sasa si bwebwe n kiki mtandaoni jux nakuelewa sn😂❤️🔥🔥 simplicity is the best thing to me 👌
Pako vzuri sana mzee! simple but the best💯🔥
so wonderful.much love from kenya
Wow nice!! 😍
Model room excellent 👍🏼👌🏿
So simple and beautiful 😍
Jux jux
we cant wait for the whole house
Perfect
Nice bedroom I love it
I like the way he explains ✌
#somepeople portray it as #showoff
#to_me is inspiration ✊✊
Heshima kubwa kwa Marcelo arts & decor. Japo naona watu wengi hawasapoti hiyo Kazi yake. Naona wengi wanampongeza tu jux pekee. " HESHIMA KUBWA KWA MARCELO ARTS & DECOR🙏🙏
Fanya naye kazi kwanza ndo utamjua,
Marcelo ni mzushi sana, probably hapa kwa Jux alifanya kwa ajili ya promotion,but meeen!! The guy is a disappointment 😥😥, poor customer service, na kujisikia sana, utasota sana na order zako!!
Love you jux
Amazing 🔥🔥🔥🇹🇿
yaaah a lot of things
Sawa African boy you have good life enjoy
Lit 🙌
Marcelo did it.. 🔥
Nice bedroom bro it is nice to much
Great
it's lit 👍
Jux❤❤❤
Mamaeee tutafute helaaa wanangu
Yeaaah bro inshaallah kher manenooo yako sahihi brother
His saying a lot of things naana cheka😂😂
Gud creativity
Loving you juma
My favourite African boy 😘😘😘😘
we still waiting for second part brother
u made it bro
King of king😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I believe you bro
You impressed me,nawish kuwa na maisha mazuri Kama hayo
Respect 🙏🙏🙏🙏🙏
Pamoja Sana African boy
Baada ya Video nikasema Ngoja niendelee kutafuta pesa
😂😂😂nakubaliana nawewe
@@plexino1 hilo Ndo Kitu pekee hahahah
Good🔥🔥🔥💯💯
🔥🔥🔥
Jux show us your perfume collection too ...unakaa kunukia vizuri sana 😂😂🙈
Hatariiiii kama mbele
Really awesome 💯 #Gistoff
Ni Moto 🔥🔥🔥
Ongera sana kaka 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Umetisha bro
My role model love from Kenya 🇰🇪
Ndipo ulikuwa unalala na vanessa
Visituli vina kazi nyingi
You can do a lot of things here😃😃😃
nimependa sana kaka chumbani hakuna tv i love dis nimependa simple ya kitanda @AfricanBOY
MH INAMANA NILIYO IONA MIMI NI RADIO
wooow
Nakubal bro hongera san
Classic
My icon big bro
Likes za JUX ziko wapi !!!!
Weka hapo tuendeleeeeyeee!!!!!
Kali
Eti Monde hana nyumba ivi kweli jux awe nanyumba Monde akose nyunba?
Nice
na ss tunaoka stool tujuane apa like zenu
Tupo hapa
Good
Do a full house tour!!!
Kitanda cha kawaida sana
👌👌👌
Watanzania wachacheni na Kizungu, Jix umeniangusha ongea tu kiswahili
Sawa saw
Hilo geto halna kungun kweli
Mshumaa inanuka vuzuri 😂😂😂
Kizaaz sna ume tishaa nmependaa ukalii
Kwani jux mwenyew anasemaje
Wawoo
African Boy 🔥🔥🔥
Daaaaah unakula bata mwanangu
Big up bro A.K.A pacha
Sawa Jux😂.. wakipost zao na sisi tunapost zetu.. if you know you know 😂😂😂
Alafu apo unakuta ni kapanga 🙌🙌
Nyoooo zeeezima ovyooo tuoneshe kwako ulipo jenga nyoko wewe
Artists kupanga tuu hawajengi zao🥴
Ana mjengo wa floor nne nadhani utakuwa ulishakamilika hapo alikuwa anafanya tu tangazo la hao Marcelo Arts and Decor kapiga pesa hapo
Ahaa nkajua broo umeanza kiki kumbe ni tangazo sasa broo matangazo usiweke kweny youtube yako , mashabiki tunakuona mbali ingeishia insta tuu 👌😂
Like za jux
Tuoneshe nyumba nzima
'You can do a lot of things here'
Alivosistiza duh huyu mtundu bila shaka😅😅😅😅😅
Kweli aloo aloo anaonekana mzee wa kuminyia sana
Hahahhahahahah umemusona muhuni wetu hahahah
Nakubal xana m2 mbad
Nic
Kwa ile nyumba ya rotimi hiki chumba tukieke sehem gani 😂
Stoo
hapo kwenye a lot of things 😂😂😂😂
African.. Boy.. 🌠🌠🌠🌠🌠
Nyooo rotimi kakuchanganya naonaa
Ushamba tu😆😆😆😆😆😆😆😆
Jux nioe😂😂
😂😂😂😂
Manze leo mnaonaje nkipata just 500 likes😊😊 c mi ndo wa kwanza huku😉 tukusanyike huku leo😋😋
Sawa Ila wenyewe wkianza kuonyesha bedroom zao utajihisi unalala kwenye kibakuli
Acha wenge kaka 🤣🤣
wenge la nn
Ni nyumbaako au umepanga afu unauza sura?
Fanya mziki...mambo gani sasa aya...twataka mziki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aroooooo
Juma sikupingi we unajua
Jaman penda sana jux
Haziitwi "FURNITURES" bali zinaitwa "FURNITURE"
Just to remind you, there's no Tantra chair Sir..I think that's important too in a Bedroom
hahahaaaaaaaaaaaaaaa 😂😂😂 #couplechair
@@fruitikatanzania1711 yeah man great for intimacy
Hii inakusaidia nn kwenye keria yako ya mziki?
#LifeofAfricanboy💥💥
CALISAH hajaongea bado kuhusu hii bedroom
Mbn hakuna chooo
Wardrobe inafaa iwe changing room sio bedroom.,hapo alifeli kidogo.,unatoka wash room next changing room to bedroom.,but room iko nzuri na space poa.
Inaitwa walk in closet, changing room kwani gym 😂😂😂
A walk in wardrobe is as much a dressing room as an en-suite is a bathroom. Unlike a dedicated dressing room, a walk in wardrobe is often a smaller or box room adjoining the bedroom or an area of the bedroom that may be partitioned off specifically with fitted open wardrobes in mind..,usijifanye unajua sanaa.,