JOEL LWAGA AMBANA 'DJ' APIGE GOSPEL CLUB, ONA KILICHOTOKEA KWENYE HIVI NI KWELI...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2021
- JOEL LWAGA AMBANA 'DJ' APIGE GOSPEL CLUB, ONA KILICHOTOKEA KWENYE HIVI NI KWELI...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Katika top ten yangu ya waimbaji TZ Joel wewe upo namba moja. Keep doing the nice work.
Nabarikiwa Sana na nyimbo za Joel hasa ile ya Wadumu Milele, MUNGU azidi kumtunza 🔥🌟🌟🌟🌟🌟💖💖😍👍
M. I I. I
Kaka Joel Mungu akuongoze saana ktk huduma yako
Wapili mm nipeni lik zangu penda sana Joël 💕
Kazi nzuri ndugu watu wa gospel wapewe support
Ur ze bext mzee
😂😂😂😂jamaa wa kwanza katisha
Huu wimbo mzuri sana naupendaga na nafurahi nimemuona na nimemjua mwenye ameimba huo wimbo ctabaki kama nlivyo pia wimbo huu wankumbusha mbali sana nlikotoka na sai naamini kweli ckubaki kama nlivyo
Kwenye "Usipigane". Umetisha sana kaka.
My Joe.⭐⭐⭐⭐
Mo umetisha sana
Ila yule jamaa wa kwanza janja janja saana hahahahaaaa
😍😍
Blessings za kutosha Sana
Mungu akutunze kaka Joel.....
Joel huna confidence bro.😎
❤🎉
Nakuelewa Sana Kaka joel
Jamaa wa kwanza nimemkubali sana daaah yote kwa yote BWANA NDIO MCHUNGAJI WETU
Nembo ya mtaa 🙌🙌🇶🇦
Nawakubali sana ila Leo camera sio ile bhana
Magonjwa na makimboo 😀😃😃😃😅😂😂😅😃😃😅😅😂😅😃😀😀😃😅😅😂bonga beat😃😀😀😀
Joel blessed
🤣🤣🤣🤣 hyo sound ya mwny nywele hee
😂😂😂😂😂😂makimbo jamani!! Eti mauti yangu Ila hawa vijana 😂😂😂umenipa wa matopeni 🙌🙌🙌🙌
Nimeskia mama kimboo😁😁
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Hahahaha sema huyo jamaa wa kwanza kanichekesha Sana anavyoleta janjajanja
Duuh ilo jacket si la winter au Dar es salaam siku izi kuna winter?
Fashion ety
Nyie uyo minywele uwiiiiii na imajini demu wake ndo anaona sasa hahahahha
Someni bibilia vijana jamani zaburi 23 unasema Oho oho
😂😂😂😂 beat veryfun
Kuna maneno ya bwana hapo😂😂😂😂
Uko vizur kaka joel
Mbona mnawafanyaga watu mazombi jmn😂😂😂😂😂
Uyo bwana mwenye nywele ndefu ameona iwe ivoivo tu.Mbona anaguna.Hahahaha eti umenipa wa matopeni.😅🤣😅
Watu ni masnitch kichiziiii... 😂😂😂😂😂
Manyweleeee habari kabsaaa ila sanya utafika MBINGUNI umecholaa
Jacket la nini jua kali acha ushamba
Ntapolemewa na makimbo🤣🤣🤣🤣
Huyu manywere ni bubu anaeongea au 😅😅😂😂😂😀😀😃😃😃😃😃😃😃😀😀😀😀😀
Ukiwa katika shida angalia hii
th-cam.com/video/NNafKCBkKeI/w-d-xo.html
🤣🤣🤣🤣 daa hawa jamaa wanatafuna ulimi
😀😀😀😂😂😂
Wana wanaona wawaze fedha na bado wakalili ngoma
uyo kaka alievaa shati la blue anamatatizo
Hahaha eti magonjwa na makimbo
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣msaini langu!!!!🤸🤸
Nimechekaaaaaaaa huo uimbaji
😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅🤣 nimecheka mpaka nakohoa 😅🤣😅🤣 WALIO IMBA NYIMBO ya WALTER CHALAMBO wamenifanya na lala na tabasamu 😅😅😅😅😅😅😅🤣🙌🙏
😂😂😂kajua kunifurahisha
Jmn anang'orongota anaimba
Balele🥺
🤣🤣🤣🤣minywele jmn🤣🤣🤣🤣
Barere kajikuta nanii
Kijana wa Kibiti Boyz
Barere mtata sana
Daah
Barere nomaaaa🤭
vijana wa dr njawa..
Hahahha maisha haya
Walter chilambo aje asikie huku eti makimbo
😀😂😂😂😀😀😂😂
😂😂😂😂
Kimbo jaman nimecheka paka bc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mie
Barere kajikuta kama yeye ndo Malaika msaidizi wa hukumu uko mbinguni
😄😄😄
Kwa kweli,Joel sio sehemu yako hii.hii ni Kweli imekaa kidunia sana
Hii umetoa boko show sio kali