Masanja Mkandamizaji akieleza dukuduku lake kwa Dr Harison Mwakyembe Jinsi Anavyoibiwa kazi zake
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ส.ค. 2017
- Postal Address :
Wemusicpro
P. O Box 2267
Dar es Salaam
Email Address :
wemusictz@gmail.com
Lets Connect :
Website: www.wemusicpro.com
Facebook: www.wemusicpro.com/facebook
Instagram: www.wemusicpro.com/instagram
Twitter: www.wemusicpro.com/twitter
Yaan Masanja Mwenyezi Mungu alikupa kipaji cha uchekeshaji Mungu akubariki sana
I am big fan of ur preaching i always check u in u tube may God bless u
aiseee nashukuru Mungu kwa ujasiri kaka yangu au Mtumishi Masanja kwa kuongea vitu vya Msingi kabisa wala ujakosea SIFA kwa MUNGU
Mungu amekupa kibari cha kutumika ktk kizazi hiki... Tumika mtumishi ujiwekee hazina mbele za Mungu.
barikiwa sana
Maasanja 👆 uko vizuri, atakuwa amekelewa.
Sawa mtumishi wa Mungu... Masanja mkandamizaji.
Masanja unajua kupangilia point. Ubarikiwe
Ukiwa mbele ya mhe,ongea toa KERO yako si kupongeza pongeza TU wkt unashida
Hongera masanja w Unaweza 😀😀😀😀
Your right masanja
Safi sana mtumishi
Da asante sana kwa kutusemea na sisi MTUMISHI.
Amina masanja umetuwakilisha wengi kweli kabisa mheshimiwa alihangalie Hilo Hali sio nzuri ukisema proses ni ndefu Sana mziki wa injili unazidi kudidimia Sana walihangalie hili mungu atawabariki
Good
more grace masanja...
Yaani hiyo studio cjuinhata iko wap, sanaa imeanza kukua saizi kwa sababu saizi imekua biashara
unamafeeling yako unaenda unaburst unaondoka na CD yako mtaani fresh😀😀😀
Amina masanja umesema kweli naamini ameelewa
Hongera kaka masanja , uki vuzuri
hongela mchungaji Masanja kwamahubili mazuli kakangu
very good masanja
Kuusu Studio. Mwakyembe akamuulize Said Fella. Anajua maali Studio ilipo.
Hongera...sana
Safi sana umeongea vizuri sana
Umenena vema, Ndugu Masanja, Hilo la usajili nikweli liangaliwe kwa umakini.
Well Said Brother
kweliii kbsaaa kaka masanjaa hapo umenena bla uwoga niambie nikija dar nikuleteee mbuzi ya yakulaa namama kwrliii kbsaa nmm mwnjilist Lucas Robart pya ni mwimbaji wa nyimbo za injli
Yaliongelewa 2017 leo ni 2019
Matokeo nikoraus
Amen
Wow
Kwel kabisa
Ameni
Point tupu blessed masanja
Masanja kaongea point sana
Huyo ndo Masanja
duh hongera
x
Shkamoo Masanja
Kwelii kabisa mtumishi
God bless you all
Wakisema huna phd ya darasani mm nasema wewe mungu kakutunuku, umeongea mazito sana
Masanja katema nondo zenye cheche Nimemkubari sana
daniel severino
Kaka mimi naomba mimi udance namba angu hii kaka nisaidie0712147125
hapo kweli masnja umenena
👆
Hahha kama umesikia pana hericopta ya Kupak helicopta gonga like
Hahaha always funny!
Hapo mti mmbichi ndipo nimekuelewa sana.....
Sitivu nyelele
Jo
ti
Kipaji unacho mzee Baba
songa mbele ndani ya yesu
Kwel masanja
Masanja ukibiwa na wewe mwizi mziki unatakiwa mwalipe maproducer kwanza umezi kuanda chakula cha bwana uku mwadahaji hayupo vizuri
Seif Muhammad
Message send and delivery!
Yohana 17:25
KUTOKA 14:14.
Masanja umeongea ukweli
nakubl
Paka sasa ivi ni kesi moja tu nimeisikia ila sidhani kama wamelipwa..
Jackson Nyaki b
Duuh... Huyu jamaaa kila anapoongea baada ya muda lazima ucheke
masanja kaongea vitu vikubwa
Kwakweli bora kasema mana ilikua inaniuma Sana hakuna uhuru wa miziki wa gospel Hawapewi kipao mbele kabisa
hahaaha
UPO SAHIHI MASANJA KABISA
Masanja unajua kuongea
safi
√
😀😀😀😀😀
Masanja nimekukubaki ukivyo onhea hapo kwenye swala LA usajili
unamafilling yako unaenda unabust unatembea voko yako mtaani
Yesu ni bwana mwombe basi wakamatishe wezi wako mwombe pia wezi wasibe kaz zako kisha utafaham uwezo wake kumbuka pia alisema baba yake mkubwa kuliko yeye hawez fanya jambo pasipo yeye na wala alio sema sio yake bali katumwa jibu nadhan unalo
Pst Emanuel mgaya
Umesema vyema kabisa Mungu akubariki Sana
Amen