Nimefulai Sana kuona mmoja wa vijana ambao tumekuwa pamoja mtaani amepiga atua akika shule ya kigogo inaistoria kutoa wanafunzi Kama hawa God bless u balnaba.
CV ya ALIKIBA tu imenifanya nivutiwe na ndio maana nawapenda sana Barnaba na Alikiba lkn pia naomba siku moja mje mfanye jambo, Barnaba anajielewa sana.
Namuheshimu sana Barnaba,ni mwanamuziki anayejua na anayependa anachokifanya na hukifanya kwa moyo wake wote.Na pia ni mwanamuziki mwenye nidhamu kwenye kazi yake.Hongera Barnaba Classic 🙌🏿💯✅
SUBHANALLAH MKEO BARNABA UNASEMA WW MUILSLAM MKEO ANATOKA CHUMBAN NA KIGUO KAMA HICHO HAMNA STARA YA KISLAM HATARI JAMAN MWANAMKE WA KISLAM STARA JAMAN MWINJAKU WEE HUJIFANYA UNADIN HEBU WAPE ANGALAU DARSA
Jamaa,yupo social Sana,sio wengine ukienda kuwatembelea,mkiwagongea milango wanatoka wamenuna sana.hata kumuona mondi tu mpaka sijui mpitie kwa flani!yaani haileti picha mzuri ,tuwape ushirikiano wanahabari wetu.
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com 📢Marketing by @cairo_promotions 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Barnaba Nikijana mwenye heshima na Allah Amzidishiye
Ndio maana nampenda sana
Sana
Sanaa
Amina
Nawapenda nawapenda na nawapenda sana Barnaba,Mungu azidi kuwatunza daima!!!
Steve wangu kawa bonge 😘😘😘
Yani leo umefanya ni juwe kuwa we ni mfano wa kuigwa kwa wana music na wasiyo kuwa wana music I respect you my brother 💞🙌🇹🇿⚡
Wameenda kwa baba Barnaba, baba anasema Barnaba humtumia elfu hamsini tu!
Nimependa sana, barnaba unaheshima sana Na family yako , nawaombea mungu muishi miaka mingi inshaallah
Mashaalah. Ongera BARNABA. Nyumba simple alafu ina nafasi nzuri tu
Namkubali sana mwijaku na sudy🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Barnaba huwaga ongei utumbo ata siku mmoja ana heshima. ana hekma. Mashaallah 🥰
Barnaba classic fanya kitu na Alikiba wazee wa #Levels 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimefulai Sana kuona mmoja wa vijana ambao tumekuwa pamoja mtaani amepiga atua akika shule ya kigogo inaistoria kutoa wanafunzi Kama hawa God bless u balnaba.
Vipi na wewe upo wapi??
Nawewe sasahiv unaharakati zipi
@@rehemamakwendo7743 🤣🤣🤣
@@reganmosha4591 muacheni jaman😂😂😂
Barnaba ni MTU mpore sana afu nyimbo zake pia ni zur Mungu akubaliki cnn bro
Umeona eeeh
My forever best artist! love you Barnaba boy classic
I love this interview, sijawahi kusikiliza hiki kipindi kihusu barnaba nipenda sana
Everyday is sikukuuu 🤩🤩🤩🤩🤩
Barnaba you’re my favorite 💗💗💗💗💗
Katika wasanii wakali na wanaweza kuimba basi Barnaba ni one one I love him!
Barnaba mtu wa watu mungu akuzidishie uone mwangaza zaidi
Wow so perfect kwa kweli i like it mfano wa kuiga❤❤
Kweli huyu jamaa ni classic
Barnaba classic,mwijaku umehelewaa kiengerezaa au upoo tuu
Unajua Nini barnaba Kwanza hanaheshima na hajisikii nakuombea uwenamafanikio weunacheka tu
@@felistermillinga7704Ana heshima sio hana heshima, Najua umemaanisha Ana Heshima, Kwaiyo tumia A sio Ha❤
Jamani barnaba 🥺🥺Mungu aendeleye kukubariki baba😢🙏🏿😍
Yani huyu kaka nampenda Sana anabusra Hana ckendo yoyote hongera Kaka wewe unajitambua
Sana t hanaga maskendo machafu sote tunampenda sn
Uko vizuri nakutakia maisha marefu
Ushauri tumia hearphone utackia.Ahsanteni.
Asante maana nimepata tabu sana
Verry honest guy i like him a lot yan #barnaba
Alhamdulillah.. Barnaba anafuraha jmn..
Mwijaku hamna kitu bora baba ashibai tu leo tena imepooza
Mob love from 254💕😘
CV ya ALIKIBA tu imenifanya nivutiwe na ndio maana nawapenda sana Barnaba na Alikiba lkn pia naomba siku moja mje mfanye jambo, Barnaba anajielewa sana.
Umejuaje
N kwel kabsaaaaaaa na mtu anaejitambua lazma anakua anapenda Kaz za kba na balnaba
Ombi lako limefanyiwa kazi
#Cheketua
Safi sana bro upo vizur
My favorite Barnabas..baby his cutie and I love they way he impressed the young lady mama Kimbo s daughter
Mwinjaku alivyomshika Mara ya kwanza mkono km anamdai😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
nakubali hom boy kogogo my hood
Wow so beautiful and lovely family God bless all of you ❤️❤️❤️❤️❤️
Mwijaku yupo poh msimuonee wivu
Nimeipata hio nidham kwenye steg faida ya kusikiliza intervew mpaka mwisho🔥🔥🔥
Mwanamke mzurii
Harafu msafi wala haringi
Namkubali make wa barnaba classic
Sorry mke
Mwijaku mnafiki sana 😂😂
Barnaba i always love u. Ur my star
DON SHOWING DEM ...nimeelewa master
Pazur😘😘😘
Mwanamke upeo wake mdogo sanaa na
Sana ndomaana bwanaake hampi nafasi ya kuongea sana🤣🤣
Nimeipenda sana hayo maneno ya shemeji
Much blessings Barnabas🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barbara& ally 👑 nawakubali xn hamna wasani wanao jielewa kama .. barnaba na ally 👑......
Nakubali barbana
Namuheshimu sana Barnaba,ni mwanamuziki anayejua na anayependa anachokifanya na hukifanya kwa moyo wake wote.Na pia ni mwanamuziki mwenye nidhamu kwenye kazi yake.Hongera Barnaba Classic 🙌🏿💯✅
Sawa ananizamu lakini amsaidie baba yake na mdogo wake
nakukubari sana
Wazee wambanga mmefilisika kamaiki kamojatuu atusikii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nampenda sana barnaba huna baya kaka
Suddy akili zake &&&& Etty ana kibendi 😂😂😂
Mwijaku ndy anaharibu hiyo interview,
🤣🤣🤣
Kazi nzur
Barnaba yuko vizuri anajitambua sana!
RIP clouds tuliwapenda ila chuki na wivu viliwapenda zaid
😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
R.I.P
😄😄😄😄😄😄
so humble
Balnaba nakupenda sana Hadi mwisho
huyu mdogo wake yupo vzr
Barnaba mtu wa power
Classics and me is one
Nampenda sana Barnaba.
Yaaani nyie ni wambea classic
Barinaba boy,nakukubarigi mno,huna Mambo mengi ,full kujielewa kizazi Sana .
Sudi unaonekana awesome vile uonyeshi sura tu
Ahaa saumuu
fiesta kama fiesta😀😀😀barnabaaaaa....
KUONGEA kiingereza sio ujanja broo niliongea nikiwa chuo na life nitamu😂😂😂
Barnaba charming Sana, Good 👍
Yan nyie watu ni wambea jamn😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣wazee wa mbanga kwel ulikula mbanga mwijaku
Where is mzee mkavu?..big up barnabas
Mwijaku we mbeya
sio mdogo wake huy
I like it ❤️
King kiba 4life 🔥
Barnaba wape wageni hatamaji jamani😃😄😄
Story tu kula kwao
@@shabanmilingo4266 kabisa walitumwa kuvamia nyumba ya watu
Barnarba uko vizuri
We love you barnaba
Safi Sana 🙏🙏🙏🙏
Barnaba ni classic classy
Eti ile anakufa nayo 🤣🤣🤣🤣🤣
I need support bro mwijaku
Barnaba ft Alikiba itakuwa pw sana, Barnaba ft cristinBella
Mwijaku kumbe kinge kime mkalia kushoto kuleeee
Soudy mbea eti una kibendi🤣🤣
Safi barnaba boy
😂😂😂😂 mwijakuu mnafikii huyuu
🤣🤣🤣🤣
SUBHANALLAH MKEO BARNABA UNASEMA WW MUILSLAM MKEO ANATOKA CHUMBAN NA KIGUO KAMA HICHO HAMNA STARA YA KISLAM HATARI JAMAN MWANAMKE WA KISLAM STARA JAMAN MWINJAKU WEE HUJIFANYA UNADIN HEBU WAPE ANGALAU DARSA
Maneno mawili tu ww ni smart boy, ubalikiwe Barnaba
Yani Soudy na Mwijaku moto sana
Barnaba Anafana na yule mshindi wa mwaka Jana bss
Nikweli kabisaa meshak
Sio sura Tuu Hadi Sauti
Brother B boy unajua sn
mmmmmh mwijaku 😂😂😂😂😂😂
Sud bhana eti ana mama Kama wote
Vp nahali dada naomba unisaindiye namba yako mimi niko burundi
We more than a friend🤣🤣🤣🤣hiki kingereza bwana
Clouds mmenifurahisha kitu kimoya Mike Kama rungu ya jeshi la kujitegemea 😁😁😁😁
😂😂😂😂
😆😆😆😆😆
Nimepnda sana uyu dada alivyo ongea
Nakukubari Sana barinaba
Msanii nidham ni kitu bora wasaniii wasio kuwa nidhamu chukuen mfano kwa barnaba sio mnavimba mnais mshamaliza
Yqn ni ana heshima mpk nampenda Barbara ni vile kapitia maisha ya chini ndo mna akawa anajua jins ya kuish na kipi katika moyo wake nampensa sana
Mwijaku amekomaa na Muke wa mshkaji kweli
Jamaa,yupo social Sana,sio wengine ukienda kuwatembelea,mkiwagongea milango wanatoka wamenuna sana.hata kumuona mondi tu mpaka sijui mpitie kwa flani!yaani haileti picha mzuri ,tuwape ushirikiano wanahabari wetu.
Uuuuu me if i
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
------------------
Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
📢Marketing by @cairo_promotions
🏢Company: Mofaz movers
📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
Hana skendo za wanaake