BIASHARA SABA 7 UNAZOWEZA FANYA UKIWA NA MTAJI MDOGO UKAPATA FAIDA KUBWA NA CHIEF GODLOVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 887

  • @justinepaul2851
    @justinepaul2851 ปีที่แล้ว +227

    Niliaza na mtaji wa sh 45000 ,mwaka elifu 2017 na mpaka Sasa namiliki zaid ya ml 14.8 ,,,niliaza na biashara ya kuuza vinywaji barabaran mpaka ikanipeleka mtaan kwenye furemu na kuaza kukomaa Hadi kununu pkpk 4 na kuoa hapa hapo na kiwanja na shamba mkoan yaan ,,mungu ni mkubwa ,,,big up chifu?

    • @samsonsoligi2420
      @samsonsoligi2420 ปีที่แล้ว +7

      Biashara gan?

    • @LeahFraiday
      @LeahFraiday ปีที่แล้ว +3

      Ulifanya biashara gani??

    • @chiboonline363
      @chiboonline363 ปีที่แล้ว +5

      Ushirikina ulitumika pia

    • @kuyekajisandu
      @kuyekajisandu 11 หลายเดือนก่อน +2

      Good job

    • @malimimasolwa6492
      @malimimasolwa6492 11 หลายเดือนก่อน +12

      Nimekupata sana kwenye kuku me mwenyewe nilianza na kuku mmoja sa iv nina kuku 200

  • @SalimhassanIddy
    @SalimhassanIddy 13 วันที่ผ่านมา +6

    Ninani yupo apa taree 20 mwezi wa 9 2024 kama yupo like my comment

  • @mussaabdulmalick2048
    @mussaabdulmalick2048 ปีที่แล้ว +21

    Asante sanaa kaka ningependa siku moja tuonane mi naishi msasan nafanya biashara ya mayai kama unaenda kifanya shopping supermarket za shoppers angalia mayai yenye jina MSSAP ...

    • @justinelius7830
      @justinelius7830 9 หลายเดือนก่อน

      Kaka mtaji wa kuku ulianza na shi ngap

  • @AnnaMkenga-iu9db
    @AnnaMkenga-iu9db 9 หลายเดือนก่อน +21

    Thanks brother..nimeanza na kuku wa kienyeji 8 natetea na jogoo 2 this year July but nimetotolesha vifaranga zaidi ya 200 kwa 3 months sasa nimeuza and nimeingiza pesa nzuri Iam happy.unachokiongea ni kweli.sasa this December niko na oda ya 120 chicks na tatari nimeweka kuku 10 wote wanalalia 15 eggs each na in 5 days wanatotoa.so unaongea ukweli bro.asante mnoo

    • @fredkangethe7497
      @fredkangethe7497 8 หลายเดือนก่อน +2

      @Anna Mkenga. Wafugia kuku wapi dada yangu.?

    • @AnnaMkenga-iu9db
      @AnnaMkenga-iu9db 8 หลายเดือนก่อน

      @@fredkangethe7497 nafugia Arusha

    • @tithomathias
      @tithomathias 7 หลายเดือนก่อน +2

      sorry nlikuwa naomba ufafanuz wa ufugaji kuku ili na mm nifanye please nipe ata namba yako

    • @PeterTuruba-uf4fn
      @PeterTuruba-uf4fn 5 หลายเดือนก่อน

      Dada

    • @AnnaMabala-j2t
      @AnnaMabala-j2t 3 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa bro umetuambia ukweli mtupu nitafanyia kazi

  • @khadijajigge4917
    @khadijajigge4917 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana Chief kwa hili somo, natamani nikutane na wewe siku moja kwa ushauri zaidi. Kwa nyongeza tu hata snacks zinalipa sana kikubwa ni kuhakikisha taste ni superb.

  • @hishammudhihiri5555
    @hishammudhihiri5555 ปีที่แล้ว +44

    Bro sasa huo ndio uwanaume...mwanaume sikupiga tantarira nyingi kma muimba taarabu..hizi ndo njia nzuri zakusaidia wenzio na wao waeze kujituma kwa bidii..Ubarikiwe mzee baba

  • @moisebwanamoye1484
    @moisebwanamoye1484 ปีที่แล้ว +40

    matuta vijana wanaochangia mawazo hayo ndio mapenzi kweli nakupenda sana mzee wangu

    • @TurkanCalender
      @TurkanCalender ปีที่แล้ว

      Kweli juice inafaida nakubali

    • @TurkanCalender
      @TurkanCalender ปีที่แล้ว +2

      Nimewahikufanya juice baada ya miezi 3 nilitoa Faida kubwa siseminikiasigani lkn siachi kufanya juice huwanapumzika tu lkn ndio biashara yngu kubwa nakama Niki fanya Leo wateja wanakuja kwasababu najuwa kutengeneza napia naifanya kwaumaridadi usafi. Kwanza biashara kma hizi zamajimaji. Kma juice mwezangu mtu Hali tu kama hawajamuwangalia mfanyaji usafi wake

    • @aishakassim75
      @aishakassim75 ปีที่แล้ว

      ​@@TurkanCalenderuko wapi dear nataka kufanya hiyo kazi ila sijui pa kuanzia

  • @RichardMnandi-r9c
    @RichardMnandi-r9c ปีที่แล้ว +9

    Jamaa kanipa madini na kanifanya kujiona na Mimi naweza for sure Nilikuwa nampango wakufungua biashara ya cm nikawa naogopa ila kanipa nguvu sana huyu mwamba mzalendo respect brother

    • @evanslikono8634
      @evanslikono8634 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ni mkenye Niko Nairobi nafuraia mawaitha yako👍💯

  • @baysadam235
    @baysadam235 ปีที่แล้ว +18

    Nakupata vzuri bro cheaf From Moz🇲🇿🇲🇿👍

  • @BGHaule
    @BGHaule ปีที่แล้ว +16

    Unatuchamba huku unatupa elimu,big up,mwanzo hata Mimi nilikuwa sikuelewi,ila now nimekumanya,dogo upo vizuri you are the geneous

    • @happyvalence5352
      @happyvalence5352 10 หลายเดือนก่อน

      Tafuta pesa mbwa nyinyi 🤣🤣🤣🤣

    • @SuzanLazaro-sj8qv
      @SuzanLazaro-sj8qv 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka vp kashata italipa

  • @twaifkkwihaq
    @twaifkkwihaq 19 วันที่ผ่านมา +1

    Asante bro nitakuludia baada ya miaka miwili ijayo

  • @mr_shark3587
    @mr_shark3587 ปีที่แล้ว +11

    Mnajua Huyu Brother ni Geneas sana aise na Unajua Kuna wabongo wachache sana wenye kuwa naakili timamu Ndo watamuelewa huyu jamaa shida ya Cici wabongo Tunakubali anacho kifanya mwamba ila Bado. Wabishi sana 🤣 ila ukweli nikwamba anatisha sana sema Simba 👑👑👑Chief Mungu akuweke content zako Zina fanya vizuri sana 🔥💪

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว

      Acha kujidanganya mwenzio yuko katika chama hata akiuza mavi yanatoka freemason inachangia iyo

  • @jastinekyando9044
    @jastinekyando9044 ปีที่แล้ว +9

    shukran kaka godlove nakufatilia san na nimejipa miaka mitano from now napenda unavyofanya🙏🙏

  • @comorolodgechamanzisaku6341
    @comorolodgechamanzisaku6341 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtani kwa juhudi zako kupambana watu wasio kuelewa wenye chuki kama wale wa Ipinda. Nadhani wenye mitaji midogo watavuna kitu hapa.
    Rgds BDKOMBA

    • @magrethmbaga1089
      @magrethmbaga1089 7 หลายเดือนก่อน

      Mm napenda biashara y a bakery. Sasa sijui napata wapi mafunzonilinnianze.

  • @andrearaphael3728
    @andrearaphael3728 ปีที่แล้ว +6

    Daaaaaa ngoj nikupe maua yako Big point San Brother 🎉🎉

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq ปีที่แล้ว +5

    Umeona mbali sana chakula kinalipa sana aswa catering service hii pia haitaji mtaji mkubwa kikubwa ni ujuzi na kujua namna ya kukuza hiyo biashara hongera chief kwa hili🙌🙌🤝

  • @HarunaSikenke-f6w
    @HarunaSikenke-f6w ปีที่แล้ว +31

    Mungu akupe maisha marefu ni msaada mkubwa kwa taifa umetuamsha san

  • @GraceGodson-fk3tu
    @GraceGodson-fk3tu 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ahsantee my brother nilikua na ndoto ya kufuga kuku Ila nilikuwa nimekata tamaa Ila Leo umenipa moyo am going to start it...

  • @mtinkoITservices
    @mtinkoITservices ปีที่แล้ว +5

    Hii ndio hisani kaka hakika umetujenga na tutafata . Maana wivu uliomzuri ni ule wa kuangalia njia walizotumia wenzako kuendelea utumie na wewe tunashukuru kwa elimu yako 💪💪

  • @josephmtavilalo5087
    @josephmtavilalo5087 6 หลายเดือนก่อน +5

    Chief lila siku ninakueleza you are the best bro keep it up🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hastatz
    @hastatz ปีที่แล้ว +11

    Biashara ya udalali wa vitu used kuna mtu ana shida na kitanda hana hela ya kununua kipya alf kuna mtu amechoka kitanda anataka kingine na anahitaji mtu wa kumpa hela kidogo hapa wew unakua kati kati yao unapiga chako kwa juu na hapa kwenye hii biashara kuna njia 2 za kuifanya moja unakua dalali kwa mnunuzi na muuzaji ya pili ni unanunua bei ya chini mteja anakuja unamuuzia wew😊

    • @abelaidan
      @abelaidan ปีที่แล้ว

      Hii ni bonge la biashara ndio naifanya kwa sasa

  • @ramamavumba6187
    @ramamavumba6187 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ukosahihi kaka shukran kwakuamsha mawazomapya ktk watuambao huzani nilazima upatemtaji mkubwa dah ahsante kaka

  • @MarthaPhabian
    @MarthaPhabian 7 หลายเดือนก่อน +4

    Aiseeee bro nakukubl sana we n genius aisee umenitoa kwenye Giza nene

  • @IsmailMsemwa-cz2pe
    @IsmailMsemwa-cz2pe ปีที่แล้ว +4

    Kaka www ni msaada Kwa jamii Asante xan mungu akubalik

  • @SeifSaidseif
    @SeifSaidseif 25 วันที่ผ่านมา

    Shukran saan kka mmi nnazo milioni mbili nilikuwa na wazma biashara ya kufanya kka

  • @Zulfa-i3e
    @Zulfa-i3e 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Kaka kwaushauli wako unatupa changamoto yakutafuta hela

  • @GodbetterIbrahimu
    @GodbetterIbrahimu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Thankx bro...

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 ปีที่แล้ว +57

    Nakumbuka nilianza na mtaji wa sh. Laki 7 katika biashara yangu lakini Kwa Sasa imekuwa na kufikia Mil.25 Kwa miaka miwili na mwaka ujao naanza hiyo ya ufugaji kuku sababu tangu kale naamini itanitoa kimaisha. Respect Chief GODLOVE

  • @JohnfestoNzaniye-t5b
    @JohnfestoNzaniye-t5b ปีที่แล้ว +5

    Nimekuelewa sana kaka ngoja nikupe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mosses8
    @Mosses8 ปีที่แล้ว +2

    kaka kazi zuri sana mimi nina haidia ya kufanya biashara ya kuuza chakula cha mifugo kama chakula cha kuku ila sina mtaji kaka iwezeshe nipo moshi kilimanjaro

  • @Dullah08Sportswear
    @Dullah08Sportswear ปีที่แล้ว +9

    Mimi nawashauri kitu kimoja tu, kabla ya kufungua biashara yako jitahidi ujibrand (uwekeze kwenye wateja).
    Mimi nimeanza biashara yangu huu ni mwezi wa tatu tu lakini kwa sasa biashara yangu inanipa faida kubwa kuliko mshahara nnaopata.

  • @aureliakisaka8894
    @aureliakisaka8894 6 หลายเดือนก่อน +3

    asante bro nilikuwa nawaza cha kufanya❤

  • @AbdulMpendu-xj8nd
    @AbdulMpendu-xj8nd ปีที่แล้ว +6

    Umetisha cheaf katiyaizo urizozitaja biashara mbiri nazifikiria irabadokidogo najiwekasawa

  • @arnoldopindi4452
    @arnoldopindi4452 ปีที่แล้ว +7

    Oy chief godlove mm nipo Kenya na nimetaka kuanza biashara ya kuuza viatu na mavazi,je biashara hiyo Ina mtaji? Naomba jibu

    • @nashajr5491
      @nashajr5491 ปีที่แล้ว +1

      Oya kamanda Kenya vip biashala uko

  • @LoserianLaizer-p7s
    @LoserianLaizer-p7s 8 หลายเดือนก่อน +3

    Big up brother kinacho tupa shida ni uoga wa kufanya kitu na hatuna uthubutu wa kujaribu Zaid tunaishia kuyawaza pasipo kutendea kazi

  • @marwamarwa6836
    @marwamarwa6836 ปีที่แล้ว +7

    Naona kila mtu anatoa ushuhuda na mmi nisibaki ,,
    Nilianza na million mbili mwaka 2019 sasa hiv sina hata mia mungu mkubwa 😊😊😊😊

    • @fatmasaaed144
      @fatmasaaed144 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 duh kweli ilikuwaje mbona maelezo mafupi jmn dah polee snaa

    • @SarahRamadhan-qq7zy
      @SarahRamadhan-qq7zy 10 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @asha_bakari
      @asha_bakari 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂pole😅

    • @Leah-g8o2w
      @Leah-g8o2w 5 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuh

    • @TiliphoneLipambila
      @TiliphoneLipambila 12 วันที่ผ่านมา

      Mhuuuuuuu usikate tamaa rud jitafte upya

  • @DaressalaamTv-rb2io
    @DaressalaamTv-rb2io ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @DaressalaamTv-rb2io
    @DaressalaamTv-rb2io ปีที่แล้ว +1

    Nataka nije nijifunze kitu kwako watanzania wachache Wana moyo kama wako sio wachoyo asante sana kwa elimu kubwa

  • @KithiWycliffe
    @KithiWycliffe 7 หลายเดือนก่อน +3

    Big mind, big up bro and God bless

  • @florianmzagila2136
    @florianmzagila2136 ปีที่แล้ว +4

    Daaah brother ahsante umenipa elimu kubwa sana ila mm sina hata mtaji je nafanyaje angalau nipate kamtaji kiasi ili niweze kuanzisha biashara.

  • @yahayamasanja1849
    @yahayamasanja1849 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda hiyo bro.busara zako zinaonyesha kuwa kila mmoja apate

  • @Ntomolapagu255
    @Ntomolapagu255 ปีที่แล้ว +7

    Asantee kwa darasa 🙏

  • @FredyNdimla-uv6dx
    @FredyNdimla-uv6dx ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa kunifungua brother

  • @amarrashid7445
    @amarrashid7445 ปีที่แล้ว +6

    Nakuerewa kaka

  • @StephenSikanyika-z7m
    @StephenSikanyika-z7m 21 วันที่ผ่านมา +1

    Umetisha bingwa wang

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 ปีที่แล้ว +2

    Umeeleweka bro asante ubarikiwe

  • @magesajoseph
    @magesajoseph ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kaka endelea hivyo utukomboe ndugu

  • @SaidaTulinge-hr2su
    @SaidaTulinge-hr2su 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante bro napenda san kufanikiwa

  • @FedrickOden-lk5pb
    @FedrickOden-lk5pb ปีที่แล้ว +5

    Blz nakupata vzr kbx pande za mpegele hapa

  • @jafaryNyato
    @jafaryNyato 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsant.bladha umenipa moyo.ngoja nikomae.na kazi.❤🎉

  • @priscabernard-w9v
    @priscabernard-w9v 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka ushauri wako mzuri Mimi ninauza juyce kiukweli matunda mazuri nayaona we we mkweli

  • @WemaMdelya-r1r
    @WemaMdelya-r1r 11 วันที่ผ่านมา

    Asante nimeanza kakuelewa ❤❤

  • @olarivolarivp2702
    @olarivolarivp2702 ปีที่แล้ว +2

    Brother uko vizuri atabiashara ya bekery

  • @deniseliya348
    @deniseliya348 ปีที่แล้ว +9

    Umeongea ukweli, Vijana tuamke tufanye kazi

  • @samsonmaketa8835
    @samsonmaketa8835 ปีที่แล้ว +2

    Naisubir ep sod 2 nakupendaa Bure ndroo

  • @SmartZacky360Tallent
    @SmartZacky360Tallent 8 หลายเดือนก่อน +1

    Appriciate cn bro you have open my brain👍👍

  • @EzekiaMwaibambe-yu6uk
    @EzekiaMwaibambe-yu6uk 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa ushauri wako Mungu akubarik

  • @FadhilJuma-xz5sr
    @FadhilJuma-xz5sr 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran bro

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว +10

    Yani wa Tz sisi hatuna Jema mtu anatueleza biashara za kufanya unaanza kulalama mtaji kwaiyo unataka akuletee mtaji hiyo Juice anayosema sizan kama inataka mtaji mkubwa Mim nilkuwa nacheza mchezo Wa kila siku 2000 lengo tu nipate Blenda na Friji Used nikapata na natengeneza juice mambo yanaenda punguzen kulalamika na kuwaambia watu wachawi niakili tu

    • @sarahnyaganilwa3862
      @sarahnyaganilwa3862 ปีที่แล้ว

      Hili pia wazo langu hvi juice nzuri ni matunda Gani

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc ปีที่แล้ว

      Tz tunapenda kupewa vitu hatupendi kusugua akili .

  • @arafatmakarani9764
    @arafatmakarani9764 ปีที่แล้ว +5

    Appliciate....really meaning of influencer, sio mtu anajiita influencer na hana mindset za namna hii broooh

    • @DivaKulwa-gg1uy
      @DivaKulwa-gg1uy ปีที่แล้ว

      Namefurai na nimependa Sana uxhauri wako ningepende kujua Zaid nmeng na meng naxhukulu kwa kutupa moyo sis watu went Hali ya chini asente Sana brother

  • @MosesGilya
    @MosesGilya 10 หลายเดือนก่อน +4

    asante sana kaka kwa kujifungua ubongo

  • @JohnMfyagisa-c7u
    @JohnMfyagisa-c7u 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubari bro betri kumbe halina chaji😂😂

  • @ThomasKenneth-z8f
    @ThomasKenneth-z8f ปีที่แล้ว +5

    Bro m ni mkenya lakini napenda mafunzo zako❤

    • @kalistusmhando3846
      @kalistusmhando3846 ปีที่แล้ว

      Uelewa wako mkubwa bro,, biashara nyengine ni ya saloon ya kike piah inalipa na Ina faida

  • @Nourdeintv2030
    @Nourdeintv2030 7 หลายเดือนก่อน +1

    Brother hapo umetisha ahsante sana mkuu

  • @RamaMchomvu53
    @RamaMchomvu53 ปีที่แล้ว +1

    Goodlove Naqba Sana Umefanya Saiv Money Naipambania Sana RESPECT BROTHER

  • @MarthaDonald-wb4ll
    @MarthaDonald-wb4ll 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi napenda sana kufanya biashara ya kuuza juice ila bado sijafanikiwa kupata friji tu naomba sana mungu anisaidie nipate PESA ya friji.asnte bro upo vizuri sana

  • @NeemaGodwin-ql5gm
    @NeemaGodwin-ql5gm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kaka umetisha

  • @veronicaelias791
    @veronicaelias791 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee sana kaka kwa ushauli mzuri

  • @alihassansorikushey1414
    @alihassansorikushey1414 ปีที่แล้ว +3

    Shukran kaka kutufungua macho ubarikiwee

    • @iamkilosatz
      @iamkilosatz 22 วันที่ผ่านมา

      Bro what if nkitaka kuanzisha biashara ya duka la viungo vya vyakula itakua na faida na inatakiwa niwe na mtaji kuanzia kiasi gani ili niweze kutoka vizuri

  • @waleggaestrongboy
    @waleggaestrongboy 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsanten Bro❤

  • @pauljuliusonyango5735
    @pauljuliusonyango5735 ปีที่แล้ว +2

    Kaka unatia moyo sana hongera sana bt kingne mm naona kilimo Cha umwagiliaji

  • @VanessaShaby
    @VanessaShaby 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwakutufungua macho bro

  • @MUSOLETabaro
    @MUSOLETabaro 11 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks bro im from Congo Drc

  • @morogoromedia
    @morogoromedia ปีที่แล้ว +6

    Safy kka mkubwa tunakuelewa sanaa

  • @dausonmethod618
    @dausonmethod618 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka uko vizuri sana ahsante kwa ushauli wako

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel ปีที่แล้ว +4

    Biashara ingine ni ya kuuza mtumba,unaweza kununua suruali nzuri yenye bei ya tsh 5000 ukauza 12000 had 15000

  • @VivianAudax-f1l
    @VivianAudax-f1l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante kwasemina mazuri na mungu akubariki

  • @IbrahValence-o4c
    @IbrahValence-o4c ปีที่แล้ว +4

    Umetisha xana kaka

  • @murishokasimu4276
    @murishokasimu4276 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha saaaaaana mwamba

  • @LisaTunguru
    @LisaTunguru ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana kaka dah umeniamsha

  • @BestinaMichael
    @BestinaMichael 8 หลายเดือนก่อน

    ❤kaka apo umesaidia vijana wengi sana kifikra god bless you

  • @simonsylas1938
    @simonsylas1938 8 หลายเดือนก่อน +2

    Big up brother

  • @BlackMamba-qs1uz
    @BlackMamba-qs1uz ปีที่แล้ว +5

    Kati ya siku unewongeya pweti ndo Sasa ,💝💝💝💝

  • @finestkiller1570
    @finestkiller1570 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sana bro hususani ile clip ulio sema unataka kuoa arafu ushauri unaomba kwa mpiga nyeto? Ukatoa content kwamba ukipata ela usiwaze kujenga bali kuwekeza big up sana 🙏🙏

  • @abdallamohamedabdalla
    @abdallamohamedabdalla ปีที่แล้ว +3

    Kizazi sana bro

  • @songashaban1332
    @songashaban1332 ปีที่แล้ว +2

    Bro napambana Sana nakodi mashamba nalima masika na kiangazi nalima bustani lkn wapi daaaah. Ngoja kwenye ulizotaja hapa moja nikomae nayo utapata mrejesho

  • @colethahenry6063
    @colethahenry6063 10 หลายเดือนก่อน +2

    Big up bro,,,,,,,

  • @hamisimwakatobe706
    @hamisimwakatobe706 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana chief,nilicho kigundua vijana wengi tumejaa uwoga,hasa katika utafutaji.Eti kwamba pesa ni uchawi,kumbe umaskini wa kukosa pesa na mali ndo uchawi mkubwa zaidi hapa duniani.Tutoke majumbani tutafute pesa.Umaskini ni laana namba moja

  • @nelsonsimon2950
    @nelsonsimon2950 7 หลายเดือนก่อน +2

    Big up sana G

  • @blessingntuli3796
    @blessingntuli3796 หลายเดือนก่อน

    Nakupa vizuri sanaa bro kutoka South Africa mawasiliano yako please

  • @ThomasTemba-u6z
    @ThomasTemba-u6z ปีที่แล้ว +3

    Nakubali bro

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 ปีที่แล้ว +2

    Gentle man ña nusu. God bless you more

  • @ShabansuleimanMussa-t9l
    @ShabansuleimanMussa-t9l ปีที่แล้ว +3

    Yeah that is very good advice

  • @BarackajacksonMkapa
    @BarackajacksonMkapa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante San kaka unazid kutupa nguvu

  • @patriciomanuelmwadi525
    @patriciomanuelmwadi525 ปีที่แล้ว +3

    Thanks🔥

  • @NikolausMwombeki
    @NikolausMwombeki 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe maisha endelevu

  • @onesmusmdunya2836
    @onesmusmdunya2836 4 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa ushauri. Biashara nyingi kati ya ulizotaja zinatoka zaidi ukiwa mjini. vipi kuhusu kijijini?

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 ปีที่แล้ว +12

    Blessings bro🎉🎉🎉❤

  • @RamMsophe
    @RamMsophe 7 หลายเดือนก่อน +2

    Fantastic ideas

  • @eliasmsindo6043
    @eliasmsindo6043 ปีที่แล้ว +2

    Fact brother,,,,,,!