Owwww!! Ndiyo maana Mond anakaa na huyo binti Zuchu. Kumbe ni binti mkarimu sana jamani. Mond ni binti sahihi ya wewe kumwoa. Usimwache huyo binti. Fuata tabia njema ya kwake. Nakupa angalizo kijana. Zuchu ni sahihi kwako Nasib.
Mimi nimeshampa zuchu baraka zangu zotee za kuolewa na diamond platnams, yaye ndiye simba JIKE wangu kwa simba DUME wangu diamond platnams, go zuchu go usisikilize maneno ya walimwengu jali diamond platnams anakujali vipi? acha hao wenye sura zao za matangazo waringe nazo wewe pambana kivyako hakika utafika mbali mno mungu ni mwema, mashemeji zako ndio hao wanakukubali kinoma noma majungu ya vigwegwe pita nayo hivi
MOPAO uko very humble, yani trust me kwenye mikono ya DIAMOND utafanya biashara kubwa sana ya muziki.. na trust me sasa ndio utaona ukubwa jinsi mtu anavyotengenezwa...
ZUCHU FOR LIFE OF MOND. UMWOE ANA UKARIMU WA PEKEE. BARNABA HAWEZI KUSEMA BURE NI MKARIMA SANA ZUCHU. ukiona hivyo ni sahihi umwoe. Achana na ma x wako wamezeeka. Huyu ni saizi yako.
Wewe mimi?!! Yana nimeisikiliza saba mara sabini, leo ndio nimegundua ule usemi uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia, kumbe kinachomfanya diamond platnams ampende zuchu na kuwa karibu nae kila wakati ni ukarimu wa zuchu na kujali, zuchu ni mwanamke wa kawaida sana lakin kumbe mungu kuna vitu ambavyo mungu amemuwekea vinavyofanya watu waliopo karibu nae wavutiwe navyo na kumpenda
WCB ni moto wa kuotea mbali, wakiamua kushuka jambo lako wakipaisha jambo lako huwa wanatumia nguvu nyingi sana za kunifanyia promosheni na kuwekeza pesa zao nyingi mno ili uende mjini , yan kifipi wcb wakishika jambo lako huwa wanalifanya kuwa lao
Ni rahisi saaaaana kumpenda barnaba jamani he is sooo humble❤️❤️
Barnaba is so humble ,,,yani na ukubwa wake aliamua kumsikiliza Mariooo ...nakubali 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Mie Somali walahi napenda wa tz❤️Great People MashaAllah🥰
😂😂😂magalka kasexo
@@SalahAbdi007😏
Msomali wa wapi unaishi wapi walalo
@@samiya4527 Mkenya walalo naishi europe
Napenda wasomali, humu Ingekuwa kuna Dm ningekufata
Barnaba nimependa unashurani mungu akusimamie God bless you
Zuchuuu angeongeza kitu kikubwaaa sanaaaa
Barnaba uko so honestly,Aisee watu hawajuagi kushukuru hata kwa kidogo nimekupenda bureee❤️❤️
Barnaba hujakosea sepa nae simba nchi itakuja kukaa 🔥🔥#Lilommy. Kizazi Sana ✌️
Barnaba congrats for mature. You’re humble, greatful to your colaborators. Zuchu was appreciated too wife material. Barnaba you rock!
Ety mzanzibar atatuuwa 😂😂zuchu weee
I like the way Barnaba appreciate 😍
He’s so humble
IiiIiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioiiiiiiiiii
Kizazi Sana yaani!! 🔥🔥
Gosh I love Barnabas I swear.....he appreciates alot! He will grow very much!
Owwww!! Ndiyo maana Mond anakaa na huyo binti Zuchu. Kumbe ni binti mkarimu sana jamani. Mond ni binti sahihi ya wewe kumwoa. Usimwache huyo binti. Fuata tabia njema ya kwake. Nakupa angalizo kijana. Zuchu ni sahihi kwako Nasib.
Barnaba hapa Rwanda tunakupenda Sana ❤️❤️
Kyii ni atari na wa nya,,,,,,🤣
Mimi nimeshampa zuchu baraka zangu zotee za kuolewa na diamond platnams, yaye ndiye simba JIKE wangu kwa simba DUME wangu diamond platnams, go zuchu go usisikilize maneno ya walimwengu jali diamond platnams anakujali vipi? acha hao wenye sura zao za matangazo waringe nazo wewe pambana kivyako hakika utafika mbali mno mungu ni mwema, mashemeji zako ndio hao wanakukubali kinoma noma majungu ya vigwegwe pita nayo hivi
This man is so humble
Mwalike na diamonds Platnumz kwenye show hiyo lilom
Hawa ndiyo wanaume wa kusikiliza sasa siyo wale wakujisifia uzinifu na kulamba lips☺Barnaba nakukubali sana
nimempenda san barnaba kupindia mondi simbaaaa upo juuuuuuu sana
napenda Sana kazii yako broo
MOPAO uko very humble, yani trust me kwenye mikono ya DIAMOND utafanya biashara kubwa sana ya muziki.. na trust me sasa ndio utaona ukubwa jinsi mtu anavyotengenezwa...
Jamaa Hana roho yawabongo huyu sure kbsa .
You are the best bro💚💯🔥
After my diamond is u Barnaba boy❣❣
Diamond ni mkarimu sanaa
Uko vizuri kaaaaaaa
Full interview 🔥🔥
Wa Zanzibari mpooooo🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Tupo mama
Afu Apo watu wanakuja kusema DIAMOND M BAYA ANAROHO MBAYA JAMAN BINADAM KAZI
#LSD ON AIR MOPAO🔥
Nakubali
Executive produce diamond platnumz simba napenda vile Mopao anamshukuru simba MoPaOOntop
Mungu akutie nguvu
That why the song sound is a taarabu bro 😎
ZUCHU FOR LIFE OF MOND. UMWOE ANA UKARIMU WA PEKEE. BARNABA HAWEZI KUSEMA BURE NI MKARIMA SANA ZUCHU. ukiona hivyo ni sahihi umwoe. Achana na ma x wako wamezeeka. Huyu ni saizi yako.
Kabisa
Hii interview sijui kwa nini, yaan naisikiliza mala ya 3 saizi
Enjoy fam,usisahau kushare kwa groups za whatsapp 👍
Wewe mimi?!! Yana nimeisikiliza saba mara sabini, leo ndio nimegundua ule usemi uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia, kumbe kinachomfanya diamond platnams ampende zuchu na kuwa karibu nae kila wakati ni ukarimu wa zuchu na kujali, zuchu ni mwanamke wa kawaida sana lakin kumbe mungu kuna vitu ambavyo mungu amemuwekea vinavyofanya watu waliopo karibu nae wavutiwe navyo na kumpenda
Me 2 mara kibao tu sichoki kusikiliza yaani haichoshi
Vihumwa humwa vya Zenji♥️♥️♥️
Kali
Gentlemen.....the way anaongea sio kujisifu sana .....no kulamba lips🤨humble .......good decision work with diamond platnumz.....🙌🙌🙌
Wooooooooooow
❤😍❤🔥🔥🔥🔥💯
Nomaaaaaaaaaaaa
Marombosso🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥
Wasafi ni habari nyengine
WCB ni moto wa kuotea mbali, wakiamua kushuka jambo lako wakipaisha jambo lako huwa wanatumia nguvu nyingi sana za kunifanyia promosheni na kuwekeza pesa zao nyingi mno ili uende mjini , yan kifipi wcb wakishika jambo lako huwa wanalifanya kuwa lao
Barbara unapenda sana kula kitu kidogo unataja chakura
Simba is barnaba
🥰😍
My brother umetsha sana ila sorry mtt wa masaki yuko wap coz ni family mmoja asipoonekana lazma kuulza
like nying kwa diamond platnumz
🔥🔥⛽️🚬
Upige kolabo pia na konde boy
Mentality wako?
Kk bonge ra álbum ira haiwezi kunoga bira harmonize
Nenda katoe nae wewe ili inoge 😀😀
Send me your number bro kuna kazi nataka unifanyie
🔥🔥🔥