Prof Kabudi ajibu uvumi kunyimwa msaada/Akumbusha 'Tanzania sio nchi ndogo'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 663

  • @charitymbisi
    @charitymbisi 4 ปีที่แล้ว +133

    Kwa heshma ya Mh Kabudi, na mwenye hii channel nina play hii video mara tano.

    • @ayshazsalim397
      @ayshazsalim397 4 ปีที่แล้ว +1

      Yan wew km mm yan dah maneno yanafariji sana

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 4 ปีที่แล้ว +2

      Ndugu kumbe tuko wengi, hata mimi nimeisikiliza mara sita ili points ziingie kwenye damu vizuri.
      Watanzania tuna historia yetu na huwa hatutishiwi na yeyote. Na hilo wanalijua

    • @shabanmlekwa9513
      @shabanmlekwa9513 4 ปีที่แล้ว +2

      @@temuemanuel4671 Hahahahaaaa 💪

    • @babayakeanna8595
      @babayakeanna8595 4 ปีที่แล้ว +2

      Nimefikisha mala 10 wewe ngapi?😂😂

    • @samwelombeni6850
      @samwelombeni6850 4 ปีที่แล้ว +2

      Nimeipenda sana hasa kile kipande kinachosema kati ya fedha na heshima ya nchi yetu tutachagua kuilinda heshima ya nchi yetu;

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola798 4 ปีที่แล้ว +18

    Speech moja nzito Sana, mzee kabudi umeongea surely, Mungu akupe afya na umri mrefu mkuu.

  • @ama7742
    @ama7742 4 ปีที่แล้ว +55

    I am proud to my leaders and my country Tanzania.

  • @salimbinargan9658
    @salimbinargan9658 4 ปีที่แล้ว +33

    Asante mweshimiwa kabudi niheshimu ntakuheshimu kutuamrisha kama wao miungu watu wa duniani hapana Allah ni mmoja ndio anafaa kuogopewa sio binadamu mwenzako

  • @lionmkushi9641
    @lionmkushi9641 4 ปีที่แล้ว +32

    Mungu akupe maisha malefu pr. P. Kabudi
    Jah bless

  • @hashimkashakala3051
    @hashimkashakala3051 4 ปีที่แล้ว +47

    Taifa hili halijawai kupigishwa magoti,,asante sana prof.kabudi

  • @sojamwasote1201
    @sojamwasote1201 4 ปีที่แล้ว +65

    Ndio,,, kwa nn tusiseme!!!!!! Tuwakilishe Baba Kabudi.

  • @KingDenis2
    @KingDenis2 4 ปีที่แล้ว +39

    And we will never allow any one to use aids or assistance to undermine our sovereignty 😸😸🔥🔥🔥🔥 nakukubali sana Prof kabudi, najivunia kuwa mtanzania Big up kwa Magufuli

  • @jeanclaudenyamweru6889
    @jeanclaudenyamweru6889 4 ปีที่แล้ว +54

    Jean Claude from Burundi.
    Asante Saaana Prof wangu Excellence Kabudi. Tanzania is blessed to have such bright and wise persons!
    Kizazi cha leo kinasikiliza magenge ya wahuni kwenye mitandao tuu.
    I wish they could know Tanzania imetoka wapi! And why colonial gangsters and their agents like LISSUs are nervous in black-painting TZ?
    Obviously they see Tz entering "Dragon" country group in the near future ... they are jealous...

  • @michaelnjau741
    @michaelnjau741 4 ปีที่แล้ว +1

    My role model god bless you palamagamba Aidan John mwaluko Kabudi

  • @nabiiilyaaseliya2551
    @nabiiilyaaseliya2551 4 ปีที่แล้ว +45

    Mungu akubariki Prof endelea kusimama its time for Africa to wake up

  • @rachelstephano4529
    @rachelstephano4529 4 ปีที่แล้ว +25

    The best man we need in this era

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 4 ปีที่แล้ว +33

    Sana ! Bora umeongea mh Kabudi.

  • @innocent91044
    @innocent91044 4 ปีที่แล้ว +23

    Oooh!!!, Meeen, Safi sana Prof Kabudi, Wewe leo umeongea Kama mwanaume.

    • @edenbaraka7533
      @edenbaraka7533 4 ปีที่แล้ว

      Usiongelee uchaguz maana aibu

  • @mjinjasagamambi7531
    @mjinjasagamambi7531 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah! Prof, I am speechless. We need all Minister with the same calibre as you Prof. We need money for our National development but our dignity and sovereignty comes first. The best speech ever in this error. Keep up the good work for our Nation

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 4 ปีที่แล้ว +6

    Taifa hili halijawahi kupigishwa magoti na halitapigishwa magoti,huu usemi uliojaa ujasiri mpka kwa sisi watoto Wa 90/ambao wengi wetu tuna mihemuko ,ahsante sana

  • @malimatv4828
    @malimatv4828 4 ปีที่แล้ว +33

    Am so happy for this

  • @dottobulayi3785
    @dottobulayi3785 4 ปีที่แล้ว +35

    Blessed..God bless our country Tanzania

  • @hatibumachaku3381
    @hatibumachaku3381 4 ปีที่แล้ว +42

    One of the best speech in this era

    • @ellymakongo656
      @ellymakongo656 4 ปีที่แล้ว

      Not one of bro..is the one and only best speech ever

    • @ellymakongo656
      @ellymakongo656 4 ปีที่แล้ว

      Not one of bro..is the one and only best speech ever

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 4 ปีที่แล้ว +36

    Good sana Waziri sisi tuko nyuma ya selekali yetu

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 4 ปีที่แล้ว +58

    Umeongea vzr maana ata maisha yetu yakawaida ukimuogopa aliyekuzid kipato inafikia muda anakunyanganya mpaka mke

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 4 ปีที่แล้ว +3

    Saafi mzee, unajua mambo mengi kuna mazee huku mitaani hayajui unachosema ndio yanakua ya kwanza kudanganya vijana tusiojua. Hua najifunza mengi kwenye speech zako then nakwenda kuyaabisha mbele ya vijana kwa facts zako. Endelea kuzungumzia mengi tujifunze...Asante!

  • @wilsonzephania9680
    @wilsonzephania9680 4 ปีที่แล้ว +49

    sina kitu,likini nakubali speach hii

  • @johntuju3693
    @johntuju3693 4 ปีที่แล้ว +13

    He's a really GOOD PROFESSOR, well done mr professor PARAMAGAMBA KABUDI , Siku Mjomba Magu anakuteua sikuwa na wasiwasi kabisa juu yako....hawa wazungu wanadhani Africa bado ni bara la sport sport, ukiwachekea hawa viumbe wanaeza ata kukunyang'anya mke wako kisa misaada wallah!! Mwaka huu wamekanyaga!!

    • @johnramadhan4714
      @johnramadhan4714 4 ปีที่แล้ว +1

      Najiuliza maswali mengi sana kuhusu kauli iliyo tolewa na kamati ya bunge la ulaya kuhusu tanzania, hivi watanzania ni wapi tuna kwama?? Hivi dunia kwanini watishie kutu nyima misaada?? Nina fikiri tusiwe wepesi kuwa laumu wazungu kwa kutu tishia kutu nyima misaada pasipo kujitafakari chanzo cha hayo yote ni nini! Ifike mahali ukweli ubakie kuwa ukweli, uwongo ubakie kuwa uwongo, najua wazi kuwa mwisho wa ubaya ni aibu, mimi kama mtanzania sifurahishwi nchi yangu kunyimwa misaada, lakini na sisi watanzania piah tusi vunje katiba ya nchi yetu kwa kukiuka mfumo wa vyama vingi, vilivyo undwa kisheria mwaka 1992, chini ya mwalimu nyerere, wakati huo Rais akiwa Alli Hassan Mwinyi, baada ya hapo akaja Mkapa, ambaye sasa ni marehemu, Tanzania sasa ipo kwenye mfumo wa vyama vingi yapata miaka 28 sasa, lakini kwa haya yaliyo fanyika kwenye uchaguzi wa tarehe 28 october, kwa mtazamo wangu nikama tutakuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa chama kimoja!!
      Hii ina maanisha ya kwamba kitu kinacho itwa democracy sasa kwa tanzania ni kama inatoweka, hivyo basi ni vizuri watanzania tuka acha ushabiki wa kisiasa,maana ushabiki huu wa kushabikia yasiyo na faida kwetu, Athari yake ni kubwa sana. Kila mtanzania kwa imani yake tuiombee nchi yetu tusije tuka ingia kwenye mgogoro na dunia, kwani sisi tunaitegemea dunia, Dunia haitutegemei sisi. Waswahili wana sema ukimfukuzia sana mjuzi mjuzi hubadilika kuwa nyoka. Hivyo ni vizuri tuka linda na kuujali mfumo wa vyama vingi, na kuitunza democracy ili maisha yaendelee.

    • @MYCYOBEL
      @MYCYOBEL 4 ปีที่แล้ว +2

      ​@@johnramadhan4714 Vyama vingi ni muhimu lakini shida inayotokea ni moja, upinzani tunaouita upinzani unakuza mambo sana hata pasipo takiwa. Huwezi kuwa na chama cha upinzani huku unajiita mwanaharakati na huku unaonekana wazi kuwa huna uzalendo. Kusema ukweli uchaguzi huu upinzani wameukuza sana ila kiukweli hawa jamaa mwaka huu wameshindwa ila kuna sehemu chache sikatai kulikuwa na rafu. Rafu kila uchaguzi upo, kumbuka wanasiasa wote wako sawa na wanatumia bilions of money kufanya campain, so kushindwa ni hasara kwa mwanasiasa. Kitendo cha upinzani kusema uchaguzi ulikuwa huru na haki baada ya zoezi la kupiga kura kuisha, then baadae anasema uchaguzi haukuwa huru na haki ndio kunawaharibia sifa wapinzani. Yaani wanaupotoshaji na kiki nyingi sana ambazo zinaudhi. Hizi kiki zimewafanya wakose kura za watu wengi sana pamoja na yangu. Nimekuwa nikiwapigia kura wapinzania tangu mwaka 2000 lakini safari hii nimekipa chama tawala baada ya kugundua upinzani wa bongo hauna dira. Ushauri wangu ni wapinzani wajijenge kwanza pia wawe na sera inayoonyesha uzalendo wao hasa kushirikiana na serikali panapohitajika na kukosoa panapohitajika. Mtu mzima kama mimi sio taahira ukiaminisha Tanzania hakuna amani na serikali inafanya utumbo kwa kila kitu inachofanya, haimake sense kabisa. Shida nyingine ya upinzani unataka serikali ya Tanzania iwe sawa kama serikali za mataifa makubwa kwenye kuendesha mambo yake kidemokrasia, kitu ambayo sio sawa kwa sasa ila itafika mahali tutafika tu. Hapa nimemaanisha unapotaka kila kitu kiwe kama unavyofanya nje wale jamaa wanapata mwanya wa kupandikiza maslahi yao, nafikiri mnaoelewa mtakuwa mshajua nachomaanisha. Acha wapinzani wapate adabu kwanza tutawafikiria 2025 tena, na sio dhambi CCM kuwa wengi maana wamejipanga ingawa pia kulikuwa na kasoro ndogo ndogo tu sio kubwa kama upinzani unavyozikuza. Watanzania tunahitaji kufuatilia sana mambo ya uzalendo wa nchi yetu kuliko kusikiliza tu maneno ya upinzania na wazungu.

    • @abdallahkiliaki7299
      @abdallahkiliaki7299 4 ปีที่แล้ว +3

      Hakuna nchi yoyote ya Dunia ya Tatu iliyoendelea kutokana na misaada. India ilikataa misaada takriban miaka 40 iliyopita. China na Vietnam hivyo hivyo. Hata Singapore, Malaysia na Indonesia. Misaada inadumaza. Isitoshe, misaada mingi inaishia kulipia watalaam wao feki, ushauri (consultancy), uendeshaji ofisi, "management fees", magari na nyumba za kifahari nk. Hata ununuzi wa vifaa na makandarasi lazima watoke kwao. Tunachoambulia ni kidogo mno. Kunyimwa misaada ni baraka kwetu. Tutajua kujitegemea. Na hayo ndiyo maendeleo ya kweli. Watanzania tusibabaishwe na yeyote. Misaada ni mzigo. Hatutapata maendeleo ya kweli tukitegemea misaada. Km mke ni wangu iweje mwanamume mwingine ajitolee kumsaidia, miaka nenda miaka rudi? Hatimaye atakuwa siyo mke wangu tena, bali ni wa kwake!

    • @johntuju3693
      @johntuju3693 4 ปีที่แล้ว +3

      Na lazima tukumbuke kuwa chaguzi zote duniani huwa zinakuwa na kasoro hilo ni jambo la kawaida saana kibinadamu, ila hawa jamaa wanakuza saana mambo kwa maslai yao binafsi... rejea kauri ya hayati Benjamin Mkapa baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.. alisema kuwa "tunawashukuru saana wasimamizi wa kimataifa kuwepo hapa, waliyotusifia tumeyapokea kwa unyenyekevu. Tumeyasikia pia yale waliyosema hatukuenda sawa na mengine hata sisi tumeyaona.. MAAGIZO YAO TUMEYAKATAA" naomba kusema tena HAKUNA MZUNGU ALIE ITAKIA MEMA AFRICA HATA SIKU MOJA, HAYUPOOO, AFRICA WAMEIFANYA KAMA DAMPO LA KUMWAGIA KILA AINA YA TAKA.. misaada yao tunaihitaji ila siyo kwa kigezo cha KUHARIBU AMANI YA NCHI YETU NA KUTUDHALILISHA UTU WETU...

    • @selector728
      @selector728 4 ปีที่แล้ว

      Palamagamba siyo paramagamba

  • @nzumbizblogger4154
    @nzumbizblogger4154 4 ปีที่แล้ว +51

    Huo ndio uanaume, sio kutekenywa kidogo tuu tuanze kuishi kwa hofu, wajipange maana viongozi wangu mnazidi kunipa hasira na wazungu. Washenzi sana mabeberu

    • @peterbenerd7367
      @peterbenerd7367 4 ปีที่แล้ว +8

      Tutakula Chakula Cha kwetu kidogo majirani zetu Kama Wana vingi vya kwao

    • @stanleyfocas8250
      @stanleyfocas8250 4 ปีที่แล้ว +4

      Umeona

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +4

      @@peterbenerd7367 turidhike nakidogo kwakweli

    • @apolotemba6993
      @apolotemba6993 4 ปีที่แล้ว

      Africa tuna weza ata bilakuwezeswa

    • @pacojr9441
      @pacojr9441 4 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 4 ปีที่แล้ว +65

    God bless Tanzania.
    God bless Africa
    🙏🙏

    • @abdulnasib2097
      @abdulnasib2097 4 ปีที่แล้ว +6

      Kutoka moyoni kabudi napenda akilizako

    • @herimallya3385
      @herimallya3385 4 ปีที่แล้ว +2

      Nchi Yangu🇹🇿🇹🇿

    • @bossurassa5313
      @bossurassa5313 4 ปีที่แล้ว

      Tanzania yangu ❤🇹🇿🏆💪

  • @neemamwakatika12
    @neemamwakatika12 4 ปีที่แล้ว +11

    Mashogha na majibwa kwa speech hii ya Hon. Professor Kabudi, yatakeesha yakiharisha . Kwa mchango wangu ktk hili umefika wakati wa kuyaeleleza wazi maadui ya Taifa yaliyoko ndani na nje ya Tz.

  • @africayetutv329
    @africayetutv329 4 ปีที่แล้ว +77

    We all belong to this world no one who can decide someone's future expt God these uropean union should know that the world is not for them. Sisi na Tanzania kwanza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ahmedsultan8561
      @ahmedsultan8561 4 ปีที่แล้ว

      Walichokisema eu ni kutokana na serikali kukiuka mikataba ya kimataifa ilioingia

    • @ibba8082
      @ibba8082 4 ปีที่แล้ว

      Mikataba ipi

    • @mohammedally2289
      @mohammedally2289 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ahmedsultan8561 yaani weweee umeona serikali ya Tanzania ndio imevunja mikataba ,, acheni ushabiki usio na kichwa

    • @jabiraxmed7898
      @jabiraxmed7898 4 ปีที่แล้ว +1

      How about tanganyika to colonise zanzibar. What you ara going to say about that .let zanzibar freee

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 4 ปีที่แล้ว

      @@ahmedsultan8561 ninyi wafilisti msiotahiriwa mtupishe, mnyamaze kimya tokea sasa, Kabla Mungu tunaemwamini hajawashangaza.

  • @fundieddy9164
    @fundieddy9164 4 ปีที่แล้ว +16

    Duh!
    "...we are ready to work with all nations in the world who share our values..., ...we will never allow anyone to use aid or assistance to undermine our sovereignty, never."
    Hii ni miongoni mwa hotuba niliyoirudia rudia mara nyingi pasipo kuchoka.
    Asante sana Mhe. Kabudi. Mwenyezi Mungu akubariki sana.
    Mwenyezi Mungu ibariki Daily News Digital.
    Mwenyezi Mungu mbariki rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli.
    Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania.
    Mwenyezi Mungu ibariki Afrika.

    • @ipyanamwakosya5917
      @ipyanamwakosya5917 4 ปีที่แล้ว +1

      Maneno mengi aliyo yasema yaliongelewa kwenye speech za nyerere.. kama kutoishi kama isolation state na masuala mengine ya our values and dignity... kwenye hotuba ya mwisho ya mwalim nyerere kwenye umoja wa mataifa.

    • @alexkihongola798
      @alexkihongola798 4 ปีที่แล้ว +3

      Hatari Sana, Speech moja nzito Sana. Kabudi akiongea kimombo utatamani asimalize kuongea.

    • @fundieddy9164
      @fundieddy9164 4 ปีที่แล้ว

      @@ipyanamwakosya5917 Ha haa haaa!
      "... there's nothing new under the sun." (Ecclesiastes 1:9) .
      Hapa nina'admire' uwezo wake Mhe. Kabudi wa kuyahifadhi na kuyatumia kimuktadha hayo maneno unayodhani yalibuniwa au kutamkwa kwa mara ya kwanza kwenye karne ya 19. Loh!
      Jaribu kutafuta na kusoma vitabu vya wanafilosofia wa kale k.m. The Republican by Plato, The Nicomachean Ethics by Aristotle, Meditation by Marcus Aurellus n.k.
      utaelewa ninachokusudia kukujuvya juu ya lini yamekuwa yakitumiwa maneno hayo na mengine kama hayo.
      Ninamuomba Mwenyezi Mungu atuwezeshe kuwa na tabia ya KUTUMIA MUDA WETU MWINGI KATIKA KUJIFUNZA ILI TUYAJUE TUSIYOYAJUA BADALA YA KUTUMIA MUDA MWINGI KUYAJADILI TUSIYOYAJUA.
      ------- Ase' -------

  • @raidhanimohamedi2709
    @raidhanimohamedi2709 4 ปีที่แล้ว +13

    Nice speech

  • @ruzindazajonas7565
    @ruzindazajonas7565 4 ปีที่แล้ว +6

    Prophetically, Tanzania is soon becoming the light in the world spiritually and economically in Africa. I have seen many white countries apologising before your country and applying to strengthen strong political, economical even diplomatic ties! Tanzania is going to shine and shine until many world leaders will be coming in to seek pieces of advice . Tanzania is going to be given high respect into the world! Never fear , the good you gave never even expected is soon coming. The world will see these with their own eyes. I am with you to pray for your nation.

  • @Isack-g7u
    @Isack-g7u 4 ปีที่แล้ว +2

    It will never happen, never, never, we are on the side of our president and our minister foreign affairs, Prof Kabudi to protect our values as a nation

  • @calebosano7257
    @calebosano7257 4 ปีที่แล้ว +1

    This is great leadership, much love for our Tanzanian brothers and sisters from Kenya

  • @gervasisaya9348
    @gervasisaya9348 4 ปีที่แล้ว +38

    Hivi vipaji,vipo Tanzania2,,African nzima,,,,,,mi nahamia ccm kuanzia kesho,,,,,na iongoze. Miaka 10000

    • @eliajoseph6865
      @eliajoseph6865 4 ปีที่แล้ว +4

      Nipo ccm Toka aingie madalakani mheshimiwa JPM akihama namfata chama alicho hamia

    • @mussarukigwa3453
      @mussarukigwa3453 4 ปีที่แล้ว +3

      Naunga mkono Tz kwanza

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 4 ปีที่แล้ว

      Usihame brother baki ukouko kikubwa nkuunga juudi za JPM CHUMA.

    • @gervasisaya9348
      @gervasisaya9348 4 ปีที่แล้ว

      @@eliajoseph6865 kabsa

  • @kalufunyangenyakinyungu5087
    @kalufunyangenyakinyungu5087 4 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂Thank God 4 this leadership under a lovely and strongly Presdent Dr.JPM. Godbless our country.

  • @hassanmpwepwe8258
    @hassanmpwepwe8258 4 ปีที่แล้ว +1

    God bless my present jpm god bless Tanzania

  • @siafuvideo2541
    @siafuvideo2541 4 ปีที่แล้ว +11

    I'm Very Proud to be Tanzanian we are TANZANIA 🇹🇿🙏💪

  • @danielp.kawiche78
    @danielp.kawiche78 4 ปีที่แล้ว +1

    the best speech ever, keep it up "TANZANIA" I LOVE U SO MUCH

  • @jackneymasamson8335
    @jackneymasamson8335 4 ปีที่แล้ว +9

    Very Good Speech Mwenyezi Mungu awatangulie mzidi kuiletea Tanzania 🇹🇿 ushindi na Heshima because Tanzania 🇹🇿 hatuhitaji misaada ya wazungu kufanikiwa mbona wenzetu Dubai na China 🇨🇳 wameweza kufanikiwa bila misaada ya wazungu

  • @jomba6514
    @jomba6514 4 ปีที่แล้ว +14

    Mheshimiwa asante umepiga vizuri

  • @uzimajustinmilele4685
    @uzimajustinmilele4685 4 ปีที่แล้ว +13

    Highly recommended 🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏

  • @ntemikingi3531
    @ntemikingi3531 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana mhe . Kwa kuikumbusha jamii umuhimu wa utu wetu na tulikotoka na kuwa ni muhimu kujitegemea KIFIKRA .

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 4 ปีที่แล้ว +17

    Mwenyezi mungu akupe afya njemaa, taifa letu tunataka viongozi wakali kama hawa. Hii video nimeskiza karibu mara 5 na zaidi

  • @juliusakida6272
    @juliusakida6272 4 ปีที่แล้ว +40

    SAFI SNA,WASILETE HIZO PESA TUNAJIWEZA WENYEWE

    • @karanibonge5906
      @karanibonge5906 4 ปีที่แล้ว +2

      Kwakweli

    • @selemaniahmadi8501
      @selemaniahmadi8501 4 ปีที่แล้ว +3

      Wewe huna akili unajiweza kwalipi wakati hata kibeliti hau tengenezi

    • @catherinekashenge3704
      @catherinekashenge3704 4 ปีที่แล้ว +1

      @@selemaniahmadi8501 , money ni karatasi tu. Kwa tafiti(Projects),ardhi au rasilimali na uzalendo wa kutoa huduma bora ( SERVICES). Tutaepuka vikwazo vyao. Itakua ngumu ila CHINA, South Korea( TIGER ECONOMY COUNTRIES) Wameweza. Tanzania and Africa 💪

    • @mahelamnazaletinmm880
      @mahelamnazaletinmm880 4 ปีที่แล้ว

      Mkundu wako usilolijua usiliongee mpuuz

    • @johnkawogo4595
      @johnkawogo4595 4 ปีที่แล้ว

      Kukua kwa tekinologia kwa baadhi ya mataifa ya ulaya ni TATIZO la kiuchumi wasijiamini sana kupanda kiuchumi kwa Jamii ni faraja kuliko kushuka walianguka kiuchumi ukoloni ukawaokoa pamoja na kuwakoloni sasa kiuchumi wapo kasi utapona..? Duniani yote waafrika wapo na wanazaliana kwa kasi kwani Libya umeiweza. ?

  • @vincentsamwelkivera8914
    @vincentsamwelkivera8914 4 ปีที่แล้ว

    Hakika Rais amefanya jambo jema sana kumrudisha Pro Kabudi Mungu amtie nguvu afanye zaid na zaid yale yanayompasa kufanya Big up Pro Kabudi

  • @boylondontztz920
    @boylondontztz920 4 ปีที่แล้ว +37

    Huyu jamaa ameongea kijasir mpaka najikuta siogop chochote yaan

    • @shabanmlekwa9513
      @shabanmlekwa9513 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaaaaa 💪. Safi saana.

    • @tamiasambo2831
      @tamiasambo2831 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu baba kabudi anaupeo mkubwa si was kawaidi mungu akubariki xn kabudi hoyeeeee

    • @omarinjiwa3945
      @omarinjiwa3945 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mtu c mchezo ila inahitaji akili ya ziada kukubali anachoongea km akili ndogo na ushabiki huwezi muelewa

    • @boylondontztz920
      @boylondontztz920 4 ปีที่แล้ว +1

      @@shabanmlekwa9513 jamaa nimemkubal mjesh nilikata tamaa but kanipa morali now ninacofidence ya elaa yote

    • @boylondontztz920
      @boylondontztz920 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tamiasambo2831 mwenyewe nimekubal aisee anauwezo hata wakuliongoza jeshi vitan kabisa

  • @husseinsalimu73
    @husseinsalimu73 4 ปีที่แล้ว +7

    Mm nimefurahi Sana kwa uamuzi huu mtanzania hafi kwa njaa lazima tujiamini

  • @josephatmakaranga7043
    @josephatmakaranga7043 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani napenda sana hawa wazalendo wa kweli wawe wanazungumza kila siku. Yani popote mlipo wazalendo hotuba zenu zinatupungua, juu sana mhe. Kabudi taifa linawategemea sana kwa nyakati hizi mapambano ni makali.

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 4 ปีที่แล้ว +16

    Saf sana Mheshimiwa kabudi🙏

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 4 ปีที่แล้ว +4

    God will continue to bless you pajmkabudi

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 4 ปีที่แล้ว +6

    Keep it up prf. Kabudi Mabeberu hataki waafrika waendelee .Tuwe wazalendo tulipiganie taifa letu

  • @joshwazakaria8222
    @joshwazakaria8222 4 ปีที่แล้ว +11

    Hii ndo tanzania aliyoitaka mwlm nyerere kuwa na viongozi wenye msimamo hakika sisi watazania tuiunge mkono serekali yetu maana hakika tutafika salama pamoja tuitetee mama tanzania 🙏🙏

  • @hitv7239
    @hitv7239 4 ปีที่แล้ว +14

    Yes ,,,I was waiting to hear those stone

  • @jemaidamhenuchi4531
    @jemaidamhenuchi4531 4 ปีที่แล้ว

    Asante baba Kabudi nimejikuli kama mtanzani zaidi ya nilivokuwa tks

  • @Daniellemakaaya
    @Daniellemakaaya 4 ปีที่แล้ว +1

    nafurahia viongozi wangu naona sas tunaelekea pahali MUNGU naomba uzidi kututangulia

  • @zionafrikazanzibar5275
    @zionafrikazanzibar5275 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtu me namkubali sana maana anaijua kazi yake...muheshimiwa asante kwa speech ya kishujaa..we stand together and strong#JahblessTanzania🙏🇹🇿

  • @rweyemamrespicious975
    @rweyemamrespicious975 4 ปีที่แล้ว +16

    Huyu jamaa namkubali sanaa

  • @gaudensig3457
    @gaudensig3457 4 ปีที่แล้ว +17

    Safi kiongozi tupo pamoja na raisi wetu wa TANZANIA

  • @jwilliamngeleja6548
    @jwilliamngeleja6548 4 ปีที่แล้ว +4

    Yaani nawapenda viongozi wa hii awamu yaani mnapita mlemle kwenye mawazo yangu,Mungu awape ulinzi wakibinadam na roho pia

  • @jobsonmagola8227
    @jobsonmagola8227 4 ปีที่แล้ว

    Pro Kabudi nakukubali sana kwa speech zako zenye MUNYU na kujiamini unacho kiamini. JPM hongera kumpa wizara mtu mzalendo, anaye ijua historia ya inch

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaan Prof Kabudi ana msimamo Kama wakwangu!! Mungu akuongoze ktk majukumu yako Baba Kabudi

    • @fredrickthomas2173
      @fredrickthomas2173 4 ปีที่แล้ว

      Ana msimamo gani huyo anaishi kwa kitumia kodi za wananchi maskini unafikiri vikwazo vikiwekwa yeye ataumia yeye ataendelea kutumia V8 huyo anatetea tumbo lake alafu huyu mwanasiasa

  • @martineshija9775
    @martineshija9775 4 ปีที่แล้ว +13

    Hivi jaman viongozwangu mlikuwaga mmejificha wap nyie wazalendo wakweli namn hii? Nawakubali sana.

  • @hatibumachaku3381
    @hatibumachaku3381 4 ปีที่แล้ว +12

    God bless our country

  • @allanalex8822
    @allanalex8822 4 ปีที่แล้ว +2

    I wish All Afican leaders will wakeup and have one voice like African...Tanzania is a good example Magufuli keep it up

  • @stevenjoshua9437
    @stevenjoshua9437 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii ndio tanzania mung awe na rais wetu acha hao wajinga wateseke,hakuna kuogopa pigen kazi hatutategemea misaada yao,mungu ibarki tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤

  • @wandibaitonge8832
    @wandibaitonge8832 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana professor

  • @nicksonpius6128
    @nicksonpius6128 4 ปีที่แล้ว +29

    Jpm namba moja duniani Tanzania

  • @mgallahtv4704
    @mgallahtv4704 4 ปีที่แล้ว +15

    Kiongozi wangu Bora katika serikali ya awamu ya tano...kati ya mawaziri....Rais endelea kumuamini Kabudi

  • @ruzindazajonas7565
    @ruzindazajonas7565 4 ปีที่แล้ว

    Thank you very much Prof.Kabudi to tell the reality to the world about your real standing as a nation to keep your sovereignty. Let all the Tanzanians stand together to make sure your nation is never sabotaged with by whosoever comes. Those 2 guys who had been thinking that Tanzanians will be frightened by their nonsense engagement with the white countries, shame upon them.

  • @mwakisukuli2124
    @mwakisukuli2124 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mh professor kabudi nakukubali

  • @markmangaya4947
    @markmangaya4947 4 ปีที่แล้ว

    Well spoken Mr Kabudi...

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki raisi wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuri

  • @evasiwalima9681
    @evasiwalima9681 4 ปีที่แล้ว +1

    Watu hua wanatoa speech lkn yako nimeielewa saana haijawai tokea nikacommrnt TH-cam lkn umeongea speech ya kizazi yaani ya kimambele umetendea haki uprofesa wako hongeraaa saana kwa speech nzr namna hiyo

    • @evasiwalima9681
      @evasiwalima9681 4 ปีที่แล้ว

      Mungu Bariki Tanzania Bariki Africa

  • @astonymathews6136
    @astonymathews6136 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana kabudi ndo Tanzania tunayo itaka

  • @shukurumundandu3244
    @shukurumundandu3244 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Sana mzee mbaba , nchi hii unaitaji watu wenye msimamo na uwezo wa kujenga hoja

  • @meddyyassin4741
    @meddyyassin4741 4 ปีที่แล้ว +1

    KABUDI is a very smart Lawyer

  • @dansonkasala5075
    @dansonkasala5075 4 ปีที่แล้ว

    The speech is very powerful Mr. Kabudi

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 4 ปีที่แล้ว

      Excellent and powerful speech. These wazungu must know that we Tanzanians are not Tundu Lisu. If they thought we are that weak and stupid, they better think again otherwise they will be the losers. Kenge weupe hawa.

  • @nelibaba
    @nelibaba 4 ปีที่แล้ว +4

    Proudly Tanzanian

  • @mwombekikatabalo9046
    @mwombekikatabalo9046 4 ปีที่แล้ว +19

    What a brain!

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka7463 4 ปีที่แล้ว +1

    Thank palamagamba

  • @ruthlugata1769
    @ruthlugata1769 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape maisha marefu na afya njema viongozi wetu ili muendelee kupigania heshima ya nchi yet.

  • @samsonzacharia2329
    @samsonzacharia2329 4 ปีที่แล้ว +11

    Wapumbavu wakisema sema, wastalaabu wakanyamaza jamii itaelewa kuwa ule upumbavu ndio ukweli. C kwa 7bu wao ni wapumbavu hapana, wataamini kuwa upumbavu ni kweli kwa 7bu wastalaabu hawajasema.
    Nilikua nashangaa jinsi mlivyo kuwa mmenyamaza,
    Nashukuru mmesema.. safi sana Aruta kontinue.
    Wengine hawajui Tanzania.

  • @magnusraphael2229
    @magnusraphael2229 4 ปีที่แล้ว +18

    This old man speaks loudly

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 4 ปีที่แล้ว +1

      You mean proudly or are you trying to trip?

    • @leonarddamian
      @leonarddamian 4 ปีที่แล้ว +1

      throw away your phone speaker, then open this video

    • @simonmachupa5850
      @simonmachupa5850 4 ปีที่แล้ว +1

      A such wise loud!

    • @eischerschwederm7876
      @eischerschwederm7876 4 ปีที่แล้ว

      It happens when you mean, we are not kneeling 💪🏿💪🏿💪🏿

    • @eischerschwederm7876
      @eischerschwederm7876 4 ปีที่แล้ว

      And our destiny will be determined by we Tzns not any external force 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @ambrosethomas5922
    @ambrosethomas5922 4 ปีที่แล้ว +1

    Africa should learn from Tanzania, thanks Professor.

  • @noelmivuba5397
    @noelmivuba5397 4 ปีที่แล้ว

    Much respect Prof.Kabudi umenena point kubwa sanaaaa...🙌💥

  • @adamdeus6015
    @adamdeus6015 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Mzee kabuni kwa kuwajibu wazungu maana wanashindwa kujadili nchi zao kazi kuijadili Tanzania hakuna kuwapigia magoti wajinga hawa wakati wanatunyonya tu wao sio mungu kuwasujudia lazima wawe na heshima kwa watanzania sisi ni nchi huru

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 4 ปีที่แล้ว +25

    Waambie hao majonaslist uchwara! Wanakimbilia kubadilisha statement.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 4 ปีที่แล้ว

      Wanafiki balaa

    • @Allen-cr7wc
      @Allen-cr7wc 4 ปีที่แล้ว +1

      Wajinga kweli hao.timu Tundu Lisu hao maruhuni hao.hawaangalii thamani ya nchi ya watu milioni 60,wanaangalia uchadema akili za ubongo wenye kutu

  • @ombenimalisa4499
    @ombenimalisa4499 4 ปีที่แล้ว +3

    Ongera sanaaa na Sanaa kiongizi wetu

  • @kurwamohamed7714
    @kurwamohamed7714 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsanteee kabudi ishima iwepo wasitupelekeshe. Wanaona Mali za uwizi awazipati wanaanza leta vigisu

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 4 ปีที่แล้ว

    A WEAK LEADER CAN'T BE A LEADER OF A NATION
    WE NEED MORE LEADERS LIKE YOU PROFESSOR WHO ARE NOT CORRUPT AND HIPPOCRATE
    A STRONG LEADER WITHOUT FEAR
    KABUDI OYEE✊🏾

  • @fraviusmanyika7521
    @fraviusmanyika7521 3 ปีที่แล้ว

    Nimerudi kukutazama tena leo Mh Kabudi baada ya huu msiba mzito ulioikuta nnchi yetu, nna mengi sana yakujifunza kuhusu wewe na nnaona kuna kitu kikubwa sana kwako Mh Mungu amuweke.

  • @abdallahbakari6154
    @abdallahbakari6154 4 ปีที่แล้ว +2

    kabudi asante sana umeongea vzr sana sana

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 ปีที่แล้ว +1

    You are representing us well and good.

  • @abdallahkiliaki7299
    @abdallahkiliaki7299 4 ปีที่แล้ว

    Hon Minister. This is the 4th time I'm listening to your speech. As a by-product of Nyerere myself, it's all music to my ears. We have lacked people of your calibre and steadfastness to head this Ministry for many, many years. JPM may have given you 5 years but I would urge the incoming administration come 2025 to honor you with another 5 years until 2030. You are our "Kissinger".
    I wish you met with the Ambassadors of the EU, Germany, UK and USA who seem to always poke their noses into our "kitchen" (internal affairs) as if this was their country. I hate for an outsider to speak on my behalf without my prior approval. These Ambassadors buy the views and utterances of the Opposition esp by Lissu, Mbowe, Seif Sharif Hamad and Zito Kabwe at face value, without having the slightest courtesy to counter check the allegations with the competent authorities in Government. They are going too far, I dare say beyond their ambassadorial duties. To them, fair election is only when their puppets win. Watasubiri sana, labda karne 100 zijazo. Also to them, human rights are only met when lesbians and homosexuals are given more favors than the rest of us! They piss me off! I would not be surprised if one day they would tell us as to how many times we should sleep with our spouses! Tell them it's none of their business, diplomatically of course!!!

  • @godsonlaizer1988
    @godsonlaizer1988 4 ปีที่แล้ว +7

    Yes mwenye masikio na asikie, umeona wapi mtu tajiri akitishiwa na misaada , nani asiyewafahamu wasukuma mpango huo mbaya kwa taifa letu km sio cdm ambao wanajua shida ikitokea wao sio sehemu yake, mungu mbarik Rais wetu mungu ibariki Tanzania aamin

    • @fredmramba6612
      @fredmramba6612 4 ปีที่แล้ว

      Ila si mliambiwa uchaguzi huu ni tofauti na chaguzi zingine msijaribu kutenda zambi ya kuiba na mkaiba Kura tukae kimya Tu Kwa yatakayo tukuta watanzania wanzungu sio wazuri nawachukia Sana lakini tulichopada ndio tutachovuna.maana Africa tulichukuliwa akili tukabakiziwa mwili.

    • @godsonlaizer1988
      @godsonlaizer1988 4 ปีที่แล้ว

      @@fredmramba6612 hakuna kipindi cha mpito popote changamoto zisionekane, wakoloni wanachotaka ni kila siku wasikie una njaa, vita, marathi, ili waseme wanakusaidia na ikiwa wategemea kusaidiwa kila kitu basi utambue unapoteza uwezo wa kujiamulia chochote, nanachoomba kwa watanzania tumwombee rais wetu, tuombee taifa letu na ktk fahamu zetu tujue tuko vitani

  • @kabefiramadhani7610
    @kabefiramadhani7610 4 ปีที่แล้ว +7

    #Nasimama na Rais wangu

  • @herie16m
    @herie16m 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana ... Ubarikiwe

  • @simonmachupa5850
    @simonmachupa5850 4 ปีที่แล้ว

    Strong and Truth

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 4 ปีที่แล้ว

    Kabudi pambana God bless Mr.Kabudi pambania nchi yako Tz.

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 4 ปีที่แล้ว

    Ndomana wewe ni professional professor ..Heshima kwako