Ngoja tuheshimu mtazamo wake, lakini mtazamo wangu ni kwamba sifa kubwa ya mtu kuwa rais ni utendaji kazi wake. Mbona yeye kashinda uchaguzi? Au naye ni kijana? Vijana hatuchagui kiongozi kwa kigezo cha umri bali kwa rekodi za utendaji kazi wake. Uzee au ujana ni namba za umri tu, hazina uhusiano wa moja kwa moja katika utendaji kazi. Labda mtu awe ana umri mkubwa kuanzia miaka 80+. Ndiyo maana hata JOE BIDEN ( rais mteule wa USA) ana umri mkubwa kuliko Donald Trumph.
@@bernardoleonard7331 tusema,akifata kabudi au Lukuvi,wakati JPM anamaliza,they will 70!,waje kumaliza mihula yao 80!! weshachokaaaaaaa...lol.we need energetic leaders watakao endana na kasi ya dunia has kweye tech..kwani wakiwa washauri,kuna ubaya jamani?naamini,JPM,anapata sana ushauri toka kwa Mwinyi na Kikwete.
Hata hivyo hatuwezi kupima uwezo wa kuongoza kwa umri, kwani hakuna mahali ilipoandikwa katika Constitution ya TZ, ni maneno tu na maoni ya kibinafsi ya raisi mstaafu Kikwete. Kabudi anafaa sana kuwa raisi. Na siyo wakati wote kuseme ukweli ni vizuri...
@@frankmakomba378 Biden mwenyewe ataongozwa na watu wanaomiliki pesa yeye picha tu pale ndio tatizo la uzee. Trump yeye haongozwi na mtu ni kichwa yake tu wala huwezi mwambia kitu huyu wa kuamrishwa na watu nyuma ni hatari saana watu wenyewe ndio wameshikilia uchumi wa Dunia macho yao yoote yako Africa tuombe Mungu Rehema zake.
Mwanaadam anaingiliya mpaka mamlaka ya M/Mungu sijuwi kwa kiburi chake Mbona urais kaushika mtoto mdogo tu kuliko wew Tena mwanamke Vyovyote vile Mungu hapangiwi anapanga yeye hata mtu ajione anamamlaka gan hawezi panguwa
Lukuvi na kabudi hata huo uwaziri umewasaidia! tuu! Ila kwa mimi hao siwezi kuwapigia kura kwakuwa naona kiwango chao cha kazi hio bado sanaa!! Mashine ya kazi ni Waziri Jafo! Huyo tunauona utendaji wake na tunamkubali. Jafo mashine ya kazi. Lukuvi na kabudi ilikuwa wapumzike mara hii.
Magu hapo siungi mkono hivi uraisi ni kulima au kusukuma mkokoteni? M nafkiri mtu Kama kabudi anafaa mawazo yangu hayo ila lukuvi hapana hawezi uzee au ujana siyo kigezo chamuhimu kichwa kifanye kazi.
Aseee mbowee ndo anaffaa kuwa rais I'll atugawee na kibaraka lisuuu makenge nyie rohoo zinawaumaa upinzani kutawara nchii hiii labda baada ya Mika Mia mbere ukooo
THE MOST HONEST GUY AROUND
Yeah it's makes Sense. Wakati mwingine ni kumwachia Mungu tu.
Waambie ukweli baba baelezee wasije wakawa na tamaa bure ..!
ukweli unauma lkn unaponya""jamani JPM""noma
No body knows tomorrow
Ngoja tuheshimu mtazamo wake, lakini mtazamo wangu ni kwamba sifa kubwa ya mtu kuwa rais ni utendaji kazi wake. Mbona yeye kashinda uchaguzi? Au naye ni kijana? Vijana hatuchagui kiongozi kwa kigezo cha umri bali kwa rekodi za utendaji kazi wake. Uzee au ujana ni namba za umri tu, hazina uhusiano wa moja kwa moja katika utendaji kazi. Labda mtu awe ana umri mkubwa kuanzia miaka 80+. Ndiyo maana hata JOE BIDEN ( rais mteule wa USA) ana umri mkubwa kuliko Donald Trumph.
Kweli kabisa tunachagua kiongozi mwenye sifa siyo ujana au uzee siyo kigezo uraisi siyo kulima mahindi.
Vijana wa kiafrika bado mnawaza kuongozwa na wazee mnachekesha sana 😂
@@bernardoleonard7331 tusema,akifata kabudi au Lukuvi,wakati JPM anamaliza,they will 70!,waje kumaliza mihula yao 80!! weshachokaaaaaaa...lol.we need energetic leaders watakao endana na kasi ya dunia has kweye tech..kwani wakiwa washauri,kuna ubaya jamani?naamini,JPM,anapata sana ushauri toka kwa Mwinyi na Kikwete.
Hata hivyo hatuwezi kupima uwezo wa kuongoza kwa umri, kwani hakuna mahali ilipoandikwa katika Constitution ya TZ, ni maneno tu na maoni ya kibinafsi ya raisi mstaafu Kikwete. Kabudi anafaa sana kuwa raisi. Na siyo wakati wote kuseme ukweli ni vizuri...
@@frankmakomba378 Biden mwenyewe ataongozwa na watu wanaomiliki pesa yeye picha tu pale ndio tatizo la uzee. Trump yeye haongozwi na mtu ni kichwa yake tu wala huwezi mwambia kitu huyu wa kuamrishwa na watu nyuma ni hatari saana watu wenyewe ndio wameshikilia uchumi wa Dunia macho yao yoote yako Africa tuombe Mungu Rehema zake.
ukweli utabaki kuwa ukweli@ JPM
Ukweli kabisa
Mwanaadam anaingiliya mpaka mamlaka ya M/Mungu sijuwi kwa kiburi chake
Mbona urais kaushika mtoto mdogo tu kuliko wew
Tena mwanamke
Vyovyote vile Mungu hapangiwi anapanga yeye hata mtu ajione anamamlaka gan hawezi panguwa
Kweli mzee wanguu
Maneno ya kunywea maji hayo
No this is too much not fair
Saikolojia ishakaa upande mzee ngoja tuendelee na muvi hii😁😁😁mzee Mrema nkamuona kwa mbaàaali
Kwakweli we mzee unatufaa saana tu.
Lukuvi na kabudi hata huo uwaziri umewasaidia! tuu! Ila kwa mimi hao siwezi kuwapigia kura kwakuwa naona kiwango chao cha kazi hio bado sanaa!! Mashine ya kazi ni Waziri Jafo! Huyo tunauona utendaji wake na tunamkubali. Jafo mashine ya kazi. Lukuvi na kabudi ilikuwa wapumzike mara hii.
Nonsense
Nonsense
Wewe unaweza mlinganisha Jafo na Lukuvi au Kabudi
Hapo ndo nakukubali hunag Uficho wala Uongoo unachana tu🤔😂😂😂😂🎹🎼🎼🎤💞
Santee MH Rais ujumbe mzuri Sanaaa
Hiyo ya mwinyi kuwa rais imeongelewa sana huko nyuma mkuu
Tena mapema watu tulijua mwinyi Anaandaliwa kuwa Rais Zenji
Yeye hakuutafuta
@@Waberoya Sasa kama upo kwenye sisteam unautafuta ulisikia wapi mtoto wa Bakhesa kupeleka maombi kwenye Campuni ya baba yake
Hii nchi kweli ipo mikononi mwako
Uongozi ndani ya CCM ni wa kupokezana vijiti mjinga tu hajui.
Haya mawe ni kuwapigilia tu lkn sahihi unajua kuna watu wanajifanya ni vingunge makuzi kuliko wanzao
Wewe ndo unafaa sanaaa mnafiki
Ujitambui
raisi ninakupenda sana unasema ukwer tu
Aaaa tutakukumbuka
Makavu live
Hapa natofautiana na wewe mpendwa rais wangu. Si kazi yako kuamua ni nani ataekuwa rais. Hizo ni ndoto za mtu binafsi na maamuzi ya chama na wananchi.
Msikilize tena, utakua hujamuelewa.
Jpm hoiyee
Wambie mzee raisi ni JAFO anatosha
Mchapa kazi
Muadilifu
Nandio
Kijana
JAFFO BADO SAAANA,HAPO NI MAJALIWA
Naunga Mkono hoja Jafo Anafaa kuongoza hii Nchi
@@errydeo8865 alivyoongea Rais kuwa umri utazingatiwa bac hata Majaliwa ataachwa
@@onesmokabia80 labda hamjamuelewa rais,wakati anamaliza muhala wake ,,Majaliwa atakua 66yrs old,IKITOKEA MAJALIWA KATEULIWA ATAKUA HAMZIDI UMRI! Kabudi,atakua karibu 70,!Lukuvi atakua 70!
Umri sio ishu, ingekuwa hivyo basi lowasa angechukuwa kabla ya magufuli,
Huna lolote we umejichagua mwenyew magufuli hakuna anayekutaka kwenda zake huko
Sawa ema mjuaji
Hata Nyerere alikataza Wasukuma kupewa Urais, lakini tumempata Rais Msukuma
Kelele wewe
Magu hapo siungi mkono hivi uraisi ni kulima au kusukuma mkokoteni? M nafkiri mtu Kama kabudi anafaa mawazo yangu hayo ila lukuvi hapana hawezi uzee au ujana siyo kigezo chamuhimu kichwa kifanye kazi.
Sema baba yetu
Kibendela
@@evoteclimited2319 jifunze kiswahili kibendera ndo kiswahili sahihi nini hiyo kibendela?
@@evoteclimited2319 je wewe ni nani? Hunawala msimamo.
Msukuma anaeza kuwa president nobody knows
Kazikazi
Hivi katiba yetu ndio inavyosema kwamba kuna ukomo wa umri katika kuwania cheo cha urais jamani?
Kwa vile ni tume yenu
Huyu jamaa hatar umur si shida ni utendaji
🤣🤣🤣🤣chadema ina wauma kajinyongeni
Upuuzi huo wa chadema nani anautaka
wacha kudanganya watu hussein mwinyi ameandaliwa na baba yake miaka mingi tu
huyo Mnene nani? anazingua mbona analala?? ingekuwa Kwa Kim John UN ashachezea shaba
Analengwa tundu lissu na maalim seif hili dongo la kiakili dunia njia tu Mungu anajua na ndio mana ameachiwa yeye
Lissu ni mzee?
Na ww vile c Rais halal lbda tukuite mwizi was kura na umeweza kuiba kura si shangai kuiba adi pesa za Corona
Mrema vipi hajitambui hahahhah
Anasubiria URAIS NA YY 2025 TLP OYEEE
Lukuvi anafaa kuliko wew acha kumponda kwan umri unashida gan mda mwingine unaboa we rais kwan we ndounapanga au in wananchi?
Lukuvi anamzidi magufuli?😳😳We mtu😀labda kwa umri
Aseee mbowee ndo anaffaa kuwa rais I'll atugawee na kibaraka lisuuu makenge nyie rohoo zinawaumaa upinzani kutawara nchii hiii labda baada ya Mika Mia mbere ukooo
Bora umemjibu hajui lolote uyo lukuvi amzid magu weeee
@@gabrielibrahim5842 yametoka wapi hayo mzee?
@@gabrielibrahim5842 umevurugwa point less.
Anataka kuendelea 2025
Mzee mbadala wako ni jafo. Hata muonekano wake
😜🤣🤣🤣
Mhh wewe unaubaguzi wa umri