Profesa Kabudi Arudi Mlimani, Ajaribu Kuelezea Hoja Yake ya 'Kutolewa Jalalani'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @jonathanmlinda2580
    @jonathanmlinda2580 5 หลายเดือนก่อน +2

    Professor Kabudi, moja kati ya vichwa vizuri sana tulivyobarikiwa kuwa navyo, mtu anaka degree kake kamoja tu anakuja kumtukana prof 🙌

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi ukiwa na degree zaidi ndiyo kusema unajua sana kuliko asiye na degree

    • @Tanganyika-w5p
      @Tanganyika-w5p 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sana aiseee anajua sana

    • @jonathanmlinda2580
      @jonathanmlinda2580 4 หลายเดือนก่อน

      @@FridayMwassa huo ndo ukweli, mwenye degree 3 huwez mlinganisha na mwenye diploma,

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 5 หลายเดือนก่อน +3

    Professor majalala

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 5 หลายเดือนก่อน

    Professor maneno. Professor ni utafiti wa kusaidia jamii

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 5 หลายเดือนก่อน +2

    Keake kustaafu,ni kuwa jalalani!

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 5 หลายเดือนก่อน

    #ProKajalal

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 5 หลายเดือนก่อน

    Ahahahaaaa umetukumbusha mbali

  • @ibnkhaldoun9694
    @ibnkhaldoun9694 5 หลายเดือนก่อน

    a.k.a MUHESHIMIWA MUNGU”

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 5 หลายเดือนก่อน

    Ukimdharau Proffessor Kabudi. Jitafakari

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 หลายเดือนก่อน

      Professor wa jalalani

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh!!!!!😂😂😂😂

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kabudi huaminiki!,utaremba kwa misamiati mingi, lakini wewe hufai kuwa kiongozi!

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 5 หลายเดือนก่อน +2

    ameudhalilisha sana uprofesa wake na ubunge wake fake jitu la ovyo sana binadamu unamwabudu binadamu mwenzako kwa sbb amekupa cheo tu

    • @gallusmbaga5522
      @gallusmbaga5522 5 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa na moyo wa kunyenyekewa hutaweza kushangaa maneno hayo ya unyenyekevu aliyoyasema Prof. Kabudi.
      Tuwe wanyenyekevu

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 5 หลายเดือนก่อน +3

    Rudi jalalani

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 5 หลายเดือนก่อน

      Ukishatoka umetoka boss😂😂

  • @hamisimahenge5807
    @hamisimahenge5807 5 หลายเดือนก่อน

    Kusema ukweli, Prof. Kabudi aliidhalilisha taaluma yake

  • @abelabba7809
    @abelabba7809 5 หลายเดือนก่อน

    Usomi wa aina hii is useless. Uchawa. Useless

    • @gallusmbaga5522
      @gallusmbaga5522 5 หลายเดือนก่อน

      Usomi wenye kiburi haukufikishi popote. Kuwa mnyenyekevu hakuondoi Kariba Yako ya usomi.