NONDO ZA PROF. KABUDI KUHUSU URAIA PACHA "BORA KENDA MKONONI KULIKO 10 MKONONI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 57

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc ปีที่แล้ว +4

    Mimi ni diaspora lakini napinga uraia pacha kwa Tz.
    Unajua wana diaspora tunajiangalia sisi tu je wale wageni wanaokuja Tanzania ambao wanaweza ku take advantage na kuchukua uraia wa Tanzania kisha ku abuse mambo mazuri ya Tanzania kama cheap land etc? Nahisi hadhi maalum inatosha au mtu akitaka kweli uraia awache uraia mwengine achukue wa Tanzania.
    Long live Tanzania 🇹🇿❤️❤️

  • @esaukalanje5378
    @esaukalanje5378 ปีที่แล้ว

    Siku 9 na siku 3,dah prof hatari
    Hongera kwa kusifu upo vema sana

  • @marthafredymarthafred4284
    @marthafredymarthafred4284 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaaaa kwenye kupongeza mpo vizuri Hatareee sanaaaaaaa

    • @MorickMwasaga
      @MorickMwasaga ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye kuongea tu, uko vizuri

  • @Nedjadist
    @Nedjadist ปีที่แล้ว +5

    Watu kama hawa wanahesabiwa kuwa ni wasomi Tanzania. Sasa sikuambii mbumbumbu wakoje!

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 ปีที่แล้ว +1

    Japo kuwa wengi ni daspora mimi pia napinga uraia pacha, tukiruhusu hili watu watageuka walinzi kwenye inchi ya baba yao. Hadhi maalumu inatosha kabisa

  • @castorygeorge9395
    @castorygeorge9395 ปีที่แล้ว

    Nafikiri nilianzaga kukuelewa sana n hata mpaka leo nakuelewa hasa pale ulipo kua waziri nafikir unafit kwenye angle yeyote ya uongozi coz una fact na history nzur ya mbo ambayo n mazur n mabaya ambayo yaliwah kutokea nyuma goooooo kabudi 🤝

  • @jumas.sendekwa2788
    @jumas.sendekwa2788 ปีที่แล้ว +5

    Hauwezi kumnyang'anya mtu haki yake ya asili... Hakuna mtu anaechagua kuzaliwa mtanzania. Hakuna mwenye mamlaka ya kuchukua haki hiyo.

  • @Abuu180
    @Abuu180 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna nondo hapo ni ushamba na uzee tu

  • @brown5418
    @brown5418 ปีที่แล้ว

    Yaaani....kwa huyu bwana Kilosa tumepigwa sijawahi kumsikia akitaja Kilosa mdomoni mwake

  • @ismailbuchwa398
    @ismailbuchwa398 ปีที่แล้ว +4

    mifano yote ilio tolewa ya nchi zisizo kubali uraia pacha nikwa wageni sio kwa wazawa wao
    mtu akirudi kwao directly ni mtanzania bila ya kuuliza lolote suala la cheti maalumu nikubagua
    wana wa nchi yetu
    watanzania wa asili wanao ishi nje wapewe uraia kama walioko Tanzania

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +4

    Tukiwa tunafanya mambo yetu tufikirie miaka 200 ijayo , Sawa Baba wa Taifa alisema lakini hakuwa Nabii ambae neno lake limetoka kwa Mungu, Leo mtakataa lakini akitokea Rais baadae akalikubali wote mtafuata, siasa ni kama utoto wakati mwingine.

    • @barakamsungu5260
      @barakamsungu5260 ปีที่แล้ว +1

      Hapo kwenye uraia pacha ni muhimu kuwa makini kidogo labda utoe hoja zako huko miaka 200 kuna nini ulichokiota

  • @Haki946
    @Haki946 ปีที่แล้ว +1

    Uraia pacha haukubaliki Tanzania

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว +4

    kabudi anapendeza saana kuwa CHAWA
    siasa haiwezi

  • @nickson3473
    @nickson3473 ปีที่แล้ว +2

    mbona mi naukana uraia na nikirudi home ni home tuu , kwani mtakataa kunizika ? fyoooo, wa ulaya tunachukua, alafu msipitishe huo uraia pacha, hata nikichukua uraia wa nje mi ni Litanzania tuu na sitakuwa mzungu, pigeni zogo, uraia wa nje tunachukua , na nyumbani tunarudi kula kachori, mahindi ya kuchoma, na nyama ya sungura na simbilisi,

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 Baelezee......
      Wivu mpaka wanaumwa!!!! .....🤣😁

  • @ImmaThelonewolf-bk2cx
    @ImmaThelonewolf-bk2cx ปีที่แล้ว +2

    Kabudi wewe ni mtu sana ongea mambo ya maana sio lazima umsifie

  • @ibrahimshija9850
    @ibrahimshija9850 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Alisha semaga "mheshimiwa mungu" mawazo ya kizamani kabisa, tunafelishwa na watu kama Hawa!

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 ปีที่แล้ว +3

    Kwendraaa unafiki tu.Kipindi kile mbona hukuyasema hayo.

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 ปีที่แล้ว

      Ukiona mtu ka PANIC kirahisi basi ujue ndio walewale wanao uwa waAfrica wezao kisa eti siasa duu acha niku 😂😂😂😂😂😂 kubwa zima liuwaji ona sasa hasara yake 😂😂

  • @tzfinest75
    @tzfinest75 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee ni hovyo sana Aiseee!

    • @justinejohn5072
      @justinejohn5072 ปีที่แล้ว

      Fala ww ujui kitu

    • @tzfinest75
      @tzfinest75 ปีที่แล้ว

      @@justinejohn5072 kamuulize sasa ametoa wapi hizo data…

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 ปีที่แล้ว

      ​@@tzfinest75ovyo kwani kakunyea mkunduni? we kama mkimbizi ufanye uludi kwenu tu hiyo ndio hasara ya kuuwa mwaAfrica mwezio tena mweusi tiii kama wewe ukiuliza sababu eti siyasa acha nikucheke 😂😂😂 ona sasa unavyo PANIC kilahisi kwa nondo za maprofesa wa kitanzania 😂😂😂hilooooo kubwa zima liuwaji

  • @MagufulificationOfAfrica
    @MagufulificationOfAfrica ปีที่แล้ว

    Prof!

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi ปีที่แล้ว +1

    Hili suala la uraia pacha lina mbinu ovu ya kunyang'anywa ardhi na kurudi utumwani

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 ปีที่แล้ว +4

    Hajawahi tokea msomi tapeli kamahuyu katika historia ya Tanzania anacheza na nyakati zilizopo nimsomi lkn Bado mwongo mwongo tapeli tapeli

    • @mohamedsaid2882
      @mohamedsaid2882 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 ปีที่แล้ว

      Imekuchoma moyoni Tanzania 🇹🇿 na Africa kiujumla ni ya watu nyiusi we ufanye uludi kwenu kwenu tu hivi huoni aibu kuikimbia nchi yako? sasa nakuonya itafika mpaka utawakimbia wazazi wako 😂😂😂😂 chefuuuuu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว

      @@shinipapaya846 ishu siyo kukimbia ichi watu wengine wamejikuta wamezaliwa nche achaupoyoyo kabudi ni tapeli

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk ปีที่แล้ว

      @@shinipapaya846Unachomeka wewe, wivu utawamaliza siku si zenu!!!
      Wewe Dar unafanya nini si urudi kijijini kwenu?

  • @nickson3473
    @nickson3473 ปีที่แล้ว

    nasema noo kwenye uraia pacha, na uraia wa tanzania naubwaga sasa

  • @gasdaniel
    @gasdaniel ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee yuko vizuri

  • @emanuelgella8201
    @emanuelgella8201 ปีที่แล้ว

    🎉🎉

  • @elizabethnyirato9856
    @elizabethnyirato9856 ปีที่แล้ว

    Toeni tuu uraia pacha inch ifunguke

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk ปีที่แล้ว

    Siku 9 na siku 3! 🤔
    Kweli wewe Professor

  • @salcle9702
    @salcle9702 ปีที่แล้ว

    Ccm hatuwapi kura hata mpigeje domo huko

  • @mohamedkassim2009
    @mohamedkassim2009 ปีที่แล้ว +1

    Daah nilivyosikia neno mchango nikajua ishu ya feisal bhana kumbe tupo bungeni aisee

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 ปีที่แล้ว

    Bado tunazungumzia tanganyika 😂

  • @abubakarharuna6712
    @abubakarharuna6712 ปีที่แล้ว +1

    Mwakolo

  • @shabaniguma8696
    @shabaniguma8696 ปีที่แล้ว

    Nondo au kaongea uongo bungeni 😂😂 takwimu sio za kweli wajinga kama wewe ayo TV ndio wanaona ni nondo

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 ปีที่แล้ว

    huyu mzee mwehu kweli

  • @barakaemanuel6638
    @barakaemanuel6638 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh siku sita na siku tatu ndo nn nadhan hapo tumepigwa

    • @gadafimasoud310
      @gadafimasoud310 ปีที่แล้ว

      Siku tatu labda zilikuwa za kusafili njiani

  • @Antiqueqwerty-ko9ey
    @Antiqueqwerty-ko9ey ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa jalalani

  • @tzfinest75
    @tzfinest75 ปีที่แล้ว +1

    Eti Katoa nondo…nyie waandishi siyo waandishi kabisa hata research hamfanyi. Yaani Huyu babu anachuku information zake google bila hata ya kuzifanyia kazi anazileta bungeni….no facts, saying things that are untrue. Wazawa wako protected in most of those countries. Ni aibu kwa professa ku copy from google wrong information

    • @bizoojoh9145
      @bizoojoh9145 ปีที่แล้ว

      Umeelewa anavyosema kweli kasema hizo nchi ambazo hazina uraia pacha raia wenye wenye vinasaba wapewe haki ya kulindwa ndo utaratibu unaoandaliwa na unaofanyika duniani kwa asilimia kubwa na sio huo uraia pacha mnaoutaka

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk ปีที่แล้ว

      @@bizoojoh9145 Unateseka ukiwa wapi?

    • @bizoojoh9145
      @bizoojoh9145 ปีที่แล้ว

      @@ME-kb8rk mm ndo nateseka tena au aliecomment bila kusilikiliza kwa umakini

    • @ME-kb8rk
      @ME-kb8rk ปีที่แล้ว

      @@bizoojoh9145 Wewe....

    • @bizoojoh9145
      @bizoojoh9145 ปีที่แล้ว

      Kama mm safi

  • @Benj722
    @Benj722 ปีที่แล้ว

    Kweli huyu ni Professor Majalalalani 🚮🚮🚮🚮🚮