Aisee acha niseme leo. Nyimbo nyingi za injili za kizazi hiki zimekuwa hazinibariki sana, lakini nyimbo mbili za huyu mwaba, Ninangoja na Nakujia zimaniruisha tena kusikiliza nyimbo za injili za kizazi cha kisasa. Bro wherever you are umefanya jambo kubwa sana kwangu. Kazia hapo hapo kwa jina la Yesu

Mama elia mtishibi ni 🔥🔥 I love her faith
Huyu mwamba namkubali sana, God bless you brother
Aseeeee bro ni hatari sana mabatini wanamwamba aseeee Elia ni mwambaaaaaaaa
Imani ya kichizi nimefurahi kusikia hivyo
Gayiiii... broh Eliya huu ushuhuda wakoo🥲
Be blessed my bro
Safiiiiiiiiii mama
Haaa hapo kwenyee kinandaa nimechekaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kuwa siku izii watu ni baraaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Brooh😂😂🙌
Bonge moja ya intavyuuu yan
😂😂😂