Kama unakusudia ,lazima tu ubadilike tokea ndani mpaka nje, , Petro na Yohana walijulikana kua ni wanafunzi wa yesu Kwa kuongea kwao, na kuongea kulitokea uko ni kutoka ndani ,ndipo nje
2 Wakorintho 6:3-4 (KJV) Ni kweli kila mtu anapendankufanya anachokitaka lakini Yesu anasemaje kupitia paulo ★Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe; bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;
My good friend ,, kaka Mungu anakupeleka mbali ,, barikiwa
ubarikiwe mtu wa Mungu Yesu akutu
Yohana 3:16
Huyu ni Mwinjilisti wa Mungu aliye hai Ushauri wangu aweze Kubalance Mavazi Ili asiwape watu Wakati Mgumu wa Kupokea Kutoka Kwa Bwana
Kama unakusudia ,lazima tu ubadilike tokea ndani mpaka nje, , Petro na Yohana walijulikana kua ni wanafunzi wa yesu Kwa kuongea kwao, na kuongea kulitokea uko ni kutoka ndani ,ndipo nje
Huyu jamaaaa anajua saanaaaaaa
2 Wakorintho 6:3-4 (KJV) Ni kweli kila mtu anapendankufanya anachokitaka lakini Yesu anasemaje kupitia paulo
★Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe;
bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;
Mungu akubariki brother
Yahweh azidi kumfanya hai
Uyu jamaa kaongea kwa hekima sana