Pole Zoravo wangu kwa kufikiri UTU WA NDANI NIKITU KINGINE AMBACHO HAKIUSIKI NA NNJE YAKO
Napata mafunzo hapa...kwanza mimi.ndo nimeianza safari ya uimbaji.....sometimes it gets tough but I always remind myself mungu ndo amenipa kipaji si mwanadamu mwenzangu....😅
mimi nilisoma Edmund rice. safi sana kaka yangu kwa huduma, kumbe wa nyumbani kabisa
😂🤣😆😆😆jina Lina sound miti shamba
This guy is so wise i like that❤
Jamaa shida muonekano hapo mi mwenyewe nakuonaga how Hod can teach your fellow with ur wearing.
Sasa tunakupenda ivyo ivyo bhana mbona awasemi meno ayo yaliyopangana wanasema nywele tu❤
Tunakupenda hivo
Jitahidini sana kwenye sound mpweke punch kidogo sound inakuwa chini
ndio utu wa ndani una nywele na una nguopia mwambie zoravoo
Burna Boy nilianza kumjua kwa nyimbo ya Dua.
🥰🥰
Zeruve😂😂😂😂😂😂
I love you Zoravo ...all the way from Zimbabwe