MAU MPEMBA KWANINI RAMADHANI SEHEMU 12

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 เม.ย. 2023
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500
  • ตลก

ความคิดเห็น • 62

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 ปีที่แล้ว +16

    Leo nimechewa wapendwa nilikuwa bize sijalala mpaka nimeiyona

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 ปีที่แล้ว +5

    Leo mapemaaaa naikifika saa saba achia nyengine mau

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri sana nawapenda nyote mlio shiriki ❤❤❤❤Dada etu naomba huna mby ktk sehemu yko

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awapambania muweze fika mbali kwann ramadhan inamafundisho mengi sana nawapenda sana ❤ nawatakia ramadhan kareem ❤❤

  • @lutfiamuhamedi1759
    @lutfiamuhamedi1759 ปีที่แล้ว

    Pande za n'gwachani najifunza mengi kupitia filam hiz ameen

  • @salumcissetv4225
    @salumcissetv4225 ปีที่แล้ว +8

    Kazi nzuri sana❤❤❤❤❤

  • @EL-LOFFY
    @EL-LOFFY ปีที่แล้ว +6

    Kazi iendelee kazi nzuri sana hongereni sana

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +5

    Kazi mzuri sana @Mau mpemba hakika hii series imeenda shule

  • @biashaali-fp7mf
    @biashaali-fp7mf ปีที่แล้ว +9

    MashaAllah mw/mungu awakinge na husda za mahasidi amin nashkuru sn nikiwa Kenya Mombasa ❤

  • @NathriAbdalla-ig2nv
    @NathriAbdalla-ig2nv ปีที่แล้ว +6

    Hatulali aloo

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante Allah Atujaalie kherii

  • @directorgoodxpro4590
    @directorgoodxpro4590 ปีที่แล้ว +4

    Kaka mau nakukubali ni msani mwenye bidi director said majumba umeweza

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +4

    Biti omari pesa aipeleka upatuni ramadhani hiii haaaaa mungu awa bariki nyotemulio shiriki kutuelimisha

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 ปีที่แล้ว +4

    Mchezo nzur nimeipendaa hii kaswida anayosoma juma faki anaejua jina aniambie tafadhali

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 ปีที่แล้ว +3

    Mmh mm leo nshapigwa but ÑKÛTÅKÎÊÑÎ ramadhwani qareem..!🙏🤲

  • @babdaubabdaubabdau8992
    @babdaubabdaubabdau8992 ปีที่แล้ว +3

    Hongeren sana kwa kaz yenu kaz nzuri

  • @hamischuga6320
    @hamischuga6320 ปีที่แล้ว +3

    Sijui kama tutaumaliza hii tmathiria maana inakwenda mwendo wa kinyonga

  • @RashidMaulid-ol5fr
    @RashidMaulid-ol5fr ปีที่แล้ว +9

    mung awazishie kwa ukumbusho wenu wpmba wenzangu

  • @sadam2640
    @sadam2640 ปีที่แล้ว +7

    Leo saa7 na dakika 49 ni wakwanza

  • @ismailsaid2038
    @ismailsaid2038 ปีที่แล้ว +5

    dogo umetoa funzo hongera kwenye techniques ya mauzo

  • @HafidhOmar-nd9lu
    @HafidhOmar-nd9lu ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah kla la kher to you

  • @jabusalim-bg2rf
    @jabusalim-bg2rf ปีที่แล้ว +7

    Ungezeni juhudi

  • @Animaltuntu678
    @Animaltuntu678 ปีที่แล้ว +5

    One

  • @hamisidumbo1568
    @hamisidumbo1568 ปีที่แล้ว +7

    Shukran zangu za dhati ziwafikie wana team Mau,hakika tunaelimika sana kwa filamu zenu niwaombe tu muendelee ivo .

  • @salumseyf9783
    @salumseyf9783 ปีที่แล้ว +3

    Kazi mzuri Sanaaa

  • @hassanhamadchande8925
    @hassanhamadchande8925 ปีที่แล้ว +6

    Waja tumetokwa na imani😢

  • @mohdhassansaleh1322
    @mohdhassansaleh1322 ปีที่แล้ว

    Ipo poa huna hekma nyingi za mazungumzo makame umeacha ucheshi big up

  • @bekamakame-wv2dm
    @bekamakame-wv2dm ปีที่แล้ว +6

    nipo na mm naamgaliya saiv saa nane dakika ishirini na mbili

  • @HassanMbaruk-nv6ub
    @HassanMbaruk-nv6ub ปีที่แล้ว +4

    Kaz mzur San ila vipande vidogo sana

  • @LaylatAli-yh2yx
    @LaylatAli-yh2yx ปีที่แล้ว +7

    Makame nuhusi ushehe ushakuelekea mashallh 😊

  • @user-cw4ne1qz4p
    @user-cw4ne1qz4p 9 หลายเดือนก่อน

    Kazini nzur sanaa❤❤❤

  • @KhamisOmar-ee3zy
    @KhamisOmar-ee3zy ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali .makame nuhusi kwa hekma zako

  • @seifmkaranga9281
    @seifmkaranga9281 ปีที่แล้ว +2

    Mashangingi yana mambo wizi wawaume za wa2 looooo!!!

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 ปีที่แล้ว

    Good job

  • @abdulmalikmassoud2229
    @abdulmalikmassoud2229 ปีที่แล้ว +2

    Ndio ukawa na macho makubwa

  • @abubakarjuma5826
    @abubakarjuma5826 ปีที่แล้ว +1

    So I will join with your group Mr.Mau Mpemba

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว +6

    Hio combination ya Juma Kupendwa na dongo ... Askari kanzu na askari makoti 😅😅

  • @khamishamadi8461
    @khamishamadi8461 ปีที่แล้ว +1

    Makame umetua sana kwenye ramadhan umetisha makame

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 ปีที่แล้ว +4

    ✊🏻✊🏻❤

  • @habiibanahassan4455
    @habiibanahassan4455 ปีที่แล้ว +3

    Uyo shemeji alokabiziwa duka pesa zote zitaenda kwa warda 😂😂😂😂😂

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว +2

    Hayo majina sasa ya upatu lazima ucheke eti NAOMBA KIBENDERA

  • @princesabdul5441
    @princesabdul5441 ปีที่แล้ว +1

    makame anafit kwa hii style sio uchekeshaji

  • @saadanaufal-pe2zn
    @saadanaufal-pe2zn ปีที่แล้ว +1

    Fabby mtoto wa chakechake pemba kumbe ndomana nikakukata kumbe akili huna unawele to😂😂😂❤

  • @kundiidd8755
    @kundiidd8755 ปีที่แล้ว +5

    Haaaaah

  • @kunchoi6020
    @kunchoi6020 ปีที่แล้ว +1

    Makame wamempa pepo bna

  • @MuhidiniJuma-jg9mt
    @MuhidiniJuma-jg9mt ปีที่แล้ว

    Hongera mau kwa lahaja zakipemba,

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazakumllah kheir

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de ปีที่แล้ว

    Akudanganya mau mpemba utashtumiwa vbya ukijulikana skunyengine haujipata tena kitu

  • @ahmedrashid1923
    @ahmedrashid1923 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @OmarNyonaomar
    @OmarNyonaomar ปีที่แล้ว

    Sasa kweli kazizenu zinaonekana muzidi kuendelea ivyoivyo

  • @salimmuhsin9907
    @salimmuhsin9907 3 หลายเดือนก่อน

    Humu ndio usirias wa makame nilimoujua

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว

    Heee dongoo.tena unyamaze

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว

    Dongo uko juuu sn sn

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 ปีที่แล้ว

    Hhhhhh eti nkufundisha kuchuma

  • @pilly238
    @pilly238 ปีที่แล้ว

    Uyu mchepuko abadilishi kanga wala iyo kofia

  • @OmarNyonaomar
    @OmarNyonaomar ปีที่แล้ว

    Yani Mimi mwenyewe naelimika kwakweli

  • @ashafaki4991
    @ashafaki4991 ปีที่แล้ว

    Cucopiriana hahaaaaa