MAU MPEMBA KWANINI RAMADHANI SEHEMU YA MWISHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 158

  • @youngpianist1127
    @youngpianist1127 ปีที่แล้ว +11

    Mimi ni mkristo tena niliyeokoka lakini nimeifwatilia hii tamthilia yenye mafunzo toka mwanzo adi mwisho ramadhan hii. Asante sana Mau Makame Mwinyi na nyoote kwa maudhui haya.

    • @saidbinsuley252
      @saidbinsuley252 ปีที่แล้ว +2

      Umeonaje kuhus uislam kupitia filamu hii

    • @ZainabAli-wg9bi
      @ZainabAli-wg9bi 2 หลายเดือนก่อน

      Kama umeukubali bas tubia

  • @abdulazizitwalib5859
    @abdulazizitwalib5859 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ❤. Hongereni washiriki wote na mtunzii wa hii story maana ni stori ya kuelimisha kwa jamii Naamini kwa hili Allah atawalipa kheri nyingi inshallah .

  • @saumukhamis8433
    @saumukhamis8433 ปีที่แล้ว +13

    Mashaallah wapemba wenzangu Allah awazidishie vipaji n kila la kher katk KAZI zenu ❤

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 ปีที่แล้ว +1

    Dah...mau na kikosi chako sina la kuwambia ila hapa mmefanya kazi hongereni snaaa

  • @yusra8486
    @yusra8486 ปีที่แล้ว +11

    All respect to mau pemba he done best performance so he deserves to be a main character

  • @suleimanvicent5528
    @suleimanvicent5528 ปีที่แล้ว +1

    Mau mpemba hii frame naipenda sana umejitahidi sana naitwa suleimani wa tanzania bara mbezi

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว +2

    Ahsanteni Jazakallah khayran

  • @binamour9925
    @binamour9925 ปีที่แล้ว +1

    kwa upande wangu nyote mnastahiki pongez ila kwa heshima ya pekee naomba anastahiki kupewa.anastahiki pongezi za pekee.big up naomba.

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Alhamdulillah shukran sana kwa fundisho

  • @AbdulliMohd-nd3sv
    @AbdulliMohd-nd3sv ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubark maulid umetoa mafunzo makubwa kwenye hii filam

  • @tecrashid2846
    @tecrashid2846 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sana sana sana mungu awajalie vipaji zaid ya hivi mulivovionesha

  • @mbaroukkhalifa8035
    @mbaroukkhalifa8035 ปีที่แล้ว +3

    Dah!! Hii tamthilia nitairudia tena mwanzo hadi mwisho mana dah!! Hongera sana wapemba na Pemba yetu állah atupe umri mrefu waislamu wote tuiyone tena ramadhan inshallah 🤲🤲🤲

  • @YussufIbrahim-ug8tm
    @YussufIbrahim-ug8tm ปีที่แล้ว +1

    Shukran ziwe kwenu asanteni kwa ujumbe wenu

  • @hamisidumbo1568
    @hamisidumbo1568 ปีที่แล้ว +5

    Shukran za dhati hazinabudi kumfikia Bw.Mau na team yake masha Mungu awajaze kheir mzidi kutuletea mazuri kama haya insha allah. Big up..🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🤝

  • @rashmad98
    @rashmad98 ปีที่แล้ว +3

    mpangalio mzur wa matukio, na haukuacha maswali katiks ufahamu wa watazamaj😍

  • @akhwamkubwa8513
    @akhwamkubwa8513 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah
    Allah awalipe kwa jitihada kubwa mulioitumia katika kufikisha ujumbe mbali mbali kwa jamii yetu ya sas na hakika inaoana na maisha ya sasa ya jamii yetu
    Maudhui makubwa ya mchezo huu ni (bado nafasi tunayo turudi kwa aliyetuumba kwan yeye ndo mwingi wa msahama)

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallh mwenyezi mungu atubariki sote waigizaji piya watazamaji tume jifunza mengi kupitiya mafundisho yalio mazuri

  • @KhamisiMpemba-mu1fx
    @KhamisiMpemba-mu1fx ปีที่แล้ว +2

    ما شاءالله جزاكم الله خيرا
    إن الله معكم

  • @nassrasoud
    @nassrasoud ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤ mashaaAllah mashaaAllah pongez kwa wte walioshirki kaz nzr sana zaid ya sana mashaaAllah Allah baarik

  • @abuumo9637
    @abuumo9637 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉ya moto sana

  • @akhwamkubwa8513
    @akhwamkubwa8513 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba na nyengne 🤝💪💪💪

  • @omarramadhan-dm7ce
    @omarramadhan-dm7ce ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana kwa kazi nzuri

  • @saidothman8014
    @saidothman8014 ปีที่แล้ว +1

    Kanzi nzuri sana Mau series imetoa mafunzo makubwa na imebeba maudhui yanayoendana na maisha yetu
    ingawa kazi ya fasihi haiachi kujadilika kwa maana yapo mapungufu kwa baadhi ya wahusika
    mwisho mau ingependeza kama angelia kidg wakati mjomba ake alipokwenda kumtembelea

  • @AmirrShamte-tp3nu
    @AmirrShamte-tp3nu ปีที่แล้ว +5

    Big up❤❤ kaz mzur sana nakubali sana hongeren mko vizur

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว +3

    MASHALLAH KIPANDE CHA MWISHO WA MCHEZO... MASHALLAH TUKIWA TUNAZIRUDIA KUZIONA TUTAKUWA TUNAIKUMBUKA RAMADHANI YETU.. ALLAH ATUJALIE UMRI MREFU RAMADHANI IJAYO ITUKUTE.. Aaaamiinn

  • @NewPhone-oh7ge
    @NewPhone-oh7ge ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ahsanten kwa kazi nzur Allah azidi kuwabariki

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 ปีที่แล้ว +1

    HEH! na hapa pana hekma ust Musa!! Dah stori imetulia sana Congratulations

  • @diddahidrissa1978
    @diddahidrissa1978 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilah Tumemaliza Salama Allah awalipe khri nying zaidi

  • @kundiidd8755
    @kundiidd8755 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana team mau Kwa mafunzo.ila endeleeni kutuwekea flamu kama hii❤❤

  • @FahadFaradays-sv4dj
    @FahadFaradays-sv4dj ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah kaz nzur na inamafundisho mazur

  • @mohammedibimkubwa4947
    @mohammedibimkubwa4947 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah, mchezo mzuri, mumetupatia mafunzo mazuri

  • @jumachabangile6
    @jumachabangile6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Kwa Elimu mlioitoa Allah awafanyie wepesi ktk Mambo yenu fidunia Wal akhera

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de ปีที่แล้ว

    Asanteni sana kw filam nzuri zenye mafunzo hongereni waungwana

  • @mohamedharuna9050
    @mohamedharuna9050 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah sina cha kusema zaidi ya kusema Mungu awabariki kazi nzuri sana

  • @NassirKhamis-dt4oy
    @NassirKhamis-dt4oy ปีที่แล้ว +2

    mashhll mung abrk mafunz yen kiukwl jmii imejifnz vy kutosh honger kw timu mzm iwe big up kwnu💪💪

  • @seifsaid481
    @seifsaid481 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah kazi mzuri filam imetufundisha Naamna ya kuishi

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 ปีที่แล้ว +1

    Warda mash Allah duh jmn ktk kuomba msamaha ni pazito sana nyoyo ni ngumu ila hatimae umelta funzo hongera sana

  • @bauchatv-yd4ug
    @bauchatv-yd4ug ปีที่แล้ว +1

    Mashallah imeisha vzr

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukuru sana kwa mafunzo mliyotupatiaaaa Allah azidi kuwalipa kheri
    Ameeni
    Tunatarajia tutapata mamabo mengine mazuri in shaa Allah

  • @ArifuAlly
    @ArifuAlly ปีที่แล้ว +3

    mashaallah ahsnt kw kutuwakilisha wapemba wenzetu

  • @aulidriver3102
    @aulidriver3102 ปีที่แล้ว +2

    Tamthialia ni nzuri sana ilivyoanza mpka kuishia ina mafunxzo mazuri na mnastahiki tunzo Ahsante sana❤❤❤❤

  • @BarakababaRama
    @BarakababaRama ปีที่แล้ว +1

    Hongereni wahusika nyote kwa kazi nzuri sana na mungu awabariki

  • @Business_opportunites
    @Business_opportunites ปีที่แล้ว +1

    Bi naombaaa 🔈🔈🔈🔈

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 ปีที่แล้ว +1

    InshaAllah mungu awabaiki😂kwa hii thamthilia ni nzuri sana

  • @directorgoodxpro4590
    @directorgoodxpro4590 ปีที่แล้ว +1

    Kazii nzuri

  • @yusrambarouk313
    @yusrambarouk313 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah kazi nzuri Allah akujalieni kheri zaid katika kazin zenu

  • @dullamuwise4802
    @dullamuwise4802 ปีที่แล้ว +2

    mashallah kaz nzr n inaelimisha sana

  • @hashimmazrouy9702
    @hashimmazrouy9702 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah hongereni mumejitahidi sanaa

  • @worldchoiceperfume4606
    @worldchoiceperfume4606 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana shuuu

  • @youngmaster4127
    @youngmaster4127 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana me ni shabiki enu pia ni mkristo nimependa sana mulicho fanya maana nimefatilia mwanzo mpaka mwisho MUNGU awabariki sana

    • @cutestbby9031
      @cutestbby9031 ปีที่แล้ว

      ikiwa wewe n mkristo ila hii Filamu umeipenda inamaanisha Chembe chembe ya Imani imeshakuingia Maashallah Basi tunakunasihi Usilimu ili usalimike

    • @youngmaster4127
      @youngmaster4127 ปีที่แล้ว

      @@cutestbby9031 MUNGU ni mmoja

  • @MRFLPR
    @MRFLPR ปีที่แล้ว +3

    MASHA ALLAH TUMEELEWA SOMO

  • @jonathanhamadi
    @jonathanhamadi ปีที่แล้ว +1

    Nipende kuchukua fursa hii kuishukur crew yote ya mau mpemba kwa kutuletea muvi yenys funzo na maadili kwa kweli binafsi imenigusa na kunifunza hasa mambo mawili kuwekeza kwa ndg hata mjapokosana atakufadhil tu kuliko kuwekeza kwa hawala, na mambo kadha Wa kadha hongren na Mungu mwenyez awazidishie maarfa na maisha ya kher,nimefurahishwa pia na uhusika Wa makame na naomba nawakubl sana

  • @omarsaleh6292
    @omarsaleh6292 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri Masha Allah

  • @Ishakmbarouktv
    @Ishakmbarouktv ปีที่แล้ว +1

    Tunashkr kwa kulikhitimisha hili hali ya kua tunataman tuendelee nalo hongeren sana kwa kwwli mnastahiki kupewa hata tunzo maalum kwa hii kaz. Allah akulipeni ujira kamil mmetufundisha mengi sana big up sana.

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 ปีที่แล้ว +2

    Shukran shukran kwa burdan kwa Mwezi mzima wa ramadhan funzo na burdan tumepata majaaliwa Ramadan ijayo in sha Allah mola atakabal funga zetu shukran sana wadau

  • @mudykaila7437
    @mudykaila7437 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah kazi nzuri nilikuwa nanyi tangu sehemu ya Kwanza mpaka leo ya 20. Mungu awape nguvu kuwaelimisha waislamu

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulilah ma sha Allah ila pia mchezo kama huu Zanzibar cable na pemba cable pia walipaswa kutowa support kwa wasanii wetu ikiwa hawakufanya hivyo

  • @kichwakibovu1213
    @kichwakibovu1213 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali kazi mzur Sana hongera sana

  • @abdallahaly1760
    @abdallahaly1760 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur sana mwisho wa hii iwe mwanzo wa nyengine inshallah

  • @herijuma
    @herijuma ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana Derecta pamoja na wasanii wote bigup by Afande Kheri

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalipe kheri

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว +2

    Safi

  • @ayramaa1619
    @ayramaa1619 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah. Allah awabariq wote

  • @zayedofficial7122
    @zayedofficial7122 ปีที่แล้ว +2

    Mau mpemba lete namba za warda mtoto mkali sana nimemkubali❤

    • @hamisidumbo1568
      @hamisidumbo1568 ปีที่แล้ว

      😊😅 mi namtaka Shuu wallah yan lazima niende pemba nkamtafute Bw.Mau anipeleke kwa Shuu..😮😅

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว +5

    Bonge la series ... Best series ya ramadhan ... Mafunzo mengi ... Ni bora kuliko Swaumu zetu ya Mkojani.

  • @SubiraSalum-pq9vo
    @SubiraSalum-pq9vo ปีที่แล้ว +1

    Leo hamna wa mwanzo 😂 naona mackitiko tuh n mm pia nmeckitika Sana kuisha hii kitu Mana ilku n km daku kwa wadau n wapenzi pia wa mwana mau 😋 kazi nzur Sana mashallah mashallah 👏👊🤚🤚

  • @cutestbby9031
    @cutestbby9031 ปีที่แล้ว +1

    Duhhh sehemu ya Mwsho

  • @biashaali-fp7mf
    @biashaali-fp7mf ปีที่แล้ว +2

    aslkm Sasa nitumshkuru mw/mungu kwa memaa yake yote aliotuwezesha nayo nanyi. muzidi na Imani mutapata amin nawapenda nyote kazi yenu nzuri

  • @ftoomibrhoom7512
    @ftoomibrhoom7512 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaallah inamafunzo mazuri mungu awazidishie vipaji mvyenu washiriki wote

  • @ismailsaid2038
    @ismailsaid2038 ปีที่แล้ว +2

    sai majumba respect

  • @mtukwao5775
    @mtukwao5775 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kazi nzuri sana mjimba Mohamed umetisha

  • @mchabonde370
    @mchabonde370 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri xn

  • @mahrezyusuf6017
    @mahrezyusuf6017 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipeni kila la kheri mau na timu yako yote👐

  • @mohamedali-xc9ul
    @mohamedali-xc9ul ปีที่แล้ว +1

    *Shukran kwa mafunzo yenu Allah awalipe kwakile mlichotoa kwa waislam *

  • @NassirOmar-qi6pd
    @NassirOmar-qi6pd ปีที่แล้ว +1

    Kazi mzuri

  • @saidhija6333
    @saidhija6333 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren

  • @saydfuad6914
    @saydfuad6914 ปีที่แล้ว +2

    Perfect 👍

  • @shamsilmunnirislamic5005
    @shamsilmunnirislamic5005 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah good job, Allah give you good payments Inshaallah, all who have participated in this movie, infact you have been taught us a lot of good things in this movie, May Allah pays you good rewardingness,
    And we hope another movie like this Inshaallah,
    I like so much,
    DIRECTOR:- SAID MAJUMBA,...... Allah give you longest lives with your family, infact you perform very well in your job, thanks so much,

  • @AbdoulrazakSulesh-gn4qo
    @AbdoulrazakSulesh-gn4qo ปีที่แล้ว +1

    Inshallah mungu azidi kuwaongoza vyema

  • @profesamakame5179
    @profesamakame5179 ปีที่แล้ว +2

    Ahsanteni Sanaa ila tunataka filamu ya udhalilishaji Sasa
    Hii tumepata mafunzo mazuri sana tu Allah awaongozeeee

  • @nassirramadhan2788
    @nassirramadhan2788 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah, Mombasa twawapenda

  • @Ishakmbarouktv
    @Ishakmbarouktv ปีที่แล้ว +1

    Ushauri wangu msije kubweteka na sifa za watu mkatofautiana muendelee kutufundisha mkiwa katika hali ya umoja mana kila mtu ana umuhim wake katika kufanikisha jambo lililozuri.

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 ปีที่แล้ว +1

    Ilamtuletee nyingine innshaallah

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri🎉🎉
    Acha nami nimwambie mjomba akanitafutie mke pemba 😅😅

  • @worldchoiceperfume4606
    @worldchoiceperfume4606 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭 imeisha

  • @Aliysule28
    @Aliysule28 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren sana Ndugu zangu wa Pembaa. Kiukweli kazi iko vzr sasa kilichobakiaa ni kutafta Wadhamin na wafadhili ili mufanye kaz nzut zaid ya hiyo ambayo mwisho wa siku na nyinyi Riziki zenu ziweze kukimu Familia Inshaallah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 ปีที่แล้ว +2

    Nilidhani mm wa kwanza kumbe wa mwisho

  • @IbrahimTalib-he2ik
    @IbrahimTalib-he2ik ปีที่แล้ว +2

    Nice❤

  • @seifsaid481
    @seifsaid481 ปีที่แล้ว +1

    Ustadhi Mussa usso

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว +1

    Musije mukaifuta hii filamu tutairudia tena na tena

  • @saidbinsuley252
    @saidbinsuley252 ปีที่แล้ว +1


    Of course film ni nzur yenye maadili
    Pongezi san ziende kwa washiriki na waandaaji wote
    Ila pia tunaomba murelease soundtrack za hizo kasida

  • @farhatsalum1437
    @farhatsalum1437 ปีที่แล้ว +2

    Wao mashallah ❤

  • @abdulazizimohd4230
    @abdulazizimohd4230 ปีที่แล้ว +1

    Next movie yenye mafundisho please kama hii tumeelimika Kwa kweli,ata kama haihusiani na ramadhani

  • @DhulkifliAbdallah-eg8tc
    @DhulkifliAbdallah-eg8tc ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaa itakuaje ya mwisho

  • @salehdoby8979
    @salehdoby8979 ปีที่แล้ว +2

    🤲🤲🤲🤲💫💫❣️❣️

  • @ibrahimcapable5331
    @ibrahimcapable5331 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba na hii qaswida ya ust. JUMA FAKI

  • @allyally4323
    @allyally4323 ปีที่แล้ว +1

    MAU kanzu nime iyelew iyo mau

  • @Omarshavuai-nt9ji
    @Omarshavuai-nt9ji ปีที่แล้ว +1

    Makunde ile 200 yangu uloiba shule nletea ushakuwa star sa ivii

    • @ZainabAli-wg9bi
      @ZainabAli-wg9bi 2 หลายเดือนก่อน

      Hhhhhhhhhh 200 vo

    • @ZainabAli-wg9bi
      @ZainabAli-wg9bi 2 หลายเดือนก่อน

      Makunde wadaiwa 200 ngwa fanya uilipe

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah mashallah ❤

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 ปีที่แล้ว

    Naomba jina la hii kaswida nimelipenda sana kwakwel