RASHID YAZIDU AFUNGUKA KISA CHAKE NA KIBU DENIS/ BALAA ZITO LAIBUKA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 48

  • @Chelseaboy_1905
    @Chelseaboy_1905 2 หลายเดือนก่อน +6

    Crown fm jaribuni kupunguza sauti ya io beat background inameza sauti za waongeaji

    • @alphoncealmack9240
      @alphoncealmack9240 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa hata sijui wanaiweka ya nn na tunamsikia mtu

  • @LenaKathure
    @LenaKathure วันที่ผ่านมา

    Nice one

  • @حكايةغد
    @حكايةغد 2 หลายเดือนก่อน +4

    music background iko juu munatuudhi wasikilizaji wenu nimeshindwa kumaliza video

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni 2 หลายเดือนก่อน

    Nomaa

  • @fazo-kl9fu
    @fazo-kl9fu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Njaaa tu uyoo😂😂😂

  • @fabiangodfrey-fp4pt
    @fabiangodfrey-fp4pt 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kibu kasema hakujui bwana acha shobo😂😂😂😂😂😂

    • @alphoncealmack9240
      @alphoncealmack9240 2 หลายเดือนก่อน

      Hamjui wala hamtambui 😂😂😂😂😂shobo zake tu

  • @estonsaimon6671
    @estonsaimon6671 2 หลายเดือนก่อน

    Hajui hata aongee nn kwenye nn na kwa wakati gni?

  • @nature_world1
    @nature_world1 2 หลายเดือนก่อน

    Kibu kasema akujui😮

  • @rabbik5668
    @rabbik5668 2 หลายเดือนก่อน

    Chama amepotea mtaani Kibu kila kona Asante Kibu 🎉🎉inatakiwa kurudi Sasa msimbazi

    • @macknonkibona2401
      @macknonkibona2401 2 หลายเดือนก่อน

      TAMU ZAID ANAKUJA YANGA SO SUKARI YOTE YA HABARI YA MJINI ITAAMIA YANGA MTANI

  • @jamesjoseph2421
    @jamesjoseph2421 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥👑👑

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kibu kashamaliza maana wabaongo tunapenda kupitaga na upepo kibu kasema alikupa kazi ya mda tu

  • @wakilisharaw
    @wakilisharaw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa wale hawajaelewa hii interview Kwa ufupi kibu denis ni green and yellow,,,,simba hawajamsajili Carlos sawa ni mtu hatari kweli

  • @alberatuslinus9617
    @alberatuslinus9617 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan Jaman kibu Si kasema hamjui huyu jamaa 😂😂😂😂😂

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Rashid analazimisha shobo kwa Kibbu. Kibbu Kesha sema hakujui na hakutaki.

  • @laurmange6124
    @laurmange6124 2 หลายเดือนก่อน

    Background beat inasumbua muongeaji na msikilizaji. Punguzeni tupate kusikia vema

  • @ProsperSantos
    @ProsperSantos 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simba sio wakusumbuana na kibu mchezaji goal 1 assist 2 yan huyu ilitakiwa moja kwa moja championship kwa mkopo bora usajili kilema sio kibu amna kiwango bado anasumbua watu vichwa kunamda wachezaji hua wanatumia ushirikina mbona kuna wachezaji wazur sana na awapati nafasi ila hii takataka kibu hamna mchango wowote lakini wanalijali kwanza uyu alikua ashaondoka simba kitambo sema likamloga na robatinho alipende ndo ikawa pona pona yake saiz limejichanganya M300 sasa lazima afanyiwe ubaya ubwela ilifala ilibidi liludi kwao congo najua uko Norway limefeli 😅 kwanza mchezaji anafunga Derby mechi ambayo ata kipa ana funga derby kila mtu anakua anamoto ko uyu fala tusiesabie kama anagoli lolote bwabwa huyu imagine zile nguvu za kibu uwanjani angekua boxer saiz angekua uko ana zichapa na wakina Ryan Garcia tenah anauzito sawa na Davis 😂 ila bora angekua mkurima mana boxing usipo kua na akili unaweza ukauawa angekua mkulima saiz angekua anavuna magunia uko mana ananguvu ila akili hana sema ata kilimo kinahitaji akili ko uyu jamaa nifuta tu amna kitu anachokiweza ila tunacho kitaka pesa yetu tukampe mpanzu saiz atuna stress na vichaa kichaa ukitaka kusepa unaenda si kama babu yetu chama tumeona tusiongeze mkataba tunajua kazeeka awezi ata kukimbia namuonea ady huruma babu yetu dah kajichanganya vibaya sana saiz tu ana lalamika uwanjani 😅 anasunili mpira wa one two wakati wahuni wanawaza kukimbia tu hahahahahaha afiki kokote yule kilichobaki niku retire....... Simba nguvu Moja ubaya ubwela ni vijana wa 2000 tu

  • @AllyBlackMamba
    @AllyBlackMamba 2 หลายเดือนก่อน

    Taraka tatu3 muhimu 😮😮

  • @Josephbugoshi
    @Josephbugoshi 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kibu yuko wapi mpaka sasa

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 2 หลายเดือนก่อน

    Yule mbwa kibu mkimbizi Simba wasingemfanyia kazi ya kupata ulaia msenge yule wakongo hawana utu

  • @UfundiSaidi-em2fb
    @UfundiSaidi-em2fb 2 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅😅 kibu kawa MTOTO IDDI 😅

    • @Humanity21216
      @Humanity21216 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 kwamba kazua balaa

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Gongo Burundi Rwanda ni wachache sana wenyewe ubinadamu Kibu msenge tuu ameifanya Simba na Tanzania nzima kuwa ngazi tu ya kwenda Ulaya mie nawajua sana watu wa kufasi ya huko

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 2 หลายเดือนก่อน

      Ubaguzi tu

  • @estonsaimon6671
    @estonsaimon6671 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa pia yupo kishabiki sio kusimamia wachezaji uki-refer hata ishu ya Chasambi aliongea mbovu mno kama sio mwanasheria

  • @ErastoMoses-r6i
    @ErastoMoses-r6i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aende tu

  • @BarakaJohn-mn1eg
    @BarakaJohn-mn1eg 2 หลายเดือนก่อน

    Ndo xhida y kuwazami wa Cong 😅😅😅😅😅

  • @BakariHariri
    @BakariHariri 2 หลายเดือนก่อน +11

    Simba walifanya makosa kumfanyia uraiya wa tanzania kibu sio mtanzania simba wamwambie arudishe pesa zetu alafu asepe kwanza ajui mpira maguvu tu kama guruwe.

    • @belsilver4586
      @belsilver4586 2 หลายเดือนก่อน +1

      sasa mambo ya utanzania yametokea wap

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 2 หลายเดือนก่อน +1

      huu ni ujinga na mihemuko

    • @Mgenimsenga
      @Mgenimsenga 2 หลายเดือนก่อน

      We ni msenge tu kesababu aujui mpira ivi Messi .dembele .cr7 . Walivumia wapi ukiringa na uraiwa wenzio wanaringa na kipaji afu kua mjanja mwenye pesa ndo mwenye kila kitu 😅

    • @hopesesilius6104
      @hopesesilius6104 2 หลายเดือนก่อน

      Yametokea baada ya kutapeli​@@belsilver4586

    • @hopesesilius6104
      @hopesesilius6104 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@belsilver4586ogopa sana foreigner

  • @MariaMnthax
    @MariaMnthax 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kibu nimwamba muno

  • @JOSEPHALFONCE-z2i
    @JOSEPHALFONCE-z2i 2 หลายเดือนก่อน

    Kibu katubo Sana watu wakigoma nilazima ajue kigoma imetoa mastaa wengi mno aifuatilie kigoma yangu enz izo analinga Nini Sasa wapo Ila walipita kiufupi kazingua

  • @VennaceNchimbi-r7p
    @VennaceNchimbi-r7p 2 หลายเดือนก่อน

    Man kato sure baba sabra ubaya ubwela

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 หลายเดือนก่อน

    Yani movie ya uyu jamaa stealing amekufa mwanzo wa movie

  • @esnproduction2020
    @esnproduction2020 2 หลายเดือนก่อน

    GHARIB MZINGA: STORY YAKE YA ELIMU HADI KUWA MTANGAZAJI
    th-cam.com/video/XNfTMTDS3Mc/w-d-xo.html

  • @CharlesMs25Daghaly
    @CharlesMs25Daghaly 2 หลายเดือนก่อน

    Cma michezo sio uraia wa mtu ckieni ujinga wenu na uraia vinaendana kwl au ujinga huo watanzania mnawadudu nan aliepaga sumu ya ujinga mkavimbisha suit kwl cmeni mamb ya soccer sio Uraia nyie ghaimbiri Mnataka kurudishiwa pesa au Uraia wenu wajinga nyie Kibu ni Raia Tz had Sasa hayo mengn ynu ya unafki mtupu kenge kbs

  • @SteveAriba
    @SteveAriba 2 หลายเดือนก่อน

    Cha msingi kibu amevunja mkataba mwenyewe cha msingi alipe makoto tuone atafika wp kama atakuwa anasugua benchi adi anamkana meneja wake asee kweli ss wanadamu tunazambi kubwa sana leo na kesho atakujaga akane ata wazazi wake aseme nyie sio wazazi wangu