MAU MPEMBA KWANINI RAMADHANI SEHEMU 15

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500

ความคิดเห็น • 99

  • @saidbahanuzi
    @saidbahanuzi ปีที่แล้ว +23

    Mie wa Pili Leo sitaki masihara naomba like zote nipeni mie wa 2 😂

  • @ZamirOmar-qx8nq
    @ZamirOmar-qx8nq ปีที่แล้ว +4

    Panapo majaliw mwakani tunataka kizuri zaidi nakubali sana kazi zenu

  • @bauchatv-yd4ug
    @bauchatv-yd4ug ปีที่แล้ว +3

    Jamani naomba hii kaswida itolewe kabla ramadhani haijamaliza nmeipenda nataka ni download

  • @alibinjuma793
    @alibinjuma793 ปีที่แล้ว +4

    SEHEMU 15 🔥🔥🔥

  • @abdillahsleyyum2768
    @abdillahsleyyum2768 ปีที่แล้ว +8

    Maashaallah, ninaipenda sana hii movie. ALLAH awafanikishe zaid na zaidi.

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah wamama na michezo yaupatu nawapenda wadada

  • @KarimOmar-fp5kq
    @KarimOmar-fp5kq ปีที่แล้ว +8

    Kazi nzur mau mpemba ......wakwanza leo

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +3

    Haaaaaa mtihani kobe kafedheheka mwinyi kafedheheka mungu awabariki nyote kwa mafunzo yalio mazuri

    • @kisiwaPanza
      @kisiwaPanza ปีที่แล้ว +1

      Umesahau na Mau Pia Amebainika kama Ana Kimada

    • @killingofficial5005
      @killingofficial5005 ปีที่แล้ว

      @@kisiwaPanza Ewaaaaaa! 🤣🤣

  • @haidarjuma4368
    @haidarjuma4368 ปีที่แล้ว +3

    Wakwanza na wapili hzo like zenu mnazotaka kapikieni daku km ni kituuuu??? Hamuna ela keroo!!

  • @ZaiBaby-xg1se
    @ZaiBaby-xg1se ปีที่แล้ว +2

    Mashallhwa unafundish v unamadil mazur hasw il mm kil siku wa mwish hay t

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah jazakumllah kheir amiin

  • @rseif9730
    @rseif9730 ปีที่แล้ว +3

    Namieee like zenuu

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 ปีที่แล้ว +5

    utamu unazidi konoga mwiku wa muhogo na ndizi, hongereni kwa kazi nzuri Dongo be gup sana ❤❤❤

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 ปีที่แล้ว +4

    MashaLLAH MashaLLAH ❤❤❤❤❤

  • @biashaali-fp7mf
    @biashaali-fp7mf ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah neema Allah awabariki ndani ya kazi I yenu na Hu mwizi mtukufu amin

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah story nzuri.. Ina mafundisho makubwa sana.. Allah atupokelee saumu zote.. Aaamiiinnn

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 ปีที่แล้ว +4

    Tunaendelea kufurahia mafunzo mazuri😊

  • @balekisela4907
    @balekisela4907 ปีที่แล้ว +7

    like zangu bx😂

  • @abdul-halimhamad9457
    @abdul-halimhamad9457 ปีที่แล้ว +5

    Mm wakwanza leo penda sana mau

  • @ismailsaid2038
    @ismailsaid2038 ปีที่แล้ว +1

    maumpemba ni msaliti wa mwinyi sivo ulivo fanya sbb ww ndo ulo mtia maneno mwiny arudi kwenye ushirikina alikuw kasharudi kw mola wake,ila mzee mwinyi ucjli ukiw umelijuw kosa lako unatubia kw mola wko na mungu anakusamehe kwni yy anasamehe madhambi yot umetufunz hongera yako...

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 ปีที่แล้ว +3

    inshallah mwakani tunategemea kazi nzur ❤❤❤❤❤❤

  • @thorragnarok7627
    @thorragnarok7627 ปีที่แล้ว +10

    Leo wa kwnz naomba like zenu please

  • @ahmaddammbaya5754
    @ahmaddammbaya5754 ปีที่แล้ว +5

    Sound track Noma sanaa nimeipenda!

  • @seifsaid481
    @seifsaid481 ปีที่แล้ว +2

    Naic story

  • @PoliteKind-df8kw
    @PoliteKind-df8kw ปีที่แล้ว +4

    Kumbe wapemba na sie tunaweza kuelimishana.

  • @NewPhone-oh7ge
    @NewPhone-oh7ge ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah kazi nzur

  • @hamisidumbo1568
    @hamisidumbo1568 ปีที่แล้ว +5

    Natumai hamjambo ndugu wapendwa mnaofatilia huu mchezo bila shaka tunajifunza mengi tu hasa wakati huu wa mfungo kwan mwenye akili haambiwi fikiria...Team Mau tunawashukuru na msirudi nyuma tuko pamoja kama shuka chafu na kunguni😅😊....🇧🇭🇧🇭🇰🇪🇰🇪

  • @mwinyisarbok2261
    @mwinyisarbok2261 ปีที่แล้ว +4

    Mbona kama imebaki episode Moja imalize hii movie

  • @aulidriver3102
    @aulidriver3102 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah kadri episode zinavyokwenda ndio Utamu kolea

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +4

    Kazi inaenda Safi sana murua murua

  • @halimaali2999
    @halimaali2999 ปีที่แล้ว +1

    Asnte Sana kwa kazi mzuri

  • @habiibanahassan4455
    @habiibanahassan4455 ปีที่แล้ว +2

    Hakupiga kiganja weyeeeee😂😂 juma kupendwa limemkuta jambo😂😂😂

    • @kisiwaPanza
      @kisiwaPanza ปีที่แล้ว

      Sio Hakupiga.. Takupiga Kiganja🖐️

  • @UmmuKxxm
    @UmmuKxxm ปีที่แล้ว +3

    MASHAALLAH

  • @RashidMohammed-ue8ss
    @RashidMohammed-ue8ss ปีที่แล้ว +5

    Wakwanza leo

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa sana huu mchezo mzuri hasaa

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah inamafundisho mengi sana mungu awabariki❤❤

  • @seifmkaranga9281
    @seifmkaranga9281 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk ปีที่แล้ว +2

    Move nzuri naikubali sana

  • @IssaAbdalaRai-vd6ij
    @IssaAbdalaRai-vd6ij ปีที่แล้ว +6

    WA mwanzooooo

  • @mwalimumlaula6167
    @mwalimumlaula6167 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu Naomba jina la Hii Qaswida

  • @EL-LOFFY
    @EL-LOFFY ปีที่แล้ว +3

    Kazi iendelee

  • @rashmad98
    @rashmad98 ปีที่แล้ว +2

    unatufundisha mambo mazuri sana lakini kwa vile imesimama katika misingi ya dini zaidi na sio mawazo ya kufikirika, basi dini ina utaratibu wake katika kufikia mambo na sio blaa blaa na fujo au magomvi😀

  • @hamisgaga3169
    @hamisgaga3169 ปีที่แล้ว +1

    Dongo unajua sana🔥🔥🔥

  • @ledoncrazy
    @ledoncrazy ปีที่แล้ว +5

    Mwana wakuwa hanyi ulala😂

  • @abubakarjuma5826
    @abubakarjuma5826 ปีที่แล้ว +1

    Tupo kwenye maigizo lengo kuu ni kufikisha ujumbe kwa jamii naam masha-allah ujembe unafika sehem husika.
    But wakina mama punguzen uhalisia mpo kwenye sanaa,, beba "B" ya hasira kimaongez na kimuonekano ila usione uhalisia zaid.

  • @ali_ford
    @ali_ford ปีที่แล้ว +5

    wanaomba like wachunguzwe zinawasaidia sjui kitu gan.upuuz mtupu😅

    • @alyspare4850
      @alyspare4850 ปีที่แล้ว

      Hahaha sio upuuzi kuna mafunzo ndaniyake

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah

  • @abdul-karem7991
    @abdul-karem7991 ปีที่แล้ว +2

    Tunataka muendelezo mpaka cku kuu

  • @mohamedali-xc9ul
    @mohamedali-xc9ul ปีที่แล้ว +1

    *mstir mwenzio na ww usitrike shuu kashushwa kama jina lake na Miss Waa*

  • @ismailsaid2038
    @ismailsaid2038 ปีที่แล้ว +5

    nashkru wa mwanzo nimeidaka

  • @ahmedrashid1923
    @ahmedrashid1923 ปีที่แล้ว

    Kazi nzurii🙌🏾

  • @SamirNassor
    @SamirNassor ปีที่แล้ว +2

    Kazi mzur

  • @khadhratkhan-ue8fu
    @khadhratkhan-ue8fu ปีที่แล้ว +4

    Ambao tupo tujuane

  • @HamisiAmbari-tt9if
    @HamisiAmbari-tt9if ปีที่แล้ว +1

    Mashall

  • @HuzaimaRamadhan-kb1wz
    @HuzaimaRamadhan-kb1wz ปีที่แล้ว

    Naomba umefanya vizuri , sana kbisa haukua kama unaigiza part zako zilikua km reality .

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 ปีที่แล้ว +2

    Jaman mwana wa kuwa hanyiusimama😅

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 ปีที่แล้ว +3

    Nawalizeni hapo nikojani au

  • @user-hk3jg1iy1u
    @user-hk3jg1iy1u 11 หลายเดือนก่อน

    Namsifu Sana kakaangu mau japokua hanijuwi

  • @rashmad98
    @rashmad98 ปีที่แล้ว +1

    kiukweli filamu ni mzur sana ila kuna upungufu wa matumizi wa hekima katika maeneo muhimu, kuanzia sehem ya kwanza hadi hii apa. licha vazi la kawaida la kupiga kelele au kutoa sauti kali wakati wa kuigiza lakini mda mwengine kulitakika upole na busara🤗

  • @HafidhOmar-nd9lu
    @HafidhOmar-nd9lu ปีที่แล้ว +2

    Duh juma kupendw leo

  • @abdul-halimhamad9457
    @abdul-halimhamad9457 ปีที่แล้ว +5

  • @balekisela4907
    @balekisela4907 ปีที่แล้ว +3

    Ushauri wa mbovu Alooooh😅😅

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 ปีที่แล้ว +1

    Me wamwishooo 😄😄😄😄

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว +2

    Mwinyi mpeku watamuuwa 😅

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว +2

    Mzee kupendwa😅😅

  • @ssdd647
    @ssdd647 ปีที่แล้ว +1

    Yaleo ❤❤❤❤

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 ปีที่แล้ว +2

    Haha mau umemtosa mwezio eti kilemba cha unafiki😅😅

  • @ssdd647
    @ssdd647 ปีที่แล้ว +1

    Mambo moto

  • @hashimrashid6380
    @hashimrashid6380 ปีที่แล้ว

    Mbona kombo kichwa hayumo

  • @balekisela4907
    @balekisela4907 ปีที่แล้ว +2

    1

  • @lucymtuka6393
    @lucymtuka6393 ปีที่แล้ว +1

    WA kwanza 😂😂😂

  • @kundiidd8755
    @kundiidd8755 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mau unafoka km moto wa kifuu😂😂

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 ปีที่แล้ว +2

    😀

  • @janerouhassanjanerou7933
    @janerouhassanjanerou7933 ปีที่แล้ว

    Mwana wa kua hanyi ulala

  • @jambolangu7582
    @jambolangu7582 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣 hatwebu masihara na dini

  • @IssaAbdalaRai-vd6ij
    @IssaAbdalaRai-vd6ij ปีที่แล้ว +1

    Leo vidume vimetimia arobain yao mwiny hiriz kupendwa halifungi

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 ปีที่แล้ว

    Mau unasema mpka sahv sa12 mwinyi mpka sahv sa7 vipi Mau

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว +2

    😂😂 hatimaye mzee wa hogo amekuwa Kobe kama dongo

  • @IssaAbdalaRai-vd6ij
    @IssaAbdalaRai-vd6ij ปีที่แล้ว +4

    Like zenu

  • @ahmedrashid1923
    @ahmedrashid1923 ปีที่แล้ว

    Umpige baba mawe basi hevyaa😂😂

  • @KhamisAhmed-jr9sn
    @KhamisAhmed-jr9sn 5 หลายเดือนก่อน

    Mdau wenu

  • @abdillahkhalfan8186
    @abdillahkhalfan8186 ปีที่แล้ว +1

    Wa 342

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 ปีที่แล้ว

    Tusitiriane waja

  • @paje5851
    @paje5851 ปีที่แล้ว +1

    😂

  • @Shamilumaganga
    @Shamilumaganga 5 หลายเดือนก่อน

    Kwakwel nimehkubal

  • @SamirNassor
    @SamirNassor ปีที่แล้ว +2

    Kazi mzur

    • @salumfakhi6919
      @salumfakhi6919 ปีที่แล้ว

      mashallah

    • @mrajjasissa5909
      @mrajjasissa5909 ปีที่แล้ว

      Naomba kujua iii move inatoka kila baada y sku ngap jmn

  • @rashmad98
    @rashmad98 ปีที่แล้ว +1

    unatufundisha mambo mazuri sana lakini kwa vile imesimama katika misingi ya dini zaidi na sio mawazo ya kufikirika, basi dini ina utaratibu wake katika kufikia mambo na sio blaa blaa na fujo au magomvi😀

  • @jambolangu7582
    @jambolangu7582 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 hatwebu masihara na dini

  • @rashmad98
    @rashmad98 ปีที่แล้ว +1

    unatufundisha mambo mazuri sana lakini kwa vile imesimama katika misingi ya dini zaidi na sio mawazo ya kufikirika, basi dini ina utaratibu wake katika kufikia mambo na sio blaa blaa na fujo au magomvi😀