Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Asante sana ndugu zangu kwa ujumbe iyi nzuri ya mariage Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Hongera sana Aloyce Gonzaga kwa kazi nzuri Mungu akuzidishie maarifa zaidi katika utunzi wa nyimbo tamu na nzuri mno. Napenda sana huduma ya uimbaji wenu.
roman tunaimba jamni ....adi rahaa yaniii💕💕💕
Asante sana, Tumshukuru Mungu
Kazi njema kweli. Dj wyma here
Kongoleee nyingi sanaaaa kwenu kwa utume wa uimbaji uliotukukaaa
Watizedi asanteni kwa kazi nzuri kwaya safi
Asante
Kazi nzuri hongera
Nyimbo nzuri sana
So wonderfull tubarikiwe
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Amina
Waaaaooh,hongereni sana wapendwa,Kibada nasi pia tunakaza buti😇jamani kumuimbia Mungu raha mweee
Amina
Inaleta ubaa za ndoa nyimbo hizi ni nzuri
Ongereni sana Mungu azidi kuwabariki sana 🙏🙏🙏🙏💯☑️
Amina sana,Tumshukuru Mungu
Mungu awaongoze katika maisha yenu ya ndoa yakawe na Furaha na Amani tele
Asante sana ndugu zangu kwa ujumbe iyi nzuri ya mariage Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Amina
Wimbo mzuri sanaaa nimeurudia mara 5 nikiwa naungalia Mungu awabariki waimbaji wote (wanakwa wote tutamuimbia Mungu mpaka Mbinguni)
Amina
Nimependa style ya sukar😃
😂😂😂💯💯
balaa my wii asante kwa kutazama mwaya
Ahahahah
Kazi nzuri...all the best
Asanteee
Thanks Rasheed
Waoooooh nzuri sana
Asante Renny!
Hongereni Sana wanakwaya ,wimbo huu una maudhui mazuri Sana kiukweli umenibariki Sana ,Mungu awatie nguvu muendelee kuinjirisha kwa njia ya nyimbo
Amina,
Daah nyimbi tamu sana👍❤️
Hongeren wanakwaya mko vzr asee
Jaman wimbo mzur sana hongeren jamani
Asanteni sana wana Gonzaga kwa wimbo mtamu
Asante Handeli, kila la heri
Mbarikiwe sana watumishi waMungu
Hongera Sana Kwa Mwl. Edmond .........
Mashamba we are waiting for you Br. 😂😂😂
Nice voices nice song tuserebukeee watu wote
Hongera sana Aloyce Gonzaga mmetisha!!!!
💞💞mudumu katika with muliojaliwa na mwenyez mungu
Kaz nzr
Kazi nzurii saana.
Pamoja Jose, rudi kundini sasa
Wimbo mzuri sana. Barikiwa
Wimbo mzuri, Sauti nzuri kweli, wanakwaya wanapendeza kweli, mavazi safi, video quality ya hali ya juu; The mood is 100%❤❤. Keep it up guys!!❤❤
Waaaaooooooh thanks alot Madam
Hakika mmpendeza nimefurahi kuona suit imekukaa vizuri karibu tena Mr Edmund
Kabisa
Wimbo mzuri sana
Hongereni sana kwa wimbo mzuri wa ndoa
Asante
Wimbo MZURI Sana good job wanagozanga
Azante sana Mr.P
Nice song Mungu awa bariki sana
Hongereni sana
Hongereni sana Aloyce Gonzaga , Kazi nzuri sana.Mungu awabariki na kuwasimamia mzidi kukua.
Amina🙏 na Tumshukuru Mungu
Safee sanaaa...
Yesu uko mwema
Duh!! Kazi nzuri tamu hongeren sana kwa uimbaji mzur
Kazi nzr sanaa
WIMBO MTAMU SANA AISEE
Jaman me nimeshidwa kujiweza wimbo upo good kabisa keep it up gus
Hongera sana Mr&Mrs EDMUND Mungu akawe kiongozi wenu
Hongereni kwa kazi nzuriiiiii
Asante sana, Tumshukuru Mungu
hiyo location kwakweli ni nzurii sana congole nyingi kwenu jamani na mbarikiwe sana wapendwa
wahoo nzuri sana aisee
Hongera sana wana Gonzaga kwa wimbo mzuri sana
Kazi nzuri..All the best
Thanks Simon
@@kwayayamtaloisgonzaga-kiga60 nzuri Sana nimeipendaa
Hongereni, good song
Thanks alot
Congregation to Mr & Mrs Edmund, and St.Aloyce Gonzaga Choir for nice and good song,
Conveyed, thanks
Kazi nzuri sana. Full inspiration in society.
Hongera sana Aloyce Gonzaga kwa kazi nzuri Mungu akuzidishie maarifa zaidi katika utunzi wa nyimbo tamu na nzuri mno. Napenda sana huduma ya uimbaji wenu.
Asante sana ndugu #Thomas
Hongeren san kwa kaz nzuri mungu awazid kuwapendeza
Nimerudi tena kutazama😅❤❤
This is a very beautiful song❤❤🔥...Can't get it off my mind jamani😫
Nice song May the Almighty God bless you
Kazi nzuri All the best ❣️❣️🙏
Asante sana
Nyimbo tamu sana
Hongeraa Kwa kazi nzurii
Hongera kazi nzurii, Mungu awabariki
Mbarikiweeeeeee
Kazi nzuri
Mlipendeza sana 😻😻🥳
Hondereni sana
Urudi kundini tume kumisi
Hongera martina
Safi Sana nimeipenda kazi
I love you wana Gonzaga
We love you more, nice audio, yani ni banger! Umetisha
We love you more, nice audio, yani ni banger! Umetisha
@@frankmwambi1477 asante chief
Waoo what a great ending💕
Wimbo poa kabisa
Hongelen sana mungu azid kuwabariki
Amina
very fantastic guy's 👏
That's a great song. Awesome production 👍👍👍
I am in love with this song. All the way from Zimbabwe. You make it easier for us to understand. Asante sana.
Its all thanks to God 🙏, keep watching and sharing the link!
Ni enjoy sana
what it's so so nice song God bless you all
Amen, be blessed too
Nzuri sana.
Safii 🔥🔥🔥
Nice song bambi
Wonderful. Congratulations for a job well done.
Thanks,
Please,share the link more and more
Great blend.Especially towards the end of the song.🔥
Its nice indeed,thanks to God for showing that to the composer
Marvelous😘😘😘nice song
Thanks to God
Lit 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Great song, great choir, great production. The video is even greater. Much love
Thanks to God!
Plz, share the link to many other friends 🙏
Great 😘😘💕💕🙏🙏
Many many thanks
Naomba namba ya director tafadhari
0762 380 376
Congratulations
Thank you
🔥🔥🔥
Great 😍
Hivi huu wimbo mtumzi ni nani
I love this song
Wimbo mzuri saanaa hongera kwa mtunzi waimbaji na producer na studio pia Mungu awabariki saanaa
Naomba mnisaidie copy yake
Natamani nkiowa niwaite
Karibu sana
Nice song
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Thanks to God
Nakale
Nimeupenda sana wimbo , unatukumbusha maisha tunayoyaishi,mungu awabariki kwa kutuinjilisha
Sawa
Nice voices
God bless your beautiful family
Amen, Thank you! 🙏
❤❤❤
😋😋
👍
Hongeraa Kwa kazi nzurii