Mimi ni nani hata nisipongeze kazi hii nzuri sana ya kwaya DonBosco SUA?! Wimbo mzuri ‘Tamaduni zakutukuza’ kongole Mtunzivitabu Ephraim Kashusha, umeimbwa vizuri sana, Hongera na kongole Kwaya nzima na picha za video na usanii wote unavutia kuangalia na kusikiliza! Pongezi uongozi mzima kwa kiwezesha haya pamoja na wote waliojitoa kwa hali na mali! Mbarikiweni nyote na familia zenu.
Congore nyingi Sana Sana sana kwa Wanakwaya wa KWAYA YA MT.DON BOSCO SUA KAMPASI KUU~~~Mungu azidi kubariki kazi ya utume na moyo wa kujituma..HAKIKA KAZI NI NZURI SAANA Na IMETENDEWA HAKI n too creative😋😋😋🔥🔥🎼🔥💯🎼🌟💯🌟🌟🌟💯💯💯💯💯💯
Oh!..... Praise the Lord!..... Congratulations to you saint DonBosco quoir- Sua main campus!.... You know how to made me happy😁😁🙏!.... Let's God bless you guys🙏🙏🤝
Good job vijana. Nimefurahi kuona vijana wasomi mkithamini tamaduni zetu asilia. Bwana awabariki sana sana
Bravo ..........Sauti Tamu.....Mungu atukuzwe Daima
Hongereni mpo vzr
Kwa level yenu mmejitahidi ongezeni bidii mtaweza
hongereni Sana mziki umetulia, mmeimba kikubwa hongereni, napataje albam yenu Niko mwanza parokia ya mt. MONIKA buhongwa.
Mwl Matofali bado yupo? Hongereni sana wapendwa
Wasukuma bhabo
Nimebarikiwa sana na wimbo huu....Hakika Mungu wetu ni mkuu anastahili kutukuzwa ....
Nifuraha kusikiliza wimbo mzuri ulioimbwa vizuri na watu wazuri unaowafahamu👏👏 mkamilo , Mungu awabariki sana
Kazi nzuri sana family hakika mmefanya kazi nzuri Kwaya ya Mt.Don Bosco~~~Mzidi kumtumikia Mungu katika Roho na Kwelii🔥🔥🔥🥰🥰😍😍😘😘😘💥💥🔥🔥💞💪💪💪💪💪💪
Hongern sna kwa wito na kwa kazi nzuli
Bravo bravoo...... Wanacheza kwa furaha🦘🦘🦘🦘🙋🙋
Wafipa Nsiba
Saaafi sana
Wimbo mzuri sana. Ongera sana kwa uimbaji wenu mzuri
Hongereni Sana nimefurahia kazi yenu🌹
Hongereni sana
Hongereni sana vijana was Don Bosco Nawapenda mmeimba vizuri mmetamadunisha vizuri sana
Wimbo mzuriiiii
Hii kaz naenda Uchagani kupata mke kabisa maana.
Nisaidie kuwafikishia wengine, like shre na comments, usiache ku subscribe.
Hongereni Sana Mt.DonBosco kwa wimbo mzuri sana wakumtukuza Mungu,,
Hongereni sana mungu atukuzwe katika patakatifu pake.
Mko vizuri wanaSUASO. Mzidi kusonga mbele Mungu awapandishe zaidi.
Ameen
Hongereni sana Mungu awabariki kwa kuinjili kwa nyimbo
Wimbo mmeutendea haki utamadunisho mzuri sana Mungu awabariki
Hongereni sana kwa kuinjilisha kwa njia ya uimbaji,Mwenyezi Mungu awatie nguvu mzidi kumtumaini yeye milele!
Hongereni sana sana wapendwa wana Don Bosco SUA wimbo mzuri,kila kitu Mungu awabariki kwa utume huo.😘🥰🙏
Congrats to @kmdbsua wiz nice song
Kwaya Tamu Saanah.. congratulations KMDB sua, Mungu atazidi kuwabariki🙏🙏
Mimi ni nani hata nisipongeze kazi hii nzuri sana ya kwaya DonBosco SUA?! Wimbo mzuri ‘Tamaduni zakutukuza’ kongole Mtunzivitabu Ephraim Kashusha, umeimbwa vizuri sana, Hongera na kongole Kwaya nzima na picha za video na usanii wote unavutia kuangalia na kusikiliza! Pongezi uongozi mzima kwa kiwezesha haya pamoja na wote waliojitoa kwa hali na mali! Mbarikiweni nyote na familia zenu.
Hongereni mno
Mungu azid kuwabariki
Mung awabark wimbo mzur san
Unatukuzwa na watu wote daima unatukuzwa🎶🎶🎶🤸🤸🤸😋😋😋
Hongereni Sana mungu azidi kuwabariki mliimba vizuri 🔥🔥🔥🔥
God is good, let's him be your main leader to where you aimed to reach% See you in heaven.
Congore nyingi Sana Sana sana kwa Wanakwaya wa KWAYA YA MT.DON BOSCO SUA KAMPASI KUU~~~Mungu azidi kubariki kazi ya utume na moyo wa kujituma..HAKIKA KAZI NI NZURI SAANA Na IMETENDEWA HAKI n too creative😋😋😋🔥🔥🎼🔥💯🎼🌟💯🌟🌟🌟💯💯💯💯💯💯
Hakika utukufu wa Mungu nauona kupitia kazi nzuri ilofafnywa na kwaya Mt donbosco, SUA. Mbarikiwe sanaa
Asee ngoma kali sana...producer pia amemix vizuri sana asee😁😁😁🙌🙌🙌
Moto pasi 💓💓
Nice song congratulations. May God strengthen your faith to countiue priseing.
kazi nzuri imenibariki sana
Kazi nzuri si choki kuisikilaza hongereni wa familia wa Don bosco🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰😍
Hongereniiiii Sana, Hakika Wimbo Ni mzuriii Sana
Kazi nzuri
Mbarikiwe
Hakika Mungu anatukuzwa, hongereni sana
Amina. Mungu awabariki sana....beautiful song❣️
Namjivunia kuwa mkatoliki
Hongela sana❤
🎶🎶💃🔥🔥🇹🇿🇹🇿 Be blessed Don Bosco choir from SUA
Mpo vzur sana congratulations ila mmetusahau wasambaa sijapenda😂😂
Hakika mwuko vizuri. Kila kitu. Kinawezekana.
Bro Pesambili ,Temanya na wengine wote , keep it up, nzuri sana🥰
Namuona Kisoli Masai
So fantastic
sweet music
Njooooonii tuchezeeeeee tumsifuuu Mungu weeeetu💃💃💃💃.......Makabila toka pande zoteee........KMDB SUA well done🤗🤗
Hongereni sana, wimbo ni mzuri sana
Waooh nice 😘, kazi nzri
Hongereni sana kazi nzuri
Nice choir
Congrats
👏👏 creativity ni kubwa mno🙌🙌
a wonderful mass choir wid all voices.
Hongeren sana🎉🎉🎉
Mambo fireee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥tunamtukuza Mungu 🎸🎹🎹🎺🎺🙏
Hongeren u made it
Eise!kitu imekaa poa sana hii! Congratulation donbosco
Nzur sana. Mungu awabariki
Keep up the good work Family 😇
Natajokeleunbesoati
𝐵𝑖𝑔 𝑢𝑝 𝑆𝑈𝐴
Great 👌 keep going 👏
👏"See how young people are praising God."keep living in Christ 🙏
Oh!..... Praise the Lord!..... Congratulations to you saint DonBosco quoir- Sua main campus!.... You know how to made me happy😁😁🙏!.... Let's God bless you guys🙏🙏🤝
Kiukwelii gomaaa ni kalii 🤩🤩🤩😍😍😍♨️♨️
Hongereni sanaa
God is power when i see you people singing in this way
Bonge la song
🎉pamoja sana
Congratulations 👏
Wimbo mzuri hongereni kwa kaz nzur
𝐾𝑎𝑧𝑖 𝑛𝑧𝑢𝑟𝑖𝑖𝑖𝑖𝑖
Kaz nzur 👏 👏
Tamaduni za msifu Bwana
Congratulations
Nice one 👍
Amazing song 🎶🎵
Nyimbo nzuri imetulia nmeipenda mbarikiwe Sana 🙏
Hongeren nzuri
Good song
💖💖💖💖🙏🙏🙏🙏
🤳🤳
💖💖💖
Keep it up, brighta
Edith hongereni wimbo mzuri saana
Danirod
My favorite 😻♥️
Fireee
💟💟
❤🎉
Subscribe..nawewe kazi za wenzako ndo njia nzuri ya kusapotiana
MUNGU NIMWUWEZA WA YOTE.KWAYA TAM SAANA KAMA CHAKULA.MUNGU AWATANGULIE CK ZOOTE ZA MAISHA YENU.
Kazi nzuri mbarikiwe kwa utume