Mimi na nyumba yangu nitamtumikia mbwana, that's what joshua said, mukasa na nyumba yake wameamua kumtumikia mungu..munguawaongoze siku zote za maisha yenu
Mukasa deserves even 100k plus subscribers. He is a legend not only in Tanzania but in E.Africa. Here in Kenya his works are much celebrated. His songs have some touch, some spark that is very special. Mungu akulinde na familia yako.
Asante sana kwa ujumbe iyi yenye mafunzo bora katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
That boy is very inspirational and talented. Obviously anakuja kuvaa viatu vyote vya Mista and Misers Mukasa. Kijana anapiga kinanda, anapiga ngoma na huenda ameshaanza kutunga nyimbo
familia Kama hii mam akiwa jikon utasikia anaimba.. baba seburen nae anaimb watoto uko nje nyumban nao wanaimba.. sidhan kam siku inapit kwao bila kuimbaimba
See how his son is playing the piano while making the moves...that's the sweetness of the word of God..living in His promises..living in Christ....when i grow up this is the type of life I want... making others' lives beautiful ❤️❤️...Mukasa your family is blessed beyond measures...injili isonge mbele 🎉🎉🙏
The song is a self explanatory, that life might look beautiful but we should remember it has an end , so we should strengthen our relationship with God remembering it has an end hoo yes well said
Mungu awabaliki kwa uwimbaji wenu maana kwa hii nyimbo ilivyonzuri mpaka yanifanya niweze kuiangalia wakat wote nawapenda sana pia namm nahitaji kuja kujifunza kinanda maana napenda sana kupiga kinanda mungu awaba riki
Asante sana mwalimu wetu Bernard Mukasa Kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Gonga like Kama unamkubali huyu Legendary 🤝🙏🏽
Ila wewe jamaa Mungu alikuleta Duniani kwa kazi maalumu aliyoinuia hicho kipaji siyo cha kawaida ,Mungu awape maisha marefu mzidi kutuinjilisha💓💓💓💓💓
Mungu awabariki sana
Still listening to this in 2024
Wimbo mtamu sana mwalimu Mr Benard.. Kenya mashabiki wako hapa
Maisha ya binAdam kama maua.🙏.Ni muhimu kutafakari mienendo yetu.
Kwa hakika nyimbo zako ni za wokofu. Mungu aendele kukupa marifa zaidi na akupanuliye njia zako.
Kweli maisha ni kama maua, ni mafupi tu sana cha kushangaza ni hatujui mwisho wake.
Wakati wowote yaweza katika.
Mungu awape afya njema muendelee kumtumikia Mungu daima
Hii ndo moja ya maana kuwa👇
"LAKINI MIMI NA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA"
I love ur ministry jmn
Mnabariki sna😍🙏
Mungu akujalie nguvu ya kuendeleza kaz Yako kwa utashi
Mimi na nyumba yangu nitamtumikia mbwana, that's what joshua said, mukasa na nyumba yake wameamua kumtumikia mungu..munguawaongoze siku zote za maisha yenu
There is nothing more beautiful than someone who goes out of their way to make life beautiful for others.
I am always blessed by song may God blessed you Mukasa and family
Absolutely
Mungu awape maisha marefu na awape nguvu katika utume wenu wa uimbaji mr&
Mrs mkasa
Usiyaishi maisha kwa kujiachia,siyo ya kwetu yana mwenyewe....Ahsanteni sana
Amina
Mukasa deserves even 100k plus subscribers. He is a legend not only in Tanzania but in E.Africa. Here in Kenya his works are much celebrated. His songs have some touch, some spark that is very special. Mungu akulinde na familia yako.
Sure 🎉
Am a Ugandan and I love his songs
Mkuu nakuelewaga sana ila bas tu.
Hujawahi kukosea fundi wangu
jamaniii hako ka malimbaa amizing kweliii #AHSANTEEEE# MAISHA YANACHANUA NA KUNYAAUKAAA KISHA HUDONDOKA CHINIII
Asante sana kwa ujumbe iyi yenye mafunzo bora katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Tuhishi kwa maandalizi ya maisha yajayo, mahana bahada ya maisha haya pana maisha yasiyonyauka
Ubalikiwe na mungu
Hongera sana familia safi. Karibu sana UDOM parish festival mgen rasm
Mungu awabariki sana kwa utume huu wa uimbaji. Ujumbe mzuri sana. Nawatakia mafanikio zaidi 2021
Mungu awabariki sn kwautume wenu
Naipenda sana hii nyimbo munqu akubalkin sana kwa ujumbe mzur
My dream Family❤❤❤am truly Blessed and inspired, God Bless your Family Mr and Mrs Mukasa.. Proud i was born and raised Catholic🙏
This family oh Lord Jesus Christ bless this family more and more
Mungu awabariki kwa utume mwema
Huu ni moto wa kuotea mbali 🥰🥰
Baba mukasa na familia yako Mungu awabariki
That boy is very inspirational and talented. Obviously anakuja kuvaa viatu vyote vya Mista and Misers Mukasa. Kijana anapiga kinanda, anapiga ngoma na huenda ameshaanza kutunga nyimbo
Maisha yanamwisho Kama Maua yanavyochanua lakini mwsho yananyauka na Kudondoka.AMEN🙏🏼🙏🏼
Zaidi ya kukuombea Mungu wetu akupe maisha marefu uzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri
Ofcoz maisha yanaisha.....😭😭,Ee Mungu tujalie ucha_Mungu ili tuurithi ufalme wako🙏
Hongereni sana kwa kazi nzuri sana ya viwango vya juu vinavyostahili
familia Kama hii mam akiwa jikon utasikia anaimba.. baba seburen nae anaimb watoto uko nje nyumban nao wanaimba.. sidhan kam siku inapit kwao bila kuimbaimba
Hakika yananyauka maisha tuishi kwa kupendana daima
See how his son is playing the piano while making the moves...that's the sweetness of the word of God..living in His promises..living in Christ....when i grow up this is the type of life I want... making others' lives beautiful ❤️❤️...Mukasa your family is blessed beyond measures...injili isonge mbele 🎉🎉🙏
❤️🎉
Wimbo mzur sana mwalmu bernad mukasa
The song is a self explanatory, that life might look beautiful but we should remember it has an end , so we should strengthen our relationship with God remembering it has an end hoo yes well said
Nazid kubarikiwa na nyimbo hiz asanten
Hapaa tuu kwenyee huu wimbo ndo hua mnanikoshaa
Mung akubalik kila paitwap Leo mukasa family
Ben Ben Safi sana Mungu awabariki Sana, umetisha Sana Kaka mkubwa
Today I declare my freedom in God from anything that has bound or limited me. God bles you me
nzur nimeipenda mubalikiwe na bwana amina
Ujumbe mzito, Mungu awazidishie mema yake
Hongren sana na familia mung azd kuwasaidia mnatsha
Kwakwel wimbo mzur sana nupenda sana
BABA Mungu awatangulie siku zote za maisha yenu na watoto wenu mzidi kuwabariki watumishi wake waweze kuiga mfano huo mzuri
Tusiyaishi maisha kwa kujiachia utafikiri ni yetu kumbe yana mwenyewe.. duh hapa ndo Patamu ...tutafakari
Mungu azidi kuwahifadhi na asinyamaze juu yenu
Mbarikiwa watumishi wa Mungu hadi raha
Daah mm nashndwa hata kusemaa jaman
viva mukasa, uzidi kukirimiwa mema
ni. kweli. mungu. abariki. wimbo. huu
KAZI NZURI FAMILIA YA B. MUKASA
Kwa hakika ni kipaji Cha pekee Cha familia ya Bernard mukasa mungu awe kiongoz mwema kwny kazi mzr mnayoifanya
inatupasa. tuache. maovu. ili. Mungu. atusamehe
Its like this is 2021 november..another one waitin . beautiful songs indeed
wow Family,,This time you have outdone yourselves
Amina Mungu atusaidie, asante sana kwa ujumbe mzuri 👏
Mukasa Sasa jitahidi hizi nyimbo zako uziwekee sub title ili zizidi kwenda kimataifa zaidi because you are so bright
Ubarikiwe najivunia kuwa catholic hakika utunz wako umetukuka
Tumsifu Yesu Kristo. Kweli maisha ni maua. Tusijisahau sana tunapoishi hapa duniani. Tujue hapa tunapita tu.
Nyimbo nzuri sana,inatukumbusha kwamba dunia nimapito tukeshe nakuomba kila wakati,,,
Mungu akuzidixhie maarifa na ubunif katika kaz yako ya kumxifu Zabr 156:6
Mungu awabaliki kwa uwimbaji wenu maana kwa hii nyimbo ilivyonzuri mpaka yanifanya niweze kuiangalia wakat wote nawapenda sana pia namm nahitaji kuja kujifunza kinanda maana napenda sana kupiga kinanda mungu awaba
riki
Mbarikiwe Sana katika utume wenu
Mwenyezi Mungu awapiganie ktk familia yenu kwakweli inanifurahisha mno
Mungu azid kuinua kipaji chako
My favourite song. Maisha ni Maua.
KAZI yenu haijanawai kufeli naipenda mnooooooo
This should be me and my family in future,,, Mr. Benerd bless me..
God used you to inspire us,,, am In love with the sop part of the song,, Mrs. Mukasa is actually amazing 😍
Nina enjoy sanaaa lazima Sasa kuandaa ziara mbugani kwa location zingine aaaah aise mbarikiwe
Hongera Sana kwa kazi nzuri. May God bless you 🙏 .
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu amina
Hongereni sana familia ya Benard Mukasa MUNGU akubari sana kwa utume
Thanks so much becuase beauty is not in the face; beauty is a light in the heart.
Kwel kabisa nyimbo zako xinaujumbe mzur mung auzdishie
Ahsanteni kwa ujumbe mzuri, God bless you😍
Baba nawapenda mno sijui nifanyaje tu mnanipa raha mungu awatuze na kuwalinda
I like your songs and your family GOD bless you ❤️🙏🙏🙏
Very impressive of you Mr. Bernard Mukasa. I always listen to your songs, its the source of my inspiration and comfort. God bless you and your family.
Mtunzi kweli.baraka tele
Mukasa the master himself God bless you
Asante sana mwalimu wetu Bernard Mukasa Kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
This song is a teaching song be blessed
Uko viziri sana benardi mkasa
Nawafananisha na RUBENI KIGAME WA KENYA MUNGU awabariki kwa kazi hii ya UINJILISHAJI
My dream is to have a family like Mukasa's,
very spirituous and determined to serve the Lord
Woow kwa sauti your songs are perfect
Mungu awabariki sana wapendwa
With lots of love and cheerfuness I'm so much impressed by this evangelizing family. God bless you all!
Ngoma y Aina yke banar👏👏👏👏👏👏🙋🙋🙋🤛🤛
Mungu azidi kukubariki baba
this song sincerely reminds me to live a worthy life coz like a flower life withers away and we are gone
Ila Mukasa unafundisha hata pasipokuingia darasani ety
Very wonderful family indeed
Hongera sana bwana benard mukasa familia yako inapendeza kwakwel MUNGU azid kuwabarid zaid na zaid
God bless the mukasa fml. Your preaching gospel songs bring me near to our Lord.
Mungu awabariki kwa kazi nzuri sn
Nice songs...all the best as u continue serving God
This family is a good example to many families,i love the unity
Such a Blessed family,, You are my role model. May God bless you always
Who is listening this song with me today, n leaving it to play for hours non stop I love it really I do, Anyone with the lyrics kindly
Get blessed more for this gospel music
Namuona mshobozi wa Kesho Kwa kinanda kutoka Kwa Bernard's family
Wow!!! Yaan Natamani nihamie kwa hii family ya Mukasa!!
Isabela Joseph sio wew nataman kujiunga nae kwenye kwaya acha tuu
@@irenatesha5947
Kwa kweli one day nitamtafuta