Nukta mbili kubwa ulizonifurahisha ni kwanza kugundua dhambi kishakujivua kwenye dhambi hiyo kwajili yakutafuta radhi za Allah hongera sanaa dada yangu na lapili ni hapo uliposema hata hayo mambo ya kaswida hutaki kabisa safi sanaa maana makaswida huwenda yakakupelekea kurudi huko huko kwenye mamiziki hongera sana dada yangu Allah wote kwapamoja atupe mwisho mwema
Mungu akulinde dadangu wa kislamu, maisha yenyewe mafupi ,mtumikie mungu wako , achana na ,akina , diamond nawengineo, wamtambulishe,shetani, wewe mtumikie mungu, mda ,ni ,mdogo,
ALLAH akutie strength dadaangu snura huwa ni ngumu siku zote kuchagua njia sahihi utapoteza watu utapoteza marafiki shabiki zako hata baadhi ya watu wako wa karibu ibilisi atakufanya ujihisi mpweke hii ni vita na nafsi yako ALLAH akiwa na wew ni lazima tu utashinda utaonekana wakuja tu jiulize wa kuja nani kati ya sisi na muumba mbingu na ardhi sisi tumekuja juzi tu hapo hata sayari zimetuzidi ziliumbwa kabla yetu sis wanadamu ni washamba tu mbele ya ALLAH tunastaajabu ya dunia wakati hatujaona hta nusu ya uumbaji wake ALLAH atuongoze sote
Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Snura hujui unachoongea...sanaa ni kipaji kutoka kwa Mungu usije hisi muziki ilikuwa akili zako tu za kubuni maisha...rudisha nyuma kauli hizo. Na ishi katika uhalisia wa nafsi na roho yako. Aliyekwambia uache na siyo eti uboreshe zaidi hajui nini amakushauri siajabu nayeye kashauriwa.
Ma Sha Allah!! Allah akuongoze uzidi kufata njia ya haki na uipe mgongo Dunia. Amin
Amiiin kwa sote
Allahuma Amin
Nukta mbili kubwa ulizonifurahisha ni kwanza kugundua dhambi kishakujivua kwenye dhambi hiyo kwajili yakutafuta radhi za Allah hongera sanaa dada yangu na lapili ni hapo uliposema hata hayo mambo ya kaswida hutaki kabisa safi sanaa maana makaswida huwenda yakakupelekea kurudi huko huko kwenye mamiziki hongera sana dada yangu Allah wote kwapamoja atupe mwisho mwema
Mungu. Akuongoze. Leo. Hadi kesho. Akhera.
Umefanya. Lamaana my. Mungu. Akuongoze. Inshaallah
Allah atuongoze sote ummat Muhammad (s.a.w)
Allahuma Amin
@@diyembarak5506
Aamiin Yaa Rabbilaalamin
Ni mfano mzr wa kuigwa hakika mungu akusimamie na akusamehe pale ulipomkosea
Hawachelewi hawa mala utaskia. Nilikua nimechanganyikiwa nimelud kwenye mzk. Kikubwa mungu akuongoze2 usje fanya la mzee yusuph
ALLAHU AKBAR WALILAHY ILHAMDI....MAY ALLAH GUIDE HER AND GRANT HER LAST HUSNUL KHATMA AMIIN
Ni vizuri kujitambuwa mapema na kuchukuwa maamuzi hayo maana maisha ni mafupi mno. Na Allah ubariki sinura❤
Mash Allah hadi raha Mungu akutie nguvu ❤❤❤❤❤❤
Amefanya mmamuzi mzuri sana hatakaa ajute
mashaallah mungu atupe mwisho mwema na mungu amuongoze biidhinillah
🤲''ALLAH SUBHANA WATAALA AKUFANYIE WEPESI''🤲
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi my sister Snura pmoja family yke
Mashaallah tabaraqallah Allah akuzidishie ddngu
Hongera sana dada snura kwangu hayo maamuzi ni bora sana katika maisha ya mwanadamu
Mungu akulinde dadangu wa kislamu, maisha yenyewe mafupi ,mtumikie mungu wako , achana na ,akina , diamond nawengineo, wamtambulishe,shetani, wewe mtumikie mungu, mda ,ni ,mdogo,
Ni kweli mda ni mdogo sana
Mashaallah Mwenyezi Mungu amuongozeee ameen
Amiiiin
Ma sha Allah tabarkallah Allah aguhifadhi mpaka mwisho ya mayisha
i love you snura mshi
Mashaallah Allah akuongoze dada snura😊😊😊❤
Hongera sana, Mungu aendelee kukulinda, na shetani asikurudishe kwake tena
Alhamdulliah! Alhamdulliah! Alhamdulliah. Allah atuongoze sote kwa ujumla na atujaalie mwisho mwema.
🎉🎉 0:58
Mwenyezi Mungu atuongoze sote
ALHAMD LILLAH🎉🎉
Wallah: dadaetu imefunguka mapema ALLAH AYABADILISHE YALE YOTE ULIYOMKOSEA NA KUWA MEMA.
Allah akupambanie dada yng inshaallah umefanya jambo lamuhimu ❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Allah amsaidie asirudi kwa Sanaa
الله اكبر الله اكبر الله الإله إلا الله
ان الله يهدي من يشاء
Mashallh mashallh tabarakal dada usirudi nyuma
Mungu amsimamie inshallah 🙏 ❤️
Alhamdulillah inshallah Allah will be with you
maashallah ALLAH will guide you to the right path
Mashallah tabarakallah alhamdullah Allah atuongoze na sisi
MashaAllah 🤲
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah azidi kukuongoza na kila muislam ameen yaarab kwa ste yaarab tupe mwisho njema ameen
Alhamdulillah 🙏🏼 Allah atupe mwisho mwema in asha Allah
ALLAH akutie strength dadaangu snura huwa ni ngumu siku zote kuchagua njia sahihi utapoteza watu utapoteza marafiki shabiki zako hata baadhi ya watu wako wa karibu ibilisi atakufanya ujihisi mpweke hii ni vita na nafsi yako ALLAH akiwa na wew ni lazima tu utashinda utaonekana wakuja tu jiulize wa kuja nani kati ya sisi na muumba mbingu na ardhi sisi tumekuja juzi tu hapo hata sayari zimetuzidi ziliumbwa kabla yetu sis wanadamu ni washamba tu mbele ya ALLAH tunastaajabu ya dunia wakati hatujaona hta nusu ya uumbaji wake ALLAH atuongoze sote
Masha allah allah amuogoze masha allah
Mashaallah Mashaallah
Alhamdhulillah 🤲
Assalam aleykum dada snura nakuombea allah akuongoze yarab
Allah akuwezeshe na akupe msimamo
Mansha Allah 💚💚💚💚💚💚👍👍👍
Allah azidi kukupa imani na dini yako inshaallah❤
Mashaallah tabarak Allah dadangu Allah atuongoze kheri sote
Masha Allah. Allah akuwezeshe atupe mwisho wema
Mashaallah Allah akusimamie
Maa shaa llah ❤ Allah atuongoze sote ❤
Inshallah mungu atakupa ridhk.kwa.njia.nzur
MashaAllah may Allah bless you
Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Mashaalla Mungu atupe mwisho mwema lshaallah🤐
Niko Rwanda 🇷🇼 lakini dada yangu nimefurahi sana Allah atakupa Akhera na Kama una mume amefurahi sana
Allah yahdii man yashaau 🤲🤲
MashaAllah Allah akuongoze wewe na sisi na atupe mwisho mwema 🙏🙏🙏
Snura hujui unachoongea...sanaa ni kipaji kutoka kwa Mungu usije hisi muziki ilikuwa akili zako tu za kubuni maisha...rudisha nyuma kauli hizo. Na ishi katika uhalisia wa nafsi na roho yako. Aliyekwambia uache na siyo eti uboreshe zaidi hajui nini amakushauri siajabu nayeye kashauriwa.
Hongera sn ndugu Allah akuongoze ww na sisi
Allahumma baarik habibty
Mashaalah...... mungu akupe mwisho mwema
Mashalah
Ma shaa allah
Masha allah mungu akufanyie wepesi kwakila jambo
mansha'Allah ALLAH Akuraisishie usirudi tena
Afute nyimbo zake zote zinazomkufuru MUNGU ulimkosea sana Mungu kwa wimbo wa chura umeleta uharibifu mkubwa sana kwa watoto
Mg akuongoze dada angu
Mashallah tabaraka llah jamani Allah amzidishie Subra aache kweli
Ishaa Allha ah mungu akuongoze dada
Muhimu asiwe kama Mzee Yusuf
Mungu akulinde na mitihani ijayo
Allah akubariki kila la kheir na baraka Insha'Allah Amiin
Mashallah❤❤
Mashallah Allah
Maashaallah Allah akuongoze kwakweli
Allah akujaliye kher na baraka my ❤❤
Allah atuongoze waja wake.
Masha ALLAH
Macha Allah Allah akufanyie wepesi
Mansha allah kheli
Allah akuongozee, ila pia usije ukasema unasoma Qaswida kwa kutia mziki Allah huko pia akuepushe
Nzambe yoka na nzoto ma sœur
Mashaa Allah umefanya jambo la maana hakuna jipya Duniani dunia wenyewe ya Mwisho tena mungu atupe mwisho mwema
Maamuzi sahihi na Allah akuongoze.
Manshallah very good
Mashaallah mungu atakuongoza
MashaAllah tabarqAllah
Hongera bibie Allah akujaze kheir
Mungu akuongoze sana Dada
Maashallah mungu akuongoze❤❤
Mashallah
MashaAllah ❤❤❤❤
Ma sha allah
Mdg wangu mungu akupe thabati ktk dini
Inshallah mwenyezimungu amsimamie
Kriisi kweli wewe nimtangazaji mzuri sanaaa unajuwa kuuliza maswali mazuri sana mungu azidi kukuongoza ufike mbali zaidi
إن الله غفور رحيم
Mashallah Allah akuongoze
Mashaallah❤ 😅kwanini nimecheka amesema shida nikwaba ni😅
ManshaAllah ManshaAllah tabarakaAllah hongera sana Allah atujaliye mwisho mwema sote amin amin
Allah akupe jann❤❤❤❤❤
Hongera sana dada yangu mungu akuzidishie
Mashaallah Allah akupe ithbat katika dini na akupe mwisho mwema
Mashallaah allah akuongoze ktk njia ya haki hio hio mpk kufa kwako na ukaingie ktk pepo ya firdausi