Ndugu zangu nyakati za mwisho kutatokea manabii wa uongo watakao kuja kwa kujitaja wao ni manabii wa kweli kumbe ni waongo zumaridi ni pepo ashindwe kwa jina Yesu aliye hai
Hongera Sana wastara, ni vizuri hukufika huko Kwa zumaridi, Mimi najiuliza swali, kama zumaridi anaitwa Baba na waumini wake, watoto wake watamwitaje? Upo Sawa kabisaaa wastara
Kuna Lafiki yangu kafirisika sababu ya Zumalidi Alikua na Duka Mbezi mwisho na alikua ananishawishi sana na mimi niingie huko nilikataa. yani mtu upo Dar fungu la kumi unamtumia Zumaridi kwenye M . Pesa na kuna wakati alikua akisafiri kwenda Mwanza Wiki mbili yupo huko yani
@@dianadenis7557 sio kwamba MAKANISA ya historia ambayo labda yanafahamika sana au yanamiaka mingi ndio yakweli laa,KANISA LA KWELI NI LILE LINALOFUNDISHA NA KUISHIKA KWELI YA MUNGU haijalishi ukale au upya wake maana Yako ya kale ambayo wengi huyadhani kuwa ni mazuri au ya kweli kmbe ndio ya hatari kuliko kasri la ZUMARIDI maana afadhari na Kwa ZUMARIDI hata kipofu asiywah kusoma Biblia akisikia tu maongez yake anajua ni safina ya kuzim ila yko ya wale wavaao ngoz y kondoo kmbe UKWELI n mbwa mwitu hayo ndio ngum sn kuyajua hata waliondani yke ni ngum kugundua maana yanatumia uongo ulokwenda shule kiasi had WENYE PhD wametekwa humo na Wala hawajui km wamekalia mtego
Na binadamu sisi tu watu wa ajabu sana hata fikra zetu nazi ni za ajabu ina maana hata kupambanua mambo tunashindwa, Zumaridi huyu kiukwel Mungu atusaidie sana. Binafsi siamin ktk watu kama hao naamin yupo Mungu aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja Mwenyezi.
Siyo tu tapeli Bali ni mchawi aliyeridhi uchawi wa babu zake familia iliyopata aibu kubwa wakati wa kuhamia vijiji vya ujamaa misukure iliwashinda kudhibiti wakawa wanazagaa ovyo kwenye vichaka na miji ya watu.
Mie nakuunga mkono Dada ake zumaridi sio tapeli ni mwehu kabisa anatakiwa apelekwe milembe kabisa ila hilo sio yeye wapo wengi sana Bongo tena hapa Dar kaka zake wamejaa kila kona kina Mwamposa na nk
Dada wastara uko vizuri umewazidi hata hao wanaomuabudu mwanadamu japo ni mwisilamu lakini umewazidi hao ambao wanabiblia lakini wanamwabudu mwanada Mu maana ya mkrito ni mtu anayefwata njia za kristo ila yeye anamkana kirsto na biblia ina sema njia yetu wakristo ya kumuona mungu ni kristo mm mwenyewe hajanishawishi hata angegeuza maji kua maziwa mmmmmm mungu saidia watu. Wako
Naungana na wewe wastara zumaridii tapeli mkubwaa shetani wa kuzimu eti anaombea Kwa jina la mfamle zumaridii na watu Bado hawajashtuka hawaombi Kwa jina la Yesu
Mzee kitu chochote OG ndicho kinakuwa na coppy, kitu fake hakina coppy ..shtuka bab, njia ya kweli ni Kristo tu. awa wa sasaiv sisi hawatushtui, coz washatabiliwa ....ni lazma wawepo
Ha ha haaaaaaaa! Eti unaonaga mazombi,waombee Isay42:22 inasema" lkn watu Hawa ni watu walioibwa na kutekwa,wameweka KTK mashimo" magereza ya KIROHO" Wala hkuna asemaye rudisha" Ukiona mtu yyte anafnya jmbo ambalo yamkini kila mtu anashangaa,la uasi au DHAMBI,ujue kwenye ULIMWENGU WA ROHO NAFSI ya mtu huyo imetekwa,amekamatwa na kufnywa mtumwa WA jambo Hilo anapelekeshwa na nguvu za mfalme WA anga roho yule WA uasi( Efeso2:1+) Kwakuwa ametekwa bc hwez kujinasua na anahtaji msaada ktoka nje yake Ili aweze kuachiliwa! Hvyo km n mwombaji waombee,mwambie adui RUDISHA ,
Hata kama zumardi mkosefu ila Huyu mama anakosea? Coz Mungu hajaribiwi...hata Yesu aliambiwa abadili jiwe n.k ila akamwambia shetani usimjaribu Bwana Mungu wako, sasa eti akawaokoe wafungwa na awatajilishe.
Yani kama tukisema matapeli basi wakina Kakobe ndio matapenga sio mataper . maana wao ndio wezi tangia watu tupo wadogo mpka leo wameingiza kias gani.mbona wao hawa kamatwi?tusiangalie upande mmoja.mwenye hofu ya mungu hawezi kuogopa kuongea ukweli.
@@priscaphedrick2396 yule ni binadamu kama alivyo kakobe.katka imani kila mwanadamu anahaki ya kuabudu anacho amini.kama swala la kuwatorosha watu mbona Hakuna ripoti yoyoyte ya kutafutwa kwa mtu ata mmoja. Kati ya watu aliokuwa nao kama Kweli aliwatorosha.walitafuta njia ya kusingizia ili waweze kumkuta na kesi ya kujibu.hakuna mkamilifu tusipende kuhukumu.
Kwa Imani yako hiyo uliyo nayo MUNGU amekujalia uwezo na
Neema ya kupambanua haya mambo, umenena vyema MUNGU akutunze na akulinde dada Wastara
Ndugu zangu nyakati za mwisho kutatokea manabii wa uongo watakao kuja kwa kujitaja wao ni manabii wa kweli kumbe ni waongo zumaridi ni pepo ashindwe kwa jina Yesu aliye hai
Hongera Sana wastara, ni vizuri hukufika huko Kwa zumaridi, Mimi najiuliza swali, kama zumaridi anaitwa Baba na waumini wake, watoto wake watamwitaje? Upo Sawa kabisaaa wastara
USIACHE KUANGALIA MADORA TV NA USISAHAU KUSUBCSIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA
Mungu akulinde dada wastara
Kuna Lafiki yangu kafirisika sababu ya Zumalidi Alikua na Duka Mbezi mwisho na alikua ananishawishi sana na mimi niingie huko nilikataa. yani mtu upo Dar fungu la kumi unamtumia Zumaridi kwenye M . Pesa na kuna wakati alikua akisafiri kwenda Mwanza Wiki mbili yupo huko yani
Mwombee
Ujinga wake kuliwa watu wanapenda kukimbili mkanisa wasiyo yajua kanisa pekee ni ya historia
@@dianadenis7557 sio kwamba MAKANISA ya historia ambayo labda yanafahamika sana au yanamiaka mingi ndio yakweli laa,KANISA LA KWELI NI LILE LINALOFUNDISHA NA KUISHIKA KWELI YA MUNGU haijalishi ukale au upya wake maana Yako ya kale ambayo wengi huyadhani kuwa ni mazuri au ya kweli kmbe ndio ya hatari kuliko kasri la ZUMARIDI maana afadhari na Kwa ZUMARIDI hata kipofu asiywah kusoma Biblia akisikia tu maongez yake anajua ni safina ya kuzim ila yko ya wale wavaao ngoz y kondoo kmbe UKWELI n mbwa mwitu hayo ndio ngum sn kuyajua hata waliondani yke ni ngum kugundua maana yanatumia uongo ulokwenda shule kiasi had WENYE PhD wametekwa humo na Wala hawajui km wamekalia mtego
Wastara yupo vizuri... ni Mwislam lkn ameelewa mchungaji na mtapel
Yeye amrudishe mmoja sio kelele zake tu😊
Na binadamu sisi tu watu wa ajabu sana hata fikra zetu nazi ni za ajabu ina maana hata kupambanua mambo tunashindwa, Zumaridi huyu kiukwel Mungu atusaidie sana. Binafsi siamin ktk watu kama hao naamin yupo Mungu aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja Mwenyezi.
Huyu mwandishi nakumbuka aliwahi kuhojiwa akaulizwa una mchumba??.😂😂😂😂 Akakimbia, huyu mwandishi kiboko😂😂😂😂😂
ninachofurahi. Wastara nimuelewa pia kaenda shure alizani atakuchota
Siyo tu tapeli Bali ni mchawi aliyeridhi uchawi wa babu zake familia iliyopata aibu kubwa wakati wa kuhamia vijiji vya ujamaa misukure iliwashinda kudhibiti wakawa wanazagaa ovyo kwenye vichaka na miji ya watu.
Mie nakuunga mkono Dada ake zumaridi sio tapeli ni mwehu kabisa anatakiwa apelekwe milembe kabisa ila hilo sio yeye wapo wengi sana Bongo tena hapa Dar kaka zake wamejaa kila kona kina Mwamposa na nk
Serikali ilikuwa wapi mtu huyu katesa watu wke na kujenga mijengo ya gharama hivi !
Dada wastara uko vizuri umewazidi hata hao wanaomuabudu mwanadamu japo ni mwisilamu lakini umewazidi hao ambao wanabiblia lakini wanamwabudu mwanada
Mu maana ya mkrito ni mtu anayefwata njia za kristo ila yeye anamkana kirsto na biblia ina sema njia yetu wakristo ya kumuona mungu ni kristo mm mwenyewe hajanishawishi hata angegeuza maji kua maziwa mmmmmm mungu saidia watu. Wako
Kwani muislamu ndio nini hujui huyu ndiye mwenye dini unachukulia kama mtu ambaye hamjuimungu
Uko vizuri Hilo Bibi ni tapeli
Yule mama tapeliiii mwiziiii
Naungana na wewe wastara zumaridii tapeli mkubwaa shetani wa kuzimu eti anaombea Kwa jina la mfamle zumaridii na watu Bado hawajashtuka hawaombi Kwa jina la Yesu
Tanzania tukaze buti, na hili la Zumaridi litapita tu !
Hongereni Madora Tv Kazi Nzuri Sana
ASANTE SANA
Nitelewa Nini?
Nitaelewa Nini?
Zumarid i hayupo kabisa katika Ukristo,ni ushetani,wakristo jifunzeni mnashobokea sana miujiza ya uongo,miujiza si rahisi kama kujisanaidia
AMENI
Dada mwaya usidhubutu kwenda kwa huyo chiz anayejiinua ,maana inaonyesha anaweza kukuuwa mama
Yeah ukosawa sana umeelimisha dya nakupenda mno
ASANTE USIACHE KUTAZAMA MADORA TV
@@madoratv nitaacha kutazama na nikifa🤣
nimemuona na mama yake. anamusujudia na mama anamuita Mungu mtoto wake jamani
hiyo ndio dunia
ili
Ha haaaaaaaa una akili sana dada!
Dah upon vzr dada wastara
USIACHE KUANGALIA MADORA TV NA USISAHAU KUSUBCSIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA
Wastara unadanganya kuwa na hofu ya Mungu
Kudadadaki mwishoni wa Dunia watatokea miunngu wengi tu . Hahaha huyu mungu mwanamke. Hatari jamani
Nimekupenda Sana umeongea ukweli wastala
Afilisiwe, katapeli watu !
Ila wastala umenenrpa duu hapo mguu lazima ukusumbue.
Uyo ni sheteni
Utapeli, kupotosha, .. aje mwanaume kupigia mwanamke magoti kamuita Mungu?
Yani_anavituko_ZUMARID_jaman_Mtihan
Wastara una elimu sana
😂😂😂😂😂😂😂
Siyo tapering tu bari ni shetani kabisa
Poleni sana wakristo na dini yenu ya UONGO 😳
Mzee kitu chochote OG ndicho kinakuwa na coppy, kitu fake hakina coppy ..shtuka bab, njia ya kweli ni Kristo tu. awa wa sasaiv sisi hawatushtui, coz washatabiliwa ....ni lazma wawepo
Waambie waelewe sio ya kweli ndoomaana inachezwa hovyo 🐈 steji ya kujiita Mungu wakristo bwana
daaa mhhh
Nikwel unachosema hatuwezi kumwomba mtu aloumbwa bali aloumba
AMENI
Mbona ana deal na familia za mastaa
😆😆😆😆😆
Ila ZUMARIDI Mh
ameshindikana
Alikutapeli Nini?
@@siwemamohamed354 SIKILIZZA VIZURI UTAELEWA TU
@@madoratv nitelewa Nini?
@@madoratv wenye Mungu wao hao .huna lakuwambia wakaelewa
Mie naonaga mazombi pale
Ha ha haaaaaaaa! Eti unaonaga mazombi,waombee Isay42:22 inasema" lkn watu Hawa ni watu walioibwa na kutekwa,wameweka KTK mashimo" magereza ya KIROHO" Wala hkuna asemaye rudisha"
Ukiona mtu yyte anafnya jmbo ambalo yamkini kila mtu anashangaa,la uasi au DHAMBI,ujue kwenye ULIMWENGU WA ROHO NAFSI ya mtu huyo imetekwa,amekamatwa na kufnywa mtumwa WA jambo Hilo anapelekeshwa na nguvu za mfalme WA anga roho yule WA uasi( Efeso2:1+)
Kwakuwa ametekwa bc hwez kujinasua na anahtaji msaada ktoka nje yake Ili aweze kuachiliwa! Hvyo km n mwombaji waombee,mwambie adui RUDISHA ,
Haiseeeeeh
ASANTE KWA KUTAZAMA MADORA TV
Hata kama zumardi mkosefu ila Huyu mama anakosea? Coz Mungu hajaribiwi...hata Yesu aliambiwa abadili jiwe n.k ila akamwambia shetani usimjaribu Bwana Mungu wako, sasa eti akawaokoe wafungwa na awatajilishe.
ASANTE
Pereka ushamb wastara anaongea ukweli
Rafd
Dada hekima yako yatosha nadhani wengi wameelewa kupitia wew My sister
Yani kama tukisema matapeli basi wakina Kakobe ndio matapenga sio mataper . maana wao ndio wezi tangia watu tupo wadogo mpka leo wameingiza kias gani.mbona wao hawa kamatwi?tusiangalie upande mmoja.mwenye hofu ya mungu hawezi kuogopa kuongea ukweli.
AMENI
Usimgananishe mchungaji kakobe na zumaridi
@@priscaphedrick2396 yule ni binadamu kama alivyo kakobe.katka imani kila mwanadamu anahaki ya kuabudu anacho amini.kama swala la kuwatorosha watu mbona Hakuna ripoti yoyoyte ya kutafutwa kwa mtu ata mmoja. Kati ya watu aliokuwa nao kama Kweli aliwatorosha.walitafuta njia ya kusingizia ili waweze kumkuta na kesi ya kujibu.hakuna mkamilifu tusipende kuhukumu.
Dada komaa na sanaa achana na mambo ya watu
AMENI
Usimkomeshe acha aseme ukweli watu wafunguke
Jamani tusuhukumu mwache Mungu afanye yeye
AMENI