MWAMAKULA aungana na LEMA KUMSILIBA NABII GEO DAVIE "ULE NI UTAKATISHAJI FEDHA NA KUSAKA UMAARUFU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มี.ค. 2023
  • MWAMAKULA AUNGANA NA LEMA KUMSILIBA NABII GEO DAVIE "ULE NI UTAKATISHAJI FEDHA NA KUSAKA UMAARUFU"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

ความคิดเห็น • 186

  • @lastonsimon2932
    @lastonsimon2932 ปีที่แล้ว +5

    Nashukuru sana askofu kupaza sauti hakika unasimamia ukweli wengine hawana ukweli mungu atupe ufunuo

  • @johnmsambuzi9094
    @johnmsambuzi9094 ปีที่แล้ว +3

    Asante mch,mwamakula hao wanaojiita manabii,watugani wanafeza za mashoga,nakumbuka wakati vyama vinaruhusiwa kuanzishwa mwaka 1992 kiongozi mmoja aliwahi kusema,vyama vyote vpewe feza naserikali,lengo wasiluhusiwe kutafuta pesa popote,wanafeza wakachukua pesa za wauza madawa ushoga nk

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว +7

    Mwamakula unabuthara Sana mungu akurinde ameni

  • @josephsilupya6013
    @josephsilupya6013 ปีที่แล้ว

    We mtumishi ndani yako amnaofu ya Mungu unaongeya ujinga tu na neno la Mungu alimo ndani yako

  • @johnjeremiah5117
    @johnjeremiah5117 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hivi mmeshindwa kutafakari habari za Mungu na kuhubiri injili kwa mataifa tote hata ifikie hatua ya kumjadili mtu mmeishiwa sera maaskofu Goe Deve Acha afanye kazi Alioitiwa acheni kusema vibaya kuhusu mtu wa Mungu hata kama unajua hayupo sawa wewe ni nani uhukumuye

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 ปีที่แล้ว +5

    Umeongea point sana, tuwe na mfumo wa kutatua majanga kama haya pindi yanapotokea

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika ปีที่แล้ว

    Enyi Wakristo nawaonya kwa Jina la YESU MWOKOZI acheni malumbano katika utumishi wenu. Msiwe wasemaji na kunyooshea vidole. ( Onyaneni kwa Zaburi na kuonyana kwa upole). ( Tutaacha kuzaraulika kwa tabia hii ya kulumbana kila wakati?). Tunajenga Ufalme wa Mungu mkuu wote haya yote ya nini?. (Hakika YESU MWOKOZI ATUPE HEKIMA WATUMISHI WAKE). AMEN.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว +1

    Katholic wamejenga karibu Tanzania nzimaa hii. Lakini hawajawahi kutajitangaza , lakini yanajionyesha yenyewe. Siyo kujitangaza na kujigamba. Tufungue macho jamani, siku za mwisho ndo hizii. Tunaziona , na kusikia wenyewe. MOTO UNAKUJA UKO MBELE YETU. NA WALA SIYO SIKU NYINGI.😊😊

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว +3

    Gordevie ninabii wa kishetani sio mtumishi wa mungu kabisa

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj ปีที่แล้ว +1

    Ni kawaida sana kanisa kusaidia Jamie,ni mojawapo ya kazi za kanisa.hiyo ni political inferiority.Amen sana.

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 ปีที่แล้ว +1

    Huyo hana kitu hiyo million 💯

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi umeongea kweli
    Kila siku najiuliza,Je ! Serikali inajua chanzo cha hizo pesa ????
    Labda ni " utakatishaji " 😳

  • @dobidotz3696
    @dobidotz3696 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmm happy si sawa, kama mfumo haupo tunafanyaje? Kwahiyo watu wasipewe msaada? Tuache haya mambo, Baniani mbaya kiatu chake dawa.

  • @sokoinemallya3395
    @sokoinemallya3395 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana baba .askofu wee mkweli sana

  • @febronialyimo8585
    @febronialyimo8585 ปีที่แล้ว

    Askofu you are very right. Hiyo hela ni upepo na wanaopokea kamwe hawawezi kuja kufanya lolote. Anajua wakienda kanisani kwake watatoa sadaka nono. Ananunua watu na kufarakanisha wake za watu.

  • @mangapastortee3038
    @mangapastortee3038 ปีที่แล้ว +5

    Iweni na shukrani,,mtu akiwafadhili anatenda Kwa moyo,,na maskini hatuwezi kuwamaliza...mzee unapotea

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว

      KWELI AMEPOTEA HUYU ANATUMWA KISIASA

    • @mwajumamussa3988
      @mwajumamussa3988 ปีที่แล้ว

      sasa watu wasipate msaada kwa muda huu wa matatizo , mimi sioni tatizo watu kusaidiwa .

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +6

    kueleweka anaeleweka...lakini asipangie watu watumiaje pesa zao,,kila mtu apange mambo yake mradi haubugudhi watu,,it's okay👍

  • @winnerstv421
    @winnerstv421 ปีที่แล้ว +6

    You are very sure sir bishop

  • @amedeusshirima6982
    @amedeusshirima6982 ปีที่แล้ว +2

    nabii yule niwamchongo kbsa sisi tulio namungu ndani yetu tunawajua manabii wamchongo juu tumejaa marifa ndani yetu

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 ปีที่แล้ว

    Definitely

  • @lembriskivuyo9178
    @lembriskivuyo9178 ปีที่แล้ว

    Mbona mnamjadili Joe Dev Sana kwani kuwasaidia watu Ni kosa.mbona wazungu Kila siku wanatoa pesa afrika .mbona hamjwasemi? Acheni wivu Mungu anawajuwa walio wake

  • @kwizerahakili-vc4ly
    @kwizerahakili-vc4ly ปีที่แล้ว +1

    Kusaidia watu kunaitaji utaratibu!!? Nabii amesaidia wenye uhitaji. Yupo sahihi. Hayo mengine ni siasa tu.

  • @JacksonNainyeye-do9yj
    @JacksonNainyeye-do9yj ปีที่แล้ว

    Safi mchungaji umeongea sahihi

  • @josephsilupya6013
    @josephsilupya6013 ปีที่แล้ว

    kama angekuwa ni diamond njo aliwasaidiya usingelisema ayoyote Mungu anambariki MTU ili naye awasaidiye WENGINE una roho mbaya sana wewe na Mungu ayumo ndani yako maana Mungu ni upendo

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 ปีที่แล้ว

    Akili nyingi wewe unayo hongera sana,

  • @odilomagungu8803
    @odilomagungu8803 ปีที่แล้ว +3

    Huyu nabii ni tapeli

  • @karimmveyange2558
    @karimmveyange2558 ปีที่แล้ว

    Wa TZ bwana ni kama wamerogwa vile mbongo zao. Nchi ilishambuliwa na mafisadi kwa miongo kadhaa ,watu wakalalamika,alitokea mtu akawadhibiti nakuanza kuinyanyua nchi kama muujiza vile. Mkalalamika oooh anavunja haki za binadamuuu.Hayupo, tumerudi kuleee chini ,Mnalalamika tena , hata akitokea mwenye nazo hajawaibia ,akasaisia watu, naye eti nimbaya? Vichwa vya ajabu mbele ya Mungu

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa dini acheni siasa, wana siasa wafanye siasa waachane na kuhubiri dini, na watu wa dini endeleeni na dini acheni siasa. Ila kusaidia jamii lisiwe jambo la kisiasa, we kiongoz wa kidini Kila siku mikutano ya kisiasa lin umewah kuwa na mkutano wa injili

  • @thomasmagoti9040
    @thomasmagoti9040 ปีที่แล้ว +1

    Watumishi wa mungu wataangamizwa kwa roho zao mbaya, watu wamepatwa na shida wasisaidiwe kwel??? Mh Mungu ni mwema

  • @philbertchristian7166
    @philbertchristian7166 ปีที่แล้ว

    Hapa natofautiana na Askofu kidogo japo naheshimu mawazo yake. KUSAIDIA wahitaji ni tendo la huruma na linalopaswa kufanywa na kila mtu aliyeguswa. Swala la mtu kutafuta umaharufu au kutakatisha fedha, ni vigumu kulidhibitisha maana linamuhusu mtu mwenyewe na dhamira yake. Kauli kama hizi zinaweza kuwavunja moyo watu wenye nia njema ya kusaidia.

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว +1

    Hamna Askofu hapa

  • @christineaimtonga1787
    @christineaimtonga1787 ปีที่แล้ว +4

    Baba askofu umenena vema isipo kuwa wengine hawawezi kukuelewa

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 ปีที่แล้ว +5

    Kama angeleta kwenye kanisa
    Lako kama sadaka ungemrudishia?

    • @officialmubytz1076
      @officialmubytz1076 ปีที่แล้ว

      Uko sawaaaa
      Tatizo sisi tunafanya kazi ya mungu
      Tunahukumuuu

  • @edwintigwela6394
    @edwintigwela6394 ปีที่แล้ว +7

    Baba askofu mungu akubariki huo ndio ukweli watanzania tunashikiwa Sana akili

    • @masakamgalla9273
      @masakamgalla9273 ปีที่แล้ว

      Hata yeye mwenendo wake una mashaka kwa tunaomfuatilia. Tunashindwa kumjua yuko upande upi, wa dini au siasa. Aidha hatuwezi kuhitimisha maana maswala ya imani ni ya ndani ya mtu mwenyewe

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

    🤔 ukisikiliza kwa umakini kuna vituunavipata. 🤝🌹

  • @chuwimkali547
    @chuwimkali547 ปีที่แล้ว +4

    Kama soko limeunguwa naselikali ilikuwaikichukuakodi inapaswa selikalindio ilijengeilosoko

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @enocksosthenes4505
      @enocksosthenes4505 ปีที่แล้ว

      Serekali inaweza kujenga soko lingine ila mali zao je? Unauza mchele magunia matatu ndo mtaji ukayawekee bima ya 100,000 itakuwa akili matope tujaribu kifikiria aina za biashara zinazofanywa masokoni na gharama za BIMA na ndo maana sionlazima kiwa na BIMA ni hiari ya mfanya biamshara .

    • @allabout1783
      @allabout1783 ปีที่แล้ว

      Acha nafasi basi kila baada ya Neno ndugu!

  • @mongeza
    @mongeza ปีที่แล้ว +3

    Kwa kauli yako watu wa nje ya kanisa hahawezi kusaidiwa hata siku moja

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

      Elewa anachokizungumza. Msaada unaanza ndani kabla ya nje. Je, yeye kuanza nje inamaana ndani hakuna wenye matatizo!?

  • @Veni584
    @Veni584 ปีที่แล้ว +5

    Hawa wamelambishwa asali wamehama kukosoa serikali sasa wanataka asali tena kwa nabii wanadili na wenye hela sasa

  • @josephsilupya6013
    @josephsilupya6013 ปีที่แล้ว

    toka ulianza kuvaa iyo cheo ya utumishi auyajuwaka kwamba Mungu niupendo atabima isaidiye 100% aijakuwa sababu mtu mwengine asisaidiye acheni wivu biblia inasema heri mkono wakutiwa kuliko wa kupokeya na mwasaidiyeni waomba

  • @lembriskivuyo9178
    @lembriskivuyo9178 ปีที่แล้ว

    Hivi pesa wazungu wanaletaga uku afrika mnajua zinapatikanaje.

  • @enocksosthenes4505
    @enocksosthenes4505 ปีที่แล้ว

    Nadhani tunahitaji kuwa na uelewa. Anaulizwa kitendo cha nabii kutoa fedha kwa waathirika wa soko kuungua na yeye analeta swala la lema. Swala la mfuko nadhani utalaumu mfumo kwa makosa binafsi leo kwenye Bima ya gari mfano kuna third party na comprehensive na ni uamuzi wawenye chombo na ipo hivyo kwa pikipiki. Hanuna tofauti. Ukikata bima ya comprehensive utalipwa asara inayopatikana ila ukiwa na third party atahudumiwa uliyemuatjiri pekee hivyo bima si shida. Swala la bima ya fya ni tofauti na kwa taifa letu haiathiri kundi moja tu la bodaboda watu wote wanachangamoto ya bima na ndo maana tunaelekea kwenye bima kwa wote. Hivyo hata kwenye masoko bima haijawekwa kama lazima hivyo ukiona kuna risk unaruhusiwa kuweka bima.

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li หลายเดือนก่อน

    Huyoo sio nabii ni msani ndugu zangu huyoo hapo sio nabiii ni katika wale mashetani mnao watafuta binadamu waungane nae mungu azihakiwi apo mjifunze huyoo na zumaridi amna tofauti jodevi sio nabii ni mtu tu wakawaida

  • @kambanimwanyulu7570
    @kambanimwanyulu7570 ปีที่แล้ว

    Huyo Gambo aliwahi kuzuia michango ya watu wakati basi lililo oata ajari na kuua wanafunzi.

  • @linusigeorge7404
    @linusigeorge7404 ปีที่แล้ว +1

    Uyu anawanyanganya maskini kanisan kwa kutumia jina la mungu ndizo andizo anatafutia kiki

  • @wanainchitvrdc6705
    @wanainchitvrdc6705 ปีที่แล้ว

    Excellent

  • @mollelmelita8106
    @mollelmelita8106 ปีที่แล้ว +1

    Ww mwamakula acha hizo ww sio mwanasiasa so acha siasa nashangaaa unamtetea lema maana ni mwanasiasa

  • @manilabonalumanula9210
    @manilabonalumanula9210 ปีที่แล้ว +1

    Tuangalie msingi. Kwa hiyo wale watakaopenda dhambi na baadaye wakatubu na kuwa na utii hadi siku ya mwisho, watakuja kuhesabiwa dhambi?

  • @msafirikalinga6938
    @msafirikalinga6938 ปีที่แล้ว

    Akiwasaidia wafanyabiashara maana yake amewasaidia hata hao walemavu coz wengi ni ndugu wa wafanyabiashara na wanawategemea pia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +1

    Bakari Nduwimana umenifurahisha🤣🤣

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +1

    Huyu askofu vp, kwa Tanzania hapa uliona wapi wafanya biashara sokoni wana kata bima😄😆nyumba yenyewe watu hatukati bima

  • @hekimazaustaadhmashaka9724
    @hekimazaustaadhmashaka9724 ปีที่แล้ว

    Kwanza NABII MKUU hakukurupuka,aliombwa na Uongozi wa Solo la SAMUNGE kwa muda mrefu ndipo alipoamua kwenda kuwasaidia

  • @josephsilupya6013
    @josephsilupya6013 ปีที่แล้ว

    we ni mfarisayo wewe PESA yako unazitowaka wapi kama we ni maskini yeye nitajiri hela anazo na amesha saidiya WENGINE zaidi ya ayo Yesu alipomponya mgonjwa siku ya sabato mafarisayo wakachukiya sana ndiyo watu kama wewe

  • @florencemwanansao834
    @florencemwanansao834 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anaejiita nabii mkuu anataka umaarufu wa kipumbavu. Msaada wasaidie wasio jiweza kuna vilema wengi nchi hii. Vipofu viwete yanima nk. Kuwapa wasanii magari na wafanya biashara pesa huu ni ujinga wa FREEMASON. tujielewe unamoaje mtu msaada wa pesa mwenye pesa. Huu ni ujinga sana. Hii ni kaz ya shetani

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 ปีที่แล้ว

    Kwa mfumo wa nchi yetu kwa wafanyabiashara wadogo au wajasiriamali wengi hawana au hatuna bima..sasa kwa mfano imetokea umepatwa na shida, mtu mwenye nia njema asikusaidie?? Afu inabidi tuelewe mfumo wa kanisa katoliki katika kuidhinisha utoaji wa hela unaweza ukawa tofauti na mfumo wa dhehebu analoliongoza huyo anayejiita nabii mkuu kwahiyo tusipende kudisi kila kitu ambacho mtu anafanya.

  • @chalessabaya2938
    @chalessabaya2938 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu anawasaidiaga wengi sana ndani ya kanisa acheni kuongea kitu msichokijua huo nyundo anaogongaga kanisani ni ya nn?

  • @gaitamaemmanuel
    @gaitamaemmanuel ปีที่แล้ว

    Aslofu kila siku kwenye siasa😮

  • @karimmveyange2558
    @karimmveyange2558 ปีที่แล้ว

    kama huo nisawa na utakatishaji fedha na mnaongea sana kama vile nikweli,mbona watu wa kanisa waligawiwa magunia ya fedha za watanzania mwaka ule mbona mlikaa kimyaaa?Rugemalila Funds escro.Mwacheni huyo aliye toa mfukoni mwake hakuiibia nchi kama Tegeta Escro.Anzeni na hilo kwanza

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 ปีที่แล้ว

    Usiseme imesukwa mtu akienda kulalamika kanisani kosa liko kwa aliyelalamika sio aliyetoa msaada mbona lawama kwa nabii? Ww Samunge hukujua walipata majanga? Tatizo la watu ni ubinafsi wale watu walikosa mitaji na mali zao ziliteketea mlitakaje?

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 ปีที่แล้ว

    Ana mpinzani

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +1

    Watu hawajui kua Joe Dave ni mfanya biashara wa madini na biashara zingine, hata hategemei sadaka.

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 ปีที่แล้ว

    Unajua hizi siasa tunavyozitumia ipo siku watu watakosa misaada kwa hiyo hata wale waliotoa misaada kwenye maafa uturuki nao ni wahuni???
    Me naimani sisi binadamu hakuna aliyekamilika bt Dk.Geo alitoa kwa wema tu Leo katoa 100m matumbo joto tu

  • @winygidarossa9472
    @winygidarossa9472 ปีที่แล้ว

    Kwani samunge imeunguwa Leo? Mkubwa wapi siku Zote

  • @sebastianmwaphe497
    @sebastianmwaphe497 ปีที่แล้ว

    Askofu!!! Naona na zuchetto juu!! Tena rangi ya kikadinarli kabisa mh!!!

  • @officialmubytz1076
    @officialmubytz1076 ปีที่แล้ว

    Tusihukumu Kama ametoa msaada na watu wamenufaika ni sawa
    Swala la kwamba anatoa kwa agenda gani ni yeye na mungu wake anayetuhesabianhakinsisi sotee

  • @yohanasosimbwilo2039
    @yohanasosimbwilo2039 ปีที่แล้ว

    KUMBE YESU KUMPONYA YULE MTU SIKU YA SABATO ....alikosea amaaaa!!! Maana mafarisayo bado tunao ...Yan mtu asaidiwe haaf we mwingine uumie!!!!

  • @haggaikinyau1395
    @haggaikinyau1395 ปีที่แล้ว

    Hivi Geordavie ni kwanza kuchangia jamii? Marehemu Mengi mbona alikuwa anatoa mamilioni hamkusema kitu? Hii tu ndo imekuwa nongwa?

  • @enocksosthenes4505
    @enocksosthenes4505 ปีที่แล้ว

    BIMA sio lazima kwa nchi yetu unatakiwa uelewe hivyo sio kila biashara ina bima. Acheni kukariri soma sheria za BIMA uelewe

  • @jamesmuthangya9843
    @jamesmuthangya9843 ปีที่แล้ว

    Nabii davie amefanya mambo ya mungu hao watu aliwazaidia niwatu wamungu pia sasa mukae kama watu wamungu asheni ma ya ushetani baba davie alishaindia watu wa mungu ashante sana nabii davie mungu akubariki sana💖💖🥰🥰🥰

  • @elicanageorge1319
    @elicanageorge1319 ปีที่แล้ว

    NILICHOGUNDUA BONGO UKIWA NA HELA LAZIMA UTREND KIVYOVYOTE VILE. na usipokuwa na hela utakuwa mfafanuzi wa aliye na hela😁😁😁

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 ปีที่แล้ว

    Lini unahubiri injili mbona Kila mara tunakusikia na mambo ya nchi TU? Ya mbinguni lini kweli sijawahi kukusikia ukitoa Nemo la mungu

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว

    yani ni kweli tassili yake yaotwaje hakuitambulisha iila ni uhuni n'a nilijiuliza walipata kweli uhuni mwingi

  • @msafirikalinga6938
    @msafirikalinga6938 ปีที่แล้ว

    Kuna madhehebu yana makanisa ya ghorofa lkn hawasaidii watu, mwacheni Nabii Mkuu awasaidie watu, wivu unawasumbua nyau nyie

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 ปีที่แล้ว

    Nabii GeorDavie Ni Baba lao

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli umeongea vizur

  • @dicksonelisa867
    @dicksonelisa867 ปีที่แล้ว

    Hawa wahuni wa dini tu.huko kanisani kwako umewahi kuchunguza sadaka waumini wako wanazipataje?

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 ปีที่แล้ว

    Mwamakula mi nimekuelewa

  • @danieljoseph273
    @danieljoseph273 ปีที่แล้ว

    Hiyo nayo nielem kutoka mbinguni hakima ya Sulemani ndiyo inayo toka kinywani kwa askofu

  • @eamsatellite2077
    @eamsatellite2077 ปีที่แล้ว +1

    Sasa msaada unatatizo gani alafu ndugu askofu wewe Ni mtu wa mungu ila una roho mbaya huo Ni ukweli pili usifananishe Tanzania na inchi zilizo endelea ambazo tunakopa pesa kutoka kwao ilo undoa alafu dini na siasa unakosea ,. Yani philosophy na psychology inanionesha katika paji lako la sura unaroho mbaya huna nuru kabisa Kama watu wa imani. Kwaiyo sadaka kikitoka huwa mnawapa slip ? Na kuna sadaka na pewa anza na watu binafsi au taasisi . Yule alicho kifanya iwe kwa umaarufu au sio kasaidia wengi katika soko lile wewe ndio ulie kuja na hoja hiyo. Tumuogope mungu sana

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว

    Hajaongea kitu, hata wanaotembea barabarani wanauhitaji, nia yake ya kutoa anaijua yeye msimpangie, sio kila mtu anamoyo wa kutoa,

  • @jacobsabore9822
    @jacobsabore9822 ปีที่แล้ว

    Usitupunguzie mwendo goli moja ni milioni 5

  • @urasaomben8641
    @urasaomben8641 ปีที่แล้ว

    Mtumishi utaweza kunilushia izo kilipu alizo kuwa ana kutumia

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 ปีที่แล้ว

    Ww swali unajibuje swali? Kama ww ni askofu husaidii watu? Ww unasema kafanys vby ww hata baya ulilolifanya liko wapi?

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 ปีที่แล้ว

    Umeulizwa swali unakwepa .kauliza kwani jodev kafanya kosa kuchangia soko unaleta siasa.nimeamini we sio askofu ni tapeli na wivu unaku....

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 ปีที่แล้ว

    Mbona Wewe umetafuta umaarufu na umeupata 🤣🤣🤣

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 ปีที่แล้ว

    Mnhhhhhhhh Nchi Hii 🥴🥴🥴
    Allah Atunusuru na HAWA Waongo...

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 ปีที่แล้ว

    MBONA WEWE NABII WA KINYAKYUSA HAHAHAHAHA MZEE WA MWANAKONDOO AMESHINDA DUH

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว

    Yani ana maanisha mtu akipata shida asisaidiwe, huyu askofu kapoteza dira, anachuki zake binafsi tu.

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 ปีที่แล้ว

    KINACHOKUUMA NINI HASA! BIMA IPO HATA HUKO ULAYA KUNA BIMA ACHA ROHO YA KUTU UMETUMWA NA KINA LEMA UMCHAFUWE MWENZAKO! KANISA LAKO LINA MATATIZO KIBAO SHUGHULIKIA YA KWAKO! KANISA LA LENNA HILO KAJITOA KAWAACHIA WANYAKYUSA

  • @yohanasosimbwilo2039
    @yohanasosimbwilo2039 ปีที่แล้ว

    Hivi kosa ni kutoa tuu iyo Hela...au....mana tukio la moto na nabii kutoa iyo Hela ni mbali mbali

  • @ahz6907
    @ahz6907 ปีที่แล้ว

    chadema kuwa na kiongozi kama lema ni upofu mkubwa

  • @machoguhamery3731
    @machoguhamery3731 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu Askofu bado yuko kazini au amestaafu? Maana kila siku yuko kwenye siasa na chadema. Kama hajastaafu atimliwe kabisa

  • @msafirikalinga6938
    @msafirikalinga6938 ปีที่แล้ว

    Ko wewe unadisi nn kama hapo, huna hela kaa kimya, acha siasa kwenye matatizo ya watu weweee

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 ปีที่แล้ว +3

    Mwamakula nihadhina ya taifa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mchungaji na askofu wa kweli wengine wengi makanjanja wasaka tonge machawa wa ccm

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 ปีที่แล้ว

    Kwa maelezo yake huyu bwana inaonekana ndie anaemtuma lema kuongea yote yale

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 ปีที่แล้ว +2

    Yawezekana mliomba kifadhiriwa mkanyimwa, mwovu akinyimwa huanzisha zari.

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 ปีที่แล้ว

    Khaa hata Yesu alituonya kwamba KUPENDA SANA PESA NDIYO MWANZO WA KUMTUMIKIA SHETANI!! YOTE HAYA MAKELELE NI PESA ALIZOTAFUTA NABII MKUU MWENYEWE!! LEO HII MNALIALIA KAMA NINI! LOL ACHENI WIVU WA ROHO ZA KOROSHO🤔😡

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว +2

    Mwamakula vipi zikiletwa kwako M 100

  • @adiyamkumbwa-eu6dr
    @adiyamkumbwa-eu6dr ปีที่แล้ว

    yaani kwel maskini ni maskkini tu...kwani hawezi kufidiwa mtu na serikali nawew ukampa sangio lako piaaa! dah! nisawa anatafuta umaarufu je ni vibaya mtu kuweka alama kwa watu ili kua mfano au kumbuko la baadae...? aya bwana tushakujua

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 ปีที่แล้ว

    Wanaokupongeza ni chama chako kinatetea