Magoli yote 12 ya Prince Dube kwenye NBC Premier League 2022/23
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2023
- PRINCE DUBE: Amemaliza msimu wa #NBCPremierLeague 2022/23 akiwa nafasi ya tatu kwenye orodha ya vinara wa mabao
Na haya ndiyo magoli yake yote 12 ambapo manne kati ya hayo ameifunga Polisi Tanzania kwenye mchezo wa mwisho.
NB; Kuna golikipa mmoja hapa ameteseka kwenye mechi mbili tofauti…. Je, ushamjua?
#PrinceDube #DubeGoals #MagoliYaDube
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL
Mwana wa mfalme😎🌟
green and yellow
Dube akicheza roho yangu inaridhika
is green And Yellow
Yanga fungueni pochi mchukue kifaa hiki
Pale Azam kuna Kipre, Akamiko, Paschal Gaudence na Dube n watu wa maana
Atue yanga chapchap tummalize wakwetu 😅
Tupen bas ya haroun niyonzima udambwiudabwi wK
Kolozidad hawataki hata kumuona huyu mwamba
😂😂😂 mbaya zaidi anakuja yanga mbn watakomaa
Usiende yanga mwanangu😂😅
Kuna timu zitalia jamani
Ujakoseha
Mwamba huyu anatisha