Yanga 2-2 Azam | Highlights | NBC Premier League 06/09/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague
    Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77.
    Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.

ความคิดเห็น • 240

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 2 ปีที่แล้ว +5

    Fey toto come up from the bench in second half but show up the finest on the pitch... he’s our super hero Zanzibar one ☝️ keep fighting and pray always you’re my best player in Tz of all time ....mungu anatosha...

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 ปีที่แล้ว +4

    Asante saaana Mungu kwa point hii Moja

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 2 ปีที่แล้ว +8

    timu Yangu ya yanga tatizo kwa sasa ni mabeki na golikipa pia hayupo sawa sikuizi turekebishe defence na goalkeeping... tutatisha zaidi.

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 ปีที่แล้ว

      Achen maneno leo mdaka mishale hafai tena😆😆😆😆

    • @ratybkheir3049
      @ratybkheir3049 2 ปีที่แล้ว

      job anachezesha namba 2 ya nn na bangala kw nn asicheze 6

  • @ahamadimatendo8928
    @ahamadimatendo8928 2 ปีที่แล้ว +8

    Mh Jana ilikuwa sikuya plesha kwa timzotembili ila zaidisaana plesha za mashabiki wa sisiyanga ilikuwa juusaana ila yotekwayote tunamshukulu mungu kwa kuwapa nguvu wachezajiwetu na kumpa chansi mchezajiwetu feitoto ndo meni of mechi

  • @shulentondo3288
    @shulentondo3288 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanga on fire 🔥🔥🔥🔥

  • @nasibujanga3071
    @nasibujanga3071 2 ปีที่แล้ว +7

    Arajiga ndo shujaa wa mechi hii🇹🇿👍👍👍

    • @bnttv8955
      @bnttv8955 2 ปีที่แล้ว

      Kwani arajiga amefanya nini

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 2 ปีที่แล้ว +2

    feisal ni balaa najivunia mno kuwa katika sehemu yetu WanaNchi ....... YANGAAAAAAAAAAA

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana fundi wa mpira africa fei toto

  • @aliyussuf9126
    @aliyussuf9126 2 ปีที่แล้ว +6

    Goal keeping is not the problem The defence needs to improve Nyie mnaolalamika penalty ya mchongo mbona hamlalamiki mchezaji wa Azam aliyestahili red card na hakupewa Hatahivyo hiyo penalty haikuwa bao

  • @elipidtesha5466
    @elipidtesha5466 2 ปีที่แล้ว +12

    Yanga the best just improve defence.line.and gal keeping is still.poor!

    • @francisjohn465
      @francisjohn465 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli mchungaji umeliongea hilo sana wanahitaji maombi

    • @jamesmakoye2164
      @jamesmakoye2164 2 ปีที่แล้ว

      Refa hafai afungiwe

  • @miskiaayallah1872
    @miskiaayallah1872 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Fey totoooooooo

  • @simontemba1851
    @simontemba1851 2 ปีที่แล้ว +6

    Namna iyooo yanga

  • @georgembwani3655
    @georgembwani3655 2 ปีที่แล้ว +5

    Azam Wanajifanya Kukamia Kwenye Mechi Kama Hzii Nyingine Wanakuwa Wakawaida Tu

  • @moise6735
    @moise6735 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana Yanga hongera sana Faitoto kijana wa mikwaju mizito mizito yenye power ya SATAN 2

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +3

    Azam wachezaji wenu wanaonekana washari washari na kuhamaki sana

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 ปีที่แล้ว +1

    Hii mechi ilikuwa bora sana

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 ปีที่แล้ว +9

    Nikiwa namanisha hiki ninacho sema Mungu Nakushuru hata kwa point 1 💚💛💚💛💚💛

  • @agripamwangobola6488
    @agripamwangobola6488 2 ปีที่แล้ว +1

    Yangaaaaa♥️♥️♥️♥️♥️

  • @abuuajmal1467
    @abuuajmal1467 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani apo Feitoto ndio Mtuma risasi... Wengine wanapata chance ya kushinda Lakin wanapiga light shoot, wajifunze kwa feisal

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +22

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yang mara 2 hapo kushoto kama hautojli

  • @lidyamgaya3877
    @lidyamgaya3877 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mdaka lisasi atadaka lisasi zote ila sio za feiy, wala sisasi za wananchi

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +4

    Jifunze hukmu ya quran tukufu gusa picha yangu mara 2 hapo kushoto kama hautojali

  • @MarcoMethord
    @MarcoMethord 5 หลายเดือนก่อน

    Vizur sana

  • @safiasaid4563
    @safiasaid4563 2 ปีที่แล้ว +2

    Feisal vs azam dogo kaamua mech

  • @pillymichael2747
    @pillymichael2747 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi gum

  • @nestorymapunda4596
    @nestorymapunda4596 2 ปีที่แล้ว +2

    Igem yanga kama sio ulumaa ya refa basi tulikua tuna potez shujaa wa mchezo feisal

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว +2

    Nassrudine Nabi MAN OF THE MATCH again....huyu KOCHA ni balaa Kwa kusoma Mchezo'...!

    • @ratybkheir3049
      @ratybkheir3049 2 ปีที่แล้ว +1

      nikweli lkn mm ananikera kitu kimoja job kumueka namba 2 kw nn asicheze bangala namba 6 game tuff kwnn kuna wachezaji anawaweka nje

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว

      @@ratybkheir3049 anakukera lkn huelewi KITAALAM, ..huu sio wakati wa kujaribu au kumchezesha mchezaji mmoja, tunapoelekea kugumu lazma kikosi kiwe kipana na cha ukweli..!

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 2 ปีที่แล้ว +2

    😅😅 kipa wa azam baada ya goli la pili, anafikiria imetelezaje anahisi ndoto

  • @abbykivuyo348
    @abbykivuyo348 2 ปีที่แล้ว +2

    Derby gani jaman haina mashabiki aibu sana kuita hii Derby jaman

  • @uztwao2428
    @uztwao2428 2 ปีที่แล้ว +1

    fei noma

  • @abuuharuna2214
    @abuuharuna2214 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmejitahidi kikosi kimeingizwa wachezaji 5 wapya na bado mmefungana 2. Kwa 2

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu refa mechi zake nyingi ni za yanga ndio maana anachezesha kiushabiki

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 ปีที่แล้ว

      Yan refa mshamba sana ila muache kifungo kinakaribia na yy

  • @greaterjustin2231
    @greaterjustin2231 2 ปีที่แล้ว +3

    Wakati mwingine msheli nae apewe nafasi ili diara asibweteke

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 2 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo wa waamuzi uliimbwa tangu 2-1 za Mayele na utaimbwa Hadi ligi itapomalizika. Unajua kwa nini uwezo wa Yanga Ni mithili kimbunga kizito sana hivyo lazima utaimba.

    • @leeabd9057
      @leeabd9057 2 ปีที่แล้ว

      Team yakawaida saana iyo jidanganye Ivo ivo

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว

      @@leeabd9057 ...unadhani MAKOLO wakicheza na Azam itakuaje, hii game ya WANAUME, ..!

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +2

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yangu mara 2 hapo kushoto kama hautojli

  • @rutundajames2820
    @rutundajames2820 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama ingewezekan muwe mnatuekea mechi nzima wengne tunahtaj

  • @jumakibinza4014
    @jumakibinza4014 2 ปีที่แล้ว +1

    Feisal atauwa watu jaman

  • @enockezekiel4125
    @enockezekiel4125 2 ปีที่แล้ว +1

    Fei toto hata msimu ulioisha nilidhani wangempa mchezaji bora wa ligi, sjui walitumia vigezo gn kumpa yanick 🤔

  • @kingsonmaleko7056
    @kingsonmaleko7056 2 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbili sufuri katika score bo bo boo😂

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 2 ปีที่แล้ว +3

    Refa amewabeba sana Yanga. Vinginevyo wangepigwa hata Tano

    • @mwaimuchengo1814
      @mwaimuchengo1814 2 ปีที่แล้ว

      Kwahio mnategemea Yanga washinde kwa ajili yenuu

    • @abubakarnabahani4994
      @abubakarnabahani4994 2 ปีที่แล้ว +2

      nafikiri alipoteleza Refa ni ile penati walionyimwa azam lakini penati ya yanga ilikua sawa pia sababu yule mchezaji wa azam hakucheza mpira alicheza miguu ya Morrison lakini kwa ujumla wake Refa kajitahidi sana...mapungufu madogo madogo ni ya kibinadamu...

    • @decodesttz
      @decodesttz 2 ปีที่แล้ว

      @@abubakarnabahani4994 sama ile faulo yaazam maah haikua penat ile ilikia faul sema refa akapeta

    • @bnttv8955
      @bnttv8955 2 ปีที่แล้ว

      Makolo kwani wanasemaje eee

    • @titus_maridhia
      @titus_maridhia 2 ปีที่แล้ว

      @@bnttv8955 mi ni mwananchi ila tumebebwa bro

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว

    Vhamanxii. Hakuna. Tajirii

  • @jamesmakoye2164
    @jamesmakoye2164 2 ปีที่แล้ว +1

    Lifutwe Hilo goli namalefali wafungiwe kwanza

  • @ratybkheir3049
    @ratybkheir3049 2 ปีที่แล้ว +1

    nabi tabia hii ya job kumueka mamba 2 bangala umueka chini tutakosa matokeo kikweli

  • @sofiaissa8005
    @sofiaissa8005 2 ปีที่แล้ว +1

    Feisal totoooooooooooooo🤴🤴🤴☀️☀️☀️☀️🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🐍🐍🐍🐍🐍🐍🐍🐍🐍🥇🥇🥇⚽⚽⚽

  • @preciousbenedict6220
    @preciousbenedict6220 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante referee wa Mchongo

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว +2

    Ya leo hainogi

  • @godfreymtazama4581
    @godfreymtazama4581 ปีที่แล้ว

    Hii live😎

  • @freddylusingu6936
    @freddylusingu6936 ปีที่แล้ว

    Mechi dum🎉🎉🎉

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 2 ปีที่แล้ว +1

    Myangazaji ni Utopolo 🐸!

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawaa. Makoloo. Wanaonyesha. Hawjirleewii. Timu. Laaoo. Bovuuu. Wanajipendekeza. Kwa. Lambalamba

    • @lidyamgaya3877
      @lidyamgaya3877 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @lidyamgaya3877
      @lidyamgaya3877 2 ปีที่แล้ว

      Watajua hawajui

    • @bnttv8955
      @bnttv8955 2 ปีที่แล้ว

      Wameumia sana

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

      Nyie vidaa vya yanga mnouzaga sura mtandaoni vip leo refa mbona hamumsemi Au ndio haki mnoitakaga hii ?? Mwamnyeto kaucheza Mpira AU miguu ya Dube ? Je refa huyu wa leo Mpira unatoka nje bado mchezaji wa yanga anaucheza anamuacha tu huyu ni wa karia au Gsm ? Ndio maama yule kocha aliwaita manyani mnabweka hovyo kunguni nyie

  • @zilperoscar7389
    @zilperoscar7389 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna wa2 wa timu fln wameumia ata cjui wameumia nn😃😃

  • @leonardpaul568
    @leonardpaul568 2 ปีที่แล้ว +1

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 2 ปีที่แล้ว

    Feisal amebarikiwa utu na utulivu

  • @fidelisvenance6431
    @fidelisvenance6431 2 ปีที่แล้ว

    Video mmeikata vibaya

  • @gervasmwagen8135
    @gervasmwagen8135 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe komenti Ni kucheka toa points

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 2 ปีที่แล้ว +1

    Fei we sio mzur utaua

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 2 ปีที่แล้ว

    Mm napenda mechi iwe iv yatia lha sio simba akicheza na young anakua mwepesi kama nn Young anaenda kuchukua ubingwa wake tena nafasi ya pili Azam kwenye nafasi ya tatu ndio sijajua kati ya Sindida hau simba lkn ya kwanza young yapili azam

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 ปีที่แล้ว +1

    Yanga inashinda kwa sababu ya presha ya washabiki kwa marefa yanga bila marefa si chochote ndoo maana inashindwa kimataifa

  • @mabruckally672
    @mabruckally672 2 ปีที่แล้ว

    Refa ni mjinga sanaaaa

  • @mussalandare5254
    @mussalandare5254 2 ปีที่แล้ว +4

    Feitoto anafaa achez mpira za england

    • @atiqaly6567
      @atiqaly6567 2 ปีที่แล้ว

      Unazani england wanacheza kma kmc au sio😂😂😂

    • @nurdin.mndeme3447
      @nurdin.mndeme3447 2 ปีที่แล้ว

      @@atiqaly6567 ANAWEZA FEISAL

    • @azizamihungo9659
      @azizamihungo9659 2 ปีที่แล้ว

      @@nurdin.mndeme3447 Labda England ya Buza kwa mpalange

  • @mwanasengugsengug7273
    @mwanasengugsengug7273 ปีที่แล้ว

    Azam wanatakiwa kwenda kushtaki kwa hiki kilichofaki kwenye huu mchezo

  • @mwanasengugsengug7273
    @mwanasengugsengug7273 ปีที่แล้ว

    Hii Haina marefaree ni upuuzi tutafute shule za nje ya nchi tukafundishe marefaree ila siyo Hawa marefaree wa upe

  • @googleus4903
    @googleus4903 2 ปีที่แล้ว +3

    Fei toto hajawahi kusahau viatu na vinamtosha vizurii... Havijawahi kumbana 🤣😅😂

    • @lidyamgaya3877
      @lidyamgaya3877 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 mpenja tena

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 ปีที่แล้ว

      @@lidyamgaya3877 😆😆😆😆yan anachambua hatar

  • @jofreymwile1986
    @jofreymwile1986 2 ปีที่แล้ว

    Mbona Sauti Hamna

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

    Mje mtuambie madada wa yanga mnotakaga haki je ndio hii haki yenyewe ??

  • @salamasaidi6620
    @salamasaidi6620 2 ปีที่แล้ว

    Mbona dude hakupewa penat

  • @samwelimwakila5706
    @samwelimwakila5706 2 ปีที่แล้ว

    Azam timu vipaji sio masiala mwananchi chamazi lazima atuboke

  • @silvestabahebewadudu6625
    @silvestabahebewadudu6625 2 ปีที่แล้ว

    Dadek imekula.besela we dube.

  • @customermashineni8677
    @customermashineni8677 2 ปีที่แล้ว

    Acha izo

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

    Tim ya wanafiki wala hawaitaji haki leo subir wafungwe wao utasikia neno haki matusi kwa karia leo wanafiki wapo kimya haaaahaahaaaa

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuanzia leo huyu Azizi Ki kufananishwa na Chama naomba iishe kabisaaa , maana huyu jamaa ni wa kawaida sana , effect ya jina lake hasaaaa halionekani , basi tu

  • @salamasaidi6620
    @salamasaidi6620 2 ปีที่แล้ว

    Ulimi km nyoka😆😆😆😆😆

  • @ahamadimatendo8928
    @ahamadimatendo8928 2 ปีที่แล้ว

    🤟👊💘🥀

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

    Hamuwezi kukosa matokeo wakati yanga ina mkataba na Tff juu ya ubingwa

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 2 ปีที่แล้ว +1

    Weeee fei toto wewe ipo siku utakuja kuua bwana mdogo

  • @customermashineni8677
    @customermashineni8677 2 ปีที่แล้ว

    Azam komaenj

  • @babuafya3446
    @babuafya3446 2 ปีที่แล้ว

    azamfc damu damu

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

    Utopolo mmeona refa wenu anachezesha boll nje ya uwanja haaaahaahaaaa hiyo ndio haki mnoidaigi kweli nyie hamna akili kama alivyosema msemaji wenu.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 ปีที่แล้ว

    Beba beba maji shingoni

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaitwa Sha’baan jina nzuri la kiislamu lakini amechora Tattoo

    • @aliyussuf5417
      @aliyussuf5417 ปีที่แล้ว

      ni mgalatia huyo

    • @Abu-Hamza254
      @Abu-Hamza254 ปีที่แล้ว

      @@aliyussuf5417 Mgalatia ni nini?

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

      Mbona dymond amechora na hamjasema,tena anawapa futari

  • @seciliasamamba7876
    @seciliasamamba7876 11 หลายเดือนก่อน

    Bila Referee hii mechi Yanga alikua anakufa goal 4
    Bado kuna Fans wa Yanga wanajipiga kifua kujidai eti Azam ni vibonde kwao

  • @sharzybmaniga5872
    @sharzybmaniga5872 2 ปีที่แล้ว

    Hawamashabiki waliorusha vitu oya inchakalii walichukuliwaje nabodii husks??

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 2 ปีที่แล้ว

    Referee na timu yako hovyoo kabisa, mpira uliosababisha goli kwa Azam ulikuwa umetoka, Dube alifanyiwa foul ndani ya 14 lakini ukajifanya hukuona, huku kubebabebana mpaka lini? Acha timu ipambane yenyewe siyo kubebabeba. Agayaaaaaaaaaaaaaaa

  • @firminkessy1267
    @firminkessy1267 2 ปีที่แล้ว

    O

  • @Ba63828
    @Ba63828 2 ปีที่แล้ว

    Feitotoooooo!

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mnatangaza nyie waadilifu mnataka haki mbona mnanyamazia huu utumbo wa refa pazeni sauti tuwasikie mnapinga dhulma nyie utopolo pazeni saut Tff wamuondoe yule refa si mnataka haki haaahaaahaaa wanafiki nyie

  • @jacksonpaulo4600
    @jacksonpaulo4600 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kuchiafricancinema
    @kuchiafricancinema 2 ปีที่แล้ว

    Tazama kilichomkuta mpaka rangi baada ya kukutwa na mke Wa mtu
    th-cam.com/video/vo3UPcboT6M/w-d-xo.html

  • @mnyamatv505
    @mnyamatv505 2 ปีที่แล้ว

    ZIJUE NJIA 5 ZA KUPITA KWENYE INTERVIUW(USAHILI)BILA KUPATA SHIDA th-cam.com/video/EV4-ozU29Ug/w-d-xo.html

  • @erikosuarez
    @erikosuarez 2 ปีที่แล้ว +7

    Azam receive all the love from Kenya. Lakini iyo penalty mlionewa

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 2 ปีที่แล้ว +1

    😅😅 kipa wa azam baada ya goli la pili, anafikiria imetelezaje anahisi ndoto

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 2 ปีที่แล้ว +5

    Azam mungu atawalipia mmezurumiwa mlikuwa mshinde magoli matatu bila lakini refa wamchongo wayanga kafanya iwe hivyo nihaki mfulahie sale hiyo maana mlikuwa hatoboi pale

    • @abubakarnabahani4994
      @abubakarnabahani4994 2 ปีที่แล้ว +1

      unateseka ukiwa wapi ? kwani huna macho yanga kachezewa rafu nyingi sana hata ndani ya box pia lakinii Refa kamezea mbona wewe ni mbinafsi ! usimba unatokota ndani yako Pasuka basi kwa hasira.

    • @flomenastephen2226
      @flomenastephen2226 2 ปีที่แล้ว

      Ukome c wangeshinda au ya mi7jiza jadilini yenu na kocha wenu wa mchongo

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 ปีที่แล้ว

      @@abubakarnabahani4994 unajuaje huyo alokoment km ni simba....punguza jazba mmebebwa bwanaaaa

    • @official_phay720
      @official_phay720 2 ปีที่แล้ว

      Abubakar Nabahani 😂 ng0ja ncheke kwnza .......ww ukubal ukatae mumebebwa na lile g0li lakwnza nilamch0ng0 huuuu niukwel usi0pingika

  • @gervasmwagen8135
    @gervasmwagen8135 2 ปีที่แล้ว +6

    Mpeni na feisali maana saivi anauwezo sio wakawaida tayari Ni brand dukan🔥🔥🔥🔥

  • @eliasgulinja442
    @eliasgulinja442 2 ปีที่แล้ว +8

    Refa wa leo asipo chukuliwa hatua basi tz haitapiga hatua ktk soccer cross imepigwa Moira ulikuwa umekwisha Toka akaibeba yanga pili akawanyima azam penalty ya wazi lkn akawapa yanga penalty ya mchongo kwa hali hii hatufiki popote

    • @peacerichard8970
      @peacerichard8970 2 ปีที่แล้ว +1

      Korona mnaona ya wenzenu tu,ya kwenu mnayaficha

    • @masoudadam4689
      @masoudadam4689 2 ปีที่แล้ว +2

      Ndio maana mirefa ya bongo mingi inazeekea hapahapa

    • @edwarddavid8076
      @edwarddavid8076 2 ปีที่แล้ว

      @@masoudadam4689 hahaa! Ulitaka wazeekee kwenu?

    • @avitusjasson9661
      @avitusjasson9661 2 ปีที่แล้ว +1

      Refa kapendelea kabx angeach mtu akapigw 3 tf1

    • @sleymohamed3825
      @sleymohamed3825 2 ปีที่แล้ว +1

      kumbe uliona nilijua nimeona peke yangu. upo sahihi

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani hili goli la pili kipa wa azam ataliota

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga6338 2 ปีที่แล้ว +20

    Main Of The Match ⚽️ ~ Feisal Salum 6 , Zanzibar 🌴 Finest 🔥🔥

    • @nasibujanga3071
      @nasibujanga3071 2 ปีที่แล้ว +2

      Main of the match arajiga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍

    • @daudkhatib4678
      @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว +1

      Makoloo. Walizani. Tutapigwa. Pumbaavuuuui. Zennuuui

    • @azizamihungo9659
      @azizamihungo9659 2 ปีที่แล้ว +1

      @@daudkhatib4678 Leo hatimae mmefurahia sare

    • @azizamihungo9659
      @azizamihungo9659 2 ปีที่แล้ว +2

      Man of the match Ni Arajiga kutoka Manyara

    • @bnttv8955
      @bnttv8955 2 ปีที่แล้ว

      Kwani makolo wanasemaje eee?

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 ปีที่แล้ว +2

    Fei umeonyesha kiwango kikubwa young african mko vizuri pamoja na challenge ilioonyeshw na azam

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +4

    Sasa makolo wameumia kwann? Mbona wenyewe tareh 13 walishindwa kutufunga? Jamn yanga haitofungwa tena hilo msahau🤣🤣 Feisal shkamooo🙌🙌🙌

    • @lidyamgaya3877
      @lidyamgaya3877 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 kaz wanayo, man ubayawetu hatunamtu maalumu wakufunga, ss ukikaa vbaya hatakipa anafunga, daima mbelee💚💪

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 2 ปีที่แล้ว

      Amida Abalii
      Bado nasubili majibu angu

    • @tonnybayyo5721
      @tonnybayyo5721 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว

      @@lidyamgaya3877 Nyuma mwikoooooooo🔥🔥🔥🤣🤣🤣

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +1

      @@enockabumba7513 Heee upogo kumbe

  • @hemedijr8333
    @hemedijr8333 ปีที่แล้ว +2

    Laiti Kama azam wangecheza kama hii mech kwenye mechi zao nyingine wengikuwa wapo juu sana ila wakicheza na yanga tu ndo wanakuwa ivyo