Hatma ya Clatous Chama ndani ya Simba, Ahmed Ally atoa maelezo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024
- “Unaweza kumuacha Chama halafu baadaye ukaanza kujuta” - Ahmed Ally kuhusu ishu ya kiungo wao Clatous Chama akifafanua sababu za kuchelewa kufanya maamuzi, asema hatma yake wanayo viongozi wa juu…. asisitiza “yule siyo mtu mchezaji wa kawaida”
- กีฬา
wanaomkubali chama like zake hapa tafadhari ❤❤❤
❤
Hakika tumepoteza mchezaji muhimu ktk chama letu la Simba.. walio umia kama Mimi gonga like zako.
Maneno mengiiiiiiiii sema tu ameenda upande wa pili msiba tu ulewekeeeeee Simba kilo chama chama mimi Simba nimeumia Sana chama bye
Heee kumbe huyu Chama ni mtu wanamna gani?kila siku ukifungua Midia, TV,simu zinamueleza huyu huyu tu 😢mmm😮
Acha uongo si useme tu ukweli kwamba mmeshindwa kumlipa stahiki zake😢 mpk ameamua kuondoka
Chama chama mwacheni aende bwana coz mnavyomsifua sana kaburi kina zadi Simba bila chama inawezekana bwanaa
KUNA WAJINGA WANATAKA UTANGAZE HATMA YA CHAMA KABLA YA MAAMUZI YA WAHUSIKA HAWAJA AMUWA
tunampenda abaki kwan nliposkia ameondoka niliumia sana
Wewe ongea ushuzi tu alafu msajili wapumbavu mtatuelewa sisi Wana Simba tukoje
Imeisha iyo wenye D mbili tumeelewa😂😂😂
Bad tunampenda chama
Mupeni thank you yake2 amechoka ukoloni
Huyu mjinga sana maneno mengi
Kuondoka kwa chama aimanishi simba imekufa chama sio sc chama ni mfanya biashara tu kweli twampenda lakini kumpenda kwetu tusije jutia uyo kisha kuwa snichi kwasasa 5:55
Eti mumuuze chama alafu mumbakize jobe aaah itakua zalau kubwa sanaa uyo chama ni bonge la mtuu sema ndo vile tuu team aiko kwenye mwenendo mzuri ila majonzi😢 yatakua makubwa kama mtamuuza chama alf mbaya zaidi akachukuliwa na wapinzani(yanga) kama trending zinavyoelezea uko mitandaoni itakua noma sanaaa yan simba ndo itakua aina tena uwezo wakukijenga kikosi kam wakimuuza uyo tripple C mwamba wa rusaka
Tumeumia sana washabiki wa simba
Kwajili ya chama gonga like zako
Chama hawez kwenda
Kuondoka kwa chama aimanishi simba imekufa chama sio sc chama ni mfanya biashara tu kweli twampenda lakini kumpenda kwetu tusije jutia uyo kisha kuwa snichi kwasasa
Maneno mengi yanini ongea fact
IPO siku tutakukosa semaji,,naona ni kama unaifundisha management Nini ifanye juu ya chama,,,,in short chama amekuumiza kiasi Cha kutamani umfate utopoloni.
Maelezo mengi ya nn....kama anaenda mwacheni...muda mwingine semaji wajishusha Hadhi...zidi ya wale wanayo ipoteza Simba ambao niviongozi.
Simba hamna kitu
Ww una kitu ..😂
Tunataka solution
Hata wew hatukutaki
Let him go
yup au hayup
Ahmedy wew nitapeli Kama Hao vingozi Kwanza toka uje Simba unagundu mbwa wewe
Kwani wewe unaongelea nini wakati mshaumia tayari chefuuuu
Hawo viongozi ndiyo wanaotualibia timu
Aka kajamaaaa vip kaaa ivo watu wapite nae
Powh tumesikia yombo zako
Ww niambie ya kueleweka kwani ss haujui chawa hem achana ujinga timu ime potea na bado mnaendelea kuacha wachezaji muhimu kumama zenu
3:55 😂
Nampenfa chama na asiondoke simba
Mwache aende bhana nini kumpambapambaa mbwa uyooo
Simba n taasisi kama anashida mwacheni aende zake
Aliondoka okwi akiwa top scholar hata yeye ikbd apewe thanks
Ww yanga acha ujinga
Wew ukimtoa cham utamleta nan kama cham
Sasa kama mtu hataki utamlazimisha 😱😱😱
Ulikuwa unawandaa kisaikolojia
Simba😂😂😂😂😂😂wana msemaj muongo sn aisee anawaona kama mambugila hiv wasiojielewa😂😂😂
Mwache aende kama ameamua kwenda!!
Msemaji wa hovyo kabisa
MAKOLO KISEBU SEBU NA KIROHO PAPO NYINYI HAMUNA UJANJA KWA CHAMA IPO SIKU ATAWASHIKA HADI VIJAMB.......😂😂😂😂😂😂
Muachen aende chama lakn Simba Bado inamhitaj
atakama Ahmed ally useme nini atutapata wakuziba pengo Ra xhama kumbuka wariondoka kina firi wakara kina jobe akaondoka bareke akaja Fred wamefanya nn zidi ya ao
Tulia upokee tarifa sahihi
Chama asitoke itakuwa balaa jingine
Mpira umeanza kupenda lini kaka, all in all mpira ni biashara bro,
Aondoke tuu anatusumbua 5:08 😊
Kwa kheri chama karibu aziz ki..
Amka amka😅😅😅
@@Mhappy5 hawajajua bado
Mmmh
Aende
achaujinga elaamna
Nmekua kwa kwanza naomben like😂😂😂
Mashabiki hawa ndio wanatuangusha kuskiliza siasa za huyu jamaa simba inapotea
Kweli kabisa anaongea sana aaaah! Mpaka anakera
Sasa we kichwa Unga hujatoa majibu hivyo hapo umebwabwaja tu
Nendakwenyepoiti2
Ally maneno hayatakiwi acha eende
Fanya kazi zingine sio USEMAJI maana una SIASA nying unasifia halafu hayupo SIMBA 😢 yaani achatu kaziiiiii hufai. Asiekuwa kwako halafu unasifiaiiaaaa 😢😢😅😅😅😅
Sasa kosa Lake nini?
Daah Yani kama wamtongoza dem
Si ndiyo hapo
Chama kaishasaiv tuwe wakwel mashabi wasmba
Exactly wamwache aende zake tu
Akafie mbele huyo chama
Chama mtu nanusu
ay bwan
Aende hatmtaki
Mnatumalizia bando
Aondoke tuu anatusumbua
Wanasimba wote tufanye kum unfollow huyu jamaa anakuaga. Na akili za hovyo uku promote vitu tofauti na ilivo
Chama abak kibud abak
Wewe mbona unatoa ngonjera mpuuzi tu!
Ongea kama mwanaume shoga 1 weeee sauti kama ya zuchuuu
Polojo nying ww nimwanasiasa huend direct
Ahamed ally acha mboyoyo acha ujinga
😂😂😂
Yupo kazn kwake😂😂😂😂
Wewe fanya yako yatakusaidia
Wanaku uuuuu
@@Ndenza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤a23a❤31a❤31❤1❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤3111111❤w1w❤131❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤31a❤w3❤1a❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤w1❤à❤❤❤❤🎉🐏❤
una comment utumbo na hujala ,👇👇👇👇
Kazi mnayoo wazee
😂😂😂
Duh 😂😂😂😂😂😂😂
harafu viongozi Wa Simba tambueni Yanga walishajua chama kaisha, hivyo wanajifanya kumtaka ili tuendelee Na mpira wake Wa kutokukimbia aendeeeeeeeeeee
Sasa mbn hatima sijaisikia🥱
Huo ugonjwa
yanga hatuabudu mizeee sisii nyie umieni na magarasa yenu mwakaa huu tunapiga 10
Amujipya ynga vikoba
Yupo hayupo
Abaki 🙏
Kawaacha uyoo 😂😂
Mm hata sijamuelewa @Ahmedally
Hahahaha
Acha siasa funguka
Ngonjera hizi jaman
Aondokee tyuu anajisikiaa sanaaa
Apa tushajua chama anasepa
😢chama abaki tu
Wanaokoment ujinga ni Wana yanga hao
Utoporo mtupu
analinga kama Demu
chama ndio niniiiiii? aendeeeee
Mnampa kichwa mlambeni miguu wajinga nyie!
Wew yang
Chama fund
Tulia wewe
Kuondoka kwa chama aimanishi simba imekufa chama sio sc chama ni mfanya biashara tu kweli twampenda lakini kumpenda kwetu tusije jutia uyo kisha kuwa snichi kwasasa
Aondoke tuu anatusumbua
😂😂😂
Kuondoka kwa chama aimanishi simba imekufa chama sio sc chama ni mfanya biashara tu kweli twampenda lakini kumpenda kwetu tusije jutia uyo kisha kuwa snichi kwasasa
Kuondoka kwa chama aimanishi simba imekufa chama sio sc chama ni mfanya biashara tu kweli twampenda lakini kumpenda kwetu tusije jutia uyo kisha kuwa snichi kwasasa
Kuondoka kwa chama aimanishi simba imekufa chama sio sc chama ni mfanya biashara tu kweli twampenda lakini kumpenda kwetu tusije jutia uyo kisha kuwa snichi kwasasa