Mtangazaji jitahidi kuwa na mic mbii kama unaona shda kuhamisha, unapoteza sana radha ya interview maswali yako kuna muda hayasikiki mara unaeudisha tena audio, jitahidi kuwa proffessional
Nilikuwa Na Siku nyingi si sheki ila uyu mzee kanipa kicheko kikubwa sana mpaka watu wananishanga story anaisema mm naona kama movi yani naipa image.😅😅😅😅😅 Walahi kanifurahisha sana kuazia part one mpaka party 2 ni full history .kangea Na détail
I like this Mzee’s stories. I wish angekuwa Marekani au Uropa- angefurahia sana kuziendesha trucks.
Huyu Mzee nampea salute sana much more love from Kenya 🇰🇪
Br nimecheka sana nakumbuka tukiwa wote kharaf &sons mbwenkulu mingoyo project
Hongera sana bro kumbe bado unapambana mwenzio nilistaafu kitambo
Kharaf alikua wapi mbona sikuwahi kumuona mimi huyu,,,japo mi nlikua sanasi
@@hawaibrahimu6599 alifanya kipindi kifupi sana mtange baadae malori yakaamishiwa kikwetu quar na abdunur sikuwahi muona tena sijui alikwenda wapi?
Huyu mzee masha Allah mtaalamu wakuzungumza. Allah amlinde amekumbana na changamoto nyingi.
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh mzee namkubali kazi na swalaaaaa kila hatua dua popote kambi 🤲
Huyu kwa nini akuwa mchekeshaji,Jot Huyu mzee akishapumuzika ebu mchukue anachekesha sana.Mtangazaji ongera kutuletea mzee huyu.❤❤😁😁
Mm bwana uyuu mzee namuelewa vyema2 🎉🎉 tumpe mauwa yakeee🌹🥀🥀
😂😂😂😂Uyuu babu nakubalii Sana Amos kutoka burundii mkwelii kabisa Salut wewe ni mwanajeshii Salut
Mtoaji story anaelezea vizuri.hana mbambamba.big up.na Hata waulizaji wapo vizuri
Kichwa cha habari tofauti na story
Sijajutia data zangu coz the guy is funny 😹🫶🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾
Huyu mzee Allah ampe Maisha Marefu...
Kuna Mengi ameongeo ya maana musimchukulie poa...
Mtangulize Mungu Tuu
Sadaka Kwa sanaa Utatusuwa
Watafaaak 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂this guy is funny, and a good story teller. Nipo Kenya, ashanipa kucheko
Pole sana Mkongwe
Mmh uyu mzee noma
Daaah mzee umetisha sana yaani nilikuwa nimevurugwa hatali lakin nimejikuta nacheka bila kupenda ila fanya mpango ukaigize
Ananja no2😂😂
Kuna vitu vingine anatia chumi sana siyo Kila dereva ana ukimwi sifa ikizidi lazima utoke njee ya mstari na siyo wote hutumia miezi 4 kwq safari moja
Mchungaji Hananja umenichekesha sana 😅😅😅
😂😂😂
Sauti ya Hananjq
😂😂😂 ndg mwandishi hata ucheki njiwa anatua kwenye usukani kumbe mabosi wanazingua sana anakuambia na wewe ujiongezi 😂😂😂 dereva nakukubali sana
Nilicheka baada ya interview 😂😂
Nyc story love toka 254
kweli mzee
😅eti Congo kwenda na kurudi miezi minne
Nacheka sana mpaka baridi ya UK inanitoka 😂
This guy is a comedian. Nimefurahia sana kumzikiza.
Pole sana mkongwe❤😂😂😂😂😂🙏🙏
Best Mahojiano ever
Interesting and educative
😂😂saw mzee Wang mkongwe nimeipend hiyo madereva wass wanaon kupendwa rah kumbe wanapend mailej
Huyu mzee hata mngeweka masaaa 24 ningeangalia yote
Mie nshaga iangaliaga ila nimeirudia hahah
Kweli angefanya kazi comedy 😂😂😂
Kwa kweli mjomba uko vizuri umeniacha hoi story zako za kimaskani Allah akupe afya na swiha njema yaraa❤
We mzee jina langu hilo❤❤❤😁😁😁
Hatariiiiii
Naomba namba zako dereva mkongwe ninashida na kuki
Lead haiendan na story teller
Aisee uyu jamaa ni noma
Jamaa anfurahisha sanaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Serkali imuangalie huyu mzee pia mim dereva wa masafa marefu. Pamoja mzee
Hapo kwa Nairobi Kenya Kuingia airport ni kweli. Mm mwenyewe nishawai potea na n mkenya.
Dereva mkongwe na sisi tunataka kupata uzoefu wa magari makubwa naomba naomba ya dereva mkongwe
Mtangazaji jitahidi kuwa na mic mbii kama unaona shda kuhamisha, unapoteza sana radha ya interview maswali yako kuna muda hayasikiki mara unaeudisha tena audio, jitahidi kuwa proffessional
Namkubalisana deleva mkongwe
Anaelezea vizuri kwa sababu ni story y ukweli
Tushachoka kuona stiry z uongo z waganga n freemason
NIMEJIFUNZA MENGI ASANTE
Duh kazi ngumu sana hii
Milk Chicago.😂😂😂 don't let me laugh. I just got this channel by accident but i am really laughing.
Hapo kwa mbuyu tite😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Dereva mkongwe 🙌🙌🙌🙌
Mzee kiswahili chako kimenifurahisha.
Simulizi na Ushauri stadi sana ila mda mchache...loo..!!!
Mbona sijaskia kuhusu kubeba miskuleee
Huyu mzee jamani muhunisana eti tani boy ..akiagaliha upande huu na dereva ubadehuu ujuwe hawana chakula.hahahahaha
Uyu mzee ni pasuwa kicwa😂😂😂😂
Nilikuwa Na Siku nyingi si sheki ila uyu mzee kanipa kicheko kikubwa sana mpaka watu wananishanga story anaisema mm naona kama movi yani naipa image.😅😅😅😅😅 Walahi kanifurahisha sana kuazia part one mpaka party 2 ni full history .kangea Na détail
Pesa ya maulagi ikisha Derva Na tandi boy no story umoja ana angali kuliya ugine kushoto kila omoja anatizama pori lake.😅😅😅😅
Hatari 🇰🇪
❤
Daznunda nunda daz
Huyu baba Wallah nmecheka mpk machoz yananitoka
🤣🤣🤣🤣Anachekesha jaman
Story kiboko!😁😁2
Bona dazinundaaa😂😂😂
Et utanikuta polis ndio penye amani😂😂😂😂ila huyu baba jaman
Jeshi mmemuacha huyu mzee dahh
Moshi watokea ndani😊
huyu mze namukubari kinoma
Dahh madereva wanapukutika nangonjwa
Hatareee😂😂😂
Dah nacheka balaaaa et tajiri asema Toka nimpe gar Kawa msumbufu
Akiii nimechek
Natamani mjomba wangu angekua hai alikua dereva pia
Ukweeri mtupu
Doh
Tanzania nchi yaamani huko kwengne nishida
Stering hio ni irizi ya kijapan hakuna mwanamke anakukataa❤
Kiukweli hakuna kazi lahisi duniani minajua madeleva Wana injoy kumbe majanga matupu
Ulitega shokaa
Lakini saivi boda ya kasubalesa washa itengeneza
K.9 hiyo
Duh aisee tusiache zana. Moto upo wa kutosha😢
Nice story lakini niulize.... ni mimi tu sijaskia akimention freemasonry anywhere? Ama caption ilikuwa uongo wa click bait?
Mbona vichwa vya habari haviendani na habari ya ndani? Mfno freemason na misukule je ni uwongo wenu?
Serekali muoneni huyu mzee awe mshauri wamadereva
Kwaiyo unafanya vp kazi bila mshahara.. ?? Naomba maelezo hio million 2 sindio mshahara wenyewe au??
Dereva mkongwe sisi ndowapya Mzee nachuma inaimbatu mengine mungu mwenyewe
Milk chikago
Maderev wapya chukueni ushauri kwa huyu mzee 😅😅
huyou mzee ataishi myaka mingi mana nilicho kiotaleo dah shetani apitembaliyake
Et wabongo washaingia kenyata
Wakenya wenyewe tushapotea tukaingia jomokenyata airport
Akika yaliyomo yamo
Uganda nuksi traffic police😢
“Nchi za kiplefti kiplait”
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Daz nundaz Nunda na daz😂
Nawakaribisha ww na mchungaji ananja maana ngoma droo
Nikwel nawamefanana adi sauti nauongeaji ujakosea
Huyu mshikaji akili mingi sana usimuige utaondoka
Huyu kaka pasua kichwa kweli yani nimecheka sana, yani hata kama angeongea zaidi ya masaa 10. Nisingechoka kumsikiliza
Du 🤣🤣🤣🤣🤣
Ubalozi😮😅😅😅😅
Ongera sana mzee,, natamani Milady Ayo ikuone uwe juu zaidi
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌