huyu jamaa ni muongo vle anaona watu wanacheka badala atumie hekima na kujulikana kwake kutetea madreva ambao wanapitia magumu ili tusaidike ana kaz ya kuongopa K9 ina kilomita 38 😭😭😭 akat neno k9 ni kilomita 9
HIVI UNAJUA UNACHOKIFANYA KUNA MTOTO WAKO ATARITHI🤣🤣🤣🤣 UMENIONDOA STRESS, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO, NITUMIE NAMBA NIKURUSHIE COCA BRIDIIIIIII
Dere mkongwe happy new year 2024 kutoka kenya🇰🇪 MUNGU akubariki bro.
Mwenyezi mungu akujalie afya njema na umri mrefu
Dereva mkongwe ana furaisha sana
nakukubali babaa mkongwe❤❤😂😂
Daaah huyu mzee anachekesha sana, yani nimecheka 😂😂😂😂😂😂 sana leo❤❤❤
I love him he is good talking United States
I like the show. The driver is so comical
Dereva Mkongwe Pamoja Sana From Lubumbashi
Mzee anaongea kama masihara lakini ukitumia jicho la 3 unapata maarifa ya maisha
True
Baba wee we unitenezea siku kweli napenda story zako kweli
😂😂😂😂 NIMECHEKA KWA SAUTI MPAKA WATU WAMENISHANGAA ,ETI MBUZI WA ALBADILI ,MOYO UNAPIGA TATAATATAATA🎉🎉
Kaka uko poah kaka 😅😅❤
Naisubiri part 2 Mimi kwa kweli 😂😂😂
Nakubali sana dereva mkongwe
@Mzee mkongwe:Nairobi, Anasema kweli kabisa..😂😂😂😂😂😂😂
Namkubali sana dereva mkongwe
Anasauti kama mhungaji hananja😜😜😜😜🤣
Kabisa 😂
noma sana
Mi mwenyewe boda mkongwe Hilo Dara bwana tuurumie
😂😂kudadeki yaani tusi unalileta kwa mwanao😂😂😂😂kweli tia udhu before uingie kwa nyumba
Dachi Akida mzee wa mastori aka Deree mkongwe...
Story tofauti na Mada man😂😂
Kunywa mtor nyama zpo chini
Madereva wa siku hizi wanajielewa wachache sana bado wanaujinga huwo wa kizamani mzee. Watu wanamaisha mazuru sana.
Huyu babu nampenda sana ati mtoto akitembeya macho yakutoka nacheka mpaka hapa kazini mzungu auliza what is going on .namjibu iam just loughing
Kwakweli!! Mecheka sana
Nairobi Wana ngoa mpaka steering huyu Mzee naye ni comedian Tanzanians should be warned
😂😂😂😂😂 we baba unajua comedy umenichekesha
Haaaaa dereva anasema kweli nairobi wachana, wenyewe wanaita kanairo,kaka jichunge sana
Iyo ya kwel kaka 2na pata tabu sana rod
😂😂😂😂😂😂 mzee yuko.makin kwenye comed piaaaa...?😅😅
😂😂😂😂 huyu dereva kiboko 😂😂😂😂
My mum owns mitsubishi kila saa anani ambia Babu lala nayo 😂
huyu jamaa ni muongo vle anaona watu wanacheka badala atumie hekima na kujulikana kwake kutetea madreva ambao wanapitia magumu ili tusaidike ana kaz ya kuongopa K9 ina kilomita 38 😭😭😭 akat neno k9 ni kilomita 9
Eti mbuu kama mbuzi😂😂😂❤❤
Mhh soft buti😅😅
Mkongweeeee mbelei apa utatuuwa mzee,Mungu akuongezee umri,ww ni mwlm wa madreva
Dereva bundi am done with this driver 😂😂😂🤌
Mkongwe unatisha ila ni ukweli mtupu
😅😅😅😅😅😅😅😂😂 daaaah dereva kama dereva
Mpeni hela uyo father😂
Mjomba mzee wa mijimama
Huyo mzee msanii tu cartoni tu
Waukaya mbavuzagu jamani maramba oyeeé mwele bwiti daruni
😂😂😂😂😊😂😊😂😊😊😂😊😂 Nampenda huyu mzee
😂😂😂😂 umezid tochiii alafu hakuna kibaoo
Bubu unafurahisha hasuruwali kalala nayo?
Wanyumban nakubal babaaaa ndomana unaongea sana😂😂😂😂
Madereva muwache uhasharati tuu mtakufa vinywa wazi.
🤗🙌🙌🙌
HIVI UNAJUA UNACHOKIFANYA KUNA MTOTO WAKO ATARITHI🤣🤣🤣🤣 UMENIONDOA STRESS, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO, NITUMIE NAMBA NIKURUSHIE COCA BRIDIIIIIII
aritaka kumusuguwa ?😂😂😂😂😂 sio poa
Sasa ukisena spacial kwani lorry mali yako?
Sasa ndio utowe mijicho.vitkuo kweli mjomba
😂😂😂😂😂
Nauzima moto kwa majasho😂😂😂😂
ndo kasema
😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we bwege
Kenya wameweka za plastiki na juu yake karatasi..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pacha wake mbwiga 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂🎉🎉
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 duh
Ausio ba mkongwe
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🤦♀️🤦♀️
N harar
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂