LUSINDE BUNGENI 'WANAUZA MAKONDOO WANANUNUA MAVX HALAFU WALE WANABAKI MASKINI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @etiminsadallah5244
    @etiminsadallah5244 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana spika kwa kuongoza binge

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngorongoro ikifa,kinachofuata ni Serengeti. Wakurya hawatokubali Wamasai wakachungie kwao. Wamasai wezi sana wa Ng'ombe.

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah inaumiza Sana,lusinde amenifungua macho

  • @etiminsadallah5244
    @etiminsadallah5244 2 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde hongera pamoja na Salome ukweli unauma mabebelu wapo

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 2 ปีที่แล้ว +2

    Tulia uko vizuri
    ndo uzuri wa kujua sheria

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 2 ปีที่แล้ว +1

    Fanyeni utafiti hamjui Hali halisi ya Ngorongoro....Mnampa Rais taarifa zisizo sahihi

  • @kizitomwati3925
    @kizitomwati3925 2 ปีที่แล้ว

    Tulia Akson hongera sana Dada yangu

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Mhe Lusinde

  • @ajoseph31
    @ajoseph31 2 ปีที่แล้ว

    bunge linapotosha sanaaa

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว

    Huyo masai apo kushoto anamuangalia lusinde vibaya jmn

  • @etiminsadallah5244
    @etiminsadallah5244 2 ปีที่แล้ว

    Mzee asiwenahasila atuliye

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 ปีที่แล้ว +1

    Maslahi ya Taifa yawe mbele.. sio ujinga wa kulinda wachache..

  • @samwelngoitiko4157
    @samwelngoitiko4157 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe lidinde Mungu anakuona mpotoshaji wewe
    Na siyo bure unasema rafu wanakimbia unasema kutokana na maharifa ndogo ulionayo kuhusu ngorongoro

  • @kadeliamatheo8979
    @kadeliamatheo8979 2 ปีที่แล้ว +1

    Jicho la mzee mzee oledekeka ni hatar

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 2 ปีที่แล้ว

    Jembe langu Lusinde

  • @furahamsabaha4238
    @furahamsabaha4238 2 ปีที่แล้ว +2

    Inaonekana kuna siri kubwa Sana ya ufisadi inafanywa na mafisadi ngorongoro! duuuh

  • @EliasKimotonge
    @EliasKimotonge ปีที่แล้ว

    Unapotosha toa hoja yakujenga ila usitoe hoja kwa kubomoa

  • @zoey2635
    @zoey2635 2 ปีที่แล้ว +2

    Wabunge wangekuwa na uzalendo hii nchi ingefika mbali

  • @barnabalushenshe5671
    @barnabalushenshe5671 2 ปีที่แล้ว +1

    Mifugo ya akina sendeka na wengine.. na masendeka majizi hayo.

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 2 ปีที่แล้ว

    Mbunge wa Simanjiro Manyara.. Mbunge Oresendeka sijawahi kumsikia anaongea bungeni.

  • @emanuelmolell4927
    @emanuelmolell4927 2 ปีที่แล้ว

    Lusinde unapo sema kipindupindu ya mwaka ni msaada gani ulisaidia ngorongoro

  • @abuukamugisha5994
    @abuukamugisha5994 2 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde ni mbunge wa kitaifa

  • @staralive9260
    @staralive9260 2 ปีที่แล้ว

    Mhe.Olesendeka lazima atakuwa anamifugo ndani ya ile hifadhi. Kimenuka awamu hii.
    Olesendeka imekula kwenu wenye mifugo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro mambo sio mambo tena.
    Njoo ufanye utaratibu huo wa kuondoa mifugo hali imebadilika na mambo yamekuwa magumu ndugu kweli kweli!!

  • @stanleymathias7877
    @stanleymathias7877 2 ปีที่แล้ว

    Matajiri wengi sana wa kimasai wanaweka watu wawachungie mifugo kwenye mapori ndo maana oledendeka amepanik

  • @kayayaisanta3577
    @kayayaisanta3577 2 ปีที่แล้ว +1

    utalii sio wanyama peke yake. tuangalie katika angle zote

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 ปีที่แล้ว

      Ulitaka utalii iwe nini waje watuangalie boloz

  • @ernestbernojr4479
    @ernestbernojr4479 2 ปีที่แล้ว +3

    Lusiiindeeee

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 2 ปีที่แล้ว

    Mnasema ukweli siku moja tuliona ngamia tulijiuliza Sana lini Masai anafuga ngamia

  • @josiacharles7342
    @josiacharles7342 2 ปีที่แล้ว

    Jamani uyu olesendeka ameshazeeka tena mm nilizani wezee ndo wanabusara kumbe ndo wamefirisika kabisa, anajaribu kuonyesha wazi nikweli kuna wakubwa ndo wamewekeza uko ngorongoro.

  • @emanuelmolell4927
    @emanuelmolell4927 2 ปีที่แล้ว

    Nisijenge nyumba nikajenge wapi uwonefu atuhami kama pale hatupati huduma ni huduma gani tuwesa kupewa na wenzetu walio hamishuwa ordog'io sambu wameachwa hoi mpaka wengine wamerudi watu wengi zaidi ya hawo hakuna kitu kabisa

  • @omarymbeck7717
    @omarymbeck7717 2 ปีที่แล้ว +1

    Africa hakuna kiongozi magoli

  • @kayayaisanta3577
    @kayayaisanta3577 2 ปีที่แล้ว

    watalii wengi wataacha kuja ngorongoro wafugaji wakiondolewa. ecologia ya wagugaji na tamaduni zao ndani ya hifadhi ni sehemu ya utalii. wale wageni wanaokwenda kwenye maboma kusikiliza nyimba na kujifunza tamaduni wataenda wapi wafugaji wakiondolewa.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 ปีที่แล้ว +1

      Nj'e ya mipaka ya hifadh ndo mambo hayo ya kitamaduni yalitakiwa yafanyike huko lakin huku ndani ya hifadhi hakutakiwi kelele zozote zaid ya kusikia sauti za wanyama na ndege na utulivu wa hali ya juu

    • @jemesmossonmosson3523
      @jemesmossonmosson3523 2 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa umesema ukweli

  • @aladinho1352
    @aladinho1352 2 ปีที่แล้ว

    🤣 kaguswa mzee ole

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 2 ปีที่แล้ว

    MTOA TAARIFA AONEKANA NI MIONGONI MWA MATAJIRI WANAO TUMIKISHA MASIKINI KWA FAIDA YAO !

  • @silyvestarmwaisyelage9224
    @silyvestarmwaisyelage9224 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa mbona anatetea watu kutokuondoka amefugia pale nn

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 2 ปีที่แล้ว

    Kibajaji mpya huyo.

  • @omarymbeck7717
    @omarymbeck7717 2 ปีที่แล้ว

    Kusinde kawekeza mule uyuu mzee anapesa nyingi anamifugo yeye na mzee mamvii

  • @EliasKimotonge
    @EliasKimotonge ปีที่แล้ว

    Lusinde wewe hizo nimbinu tu za kumshawishi mtu kumuaminisha ila wewe hapo hujaongea pwent yeyote bali hoja yako tunaweza kusema wewe nisehem watu wanayo jue ngorongoro inaelekea wapi kila kitu we unajua

  • @peterlemurwa3834
    @peterlemurwa3834 2 ปีที่แล้ว

    Ww mujinga sana

  • @bictonykeraryo3900
    @bictonykeraryo3900 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza kuna kitendo ambacho ndg zangu wabunge hamjui.
    Hao wamasai kwa siku hizi ni wawindaji wazuri tu.
    Mfano.
    Wanaua wanyama wanaenda kubadili nyama na chakula kwa kusafirisha hizo nyuma za wanyama kwa kutumia bunda, kwenda kubadilisha chakula.
    Kwetu ni tarime mpakani na serengeti, mbona wanaleta nyama pale kubadilishana na chakula.
    Fanya safei hilo mtaliona wenyewe.

  • @kizitomwati3925
    @kizitomwati3925 2 ปีที่แล้ว +1

    magari ya watalii vipi hayajai
    pumbavu wewe huna la maana zaidi ya ubaguzi

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 ปีที่แล้ว

    Ole sendeka toa mifugo yako ZA mwizi ni arobaini

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 ปีที่แล้ว +2

    TAARIFA zingine zamkijinga ili mradi TU lionelionekane

  • @zakayomolle3400
    @zakayomolle3400 2 ปีที่แล้ว +2

    Unaongea matope ww

    • @michelamon481
      @michelamon481 2 ปีที่แล้ว +1

      Hana utu huyu hata ongea yake inatuzihirisha

  • @eliasbagona1780
    @eliasbagona1780 2 ปีที่แล้ว

    Haunlolommbu

  • @yonalokusie4678
    @yonalokusie4678 2 ปีที่แล้ว

    Tom